Mimi ni mwenyeji wa Kenya, nilishangaa sana huyu jamaa akikadhiria matukio ya huku kwetu hata kuliko Wakenya wengi mbali na kuwa msanii shupavu huyu Dudu Baya anaelewa maswala ya kisiasa na hata duniani...msomi huyu.
Kwanza, msanii huyu ana kichwa, mwanaharakati wa aina yake, hapingani na serkali, ana maarifa ya chakula cha kiroho. Zidi kuimarika kiroho na kiafya, kama ulivyoelekezwa hata kufuatana na jinsi ulivyojifunza madhabahuni. Bongo flava legend. 😅
WEWE MATAGAZAJI WA MPALLA UPDATES NA DUDU BAYA NYOTE MNAMATATIZO YA AKILI NIMTUGANI WAKWEDAKUMULIZA MASWALI YEYE MWEYEWE HAJIELEWI NIMTU TU HATA JAMI ATAIAMBIA NINI IMUELEWE AJIWEKEVIZU KWAZA AWE MTU WA MUONEKANO WA HISHIMA
Mkuu wa Bata! Wazi wazi daa tabia ya bata kujipitisha basi tu nimecheeka mbavu sina. Madini na maadili 😊😊😊❤
Dudu ni mtu mwenye mtazamo mpana wa maisha
Mimi ni mwenyeji wa Kenya, nilishangaa sana huyu jamaa akikadhiria matukio ya huku kwetu hata kuliko Wakenya wengi mbali na kuwa msanii shupavu huyu Dudu Baya anaelewa maswala ya kisiasa na hata duniani...msomi huyu.
Kwanza, msanii huyu ana kichwa, mwanaharakati wa aina yake, hapingani na serkali, ana maarifa ya chakula cha kiroho. Zidi kuimarika kiroho na kiafya, kama ulivyoelekezwa hata kufuatana na jinsi ulivyojifunza madhabahuni. Bongo flava legend. 😅
Uwe mtangazaji wa radio nakukubari dudu ni zaidi ya baba Revo na mwijaku una IQ mkubwa sana
Big brain dudu
Fact sana ankal KONK💥
Dudu ni mchambuzi wa siasa mashuhuri nchini Tz
🎉
Damu ya Kupendwa! Ulipata baraka za kikanisa. Taperecording radio.
Jama😂matatizo ya akili
DuDu jambo
Dudu baya namukubari
Mashenzi majizi yana kula haki za watu 😂😅
Tatizo mondi mzulumati
WEWE MATAGAZAJI WA MPALLA UPDATES NA DUDU BAYA NYOTE MNAMATATIZO YA AKILI NIMTUGANI WAKWEDAKUMULIZA MASWALI YEYE MWEYEWE HAJIELEWI NIMTU TU HATA JAMI ATAIAMBIA NINI IMUELEWE AJIWEKEVIZU KWAZA AWE MTU WA MUONEKANO WA HISHIMA
Sura sio roho,konk3 masta mwendo mdundo
We ndo mbugila kabisa
Kajifunze kuandika kwanza ndo uje hapa ukosoe!
ww una muonekano gan kwenye jamii? yaan inakutambuaje, umefanya nn?🤣😅
Kajifunze kuandika then urudi
🎉