MJADALA KUHUSU PAULO ULIONYESHWA LOLWE TV,KUTANA NA ASKOFU GERISON NA BISHOP GICHUHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • DA-WAA NA USTADH YUSUF WAMBUGU,SHEKH YAHYA ISSA NA USTADH SULEIMAN MANZINGE

КОМЕНТАРІ • 168

  • @abdulmajid6033
    @abdulmajid6033 5 років тому +6

    MashAllah mjadala mkali kweli hawawezi hao wakristo..hakuna dini ukristo,proud to be a Muslim

  • @linetkikin4023
    @linetkikin4023 6 років тому +8

    Masha Allah mashekh nimepata elimu kweli nanimefurahi sana kwa wachugaji kutupa ukweli wao Allah Awaogoze

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 5 років тому +3

    Mashallah mashekh wetu muko vzuri nmefrai sana kuwajibia dini zabiashara na maslaih zao wasio. Fata dini ya hakkh al ISLAMIC al over worlds

  • @ramadhanimsita5356
    @ramadhanimsita5356 4 роки тому +5

    Mazinge anajua sana kuchambua biblia saluut kaka

  • @muliamadi859
    @muliamadi859 5 років тому +5

    Mwenyezi mungu awazidishie nguvu ma sheikh wetu

  • @jashisham6280
    @jashisham6280 6 років тому +5

    Assalam Aleikum warahmatullah wabarakatu Masha Allah hii mijadala ni mizuri sana Sheikh Yusuf na Sheikh Suleiman nawa penda sana kwa ajili ya Allah swt na Mtume Swala llahu alayhi wasalam

  • @swalehshaaruq8500
    @swalehshaaruq8500 5 років тому +3

    Kazi nzur Allah awabariki tunawaelewa sana waislam kwa sababu mnaogea kwa maandiko hamkurupuki mnajiamin.

  • @mariamhussein6086
    @mariamhussein6086 4 роки тому +3

    Maashaallah. Nmecheka sana Allah awaongoze Bishop na Doctor

  • @hawaabubakar2619
    @hawaabubakar2619 6 років тому +2

    Swadakta masheikh Nawapenda kwajili Allah....Allah Awazidishiye Utajiri Wa Afya long life

  • @ramadhanisalum3548
    @ramadhanisalum3548 Рік тому +1

    Mashaalaah masheikh wetu

  • @abdillahmbarak7418
    @abdillahmbarak7418 3 роки тому +1

    Mashaallah mashaallah masheikh wamekuelewa sheikh wetu mazinge

  • @adanwoshe8828
    @adanwoshe8828 3 роки тому +1

    MashaAllah! Our educated sheikhs,,U are doing a great dawa

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 6 років тому +3

    MCHUNGAJI porojo tupu...!...Maandiko hayasimami kwenye Imani yake...!
    IN SHAA ALLAH KHEIR Masheikh wetu..!

  • @azizylatif9335
    @azizylatif9335 5 років тому +6

    Mashallah kusema kweli minafunza wengi sana hata Sisi waislamu pia tunapata faisal kubwa sababu hzi video pia tunazisambaza kwa wengi ndio dini ijulikane

  • @saraahmed6413
    @saraahmed6413 5 років тому +10

    Mazinge ww ni kidume cha Allah. Ukweli kabisa Paulo ni tapeli

  • @mstafahassan3989
    @mstafahassan3989 6 років тому +6

    suleiman hua nakupenda sana ndugu yangu tz 2018.16.9

  • @abdullahiaden6354
    @abdullahiaden6354 3 роки тому +1

    MashaAllah masheikh wetu mnfanya kazi nzuri kabisa hii duniyani. Allah inshaAllah atawalipa bila hesabu

  • @mstafahassan3989
    @mstafahassan3989 6 років тому +3

    suleiman mungu awape maisha marefu

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 років тому +1

    Sukran sana ust mazige manake umezungumuza point mpaka mtumishi odare ameingia laini

  • @mohamednassor1891
    @mohamednassor1891 3 роки тому +1

    Tunawapata vyema masheikh wetu kutoka tanzania na tunawapenda sana mnafanya kazi kubwa kazi ya Allah mwenyezi mungu awafanyie wepesi kwenye shughuli zenu. Ama kweli msomi duniani ni muislam pekeake mwenye macho haambiwi ona mwenye maskio haambiei skia uislam upo straight forward hakuna kupindisha maneno wala kuweka mawazo ya mtu

  • @azizamini3226
    @azizamini3226 6 років тому +1

    Mashaallah..Sheikh nawaombeni huu madhali uendelee utawatoa Wakristo wengi ktk kiza kizoto wanachopotezwa na Maaskofu wao...Ajanta profs Garson

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 років тому +1

    Masha Allah mjadala mzuri, polepole tu watajua n ipi dini ya kweli, Allah awaongoze masheikh wetu

  • @knifensharper2725
    @knifensharper2725 4 роки тому +2

    Maashaallah

  • @mariamum350
    @mariamum350 6 років тому +1

    Mashallah jazaka Allah kheir kwa kazi nzuri sheikh

  • @salamomohammed3793
    @salamomohammed3793 5 років тому +1

    mashallah congratulation sheikh kwa kufundisha imani ya kiislam

  • @happysalim4120
    @happysalim4120 3 роки тому +1

    Nimempenda sana Dr Gerisho Odare ni muelewa na ni mkweli sana . Hiv bado hajakua muislam dr gerisho ?

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 6 років тому +3

    mashaalah hiyo nzur xna tunaelimika

  • @soccertv293
    @soccertv293 6 років тому +2

    nimefurah sana ndg zangu pale watu wa dini tofauti wanakaa wanajadili nakufurah

  • @zubeirxudheyfa2810
    @zubeirxudheyfa2810 4 роки тому +1

    Maa shaa Allah sheikh mazinge mungu akubariki

  • @hanifaharet3739
    @hanifaharet3739 6 років тому +5

    uislam ni dini ya haki isiyokua na mashaka,,wachungaji tokeni huko kwenye ujambazi wa imani kujeni kwenye imani ya kweli

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  6 років тому +1

      Hanifa haret ushaa sema ,sisemi kitu mie

    • @salmatz1tz731
      @salmatz1tz731 5 років тому +1

      mtumishi yesu aliwaambia wanafunz wak nendeni kila nyumba mtangaze injili pale mtakapo ingia wakikataa kunguteni mavumbi muondoke kwahio kama hawakwelewi waache

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 Рік тому +1

    Umechambua vzr shekh

  • @siwajibufarida3428
    @siwajibufarida3428 6 років тому +2

    Elimu nzuri Sana kwa wakirsto

  • @planetshow3747
    @planetshow3747 6 років тому +3

    elimu nzuri

  • @zulficarbacarsuale6877
    @zulficarbacarsuale6877 4 роки тому +1

    Ao wachungaji wanajua ukueli ispokua wapo kuenye biashara tu. Wanazani wakifuata wkueli allah atawanyima rizki.

  • @naimamwambe8083
    @naimamwambe8083 3 роки тому +1

    SubhannaAllah namuombea dua huyu Gelson aingie uislam kwani yupo karibu na uislam na hana ubishi6sana kama huyu mwingine comedian, M'mungu atuongoe tujue njia ya haki na tuifuate kwa rehma zake.

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 років тому +1

    Sita choka kusikiliza mjadala kati ya shekhe yahya na gerison mwenyezi mungu awape afya Ameen

  • @hamismatindiko3772
    @hamismatindiko3772 4 роки тому +2

    Mazinge zote za Tanzania na Kenya ni hatariiii Allah azidi kuwapa afya tele

  • @mtimazainabu4322
    @mtimazainabu4322 5 років тому +2

    Mjadala mzuri sana siachi kucheka nikimsikiliza uyu mchungaji bishop ananikata mbavu sana ila pia ni muelewa na anaonekana kutaka kujua more..Gerisson anaonekana mjuzi sana wa bible na hanaga uongo anasimamia anachokielewa si mtu mnafiq Wote hawa Allah awaongoze katika njia iliyonyooka ambayo ni uislam with no doubt.

  • @i.dclassic116
    @i.dclassic116 5 років тому +2

    nimejifunza kitu sana ndugu yangu

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 6 років тому +6

    muiteni mazinge kila mara kwenye mdahalo

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 3 роки тому +1

    Bishop aerewi swari

  • @manallove1
    @manallove1 5 років тому

    Subhan'Allah this guy Masha'Allah

  • @mohammadalfani8004
    @mohammadalfani8004 3 роки тому +1

    Ukweli munawapa... MashaAllah

  • @hemedijuma4099
    @hemedijuma4099 4 роки тому +1

    Maashaallaah

  • @nasramusaro
    @nasramusaro Рік тому +1

    Kwa kweli mchungaji kachanganyikiwa

  • @hassanhabibu635
    @hassanhabibu635 6 років тому +4

    😀😀😉 pastor anajibu kisela tu.
    Hakuna maandiko

  • @kassimukuambiana3724
    @kassimukuambiana3724 5 років тому +1

    Manshallh ao ukweli wanaujuwa ispokuwa wapo kimaslai ukristo ni Biashara2

  • @shafiimpilika41
    @shafiimpilika41 4 роки тому +1

    Allah awasamehe

  • @abdishakurabdigaza7570
    @abdishakurabdigaza7570 5 років тому +2

    Uyo bishop anawaga kichwa ngumu mpaka anaongeleshwa kisapere takbiir allahu akbar

  • @petermakori1952
    @petermakori1952 5 років тому +2

    Mazinge hapo umegonga ndipo hao makafiri hawaelewi ata biblia yao paulo ni mtume wa shetani ushahidi 2corinthians 12:7 2timothy 1:18-25

  • @malicboy7973
    @malicboy7973 4 роки тому +3

    hahahahah,, gerison asema wacha wanangane, Allah awape hekama in sha Allah.

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 5 років тому +2

    Gerrison wapashe ndugu zako Naona Karibuni tutakuita abubakar

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 5 років тому +3

    Gerrison matusi mengi lakini uthibitisho hakuna sheikh mazinge ametoa aya na Maelezo vizuri lakini wakristo wakijua umewabana wanabadilisha majina mara yesu si issa mara God sio Allah mara hivi mara vile lakini hoja iko pale pale..
    Paulo alikuwa mrumi hakuwa myahudi ndiye aliyemchukua Petro akampeleka Italy alipokufa akazikwa Vatican. Kanisa lile laitwa saint Peters square church sio saint Jesus.

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 5 років тому +1

    Al islam dinul haq

  • @saidmunye8626
    @saidmunye8626 6 років тому +5

    ukiristo ni biashara mm rafikiyangu alikuwa mtaliano aka niambia ss dini yetu ni kazi to hatuna diini

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 3 роки тому +1

    Al AQ Yusuf, Afwan.... Lini hili kipindi kitakua Live?

    • @chiefmkalikibz1503
      @chiefmkalikibz1503 3 роки тому

      Hujanijibu swali langu Bro...... OK "ILE SIKU MUTAKUA LIVE KWA TV, PLEASE NIULISHA(0711257683)

  • @fakiswalehe9785
    @fakiswalehe9785 6 років тому +4

    Mwalimu haki hii combination ya wewe na mazinge Suleiman ni kali mno

  • @faridsaid9180
    @faridsaid9180 6 років тому +3

    Mjadala mzuri kwa mafunzo kwa njia ya amani

  • @ibrahimetale9999
    @ibrahimetale9999 Рік тому +1

    😅😅😅 myahudi akianza kuongea river saikka spembleh bedo umbwedede😅😅😅

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 3 роки тому

    Mk ate

  • @teamak4515
    @teamak4515 4 роки тому +1

    Sasa hawa wachungaji Ata hawaeleweki vichwa vigumu kweli musilimuni bwana hapo mazinge Ashawaekea wazi Akili yeenu nyinyi wachungaji nimbovu kweli Aky humuna Diini munaona na Diini ya haki bwele ya mweyezi mungu ni uislamu munaona wazi

  • @planetshow3747
    @planetshow3747 6 років тому +2

    huyo pastor hana point

  • @shukurkimat2940
    @shukurkimat2940 5 років тому +1

    Petro; 2:15-17 mnapaswa kuona uvumilivu wa bwana kuwa ninafasi mliyopewa kama paulo nduguyetu alivowaadikia akitumia hekima ya Mungu 16hayo ndiyo asemayo katika baruwazake zote anapozungumzia suala hilo yapo mambokathaa katika baruwa zake yaliyo magumu kuyaelewa mambo ambayo wajinga nawasiyo na msimamo huyapotosha kama wanavopotosha sehemunyingine zamaandiko matakatifu hivo wanasababisha maangamizi yao wenyewe lakini nyinyi nduguzangu mmeshakwishajuwa jambo basi muwe na tahathari msije mkapotoshwa na waasi mkaanguka katika msimamo wenu imara.

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 Рік тому +1

    Sheikh yahya yuko wapi? Tume mkosa siku nyingi

  • @nasramusaro
    @nasramusaro Рік тому +1

    Jaman mfia maji haachi kutapatapa mchungaji anahaingaika na maandiko hayaleti maana

  • @mirajisalehe6295
    @mirajisalehe6295 5 років тому

    Geshoe umnyenyevu Sana ubarikiwe Sana. Paulo ni Jina sahihi .sauli au Shauli ilikuwa kabla hajamwamini masihi.kanisa ni sahihi yaani kusanyiko .neno wakiristo au wamasiya ni maneno yalio sawa yanamaanisha wafuasi wa kiristo ,au wa masihi. Watafsiri wamejitahidi .tusiwadharau.tena imeandikwa mtu yeyote atakayewanywesha ngaa kikombe cha maji KWA KUWA NINYI NI WATU WA KIRISTO HATAKOSA SAWABU YAKE.
    Hivyo ,ukisema wakiristo ,ni sawa, ni kama mtu anayesema mkenya au Wakenya. mtanzania au watazania .sisi wakiristo au wamasiya asili yetu ni KIRISTO au masihi .ni sawa na kusema, mtanzania.mtanzania Asili yake niTanzania. Tena imeandikwa tukimtazama Yesu mwenye kuanzisha na mwenye kuitimiliza imani yetu. tunaona mwenye kuanzisha imani yetu ni Yesu. Ila mtume paulo alitekeleza tu agizo la KIRISTO lisemalo enendeni mkayafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu mkiwabatiza katika jina la baba na la mwana na la Roho Mtakatifu.Mtume Paulo si mtume kwa waisilamu Bali ni mtume kwetu sisi watu wa kiristo aliyemtuma.Amina

    • @joselinefesto433
      @joselinefesto433 5 років тому

      Omukama yesu asimwe Mt) kiahya ubarikiwe mpendwa umejibu vizuri kwetu ni mtume by Mt f k tanzania

  • @yaccin774
    @yaccin774 4 роки тому

    ma Sheikh mmetishaa😂😂😂😂😂✊✊✊

  • @hassanhabibu635
    @hassanhabibu635 6 років тому +1

    🤔

  • @khadija9927
    @khadija9927 5 років тому +1

    Ma Shaa Allah

  • @jumjumsaid3552
    @jumjumsaid3552 6 років тому +1

    Iko tamu ii kipindi

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 роки тому +1

    Garison huna msimamo banaaa huyo anataka potosha watu lapili mshikan ndo masai sasa kwake ama huyo muyahudi wa sinagogi la shantan

  • @SB_OTHMAN
    @SB_OTHMAN 3 роки тому +1

    uki wasikia awa wa jama ndo Uta juwa Kama uislam ndo dini ya Kweli

  • @salimakidah4322
    @salimakidah4322 6 років тому +2

    Saut ipochini mashehe

  • @kombojuma7835
    @kombojuma7835 5 років тому +1

    msiongee kilugha Ongeeni kiswahili ambapo wengi tunaelewa

  • @bakarikalama6099
    @bakarikalama6099 6 років тому +2

    Hawa wachungaji hawaelewani

  • @siwajibufarida3428
    @siwajibufarida3428 6 років тому +1

    Mchungaji hana point

  • @djateatehkandarafynest3439
    @djateatehkandarafynest3439 2 роки тому +1

    Kutetea ukiristo ni kama kubeba ngunia ya misumari na kichwa na saa hio umenyoa kipara

  • @fridaus78abdllah39
    @fridaus78abdllah39 6 років тому +1

    Andiko mwerania

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 3 роки тому +1

    Wazee mnasiku chache zakuishi silimuni ili msalimke

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 4 роки тому

    @sheikh Yahya daawa please mlete tena sheikh Mazinge kwa maada mbalimbali nimegundua hapo amebanwa mno wakati ana mengi sana ya kutufunza! Hao wenzetu ni shida tuu wanaelewa ila wanaogopa wataanzaje sasa kuambia watu wao waliokwisha amini mauongo yao!

  • @nzakashabani3945
    @nzakashabani3945 4 роки тому +1

    Nataka nione tasha apa ili ajibu kwa sababu kwenye miadhara urongo mwingi na kuruka ruka

  • @Millidady
    @Millidady 4 роки тому

    Kama tanzania wamezui hii mijadala (kama) sina hakika basi mje mmuombe rais wetu wasasa ni muelewa atawafungulia natumaini . Tafadhali

  • @jumjumsaid3552
    @jumjumsaid3552 6 років тому +2

    Wanatumia kitabu kimoja na wanapingana, baada ya kupinga bibilia wana pinga mazinge

  • @yassinmohamed8241
    @yassinmohamed8241 4 роки тому +1

    Bishop anatishaa anaamini lakini chakula

  • @issamatula9818
    @issamatula9818 5 років тому +1

    Huyu Pasta hamna kitu kbs

  • @zaituniashki1894
    @zaituniashki1894 6 років тому +1

    Sheikh yusuf msalimie sheikh yahya...na lini mtakuja isiolo?

  • @azizylatif9335
    @azizylatif9335 5 років тому +1

    Nasubiri video nyengine hapa kutoka Dubai kamakazi Kenya ndio nilipo zaliwa

  • @hanifaali9526
    @hanifaali9526 6 років тому +1

    Hawa wachungaji wanaruka tu, Paulo ndie alianzisha ukristo.

  • @jumjumsaid3552
    @jumjumsaid3552 6 років тому +2

    Andiko likiwagusa wanasema n fake hawa watu hawana dini wamesema wenyewe watuambie dini yao n gani

  • @lileoh3893
    @lileoh3893 3 роки тому +1

    Wemchungaji. MiTume huchaguliwa namungu mtume achague mtume tena wewe mchungaji umejifunika blangeti gani adi ushindwe kufikili

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Рік тому +1

    Akili zilovurugika ni zako mchungaji 😅😅

  • @kassongokittapa7762
    @kassongokittapa7762 3 місяці тому

    Assalaam Alaykum. Sheikh unakosea unaposema Quran imesema Biblia pia ni kitabu cha Waislam, SI. KWELI. Vitabu vya Waislamu ni Taurat, Zaburi, Injili na Quran. Hivyo vitabu havimo kwenye Biblia, bali kuna baadhi ya nukuu zilizopatikana kutoka kwenye hivyo vitabu na porojo zingine

  • @isareje8579
    @isareje8579 4 роки тому +1

    Naja UTAELEWA TU

  • @زينبالحبسي-ذ9ذ
    @زينبالحبسي-ذ9ذ 6 років тому +1

    zainabu iddy mablukini.mkovizuri😂😂

  • @salimakidah4322
    @salimakidah4322 6 років тому +1

    Shehe tunaomba mtoe CD

  • @muhsinsalum2305
    @muhsinsalum2305 4 роки тому +1

    Mkiristo unamuogopa MYAHUDI 😁😁😁

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому +1

    Haha

  • @mohamedissack8053
    @mohamedissack8053 5 років тому +1

    Kkkkkkkk wamalizane wenyewe

  • @alidanger5663
    @alidanger5663 6 років тому +1

    Kkkkk

  • @sevenscounty409
    @sevenscounty409 4 роки тому +1

    Someone tell this gerrisson Jesus spoke aramaic and not hebrew