SHAFI SHOMAR...KWANINI TULIUMBWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 180

  • @rizikirihani7903
    @rizikirihani7903 Рік тому +1

    Mwenyenzi Mungu atujalie mwishomwema lnshallah😢😢😢

  • @kivoshauri3158
    @kivoshauri3158 6 років тому +10

    mashaallah shekh shafii shomari kiukweli napenda sana maiza yako m/mungu akupe umli mlefu shekhe wangu

  • @hasnaram4044
    @hasnaram4044 5 років тому +7

    Mungu atuepushe tanzania na hili balaa la kuoana wanaume kwa wanaume ya rabby llah meen

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 6 років тому +13

    Swadakta ujumbe umefika sukran mwenyezi mungu akupe afya inshallah

  • @stephenmwaniki2803
    @stephenmwaniki2803 6 місяців тому

    Mimi si mislamu ila huwa nina mkumbali sana ustadhi shafhi yani mawaidha yake huwa niya kiwango kingine sha hali ya juu mno,much love from 254👍👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bizzosela6186
    @bizzosela6186 4 роки тому +5

    😭😭😭 mungu atupe mwisho mwema insha allah

  • @rooneyonserio8534
    @rooneyonserio8534 6 років тому +11

    Allah akulipe kila LA kheri in sha Allah

  • @Basiito
    @Basiito 5 років тому +16

    "Ummah Wenyewe Ndo Mimi Na Wewe" 0.56
    Subhanallah! These Words Hit Me So Hard! I'll Will Work Hard To Be Better Muslim! 🙏💯😭

  • @salumothman7548
    @salumothman7548 8 років тому +15

    sheikh Shafi Allah akulipe kila LA kheri inshaallah

  • @shufaaally4604
    @shufaaally4604 6 років тому +2

    Allah akulinde sheikh wetu shafii inshaallah tunakuhitaji Sana uwepo wako ni mwanga kwetu sheikh

  • @rashidiababoss250
    @rashidiababoss250 4 роки тому +15

    Ya Allah tupe mwisho mwema sisi waja wako 🤲🤲

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 6 років тому +4

    Swadakta ustadh shafi wallah hotuba zako zajenga taqwa katika nyoyo za waumini

  • @aliliban8924
    @aliliban8924 5 років тому +3

    Jazakalah sheikh shafi Allah akujalie kila la kheiri hpa duniani na kesho akhera

  • @ummuabdillahisaumsalim8948
    @ummuabdillahisaumsalim8948 9 років тому +6

    shukran sheikh Shaffi hakika mfano huu ni wakuigizwa,,, Allah atujalie husnil haatima

  • @mkaliwaoubayambegu9645
    @mkaliwaoubayambegu9645 6 років тому +5

    Insha allah allah akujalie uhai na afya shekhe shafi ili ifike siku uje tena songea

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 5 років тому +4

    Allah Akupandishe daraja katika madaraja ya peponi,Sheikh Shafi,Amiin.

  • @mohamedkikale7241
    @mohamedkikale7241 6 років тому +7

    Aman ya allah iwe nawe daima! maalm shafii, kwa ukumbusho ulio bora sana

  • @shukraninapatachakurachana8407
    @shukraninapatachakurachana8407 8 років тому +21

    mashaallha imani inajengeka

  • @ahmedhamisi328
    @ahmedhamisi328 3 роки тому

    Masha Allah shekh shafi mungu akuzishie Ili utupe nasaa

  • @sumalago864
    @sumalago864 8 років тому +6

    ALLAHU AKBAR....ALLAH atuzidishie moyo wa Ibada..!!...Maneno Mazito sana..!!

  • @vchchhd5754
    @vchchhd5754 9 років тому +14

    mashaallah i like ur speech maalim shafi tabaraka llahu rahma

  • @rukiaahmad85
    @rukiaahmad85 8 років тому +13

    Mashaallah allah atakulipa khery

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 6 років тому +2

    MashaAllah Allah akuzidishie kila KHERI katika maish yako.. Shukulan

  • @mariammdoe8045
    @mariammdoe8045 5 років тому +1

    Subhanallah allah atuongoze na allah akulipe kheri sheikh wetyu

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 років тому +1

    jazzakaAllah kheri Allah akuzidishie.manufaha in shaa Allah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🌹♥️

  • @shabanjuma9579
    @shabanjuma9579 6 років тому +14

    Mungu akupe umri mrefu uzidi kutupa mawaidha mashAllah

  • @selemanteketeke6911
    @selemanteketeke6911 6 років тому +3

    Maashaallah! Ningekuwa na bint yangu mkubwa ningekuozesha wewe sheikh shafii nakukubali sana kk

  • @alimohammed6868
    @alimohammed6868 6 років тому +1

    Masha Allah 🤲 sheikh Allah akujaze kheir

  • @abdallahissa2617
    @abdallahissa2617 3 роки тому

    Manshaallah Allah akupe umr mref inshaallaha

  • @rororukeiyakeepitupyashekh7420
    @rororukeiyakeepitupyashekh7420 8 років тому +2

    asante sana akasha dawah kwa kuweka mawaidha haya ina huzunisha kwa kweli uma wakislam hatu sali

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 6 років тому +1

    Allah akupe umri mrefu uzidi kuufundisha umma

  • @abu-hanifamwenda236
    @abu-hanifamwenda236 5 років тому

    In Shaa Allah! Allah atunufaishe na ukumbusho wa sheikh wetu.

  • @seifhassan7652
    @seifhassan7652 5 років тому +1

    mashaallah!!...Mungu akulipe

  • @abdallahissa2617
    @abdallahissa2617 4 роки тому +2

    Manshaallah shekh wang nimejifunza kitu kupitia darasa la leo inshaallah Allah akulipe kila la kheriii.

  • @maryamsinganomaryamsingano7938
    @maryamsinganomaryamsingano7938 7 років тому +2

    masha allah mawaidha mazuri shukrani sana

  • @asankwasimulizzur0006
    @asankwasimulizzur0006 6 років тому +1

    Mashala mugu akupe umuri murefu

  • @khalfanhamisi4218
    @khalfanhamisi4218 6 років тому +2

    Aslmalkm ndungu Waislam !? Hey ndngu Waislam haya maneno kwa ukweli mazito,na kwa utazamo wa ndani yagusa moyo,Inshaallah Allah hatuepushie hadhaba za mahali hapo,Allah Akbar, Allah Akbar, Allahu Akbar!!?

  • @asilclub
    @asilclub 3 роки тому

    الشيخ شافي جزاك الله خيرا وفي ميزان حسناتك

  • @sarahabdulatif7391
    @sarahabdulatif7391 5 років тому +1

    Hayo mawaidha ndani yauwisilamu ukiswali usiswali nibure mana ibada zandani yauwisilamu mmeahidiwa pepo napepo nishetani mungu wambinguni hana pepo amkeni mnaangamia mnamuabudu mungu pepo ambae shetani bila kujuwa

    • @brianchristian7535
      @brianchristian7535 5 років тому

      Ahsante

    • @allyawadh8492
      @allyawadh8492 4 роки тому +1

      Kwahiyo unataka kutuambia tuwe wakristo ambao ndani ya majumba yao ya ibada kuna masanamu?dini ambayo viongani wao wanauwezo wakusamehe dhambi?unatuambia baada ya kumuabudu mungu wa kweli tumuabudu kiumbe ambae ni yesu?yaani wewe mikristo na wenzako hiyo dini yenu ni dini ya shetani lkn kwasbb elimu yenu yakumjua mungu ni ndogo.

  • @joanyjob4876
    @joanyjob4876 6 років тому

    Allah akuzidishie sheikh wetu Amn

  • @ganettsofa7015
    @ganettsofa7015 6 років тому

    Mashaa ALLAAH ,ALLAHU AKBARU, MUNGU alulipe kheyri dunia wa kheira inshaa ALLAAH

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 6 років тому +7

    Kila siku nayarudia haya mawaidha jmn huzuni sana moyoni 😢😢😢😢

  • @rilkabuya6519
    @rilkabuya6519 4 роки тому

    Mungu tupe mwisho mwema yaa rabbi

  • @selemanimakale2808
    @selemanimakale2808 4 роки тому

    😭😭😭,mungu atufanye kuwa na mwisho mwema.

  • @REHEMAMUYAMUYAREHEMA
    @REHEMAMUYAMUYAREHEMA 3 місяці тому

    MashaAllh 🎉🎉❤❤

  • @laythatsuleiman7184
    @laythatsuleiman7184 4 роки тому

    Mungu ana kaz nzito Sana
    Maana Ina majaribu na mitihani ya kila Sina
    Allah tufanyie wepes waja wako😭😭😭

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 4 роки тому

    Mashallah nimejifunza kitu katika haya mawaitha

  • @hhlkll9160
    @hhlkll9160 2 роки тому

    Lailah ilallah Muhammad rasull Allah

  • @shaibhasan4123
    @shaibhasan4123 3 роки тому +1

    Anajua San huy

  • @fatumaabdhul8620
    @fatumaabdhul8620 4 роки тому

    Mashallah Allah akupee umrii mrefu uzid tupaa dawa

  • @nzitondaradjabu4245
    @nzitondaradjabu4245 4 роки тому

    Allah kuzindie uhai sheikh

  • @rubenmegiro303
    @rubenmegiro303 5 років тому

    mashalaaa munguu akujaliee naombanamnasakoo kunajambonaombakukulisaa

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 3 роки тому

    SubhanaAllah!

  • @idamovicvuay26
    @idamovicvuay26 9 років тому +8

    Mashaa Allaah

  • @elizabethfares4650
    @elizabethfares4650 6 років тому

    Mashallah mungu akubaliki Sana Tena zaidi ya Sana

  • @azizamikindo423
    @azizamikindo423 3 роки тому

    Ya rabi tupe mwisho mwema

  • @katundakiliza5894
    @katundakiliza5894 6 років тому +1

    subhanallah daah

  • @HassanMohamed-lg8gl
    @HassanMohamed-lg8gl 9 років тому +4

    Allah! amlipe mema

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 2 роки тому

    SubhanaAllah

  • @mwajumawaziri9141
    @mwajumawaziri9141 3 роки тому

    Ya Allah tujaalie mwisho mwema

  • @rodgezshakoor4957
    @rodgezshakoor4957 3 роки тому +1

    Allah Hafidh(Mashallah)

  • @khairatyamon4788
    @khairatyamon4788 6 років тому

    Sheikh shafii Allah akulipe kila LA kheri

  • @laythatoman3945
    @laythatoman3945 7 років тому +3

    Jazakallahulkhair imamuu shafiii mungu akubariki

  • @omarkiraunl366
    @omarkiraunl366 5 років тому +1

    Mungu jalia kizazi chetu kiwe chema

  • @shishshikoh4979
    @shishshikoh4979 5 років тому +1

    Yesu awaokoe nyinyi waislam maana yeye tu ndiye anaweza okoa...ataja kuhukumu ulimwengu ..na Allah ataingiza unyayo wake jehanam na atachomwa pamoja na shetani anayewapuliza matako mnaposali..Njooni kwa Yesu bado anawapenda.. anawaita kwa sauti ya upole...njooni kwake aliye hai..

    • @musaramadhani9884
      @musaramadhani9884 4 роки тому

      Wewe wanjiku wanjiku bila shaka wewe unalaana na mwenyezi mungu akunusulu

    • @mosimba8972
      @mosimba8972 4 роки тому

      Wanjiku utakua unatoka mkoa flani wasio na dini Fala wewe

    • @omarykapata8628
      @omarykapata8628 4 роки тому

      Pu

  • @zulfasuleiman2943
    @zulfasuleiman2943 6 років тому +2

    Jazzakallahu kher

  • @sadaramadhan4208
    @sadaramadhan4208 5 років тому

    Amina mwenyenzi mungu azidi kukuongoza

  • @umiabdirizak5117
    @umiabdirizak5117 6 років тому +1

    jazakalahu keyri imam shaffi

  • @talhiaibrahim1138
    @talhiaibrahim1138 4 роки тому

    Allah akulipe sheikh shafii mashallah

  • @mwanaishanassor377
    @mwanaishanassor377 8 років тому +3

    JAZAQALLAH KHEYR

  • @munaseif9769
    @munaseif9769 7 років тому +1

    daaaa inshaallah imamu shafii

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 5 років тому

    TAKBIRY ALLAHU AKIBARU ALLA TUJAALIYE MWISHO MWEMA YAA RABBI

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 4 роки тому +2

    masha Allah

  • @asankwasimulizzur0006
    @asankwasimulizzur0006 6 років тому +1

    Mugu awape umuri murifu mashehe. Wete duniani

  • @kulthumahmed5162
    @kulthumahmed5162 2 місяці тому

    Yarabb khusnil khatima

  • @jalijsalum9419
    @jalijsalum9419 4 роки тому +1

    Dawa tamu na imenyooka

  • @twenyesalim1005
    @twenyesalim1005 7 років тому +8

    JAZAQ ALLAH KHEIR

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 років тому +1

    Allahuakbar

  • @manofreality3656
    @manofreality3656 8 років тому +20

    Duuuh haya mawaidha yatia kisunzi... usiposwali mtu utakua umtu wa aina gani sijui

  • @shauziaamne5
    @shauziaamne5 4 роки тому

    Allah akubariki.maneno kuntu kabisa

  • @daimasunday1285
    @daimasunday1285 4 роки тому

    Allahu Akbar jazaKallahu kheir

  • @aseelaaseela4913
    @aseelaaseela4913 5 років тому +1

    Jazaq llah khaiyrah 🙏

  • @issarashiyd6273
    @issarashiyd6273 3 роки тому +1

    Allaha akulipe sheh

  • @kuchiafricancinema
    @kuchiafricancinema 4 роки тому +1

    Leo maashekhe wa bakwata wa nakubali kuchangiwa pesa na wakristo kujenga msikiti

    • @omarykapata8628
      @omarykapata8628 4 роки тому

      Yani mashehe wa bakwata sijui wanakwama wapi

  • @ustadhsalimonlinetv.1807
    @ustadhsalimonlinetv.1807 3 роки тому

    Imam shafii nisaidie namba yako ya voda nichangie daawahabgalauna mimi Allah anihurumie kwa kukusupport

  • @tameemashaa5234
    @tameemashaa5234 5 років тому +1

    Jazakallahu kheir

  • @ummysalumu6606
    @ummysalumu6606 4 роки тому

    Ya Allah tunusuru waja wako sis si lolote wala si chochote mbele yako yarabby tupe mwisho mwema

  • @rickyruandez3602
    @rickyruandez3602 7 років тому +2

    jazaq Allah

  • @swalehechan2630
    @swalehechan2630 7 років тому +1

    nimekuelewa shkh

  • @ramadhanichilumba3610
    @ramadhanichilumba3610 7 років тому +1

    Imam shafiii

  • @hassanijafari7147
    @hassanijafari7147 5 років тому +1

    Kila la kheiri

  • @failehassani9201
    @failehassani9201 7 років тому +1

    Allahu Akbar

  • @silentboy7241
    @silentboy7241 2 роки тому

    Mashallah

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 3 роки тому

    Yaarabi tupe mwisho mwema

  • @leodavid5714
    @leodavid5714 7 років тому +2

    Mashaallah Mashaallah Mashaallah

    • @leodavid5714
      @leodavid5714 7 років тому +1

      Allahu tujalie mwisho mwema inshallah Allahu Akbar

    • @richardmhina1908
      @richardmhina1908 6 років тому

      Allah akulinde uwendee kupa daawa

  • @seifsinani649
    @seifsinani649 9 місяців тому

    Mashaallah

  • @saidali2553
    @saidali2553 5 років тому

    Mashallah sheikh

  • @zubermakono3557
    @zubermakono3557 6 років тому

    allah akujalie mwisho mwema

  • @jumakigazi1757
    @jumakigazi1757 6 років тому +1

    mashalla shafi

  • @jumannekessy5346
    @jumannekessy5346 4 роки тому

    Huwa sichoki kuyasikiliza haya mawaidha , hapiti wiki sijasikiliza hii video au audio yake, Allah akupe umri mrefu Sheikhe