Shukran shekh kwa fat'ua.. lakini hapo Ni pagumu mno Tena zaidi ya Sana. hapo Alie potea ataka mkewe na alioa hataki na mkewe na mke nae atamtaka yupi?... kwa mwanamke alio olewa na mpaka akazaa kwa sababu ya aliekua mumewe kupotea mazingira tatanishi...sikweli Kama yule mke atarudi kwa mume wa kwanza na hata laiti atakapoulizwa na kadhi wamtaka yupi lazima kigugumizi ama azimie badala kutoa jibu ama lasihivyo atamkubali yule Alie nae kwa Sasa mahaba mapya Ni zaidi ya kichaa...na endapo atamkataa yule wa ndoa ya Sasa Basi itakua mume Alie nae nimkorofi zaidi mno juu yake....ustadhi naongea kwa experience Hawa wanao safiri tu ndoa nyingi uvunjika lakini Mara nyingi wanawake akimpata MTU mpya ama mpango wa kando azini nae kwa miezi sita tu umzowea umsahau Alie kua nae zamani na ndoa uyumba mno....na hata hivyo hivyo wengi wanao timiza mathna unogewa na nyumba mpya/ ndogo Ile nyumba kuu kuu utetereka atimae kuvunjika kabsaa... Shekhe wangu tatizo Hilo yule aliepotea Kisha akarudi mpaka aseme potelea mbali bila hivyo hapo patachimbika na bakora kwa juu atimae kuumizana....
Shukran sheykh,nimefaidika kwa sababu imenitokea hivo hivo,lakini mume wangu alikua msafiri,,,na nimebaki na mume wa pili,cjui zaidi
Assalamou anlaykum warahmatu llaahi tanla wabarakatuh sheikh asante sana jazaka llaahu kheri
Mashaallah nimepata ilmu zaidi Leo, shukran
Shukran shekh kwa fat'ua.. lakini hapo Ni pagumu mno Tena zaidi ya Sana. hapo Alie potea ataka mkewe na alioa hataki na mkewe na mke nae atamtaka yupi?... kwa mwanamke alio olewa na mpaka akazaa kwa sababu ya aliekua mumewe kupotea mazingira tatanishi...sikweli Kama yule mke atarudi kwa mume wa kwanza na hata laiti atakapoulizwa na kadhi wamtaka yupi lazima kigugumizi ama azimie badala kutoa jibu ama lasihivyo atamkubali yule Alie nae kwa Sasa mahaba mapya Ni zaidi ya kichaa...na endapo atamkataa yule wa ndoa ya Sasa Basi itakua mume Alie nae nimkorofi zaidi mno juu yake....ustadhi naongea kwa experience Hawa wanao safiri tu ndoa nyingi uvunjika lakini Mara nyingi wanawake akimpata MTU mpya ama mpango wa kando azini nae kwa miezi sita tu umzowea umsahau Alie kua nae zamani na ndoa uyumba mno....na hata hivyo hivyo wengi wanao timiza mathna unogewa na nyumba mpya/ ndogo Ile nyumba kuu kuu utetereka atimae kuvunjika kabsaa... Shekhe wangu tatizo Hilo yule aliepotea Kisha akarudi mpaka aseme potelea mbali bila hivyo hapo patachimbika na bakora kwa juu atimae kuumizana....
Asalaam aleykum sheikh izudin Aliwh
Asaalam aleikum,hukmu ya mume asiyemfanyia haki mkewe yaani kutegemea upande mmoja ikiwa ana wake wawili.
Aslm alkm wtw... Imeeleweka masha Allah!!! Tulikua gizani. Shukran sanaaa Sheikh.
Aslm allykum mashaallah tumetoka uwingani kwa mingi tulokua hatuyayui shukran mungu Akujazi kheyri Akuzidishie kwa ilimu yako
MASHA ALLAH ALEIK
Haahahaaaa🤣🤣ngoja nikumalizie kabsaa😄
😀😀😀😀😀😀
Gojagoja humiza matumbo
Mashallah
Heheheee
Uamzi mzito lakini 😀😀😀😀
Leo nmekosa
Ngoja nkuue