URONGO KATIKA NDOA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 56

  • @maryammdoe4784
    @maryammdoe4784 4 роки тому +2

    Ma sha Allah ila wanaume mungu anawaona maana sio kwakurudanganya huko 😁😁😁😁 nimecheka sana sheikh wetu allah akuhifadhi

  • @jazilamashaallahjumamashaa5439
    @jazilamashaallahjumamashaa5439 5 років тому +3

    Mashaallah nakupend san shekh yan nikisikilizaga mawaidha yako huw nafaeijikag san

  • @nasringosso6346
    @nasringosso6346 6 років тому +3

    Mashaallah tabarak rahman ustadhi umefika kwetu home alhamdulilah nawao wamefaidika .jzk kher 🙌

  • @zuwenakabesela5150
    @zuwenakabesela5150 5 років тому +1

    Janja ni nzuri,kwa wake wenza inawafaaa sana mana kila mmoja angejiona yeye ndiye kila kitu kwa mume.

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 5 років тому +1

    Hahahahaha shekhe umenichekesha sana shukrani allah akulipe kila la kher in shaallah

  • @hidayarrashidi3939
    @hidayarrashidi3939 6 років тому +2

    Bismillah mashaallah shukran mm nandugu zangu nimehangaika sana mpk kwa kuongop ili wapatane lkn mpk sasa hawajapatana na miaka kadhaa inapita unaniudhunisha sana hii jpo kwao wanaona swa

  • @mohammedrashid7735
    @mohammedrashid7735 5 років тому +2

    Pemba huwa wanasema ndaro ni udume

  • @almashally8808
    @almashally8808 3 роки тому

    ماشاءاللہ

  • @biliramadan8470
    @biliramadan8470 5 років тому +1

    shukrani shekhe kwa mawaidha mazuli mwenyezi mungu akuweke

  • @abducking2378
    @abducking2378 4 роки тому +1

    ama Kwa hakika sheikh allha kakujalia Na namuomab akujalie zaidi ya apo Saudi uweze kituelimisha

  • @amarali9737
    @amarali9737 3 роки тому

    Video hii naona yaonesha clear sana mashallah

  • @fafaali1756
    @fafaali1756 6 років тому +1

    Ha ha haa ustadh uko fit kwa kuoa wake wawilii...kaliii yko..

  • @abrarabgao
    @abrarabgao 6 років тому +2

    MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH TABARAKALLAH
    JAZAKALLAHU KHAIR SHEIKH

  • @samiryghania6485
    @samiryghania6485 6 років тому +1

    Shekh upo vizur Karibu kibaha masjd yetu. Utuelimishe

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 років тому +1

    Allah akulipe pepo

  • @abouhafswah
    @abouhafswah 6 років тому +1

    Nice Maasha_Allah

  • @zuhuranahimana7197
    @zuhuranahimana7197 5 років тому +1

    Hhhhh shekh lugha yako inaeleweka

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 4 роки тому +1

    MASHALLAH ALEIK

  • @zuenasalim7136
    @zuenasalim7136 6 років тому +2

    Mashallah

  • @zaidumohd3125
    @zaidumohd3125 4 роки тому

    Subhanallah

  • @shabanibobe8674
    @shabanibobe8674 4 роки тому

    Mashaallah

  • @mohamedabubakar937
    @mohamedabubakar937 6 років тому +1

    MashaAllah

  • @mohamednagib2594
    @mohamednagib2594 4 роки тому

    Pure TRUTH

  • @zamilmohammed6037
    @zamilmohammed6037 6 років тому

    Maashallah shekh jazakallah kheir

  • @zuhuranahimana7197
    @zuhuranahimana7197 5 років тому

    Vp shekh kutia rangi kwa mwanamke?

  • @maryamathman8917
    @maryamathman8917 5 років тому

    Mi nina swali shekh mumewangu hakua muislamu lkn nilimsilimisha tukaoana but mambo yake hayaniridhiahi kwanza swala hamna,swaum hamna jengine ni uraibu wa miraa na sigara nimwambia awache lkn hawezi acha kulea family pia ni shida kila cku anasema hana pesa so nifanyeje naeza omba thalaka?

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  5 років тому

      Kama waona kama anao uwezo wa kukulisha bt hataki tuu na hataki kushika mana na ibada ndio waweza kuomba talaka bt kama waona aweza badilika usiombe

    • @maryamathman8917
      @maryamathman8917 5 років тому

      Izudin Alwy Ahmed shukran

  • @lelaahmad6257
    @lelaahmad6257 5 років тому

    ostadh mm nina swal utafanya nini endapo utamtamani mume wako kimwili hali yakua yeye hataki na kushamuambia

    • @Omar_Sharif_Ali
      @Omar_Sharif_Ali 5 років тому

      Ji pambe vizuri sana. Wanaume hupenda kwa kuona na wanawake hupenda kwa kuskia. Na kama hataki mpe time na usiwe na haraka. Mfanyie mambo anayo ha penda na wewe utapata unayo ya penda kwake

    • @khamishamad5044
      @khamishamad5044 5 років тому +1

      Hakutaki

  • @mtata4ever356
    @mtata4ever356 6 років тому

    Nini maana ya Izudin

    • @oyay2821
      @oyay2821 6 років тому +1

      mtata4ever swali La kipuuzi kabisa. Maana ya mtata ninni?

    • @abdirahman2497
      @abdirahman2497 6 років тому

      +Ummu Nurdin nacheki hapa mtu fulani asema umuoe.ajabu

    • @chunaalhusseiny9149
      @chunaalhusseiny9149 5 років тому

      Sheikh Izzudin umesema neno Kubwa saana hapa ondosha kosa kwa sababu ya undungu usiondoe udugu kwa sababu ya kosa lkn sijaamini km ni wewe unasema HV

    • @Basma-eu9ol
      @Basma-eu9ol 4 роки тому

      @@oyay2821 ...it is actually a valid question...just like ukiulizwa 'Salahuddin ' maana yake nini....Not everybody understands arabic language....so,mtata4ever...tafadhali Google maana ya hill Jima ama muulize anaye fahamu kiarabu....Personally I guess it means 'ku kuza au kulinda dini...(Stand to be corrected)....🙂

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 років тому

    Mashallah