- 236
- 140 286
ShowCaseTZ
Приєднався 1 бер 2013
#ShowCaseTz Hapa tunaangalia Muziki ulipotoka, ulipo na unapoelekea, mahojiano yetu yanahusu Muziki wa kila aina lengo ni kupambana kuufanya muziki wetu ukue zaidi ya Hapa.
Hiki ni kipande cha wimbo pendwa wa Jhikoman unaitwa #Kuagana kunaumiza
Hiki ni kipande cha wimbo pendwa wa Jhikoman unaitwa #Kuagana kunaumiza
Переглядів: 46
Відео
NICE WISE (Part One) Mimi ni Star wa TikTok hapa Tanzania kuliko mtu yeyote, Hakuna mwingine...
Переглядів 21410 місяців тому
NICE WISE (Part One) Mimi ni Star wa TikTok hapa Tanzania kuliko mtu yeyote, Hakuna mwingine...
NICE WISE (Part Two) Ukweli kwasasa hata mamba ya Mrs Energy sina sijui why, yeye alikuwa
Переглядів 6910 місяців тому
NICE WISE (Part Two) Ukweli kwasasa hata mamba ya Mrs Energy sina sijui why, yeye alikuwa
AKIL THE BRAIN & PAPATI (Part One) nilipenda Papati aingie zaidi kwa vijana wenzie Bangra ipo tu...
Переглядів 6111 місяців тому
AKIL THE BRAIN & PAPATI (Part One) nilipenda Papati aingie zaidi kwa vijana wenzie Bangra ipo tu...
AKIL THE BRAIN & PAPATI (Part Two) Mimi na mwanangu tupo zaidi kwenye live Perfomance zaidi inalipa
Переглядів 3711 місяців тому
AKIL THE BRAIN & PAPATI (Part Two) Mimi na mwanangu tupo zaidi kwenye live Perfomance zaidi inalipa
SOPHIA SECRET (Part Two) Niliondoka Tanzania nikiwa nina miaka 6 kwenda Uholanzi naishi huko...
Переглядів 6011 місяців тому
SOPHIA SECRET (Part Two) Niliondoka Tanzania nikiwa nina miaka 6 kwenda Uholanzi naishi huko...
SOPHIA SECRET (Part One) Ukweli aliyenifanya nifanye Muziki ni Diamond Platnumz na kuna kitu kina..
Переглядів 11211 місяців тому
SOPHIA SECRET (Part One) Ukweli aliyenifanya nifanye Muziki ni Diamond Platnumz na kuna kitu kina..
BWANA MISOSI (Part One) Siyo kweli kuwa Legend wamechoka hapana nakataa ni kutokupata support tu
Переглядів 8211 місяців тому
BWANA MISOSI (Part One) Siyo kweli kuwa Legend wamechoka hapana nakataa ni kutokupata support tu
BWANA MISOSI (Part Two) MC wa kwanza kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva ambaye ni legend
Переглядів 4411 місяців тому
BWANA MISOSI (Part Two) MC wa kwanza kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva ambaye ni legend
NUNI The Empress (Part One) Nuni ni jina kutoka Pwani mimi natokea Mafia siyo mchaga.....
Переглядів 5011 місяців тому
NUNI The Empress (Part One) Nuni ni jina kutoka Pwani mimi natokea Mafia siyo mchaga.....
NUNI The Empress (Part Two) Sitaki kukurupuka kufanya muziki sababu natakiwa kutengeza maisha na...
Переглядів 3011 місяців тому
NUNI The Empress (Part Two) Sitaki kukurupuka kufanya muziki sababu natakiwa kutengeza maisha na...
QUEEN ZIPPORAH (Part One) Wakati naanza muziki boss wangu wa kwanza alikuwa Vanessa Mdee nampenda ..
Переглядів 5911 місяців тому
QUEEN ZIPPORAH (Part One) Wakati naanza muziki boss wangu wa kwanza alikuwa Vanessa Mdee nampenda ..
QUEEN ZIPPORAH (Part Two) kila kitu kwenye maisha ni process na kinawezekana nampenda sana nanii..
Переглядів 3111 місяців тому
QUEEN ZIPPORAH (Part Two) kila kitu kwenye maisha ni process na kinawezekana nampenda sana nanii..
SEGHITO (Part One) nimepita THT ndiyo imenisaidia kukua kimuziki, nilipokua Iringa nilijifunza ...
Переглядів 911 місяців тому
SEGHITO (Part One) nimepita THT ndiyo imenisaidia kukua kimuziki, nilipokua Iringa nilijifunza ...
SEGHITO (Part Two) Mume wangu ni shabiki namba 1 wa muziki wangu, wengi wanapenda muziki wangu wa..
Переглядів 2811 місяців тому
SEGHITO (Part Two) Mume wangu ni shabiki namba 1 wa muziki wangu, wengi wanapenda muziki wangu wa..
CHINO KIDD (Part One) Kwenye timu ya Bongo Fleva hakuna wa kuniweka Benchi niamini hakika...labda
Переглядів 48311 місяців тому
CHINO KIDD (Part One) Kwenye timu ya Bongo Fleva hakuna wa kuniweka Benchi niamini hakika...labda
CHINO KIDD (Part Two) Sisi tunaishi maisha yetu vile yanaenda tunaishi kwenye uhalisia, sisumbuki na
Переглядів 22611 місяців тому
CHINO KIDD (Part Two) Sisi tunaishi maisha yetu vile yanaenda tunaishi kwenye uhalisia, sisumbuki na
DARK MASTER (Part One) Nimepamiss home ni ngoma ambayo ina heshima kubwa sana ya Marco Chali sema..
Переглядів 1 тис.11 місяців тому
DARK MASTER (Part One) Nimepamiss home ni ngoma ambayo ina heshima kubwa sana ya Marco Chali sema..
DARK MASTER (Part Two) Chamber Squad ilianza 1996 tulianza mimi na Tino baadaye aka join Ngwea na ..
Переглядів 40311 місяців тому
DARK MASTER (Part Two) Chamber Squad ilianza 1996 tulianza mimi na Tino baadaye aka join Ngwea na ..
ABBY SKILLS (Part One) Dully Skykes ndiyo alinipa jina kwenye muziki
Переглядів 4711 місяців тому
ABBY SKILLS (Part One) Dully Skykes ndiyo alinipa jina kwenye muziki
ABBY SKILLS (Part Two) Sihitaji Pesa nitafute mwenye wimbo,unipe heshima, Mbosso anapaswa kunitafuta
Переглядів 4811 місяців тому
ABBY SKILLS (Part Two) Sihitaji Pesa nitafute mwenye wimbo,unipe heshima, Mbosso anapaswa kunitafuta
CHIMAH (Part One) Maana ya Chimah ni Mpambanaji na nililipenda lilikuwa la rafiki yangu, natoka na..
Переглядів 3611 місяців тому
CHIMAH (Part One) Maana ya Chimah ni Mpambanaji na nililipenda lilikuwa la rafiki yangu, natoka na..
CHIMAH (Part Two) Nimekataa ndoa tatu sababu ya muziki wote walitaka niache muziki, wasasa bado bado
Переглядів 2411 місяців тому
CHIMAH (Part Two) Nimekataa ndoa tatu sababu ya muziki wote walitaka niache muziki, wasasa bado bado
DOBE PRO & KYUSSA KROSS (Part One) Plan yangu ni kufanya Muziki wa Kimataifa ndiyo maana nipo..
Переглядів 1111 місяців тому
DOBE PRO & KYUSSA KROSS (Part One) Plan yangu ni kufanya Muziki wa Kimataifa ndiyo maana nipo..
DOBE PRO & KYUSSA KROSS (Part Two) Siyo kweli Producer hujipendelea Midundo "Dobe Pro"
Переглядів 4411 місяців тому
DOBE PRO & KYUSSA KROSS (Part Two) Siyo kweli Producer hujipendelea Midundo "Dobe Pro"
GOLDEN NEYMA (Part One) Bila baba watoto wangu nisingekuwa na Degree, namshukuru sana nampenda
Переглядів 4311 місяців тому
GOLDEN NEYMA (Part One) Bila baba watoto wangu nisingekuwa na Degree, namshukuru sana nampenda
GOLDEN NEYMA (Part Two) Sipo na baba watoto wangu lakini niko okay naye, sema napendwa
Переглядів 5011 місяців тому
GOLDEN NEYMA (Part Two) Sipo na baba watoto wangu lakini niko okay naye, sema napendwa
ROSE NDAUKA (Part One) Mimi walioniona ni Singo Mtambalike na Baba Khaji ndiyo waliniona nafaa sana.
Переглядів 9111 місяців тому
ROSE NDAUKA (Part One) Mimi walioniona ni Singo Mtambalike na Baba Khaji ndiyo waliniona nafaa sana.
ROSE NDAUKA (Part Two) Biashara ndiyo inanifanya nisiwe busy na muziki lakini hiphop naijua,
Переглядів 6311 місяців тому
ROSE NDAUKA (Part Two) Biashara ndiyo inanifanya nisiwe busy na muziki lakini hiphop naijua,
EYOO KENNY (SINGELI MASTER) Part One: nimeichukua Singeli uswahilini mpaka Mikocheni, ni heshima..
Переглядів 4511 місяців тому
EYOO KENNY (SINGELI MASTER) Part One: nimeichukua Singeli uswahilini mpaka Mikocheni, ni heshima..
Naomba namba zake huyu mtoto wa mbaracka
Yani leo ndio nasikia mtu akisema mziki auna maana. Kwenda uko ujui kitu wewe. Lako la maana ni lipi? Ebu liweke yutube tulione basi. Kwenda uko mrudisha africa nyuma
Love you so much, wengi hawawezi kupiga unavyofanya, barikiwa sana sana.
Kusema ukweli huyu ni mtoto wa marehemu mbaraka mwashehe. Nawafuatilia kutoka hapa Mutego Dagoretti South constituency Nairobi.
Those others are bringing discord in the music . They should just keep quite and listen.
Mimi nimezicheza sana hizo nyimbo za marehemu Mubaraka Muhshehe ndani Morogoro enzi hizo. Daaa Mungu ampunzishe kwa amani .Amina.
HUUU NI UPUUZI TUU HAUSAIDII KITU MUHIMU ATAFUTE MAMBO YA MAANA YA KUFANYA HII MAMBO YA MUSIC NA MIHEMKO NI MACHUKIZO KWA MUNGU SI SIFA -TUMCHE MOLA
Upuzi na ujinga wako hauna kipimo...Vipawa ni Mungu hupeana, , sijui wako ni Mungu ama Miungu.
Tumekuskia ewe Debe Tupu lisilokua na mbele wala nyuma, zaa wako tuone wako na nini 😡nkt!
Pumbavuu wewe Shogaaaaa jeusiiiiii Wewe ni MNAFIKI na MUONGO kila MTU kaandikiwa RIZIKI yake aliopewa na Mwenyezi Mungu Hutoi Wewe mbwa Wewe Na Wewe Zaa Binti Wako GENGE Wewe Tafuta Kazi ya kufanya Achana Maisha ya Wenzako MNAFIKI Kuma la mama yako Mbwaa koko 🐄🐄🐄💯 Wewe
Looks like his dad
Very nice 💯
Binti Mhitaji baba yake Mbaraka Mwinshehe aliacha shule akiwa kidato cha pili Mzumbe Sekondari.
Tuzo ya dhahabu,waliuza maana viongozi wa serikali hawajaanza leo janja janja
Wakenya mungu anawaona, inasemekana hospital kulikuwa na shida.
akili nyingi na kipaji
Boni luv 🎹
Kaka yangu.... Big up
I loved your fathers song since my childhood. All of them were good. We were playing ile sahani ilikuwa na nyimbo mingi kwa player recorder.
this guy, kanifanya nimfwatilie sanaa...he knows
Orraaa upo wa jombaa
Broo unaweza sana
Moto sana
Nyimbo ya shida ni nyimbo Bora sana kwa vizazi vyote coz nyimbo hiyo hata sasa ni the best so ipewe tuzo na itaendelea kuwa best 😂😂😂
Naomba mnisaid8e
Naomba mnisaid8e
Muziki
❤❤❤❤❤
Hiyo ya vyombo imetia bora sana.
Good music alive 🔥🔥
Marehem baba yako nilikuwa namuita shemeji ,kwa kuwa alikuwa rafiki na mume wangu ,ambae nae pia ni marehemu, nakumbuka shemeji alikujaga korogwe kutumbuiza, lakini alikuwa na tatizo la kifua sauti ilikuwa haitoki vizuri,basi nilimuandalia asali ,kwa muda kidogo aliweza kuimba vizuri,kwa hiyo nina kumbukumbu kumbukumbu nae sana tuu kupitia mume wangu aliekuwa uswis. ,Mungu ampumzishe kwa amani. 29.08.24.
Dada cjui ungenyamaza tu
Huo wimbo unaitwa Jirani kazua jambo
Allah akulaze mahala pema peponi Mandojo tulikupenda sana ila Allah kukupenda zaidi
Ila binadamu noma hadi mtu afe ndio mnasifia wakati yuko hai mulikuwa hamuwaoni acheni unafiki
😢Kaz yake mola da❤❤
Innallillah waiina illah rajiuun
Legend RIP 😢
RIP JEMBE
R.I.P
media sahv wanapost sana ila hamkuwapa heshoma mwanzo hi ndo tz wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Mziki wa kweli duh
Daah, RIP Mandojo, mnajua sana brothers
RIP Mandojo😓
😭😭😭😭😭😭😭
Rip dojo😢😢
daah
Rip 😭 KING Legend Man Dojo
Pumzika Kwa aman Kaka ❤
gr8
Hakika mziki huu tunaupenda sana mziki wenye kuelimisha
Rest in peace 😢😢😢
R.I.P