Inashangaza sana uyu mtangazaji alianza kumsifia mwokoaji ila alipoambiwa kuna watu wamekufa akakwepa eti mamlaka ndo itakuja kuzibitisha kama kafa au la😊😊 sasa kwa nn asingeenda uko mamlakani..This is shame....
Niseme tu haya yanayoendelea kwa hili tukio mi uzembe wa mtoa kibali Haiwezekani Watu Wana jenga kiholela tu mkandaras wnapataje kibali bila kuja jopo la wachunguzi kwanza serikali fukuza injinia wa ilala Hana msaada ktk yote Maana wahusika wa vibali ndio wamesababisha haya
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Poleni sana
Mbona halikubali nataka kujiunga
Mwenyezi mungu awape wepesi, bado tunaimani naye atafanya njia pasipo na njia watoke salama,🙏
Amen Yarrab
🤲🙏🙏
Pole sana na poleni sana ndg zetu .Mungu aweke wepesi watok3 salama
Jaman poleni SANA nawaliotangulia mbele zamwenzi Mungu awasamehe dhambi zao
Mungu awaokoe tu hao watu,Mungu waponye
Poleni sana mwenyezi mungu awape wepes
Mwenyezi mungu atawatowa salama
Mungu atawaponya😢😢 mungu ibarik 🇹🇿 aiepushe na mabalaa
Mungu amount Malaika wako waingie kutoa hao watu. Kwa akili za mwanadamu si ila wewe unaweza Mungu
😢😢😢😢😢😢inaua sana jaman tunalala hatujui kesho yet itskuaje
naam
😢😢
kwa kweli acha tu haya maisha ni mafupi mno tujiandae kufanya ibada
Mungu nimwingi Warehema watatoka
Dah pole yao sana,mwenyezi MUNGU awaponye majeruhi wote
Duuh.
Jamani poleni sana Mungu awasaidie.
Mungu awasaidiye waweze kutolewa salama
Eee mwenyezi mungu waokoe waja wako Bila wewe mungu wetu atuwezi
Polen sana sana Wana kariakoo na pole nyingi Kwa majeruhi.
Poleni sana Mungu awafanyie uwepesi
Ee mwenyezi Mungu awalinde
Jaman polen mungu atawasaidia
Poleni sana mungu awasaidie
Allah awafanyie wepesi mpate kuokolewa
Mungu awajalie wenzetu
Hiyo mwenye Jengo jmniii hao Mainjinia kweli 😭😭😭
Allah akufanyie wepesi inshallah
Allah awafanyie wepes inshaallah
Poleni Mungu awaokoe jamani
Pole sana ndugu
Mr comment 🇹🇿 poleni sana
Kijiko kiko wapi ndg zangu
mungu awape wepesi
Ee mungu waokoe
Ee Mungu watu tunakuomba wasaidie waliobaki watolewe wakiwa hai.
Yesu wng Yesu wangu okoa waja wako
Poleni sana ndugu zetu,M.Mungu awaponye
Poleni sana ndugu zangu😢😢
Ee mungu okoa watoto wako 😢😢
Poleni sana jamani mungu awape wepesi waokoaji 😢
Mungu awasaidie watoke salama
Poleni ndugu mliokutwa na mkasa huu
We Mungu wafanyie wepesi
Elmwezi mumgu fanya miujiza bas mana wakilala humo itakuaje😢😢
Allah awafanyie shufaa inshallah
Mungu nakuamini utawasaidia wana wako
Mungu awasaidie
Mungu awatie guvu
Mungu tusadie
Poleni sana wote waliopata madhara
Cjui jengo lilizidiwa na mzigo au limejengwa chini ya kiwango duuuh MUNGU awasaidie wote
Mwenyezimungu atawafanyia wepes wataokolewa
Poleni sana,hapo sasa mwamposa na wenzie wangewahi
Wafanyeje..?
Inashangaza sana uyu mtangazaji alianza kumsifia mwokoaji ila alipoambiwa kuna watu wamekufa akakwepa eti mamlaka ndo itakuja kuzibitisha kama kafa au la😊😊 sasa kwa nn asingeenda uko mamlakani..This is shame....
Polen san ndugu zetuu
Mungu awasaidie wote
Poleni sana wapendwa
Poleni sanaa
Poleni jaamani
Allah awanusuru
Jamanı pôle Sana munguawalinde ilikuwa sikugani
Jamani vibaka kuweni na hruma mcije kuwaibia wenzetu mukawatia hasta mara mbili
Wakandalasi pumbavu zenu😢😢
Mungu awatangulie jamani ni Atari?
Maneno mengiiiii......
Allah awamusuru.
Polen sana jaman 😢😢😢
Mh mtihah kwa kweli hili gorofa la ngapi?kariakoo kuanguka nimajengo ya zaman au wakandaras wakula hela jaman
Hapo ndo tutaona mama anavifaa vya uokoz kwenye majanga kama hayo au anakaz ya kununua magori
Wewe umeanza siasa za chuki
@@stevenjackson4985siiii siasa za chuki Inaumizaa sana
@@stevenjackson4985siiii siasa za chuki Inaumizaa sana
Kwahyo gari Moja la uokoaji alafu mechi ikifunga pesa
Hii inaoekana tokea awali hilo jengo limejengwa kwa vifaa ambavyo ni "cheap materials " labda mchanga mwingi na cement kidogo
MUNGU.....🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️
Hiyo gari mbona kama haiendani na tukio lenyewe maana tukio ni ghorofa kuporomoka nafikiri inahitajika machine ya kufukua kifusi
Tanzania tuna wasomi ambao Elimu haijawakomboa kabisa! Ma Engineer wa majengo wako wapi
Du da skaveta ingesadia sana wajeda da! Mpk watu wanapiga simu jamani
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏
mtangazaji ni bonge la handsome mungu akuweke
Umalaya tu😂
We nae anauhandsome Gani,,nimekaa kusubiri kumuona huyo handsome kumbe mtu mwenyewe anasura ya kale😢
Waweza waweza mwokozi waweza mambo yote wewe mwaminifu
Waokoaji MUNGU awatilie wepesi na akili pia ya kuokoa watu wa MUNGU
Mamlaka watakuja kusibitisha kama wamekufa au laa😂😂😂siasa
Loh, Tanzania yangu
Siasa hadi kwenye uhai wa watu
Yaani hata hapo Mimi nimeweka alama ya kuuliza.
Inatakiwa itolewe taaarifa ya uwazi sio kuficha ficha
Maskn😢😢
Uzembe gani huo jmn uiiii
😢😢
Niseme tu haya yanayoendelea kwa hili tukio mi uzembe wa mtoa kibali Haiwezekani Watu Wana jenga kiholela tu mkandaras wnapataje kibali bila kuja jopo la wachunguzi kwanza serikali fukuza injinia wa ilala Hana msaada ktk yote Maana wahusika wa vibali ndio wamesababisha haya
Sikiloza maelezo kwanza uelewe
@ Ww ndio Huwez nielewa makosa ya hilo jengo ni waroma vibali unajua Kua limechimbwa pemben
@@hadserhood2823wewe subiri uje uelewe chanzo ni nini. Punguza mhemko
Ulikuwa wapi kwanini hukusema mapema Hata Wewe ulaumiwe
karialoo kume banana sana jamani
6:26
Vibaka hapo ninwengi wanataka kuiba mali
Wamelipiga mtama..
😭😭😭😭
Mbona hawaokoi wanatembea tembea tuu
Eti mamlaka ndo zitathibitisha kama wamekufa ama la! Hii Tanzania kweli tumelaaniwa na siasa
Polen
Poleni watu wadaa
Mungu awapiganie watoke salama Ameen
Mungu awasaidie wenzetu watoke salama
😢😢😢😢😢
😢😢
Polen