😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️Steve bn kazi unayooo.....eti huchezii mpiraa havikusaidii jamani umekuja kuchukuwa utajiri sasa tena wanakuitisha pesa 😄😄😄😄😄😄😄umeendaa kuibaa sim ya mama mdogo nasim kisha utajiri Haha etii gazi vipii😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄 umeoshwaaaa bila sabuni
Steve naipenda kazi yako kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 comedy yako ni nambari moja east Africa🔥🔥🔥🔥🔥
Hatar
Kazi safi sana jamani 254
Padii
😜🤣
Kiosks snewk😮sasnne a nwkamnaaa kwa sms
Seme
MammmemoJ
Hii video ya vidole imeenda shuleee!...Big up Steve umepata shabiki mpya!💙✊💙
Hahahaaa😃🤣🤣Hongera sana steve Kama mtu haipendi kazi yako mchawi big up bro..💪
Utfrd
@@uwezokashindi7638 q.
Wtf...so @Peter jongera you just gonna call people wachawi juu hawapendi content ya Steve?!surely watu si mjiekee some comments
Nawakemea kwa jina la yesu wamao nunua vidole na wanaouza jua utajiri anao mungu tu hizo ela hazifai utakuwa kilema bure
Dah kila nmekukubar hahahaha et ntakupga mibanz
Hilo jacket Steve ni lakitambo!!kkkk
Matajiri wenzaangu nawasemeshaa😂🤣😂🤣😂
🤣🤣Steve hongera sana kimaro nae namuona kwa foleni hapo anataka utajiri alaaa😂😂😂😂
acha tu😂
Htr mmhu
@@ibrahimmatto1050 nzurifogo
Nzuri saana , inaleta ucheshi na funzo ya tamaa mbelee maiti mbelee
I cant imagine Steve can think beyond this..kufikiria kwa namna hii kwahitaji kukomaa..hongera kaka.."ati nibaki tu navidole3 maana sichezi mpira"
😂😂😂
Steve wewe nimkali sana nakuku bali sana Niko Congo sud Kivu uvira
Dogo Nakushauri Ukipata Hela Urudi Shuleeeee 😀😀😀😀😀😀😀😀
Hii inaitwa no stress 🤣🤣🤣🤣
Shukrani steve kazi nzuri hongera saner 🙏♥️
Nakupenda ww kaka unanifurahisha sana
❤
Steve the legendary master don king !!!!
Muwe mnawaambia watu kuwa million mia ya zambia ni sawa na elfu 20 ya Tanzania
Vidole vinakatwa Zimbabwe 🇿🇼 na sio Zambia 🇿🇲
Bora kutoa mafuzo mapema maan matapeli yataingia muda c mrefu
😂😂😂 Heti sichezi mpira, hazinisaidii 😂🤣🤣
Walah.... nimecheka Kwa saut had nimejamba 😆😁
Yani.stevu.apo mmepatia.kucheza.ii.comed.hongeren.sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Big up Steve
Wakwanza warundi tujuwane🇧🇮🇧🇮😂😂😂
Vip
Ndio tushajuana mwengu
🇧🇮💪
bwomuli Kigali Rwanda tumenyane
Hapo mwisho Ndo Umenielewa 😂😂😂😂😂🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣waa pesa soda inapoesha
Jameni mje Kenya wauzaji wengi wapatiana matatizo kila mahali😂😂😂😂
Kija kalia kama Ambulance😁🤣
Aya niwe mkweli watatu leo nimewa lice nilio wakuta mm je like zenu ata mbili naombeni 👍
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️Steve bn kazi unayooo.....eti huchezii mpiraa havikusaidii jamani umekuja kuchukuwa utajiri sasa tena wanakuitisha pesa 😄😄😄😄😄😄😄umeendaa kuibaa sim ya mama mdogo nasim kisha utajiri Haha etii gazi vipii😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄 umeoshwaaaa bila sabuni
Hongera sana Steve 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 Nashukuru Stive nimecheka sana nimeongeza siku za kuish walah
Hahahaha Kazi Nzur Sanaaaaa 😀😀😀😀😀😀😀😀🙌
Huo ni umasikini kununua vidole hee 🤣🤣🤣
Hapo kwenye jicho baya steve🤣🤣i lov u🥰
Kazi mzuri sana kaka steve
🤣🤣🤣🤣big up bro umetisha kinomaaa🤓🤓🤓
☺☺😂😂😂 aaaah mii sitaki buan 🙌🙌
Nawatakuja kweli bongo mna tabiya yenu hataki yakuyasikiya mwataka yakuyaona
🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zang
Pamoja sana republic of buza
Hahahaaaaa mbavu zangu kumbe ni kiki hizo
Hahahahaha Eeee God Mungu akubariki Stive eti dole gumba wanalipa shingap hiyo yote uoga tu hahah
Kkk utatuuwa brother!!!
Steve umeupiga mwingi adi umemwagikaaaa
Nimecheka adi nimeliya🤣🤣🤣🤣🤣
Very nice Steve brack
Hahahahahahahaha dah hatar iyo jamaa katisha san
😄😄😄😄😄nimeshindwa kujizuia eti vibaka wezi mbwa nyie! 😄😄Oya jamaa unaweza
Oya mko top Sana 🤣
Stive nakupenda bure 😃😁😃😁
😢kweli mmetufuza mengi hongereni sana
🤣🤣🤣Eti sichezi mpira, kwahiyo miguu haina faida sio🤣🤣
🤣🤣🤣😂😂 Vibaka wezi mbwa nyie 😂😂😂🙌
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅Daah Steve so tarented
😆😆😆😆😅😅😅😅😆 pole sana steve
Nitumie namba yako
Hongera steve ua de best one in tz
Duuuh,hii ya mwaka mpya kweli steve mweusi alafu doctor kaboma waaah.
Kazi mnayo 😂😂😂
Aki nyinyi mnachekeza 😂😂😂🥰
Mung aninusurusu bora nife masikn kuliko kukwatwa kidole changu
Oy Steve Nakubar san kaz zako Utafika mbar san
Fungu la kumi nileteeni Mimi,😅😅😅🇹🇿👍🙌
Nachelewa wapi mimi nikate tu vyote😛😝😛😝😛😝
Jamani Tanzania tuna vipaje🤣🤣🤣
Tamaa mbelee mauti nyuma
Steve 🤣😂😆wavunja mbavu yani mpk bac😆,una dumbuiza kishua stress pembeni😅
Video nzuri kabisa
Mmmh ukataje vidole tena.hahahah😂 af steve
Macho mabayaa 😂😂😂😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Umegonga ndipo Steve 254
😂😂😂et vyakusimamia yaan steve unachekesh
Sa Simu ya mamdogo itakuwaje🤣🤣🤣
😂😂😂 huo upara sio rangi yake
Stivini mweusi kama nakuona vile😂😂😂
Stive utalia😃😁😃😁
Nikacheka kama nimepagawa aki Steve taniua na kicheko from Kenya
😂😂😂😂😂😂😂unaenda kufa kwakutaka pesa kimbia wewe 😂😂😂😂
Ii kazi.apatakuwepo.na wiz.wa.binadamu.kweli
Cm alinipagabibi naviatu😂😂😂😂😂😂stiv Jaman
Aki nawaomba tu wauzaji wa vidole msikuje Kenya hatutaku kuwa mazumbi tena hicho kidole hakipone kwa haraka😂😂😂😂 Wacha nikufe navidole zangu zote😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka et ww hununua vidole
Mbavu zangu mm dah hak 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣 na boss kimaro naye anaenda kuuza kidole 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣ulitaka auze nani🤣🤣
Hv Steve nikabila gani😂😂😂😂
Mgogo
Steve wewe ni hatali sana
Allah atuepushie iri swala risifke kwetu tz rishie uko uko
Sawa steve nakubali
mtoeni vyote huyo stv hana kazi navyo
Hahaha ata watoto?😂😂😂😂😜heee na akina mwayangu😜😜😜😜
😂😂😂😂et vibaka wezi mbwa nyie ndo ushapigwa ivo 😂😂😂😂
Milioni 100 yote😃😁😃😁
Nakubari Sana😂😂😂😂🤣😂
Unaweza kabisa
😂🤣😂🤣😂😂😂hongera steve
Watanzania mumenishinda tabiaa😂😂😂
Nzur 😆😆😆😆😂
Vyombo na simu ya mamdogo vileeee🤣🤣🤣🤣
Hahaha Steve khaaaa😅😀😀😅
Kkkkkkk nawapenda sana kutoka Zambia!!
Uigizaji huu ni vunja mbavuu
Steve 🤣muoga sana🤣254