Nitashukuru sana siyo mimi peke yangu, bali ninaamini na Watzania wengine kama utatuwekea na sehemu nyingine ya Hotuba ya Rais ili kukamilisha hotuba yote. Tanzania Kwanza, Vyama baadaye
Protocal yote hiyo na wateuliwa wote wajumbe mnajisikiaje hadi leo hatuna katiba mpya? Mliombewa pia baraka za Mungu na kupiga makofi mengi. Historia gani tumeandika na tunaendelea kuandika?
Unaongea vizuri lakini rasimu zote zilipita kwako zikiwa na mapungufu hayo ulichukua hatua gani kushauri tume irekebishe hayo kabla ya wewe kusaini kama kutoa kibali cha hatua nyingine iendelee? Huo ni usanii, hukupaswa kusaini bila kuridhika na vifungu vya rasimu hiyo. Kwa sababu rasimu ilipita kwa wananchi kazi ya bunge la katiba ilikuwa ni ndogo maana walikuwa wanaangalia kitu ambacho wamekwisha kukitolea maoni kama wananchi; kazi yao ilikuwa kama proof reading tu na si vinginevyo. Kama rasi ya kwanza na ya pili ilikuwa na serikali tatu na rais kasaini; bunge la katika halikuwa na haki ya kubadili kifungu hicho. Maana wote walilidhika katika hatua zote mbili. Rasimu ya katiba kwa bunge la katiba kazi yao kubwa ilikuwa ni kuproof read na kuipitisha tu na si vinginevyo.
Huyu Baba aliokoa Nji hii sawa kabisa na Nyerere alivyotuokoa kwa Nduli Eed Alamin, au Karume alivyotugomboa kwenye utumwa wa Waarabu. Wasaliti wetu walikuwa wamejipanga vilivyo. Sasa wanataka tuanze tena, sijui wamekubali Serkali 2?
LGF acha ujinga. Nyerere hakutuokoa kutoka kwa Eid Amin, kwani Amin alikuwa na malosa gani? Jiongeze ktk histori sio unakurupuka tu, Amin alikwa kiongozi mzuri sana kuliko hata huyo Nyerere waulize waganda wenyewe. Zile ni njama tu za wazungu kwa kumtumia Nyerere. Pia kule Zanzibar Karume hajaikomboa Zanzibar kutoka kwa waarabu, bali ni njama za Nyerere kufanya mapinduzi kwa serikali ya Zanzibar ambayo tayari ilishapata uhuru wake kutoka kwa Oman na British mwaka 1963 tarehe 10 Desember chini ya waziri mkuu wa kwanza mzalendo MOHAMED SHAMTE. Usiropoke na usichokijua. Karume na Nyerere ni watu wabaya kwetu.
Huyu jamaa naanza kuona umuhimu wake.kumbe sikujua tu.big up kikwete
Alikua baba kweli hutuba zake nzuri sana
Mungu akubaliki 🙏 na iwe hivyoo
Duuuh hakika alikuwa kiongozi mwenye kila sifa za kuwa kiongozi mh Kikwete!!
Mungu akubalik sana mkwere
Huyo ndie jakaya mrisho kikwete rais mstaafu wa jamhuri yamuungano wa tanzania kiongozi sahihi namakini kwataifa letu
Nitashukuru sana siyo mimi peke yangu, bali ninaamini na Watzania wengine kama utatuwekea na sehemu nyingine ya Hotuba ya Rais ili kukamilisha hotuba yote.
Tanzania Kwanza, Vyama baadaye
This is a leader not a ruler
Dah
Katiba hii ndo inatakiwa iwe maana ni ya wananchi wenyewe
Safi
Huyo ndie docter jakaya mrisho kikwete mtu makini nasahihi kwataifa letu
Wino wa dhahabu uko wapi?
nic speech
Nice speech
Mzee wa msoga tunakumiss Baba
Protocal yote hiyo na wateuliwa wote wajumbe mnajisikiaje hadi leo hatuna katiba mpya? Mliombewa pia baraka za Mungu na kupiga makofi mengi. Historia gani tumeandika na tunaendelea kuandika?
Mkwere una akili sana ww bas tuu
Unaongea vizuri lakini rasimu zote zilipita kwako zikiwa na mapungufu hayo ulichukua hatua gani kushauri tume irekebishe hayo kabla ya wewe kusaini kama kutoa kibali cha hatua nyingine iendelee? Huo ni usanii, hukupaswa kusaini bila kuridhika na vifungu vya rasimu hiyo.
Kwa sababu rasimu ilipita kwa wananchi kazi ya bunge la katiba ilikuwa ni ndogo maana walikuwa wanaangalia kitu ambacho wamekwisha kukitolea maoni kama wananchi; kazi yao ilikuwa kama proof reading tu na si vinginevyo.
Kama rasi ya kwanza na ya pili ilikuwa na serikali tatu na rais kasaini; bunge la katika halikuwa na haki ya kubadili kifungu hicho. Maana wote walilidhika katika hatua zote mbili. Rasimu ya katiba kwa bunge la katiba kazi yao kubwa ilikuwa ni kuproof read na kuipitisha tu na si vinginevyo.
Mnafiki mkubwa huyu
Huyu Baba aliokoa Nji hii sawa kabisa na Nyerere alivyotuokoa kwa Nduli Eed Alamin, au Karume alivyotugomboa kwenye utumwa wa Waarabu. Wasaliti wetu walikuwa wamejipanga vilivyo. Sasa wanataka tuanze tena, sijui wamekubali Serkali 2?
LGF acha ujinga.
Nyerere hakutuokoa kutoka kwa Eid Amin, kwani Amin alikuwa na malosa gani?
Jiongeze ktk histori sio unakurupuka tu, Amin alikwa kiongozi mzuri sana kuliko hata huyo Nyerere waulize waganda wenyewe.
Zile ni njama tu za wazungu kwa kumtumia Nyerere.
Pia kule Zanzibar Karume hajaikomboa Zanzibar kutoka kwa waarabu, bali ni njama za Nyerere kufanya mapinduzi kwa serikali ya Zanzibar ambayo tayari ilishapata uhuru wake kutoka kwa Oman na British mwaka 1963 tarehe 10 Desember chini ya waziri mkuu wa kwanza mzalendo MOHAMED SHAMTE.
Usiropoke na usichokijua.
Karume na Nyerere ni watu wabaya kwetu.
Ndy