BMG TV: Mahojiano na mtoto mwenye maajabu huko Rorya, Eunice Ogot

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • BMG Online Media- Pamoja Daima!
    Tovuti www.bmgblog.co...
    Facebook / bmghabari
    Twitter / bmghabari
    Instagram / bmghabari
    #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI Pamoja Daima BMG

КОМЕНТАРІ • 184

  • @BMGOnlineTV
    @BMGOnlineTV  2 роки тому +8

    Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis ua-cam.com/video/qmCohLLxlOA/v-deo.html namba iko kwenye hii video.

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +2

      naomba uniulizie baba Unis maji yangu iko wapi its one month going

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +2

      kaka nakuomba maana wewe ndiye uliye fanya nijuwe kuna maji ya baraka nimekumbusha baba Eunice ajibu text zangu tangu date 2th last month nilivyo tuma hela za maji kutumiwa Rome Italy hadi wa leo sijawai pata maji wala sijibiwi mbona?

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      @@judithmelvinealuchio8968 unaomba nini?

    • @TPW_FLUXY
      @TPW_FLUXY Рік тому

      Naomba kuwasilisiliana na wewe

    • @TPW_FLUXY
      @TPW_FLUXY Рік тому

      Please kuhudu huyo baba Eunice namba yako ya sim please. Namba yako weee

  • @lydiahnabwire128
    @lydiahnabwire128 Рік тому +4

    Always watching you from SAUDI ARABIA but kindly from Kenya 🇰🇪

  • @justinemmanga7369
    @justinemmanga7369 Рік тому +3

    Mungu amlinde huyo mtoto Ili aendelee kuponya watu.

  • @adomatichristopher4052
    @adomatichristopher4052 Рік тому +4

    Am happy I personally visited her and am seeing dramatic changes Christopher from Arua Uganda.

  • @srregina5809
    @srregina5809 2 роки тому +4

    Uendelee kutukumbuka kwa maombi mimi kutoka south Africa na ubarikiwe

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 Рік тому +3

    Mungu wangu unilinde kanisa katoriki duniani kote amina viogozi wetu amina umlinde mtoto uyo amina

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +3

    bro naomba uniulizie babake Eunise maji huwa inachukuwa mwezi muzima kufika through DHL nimesubiri hadi nimechoka

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      Una mawasiliano yake?

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +2

      @@BMGOnlineTV huwa ananiambia natuma natuma kila baada ya siku tatu juzi alisema wiki jana inafika nimemutumia ukumbe ajibu tangu juzi

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому +1

      @@judithmelvinealuchio8968 pole, endelea kumkumbusha

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +1

      @@BMGOnlineTV amekuwa online nikama hataa amenitoa kwa least ya WhatsApp wakati nimekutumia ujumbe na nilituma hela kwa line ya voda akanijibu through line ya tigo yenye hufanya WhatsApp so niambie kaka utaratibu huwa gani?DHL iwezi chukuwa one month kufika ulaya

  • @gambonmgaya1286
    @gambonmgaya1286 2 роки тому +8

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому +1

      Waombee wapate maarifa

    • @gambonmgaya1286
      @gambonmgaya1286 2 роки тому +1

      @@BMGOnlineTV Amina. Tunafanya hivyo kila siku watu wafunguliwe akili

    • @adammasunga5363
      @adammasunga5363 2 роки тому +1

      Mungu mwache aitwe Mungu

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 Рік тому +2

    Penye miti akuna wajenzi imani ndio

  • @aliathili5651
    @aliathili5651 2 роки тому +8

    It would be blessed if there can be an English translater.. 🙏👍💖💜♥️💓

  • @salomemary3942
    @salomemary3942 2 роки тому +5

    Lord we thank you for your Angel Eunice protect her Mother Mary we love you and I know you will do more sister Eunice pray for Kenya as we approach the Elections I know I will see Eunice very soon

  • @Te562
    @Te562 Рік тому +4

    I wish we can have some holy water online. She is a precious little daughter God bless you and you Agnes Julian Obgot

  • @aflahabdula4084
    @aflahabdula4084 Рік тому +3

    Nawasikitikia acheni kudanganya watu hakuna dini ya haki na yaukweli isipokuwa ni uislam tu

  • @rosemaryngoiri6668
    @rosemaryngoiri6668 2 роки тому +3

    Hey mam mungu A kubariki zaidi

  • @annaawinoolalaodero1672
    @annaawinoolalaodero1672 Рік тому +1

    Mungu ni mzuri SANA Amen Amen

  • @josephakure6743
    @josephakure6743 2 роки тому +5

    Dada Eunice uniombe uponyaji na ukombozi.Mwenyenzi Mungu akulinde.Ameen.....................

  • @nameno8608
    @nameno8608 2 роки тому +4

    Yunis mtoto mzuri umezaliwa na kuleta baraka kwa familia wamepata makaazi mazuri Wageni kwa wingi ni neema kubwa Mungu abariki kazi za mikono yako Wasaidie wote wenye Imani

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 Рік тому +2

    Kijiji gani

  • @madananoel5869
    @madananoel5869 2 роки тому +4

    Please translate Eunice to English not everyone speak your language!

  • @estherkangau2040
    @estherkangau2040 2 роки тому +2

    Kweli Ni Yunis Mungu anamutumia. Kanisa ni kutowa shukulani

  • @naomymose1866
    @naomymose1866 2 роки тому +4

    I numbed iko na WhatsApp mimi kwa Sasa niko Saudi Arebia urabuin I know Eunice through here online, and I know is true miracle. Am from Kenya 🇰🇪 sending love...

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      ua-cam.com/video/1Dg11QvZXIc/v-deo.html hapo

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 2 роки тому +4

    Hasipiwe yesu mimi niko kenya naweza kupata maji

  • @lydiahnabwire128
    @lydiahnabwire128 Рік тому +4

    Indeed she's an Angle from heaven she's the chosen one to heal the world 🌎 full of sicknesses full of sorrows Baby Yunice may our heavenly Father guide you protect you and bless 🙌 you always,na wale wabaya wako wote Mungu wa binguni asiwape nafasi more more Grace to you Yunice

  • @gerhardaiita1061
    @gerhardaiita1061 2 роки тому +4

    God protect the little Angel strength the parents powering their faith to spread that miracle all over the world bless all believe in you in different religions Amen *

  • @gracewambui5529
    @gracewambui5529 2 роки тому +5

    Hail Mary full of grace the Lord is with you . Mtoto Eunice, tell MAMA we are greatful for her presence in our lives. Grace. Kenya

    • @diselashirima368
      @diselashirima368 Рік тому +1

      Hizi n baraka kutokza kwa mwenyezi mungu,tunamshukuru mungu kwa miujiza anayotuletea ILi kutuimarisha kiroho na kuimarisha Iman yetu ya kikristo

  • @safiyaadams1882
    @safiyaadams1882 2 роки тому +3

    Angel Eunice. I am Apindo Safiya From Nigeria, I need your prayers of healing and deliverance in my Life. i have been suffering from spirit husband, monitoring spirit, blockage, witches, backwardness etc. please God send Angel Eunice pray for me. Thank God for your Life in Jesus name. i will call you.

  • @naomymose1866
    @naomymose1866 2 роки тому +4

    The one who was taking pichure of Eunice was not having good intentions, that is why, so great testimony glory to God.

  • @wanguimaina8031
    @wanguimaina8031 Рік тому +1

    Nielekeze ili nije huko naamini mungu ataniponya

  • @sylvesterambokile9593
    @sylvesterambokile9593 Рік тому +1

    Sasa tuombe sana tumwachie mtoto Eunice afanye kazi zake za kiume na uponyaji,tuache kwenda pale na kuanza kumhoji mhoji tena maneno na maswali magumu hasa hawa waandishi.Mbona watoa huduma wengine hamuwahoji?
    Mwacheni mpe muda afanye kazi.

  • @orethatamba3504
    @orethatamba3504 2 роки тому +2

    Wow this language is too much I can't understand a thing

  • @estherkangau2040
    @estherkangau2040 2 роки тому +2

    Tunakuombea Yunis Sana

  • @gerhardaiita1061
    @gerhardaiita1061 2 роки тому +3

    without God we can't do anything with God every thing will happen

  • @kknlghfblblanakere5946
    @kknlghfblblanakere5946 2 роки тому +5

    Amen nmeshukuru sana mungu awe pamoja nanyi kwa kazi nzuri. Naomba maelekezo ya mtoto Eunice nitumie maji nko na imani kwa sai nko uarabuni mbarikiwe

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      Ubarikiwe

    • @joacynfast6825
      @joacynfast6825 2 роки тому +1

      How do I reach to eunis from Uganda to Tanzania and how much will that cost interest of money

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      @@joacynfast6825 Via Mtukula tu Mwanza then to Bukama Rorya.

  • @lydiahanyango5066
    @lydiahanyango5066 2 роки тому +3

    Lazima nije nipate uponaji Kwa sister Yuni.

    • @lydiahanyango5066
      @lydiahanyango5066 2 роки тому

      Niko Kenya naomba nipate direction ya kufikia sister Yuni tafadhali

    • @zenahamunge3042
      @zenahamunge3042 2 роки тому +1

      Unaenda lini tafadhali tuendanishe please

    • @albertamligo1350
      @albertamligo1350 2 роки тому

      Naomba uzima nije kwako Sr.Yunis jamani nakupenda sana mwanangu umebarikiwa endelea kuliombea Taifa letu Tanzania

    • @lydiahanyango5066
      @lydiahanyango5066 2 роки тому +1

      Ntaenda December

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +1

      @@lydiahanyango5066 nilithani munaenda hivi karibuni niwatume muniulizie tangu nitume pesa za kutumiwa maji hadi leo sijawai tumiwa Italy mwezi umeisha napelekwa tu hivi hivi sasa hata siongeleshwi mukifika muniulizie my Kenyan sisters

  • @annaawinoolalaodero1672
    @annaawinoolalaodero1672 Рік тому +1

    Mungu ni mazuri sana sana Amen Amen

  • @gulobasusana9746
    @gulobasusana9746 2 роки тому +5

    Eunice mama you have grown big.

  • @josephinevicent1010
    @josephinevicent1010 2 роки тому +2

    Asante mungi

  • @rhoderotieno9465
    @rhoderotieno9465 2 роки тому +5

    We thank God for the gift of sister Eunice.May she contnue to grow in the Lord.

  • @yesunimwema4497
    @yesunimwema4497 2 роки тому +3

    Huyu ni mama agi, mamayake mwigine ni bikira maria, kaka yake ni yesu,majibu ya mtotowetu uni yamenifulahisha kabisa.

  • @LomayaniLukumayi
    @LomayaniLukumayi 4 місяці тому +1

    Yunis...nimangilia...maji

  • @perpetuamarabu8621
    @perpetuamarabu8621 Рік тому +1

    Daughter of our Mother Mary I love one-day I must come I believe

  • @RinahKweya
    @RinahKweya Місяць тому +1

    Natamani sana kufika hapo

  • @EstherOmosa-bx1kt
    @EstherOmosa-bx1kt 3 місяці тому +1

    Nyinyi ni wabalikiwa

  • @veronicakennedy9594
    @veronicakennedy9594 2 роки тому +2

    Mimi naitwa veronicah Kennedy nilichukua maji yalinisaidia pia Nina shida ya tumbo mniombeeni sana hasa sister Eunice

  • @mellenarasa8497
    @mellenarasa8497 Рік тому +3

    Kwa Imani moyoni mwangu haijalishi umbali wangu na kwa kina mtoto Yunis, nitayapata hayo Maji na shida zangu zitakwisha. Watching from Kenya 🛐🙏

  • @mirriammusyoka703
    @mirriammusyoka703 Рік тому +1

    I miss facing this little gifted angle but in God's name I will

  • @merryboss1527
    @merryboss1527 Рік тому +1

    May god eunce

  • @jamesmwansa3385
    @jamesmwansa3385 2 роки тому +2

    Niko nauliza banduku miye balisha ngiba Hela ifinikifika kwa eunice ogot akiniyombeya batalundisha Hela bale bantu baliniba nilikuwa nakopesha ya intere

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      hahahaaa utabarikiwa utapata nyingine

  • @bettyndanu945
    @bettyndanu945 2 роки тому +3

    Niko Kenya naeza para maji

  • @angelajohn5881
    @angelajohn5881 2 роки тому +3

    The baby is talented true true

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +4

    Amina sister Eunice 🙏🙏🙏 nashukuru mungu soon nitapata maji 🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺

  • @junioramoge6541
    @junioramoge6541 2 роки тому +3

    The great God.. i love what ever come from God..💘💘💘💘💘🌍

  • @perpetuamarabu8621
    @perpetuamarabu8621 Рік тому +2

    Amen Mama Unice far but praying together!

  • @FrankNzombo-ps8gw
    @FrankNzombo-ps8gw Рік тому +1

    Ujinga huu kweli ujinga hauishi

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  Рік тому

      Imani

    • @eflaziamahatane7981
      @eflaziamahatane7981 Місяць тому

      Sio ujinga inaweza ikawa keli ila hatupaswi kumuabudu unice kama mkombozi wetu 🤔🤔🤗🤗

  • @estheraluko3661
    @estheraluko3661 2 роки тому +4

    English translation would help more to draw many soles for blessings

  • @tushemerirwejackline8740
    @tushemerirwejackline8740 2 роки тому +3

    God bless you yiunis

  • @vennasayed4077
    @vennasayed4077 2 роки тому +4

    Let God bless this family and protect them 🙏 baby yunis continue pray for us

  • @naomymose1866
    @naomymose1866 2 роки тому +2

    Roho ya utatu mtakatifu kutokie kwa huyu aliyepigia enice pichure with bad intentions, it shows that she was going against the holy trinity.

  • @estherkache3965
    @estherkache3965 2 роки тому +3

    naomba sister Eunice aniombee niandikwe kazi uku Nairobi Kenya .Pia maonevu na kudhulumiwa kuniondokee nikuwe huru.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому +1

      Wanaohitaji mawasiliano ya mtoto Yunis ua-cam.com/video/qmCohLLxlOA/v-deo.html namba iko kwenye hii video.

    • @luciaevaristo4197
      @luciaevaristo4197 2 роки тому

      @@BMGOnlineTV nahitaji Maji nipo daresalam

  • @judithemali1454
    @judithemali1454 2 роки тому +3

    Amen 🙏

  • @pasilisajerono7409
    @pasilisajerono7409 2 роки тому +3

    OGod strengthen faith of baby yusi to countiue in is mission.

  • @benitamusembi6685
    @benitamusembi6685 2 роки тому +4

    MUNGU awambariki sana sana sana na amulinde sister Eunice Amen 🙏🙏🙏❤️

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому +1

      Amen

    • @benitamusembi6685
      @benitamusembi6685 2 роки тому +1

      Natokea Kenya nikijahuko napitia namanga ama upande wa Mombasa tafathali nielekeze🙏🙏🙏MUNGU awambariki sana

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      @@benitamusembi6685 Isibania-Sirari

  • @josphenembunde5805
    @josphenembunde5805 2 роки тому +2

    Goroto ndo nini plz mungu asidi kutumia huyo mtoto in Jesus name

  • @betigeorge3967
    @betigeorge3967 2 роки тому +2

    Na kwq online kwq wenye wako mbali wanahudumiwa aje

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      Sikiliza vizuri hapa ua-cam.com/video/1Dg11QvZXIc/v-deo.html

  • @gerhardaiita1061
    @gerhardaiita1061 2 роки тому +4

    parents of little angel Eunice blessed **** just speak the truths do the right things to glorify the name of God !!!!

  • @Sahra3718
    @Sahra3718 2 роки тому +2

    Niko uarabuni Bahrain nitaweza pata aje maji???

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому +1

      Sikiliza hapa hadi mwisho ua-cam.com/video/1Dg11QvZXIc/v-deo.html

  • @monicatuntu2898
    @monicatuntu2898 2 роки тому +3

    Amen

  • @beroparwothjustine6030
    @beroparwothjustine6030 2 роки тому +3

    I love this girl God continue to protect you dear

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 2 роки тому +3

    🙏🏾🙏🏾❤

  • @sylvesterambokile9593
    @sylvesterambokile9593 Рік тому

    Kazi za kitume siyo kiume

  • @safimajid4325
    @safimajid4325 2 роки тому +3

    God bless sister EUNICE keep protect her

  • @adelidemuseshi7179
    @adelidemuseshi7179 2 роки тому +2

    Amen

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 2 роки тому +2

    Hasipiwe yesu mimi niko kenya nita pataje

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      Sikiliza kwa makini hapa ua-cam.com/video/1Dg11QvZXIc/v-deo.html

  • @bernadettemwangi6874
    @bernadettemwangi6874 2 роки тому +2

    Habari ,mimi ni Berna ,niko Nairobi kenya ningetaka kufika huko ,naomba unielezee ile njia fuoi ya kunifikisha kule, sina idea

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      Ulizia huko Kenya njia ya kufika Tanzania ni ipi.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      Njia rahisi ni kupitiwa Isibania-Sirari

    • @khadijayusuph2634
      @khadijayusuph2634 2 роки тому +2

      Sirari' tarime'uliza magari ya kwenda Bukama utakuwa umemwona yuni"

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      @@khadijayusuph2634 kabisa

  • @gambonmgaya1286
    @gambonmgaya1286 2 роки тому +3

    Kuweni makini wanadamu ni siku za Mwisho.

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      Sawa

    • @florenceflorence1170
      @florenceflorence1170 2 роки тому +1

      Mimi nakwambia kama utaki Laana kutoka Kwa MUNGU achana nauyo mtoto kabiza funga kinywa choko ,, MUNGU ndie judgement ,,kama ujui hunduma za MUNGU ndani ya mwanadamu utasoma 1 wakorintho 12,4,11 nautazaidika ,atajua utendaji Kazi WA MUNGU ndani ya mwanandamu,kuongozwa na Maraika ,Ile tu wewe naona unatafuta Laana kutoka Kwa MUNGU ,nko Kenya Mimi ,Ila najua Kuna hunduma 5 nakila mtu alipoke aile yake ,kama wewe kaka ujitabui omba Roho mtakatifu aweze kufungulia kipawa chako nigani ,nauwache wivu, mtoto Eunice Ni sister wa kabiza , mtumish wa MUNGU, 👏

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому +1

      @@florenceflorence1170 Amen

    • @gambonmgaya1286
      @gambonmgaya1286 2 роки тому +1

      Unaongea huna ufunuo wala Hujajazwa na Roho mtakatifu akujulishe yalo mema namabayai nipe namba yako nikutumie ki2 whatsap

  • @bettycoulston1467
    @bettycoulston1467 Рік тому +1

    This ministry needs to be Supported ❤❤❤❤ God bless you sister Eunice.

  • @cheronomaureen4958
    @cheronomaureen4958 2 роки тому +2

    Kila wakati napomwona Mtoto Yunis najawa na furaha kweli. Asante BMG TV Kwa habari hizi natumai wakati ukifika nitafika huko. Baraka Tele. Atukuzwe Yesu Kupitia Mama Maria 🌹

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому +1

      Amen, Barikiwa

    • @albertamligo1350
      @albertamligo1350 2 роки тому +1

      Yunis nakupenda sana naomba baraka zako ziifikie familia yetu yote .Kwa namna ya pekee najileta mwenyewewe na changa moto zote ninazopitia Nina lmani naYunis kupitia Mama Bikira Maria zitakwisha pia Namleta kwako Mamangu mgonjwa anayesumbuliwa na Ugonjwa miaka mingi umponye Sr.Yunis.Naleta kwako pia Babangu mzazi Nina lmani utaniombea na yote yatawezeka hakuna linaloshindikana kwako

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      @@albertamligo1350 amen

  • @charlesaketch3647
    @charlesaketch3647 10 місяців тому

    Amen

  • @thedon8230
    @thedon8230 2 роки тому +1

    Amina

  • @freddykulwa8190
    @freddykulwa8190 Рік тому +2

    Tumsifu yesu kristor

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 2 роки тому +2

    La watachuma pesa kama njugu ujanaja kwa wajinga shirki tu watu wengi watajuta kushiriki bwana sio mchezo motoni bila ya kutoka

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому

      Wamekulazimisha kwenda? Ni hiari yako/ ya wanaoenda

  • @tekenya92
    @tekenya92 2 роки тому +3

    Tuelezee kutoka Kenya mtu anafikaje na hela ya huduma ni ngapi ya kenya

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому +2

      Anapatikana Kijiji cha Bukama Rorya mkoani Mara, Tanzania. Huduma ni shilingi 3,500 za Tanzania.

    • @otienonyamwalokeya8062
      @otienonyamwalokeya8062 2 роки тому +3

      Nishafika uko ni shillingi mia mbili ya kenya tumia njia ya serare kisha uchukue gari hadi tarime alafu pale utaulizia gari ya kwenda sirati rorya kwa maombi

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  2 роки тому +2

      @@otienonyamwalokeya8062 Barikiwa sana

    • @hellengoretti1620
      @hellengoretti1620 Рік тому +1

      @@otienonyamwalokeya8062 hebu nikuulize ukitoka Kenya asubuhi utsfika kweli?
      Miko na mtoto akili shida kidogo I really need to take her.
      Na hiyo maji itasaidia mlevi pia?

    • @hellengoretti1620
      @hellengoretti1620 Рік тому +1

      @@otienonyamwalokeya8062 pale Kwa boda wanataka Nini ndiyo uvuke?

  • @youtubeuse1576
    @youtubeuse1576 2 роки тому +2

    Mungu akubariki yunis na wazazi Yako Amen

  • @mwantimazdombo6049
    @mwantimazdombo6049 2 роки тому +2

    Kumbe Uyu mtoto nimkenya