Safi sana miaka 70 Nina miaka 12 nakumbuka Sana shemeji alikua na santuri zake tukipiga uwanjani kwetu nyimbo nyingi zilikua za tabora jazz ningeshauri anaepost atuwekee majina ya wapigaji walioshiriki kama wapo hai wafuateni mkawahoji najua wengi wametangulia ila wapo mfano mpiga bezi yupo Salum luzila. Sijui Athman tembo kama yu hai.
to be in love used to be unbearable especially when you lose the postal address but love was love you could feel it deep into the bones. the many options of communications have diluted love by easy accessibility. tis time when men were men. thanx and plz keep us posted with the kinds of GOLDEN MUSIK
Ndugu Asma T, It is true. During that time we looked at ourselves as one people because of the leadership of Ndugu Nyerere, Milton Obote amd even Juvenal. But what do we have in Uganda and Rwanda now? Superior races controlling almost everybaspect of peoples' lives!
@@ZilipendwaTanzania Kuna nyimbo zilizopigwa wakati wa Wema Abdallah kama Shemeji acha wivu, Fidea nk..enzi ya "Tetema".zilirekodiwa Radio Tanzania na nyingine ASL Kenya.
These voices were made in heaven. They're meant to elicit the inner being. You don't get them anymore
Safi sana miaka 70 Nina miaka 12 nakumbuka Sana shemeji alikua na santuri zake tukipiga uwanjani kwetu nyimbo nyingi zilikua za tabora jazz ningeshauri anaepost atuwekee majina ya wapigaji walioshiriki kama wapo hai wafuateni mkawahoji najua wengi wametangulia ila wapo mfano mpiga bezi yupo Salum luzila. Sijui Athman tembo kama yu hai.
to be in love used to be unbearable especially when you lose the postal address but love was love you could feel it deep into the bones. the many options of communications have diluted love by easy accessibility. tis time when men were men. thanx and plz keep us posted with the kinds of GOLDEN MUSIK
Very good memories. At that time Rwandan, Barundi, Zairians, Ugandan, Tanzanians ... were real friends who loved each other.
Ujumbe wa mziki ndani ya mapenzi hakika ya kale noma
When love was indeed real love
Hata mimi nakumbuka sana miziki ya aina hii kwa sababu miaka ya 70 mimi nilikuwa kijana bado.
Dada Hawa Tabora. Jazz imenikumbusha. Tabora Chuo cha Uhazili ilikuwa. Bab kubwa
Ndugu Asma T,
It is true. During that time we looked at ourselves as one people because of the leadership of Ndugu Nyerere, Milton Obote amd even Juvenal. But what do we have in Uganda and Rwanda now? Superior races controlling almost everybaspect of peoples' lives!
hUU NDIO ULIKUWA MUZIKI WA TANZANIA
Hawa has stolen your rohoo vibaya saana. Amuuka ndugu. Watoto wamapenzi wako wengi saana.
inanikumbusha enzi za school
Ndio Bwana
God will provide
Asma bado nyimbo nyingi za Tabora jazz Kama Mapenzi hayana Mganga n.k hazijapostiwa kama zipo tupia.
Kweli na hasa zilizopigwa wakati wa Wema Abdallah kama vile Fidea, Shemeji kwa mtindo wa tetema.
Babu yangu alikuwa anapiga Tabora Jazz, nitawawekea hizo nyimbo soon
@@ZilipendwaTanzania Kuna nyimbo zilizopigwa wakati wa Wema Abdallah kama Shemeji acha wivu, Fidea nk..enzi ya "Tetema".zilirekodiwa Radio Tanzania na nyingine ASL Kenya.
Ndugu asma t. Kuna uwezekano kuwasiliana nataka kukuuliza kuhusu kikosi chenu
MIMI ZINANIKUMBUSHA NILIPOKUWA KWENYE KAMBI YA MKONGE TZ NIKIWA NA WAZAZI WETU ENZI IMEPITA LEO NIKO OMAN MASCAT
good