AIC Shinyanga Choir - Tusimzoee Mungu (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Binadamu tusimzoee Mungu, yeye ndiye alieumba dunia na vilivyomo. tuache dhambi tutaangamia.
Albam: Mbeleko Umeichana
Facebook: aict ShinyangaChoir
Instagram: aic_shinyanga_choir_official
Ahsanteni aict shinyanga choir kwa kutimiza hitaji la moyo wangu....mungu awabarikie na kuwalandisha viwango na viwango
Amina. Barikiwa mtumishi
Exllent job
Napenda kutoa sadaka kwa huu uimbaji wenu,nipewe namba zenu tafadhali,Nipo NAKURU nchini Kenya 🇰🇪🇰🇪
Naipenda Sana AIC SHINYANGA choir,Yani mnanyimbo za upako mtupu,wooooow,nawapenda sanaaaa nikiwa Kenya jijini NAKURU,mmefanya natamani Sana kukutana nanyi siku moja
Amina. Asante
Hii ndo kwaya nambamoja huko Tanzania, inafatwa na Mamajusi choir Moshi, AIC SHINYANGA choir 🔥🔥🔥✨✨💥
Asante. Barikiwa
Aksate kwa ujumbe iyo,bwana awa lipie kwa nazi nzuri
Huyo soloist wenu ni Moto wa kuotea mbaliiii🔥🔥🔥💥💥✨✨
Mubarikiwe sana tumemzoweya kweli atuhurumiye
Waooooooo my favorite song over all albums produced
Barikiwa
Nilidhani mliacha kuimba kumbe bado mpooo Tena bado Moto wa Roho ndani mwenu ungali mkali,hakika mnaye choirmaster hodari Sana,ni mashuhuri katika kuimba,Ana sauti ya kupenyeza NENO mioyoni mwa watu
Amina. Barikiwa
@@aicshinyangachoirofficialp3482 natafuta number ya victor
Mage unajitahidi sana kusolo nyimbo mbarikiwe
Best choir ever
Nilidhani mliacha kuimba kumbe bado mpooo,Tena mmejazwa nguvu tele na MUNGU
Hongera sana kwenu na wapenda sana lkn kwakua hii ni offical account basi wekeni nyimbo zenu zote hata zamani tunawamic sana
nawapenda sana!