![AIC Shinyanga Choir Official Page](/img/default-banner.jpg)
- 16
- 3 561 441
AIC Shinyanga Choir Official Page
Tanzania
Приєднався 31 гру 2019
Відео
AIC Shinyanga Choir-Jiwe (Official Video)
Переглядів 79 тис.Рік тому
AIC Shinyanga Choir-Jiwe (Official Video)
AIC Shinyanga Choir-Bwana tusaidie (Official Video)
Переглядів 27 тис.Рік тому
AIC Shinyanga Choir-Bwana tusaidie (Official Video)
AIC Shinyanga Choir-Fimbo ya Musa (Official Video)
Переглядів 26 тис.Рік тому
AIC Shinyanga Choir-Fimbo ya Musa (Official Video)
AIC Shinyanga Choir-Na ahimidiwe (Official Video)
Переглядів 24 тис.Рік тому
AIC Shinyanga Choir-Na ahimidiwe (Official Video)
AIC Shinyanga Choir-Ngome (Official Video)
Переглядів 26 тис.Рік тому
AIC Shinyanga Choir-Ngome (Official Video)
AIC Shinyanga Choir - Sheria/Mahakama (Official Video)
Переглядів 410 тис.4 роки тому
Kwa neema ya Mungu, AIC Shinyanga kwaya ilipata nafasi ya kuhudumu katika maadhimisho ya wiki ya sheria/mahakama ya mwaka 2020 kwa ngazi ya mkoa, mkoa wa Shinyanga tarehe 06.02.2020, kauli mbiu ikiwa "UWEKEZAJI NA BIASHARA, WAJIBU WA MAHAKAMA NA WADAU KATIKA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI YA UWEKEZAJI" Audio production; Edema's Digital Studio #specialproject #mahakama2020
AIC Shinyanga Choir- Bwana Asema Hivi (Official Video)
Переглядів 77 тис.4 роки тому
Bwana asema amelaaniwa mtu yule amtengemeaye mwanadamu, kuwa kinga yake na moyoni mwake amemwacha Bwana.
AIC Shinyanga Choir - Wastahili (Official Video)
Переглядів 50 тис.4 роки тому
Ni Mungu tu pekee ndo anastahili sifa na utukufu. Albam: Bwaba wa majeshi Facebook: aict ShinyangaChoir Instagram: aic_shinyanga_choir
AIC Shinyanga Choir - Ng'ang'ania Baraka (Official Video)
Переглядів 1,1 млн4 роки тому
Kama jinsi Yakobo alimng'ang'ania malaika ambariki, ndivyo nasi tumng'ang'anie Yesu atubariki. Albam: Nga'ng'ania Baraka za Bwana Facebook: aict ShinyangaChoir Instagram: aic_shinyanga_choir_official
AIC Shinyanga Choir - Utakosea (Official Video)
Переглядів 86 тис.4 роки тому
Utakosea ukitenda dhambi. Dhambi hakuna kubwa wala ndogo. Dhambi zote hukumu yake ni ileile. Albam: Mbeleko Umeichana Instagram: aict_shinyanga_choir_official Facebook: aic ShinyangaChoir
AIC Shinyanga Choir - Tusimzoee Mungu (Official Video)
Переглядів 70 тис.4 роки тому
Binadamu tusimzoee Mungu, yeye ndiye alieumba dunia na vilivyomo. tuache dhambi tutaangamia. Albam: Mbeleko Umeichana Facebook: aict ShinyangaChoir Instagram: aic_shinyanga_choir_official
AIC Shinyanga Choir - Amua (Official Video)
Переглядів 454 тис.4 роки тому
Amua leo, uamuzi ni wako, amua vyema uridhi uzima wa milele. Albam: Mbeleko umeichana Follow us on; Instagram: aic_shinyanga_choir_official facebook: aict ShinyangaChoir
AIC Shinyanga Choir - Okoka (Official video)
Переглядів 16 тис.4 роки тому
Wimbo wa Okoka, ni mahubiri tosha kwetu, yanayo tufundisha kumkumbuka MUNGU wakati wa uhai na uzima wetu hapa duniani. MUNGU wetu ni MUNGU anaesamehe na kusahau, haijalishi umefanya mabaya mangapi. Ukitubu na kumkiri kuwa BWANA na MWOKOZI wa maisha yako UTAOKOKA. Albam: Mbeleko umeichana Facebook: aict shinyangachoir Instagram; aic_shinyanga_choir_official
AIC Shinyanga Choir - Nalilia uzima (Official Video)
Переглядів 1,1 млн4 роки тому
Nalilia uzima, ni moja kati ya nyimbo inayogusa moyo na kutukumbusha kuwa uzima wa mwanadamu uko mikononi na Mungu, shetani akijaribu kutuagusha tusikate tamaa, tuendelee kumtengemea Mungu katika kila hali. Albam; Mbeleko Umeichana Facebook: Aict ShinyangaChoir Instagram: Aic_shy_choir_official
AIC Shinyanga Choir - Katika Shida zangu (live recorded DAR)
Переглядів 6 тис.4 роки тому
AIC Shinyanga Choir - Katika Shida zangu (live recorded DAR)
Wimbo mzuri sana
God bless y'all
Moja ya nyimbo ninazo zipenda sana mbarikiwe sana
2024 still nabarikiwa mno
Good song🎉
Nakumbuka World cup 2006 kabla mechi haijaanza tunawekewa hii albam kwanza
Ameni nimebarikiwa na hu Wimbo sana mawaompea mwendele na hiyo Neema❤
4:58 now days kwaya hazieleweki tena
Nalilia uzima wa milele🙏🤗
Nalilia uzima kutoka kwa Bwana ili nikaishi naye katika uzima, uzima wa milele. Amina.
Wimbo huu unanibariki sana nakumbuka siku wwanzindua mama yangu alifariki😢
pamoja sana
This song right here, , , it is spiritual warfare! Grateful to have you Holy Spirit ❤
Nice
Wimbo huu utabakia kuwa wa vizazi
Mungu awabariki sana❤❤❤❤❤❤❤❤
Nivizuri Sana kumulilia mungu❤❤❤❤❤❤
Napokea upako ninapokuwa nasikiliza nyimbo hizi
Am❤
2024 🙏🏾🙏🏾
Mbarikiwe watumishi wamungu kwawimbo wenu mzuri
Nyimbo za zamani ndio nyimbo haya siachi kusikiliza
Nishaa sema choir ndo zilikua naimba gospel zakubariki sio hao wafanya biashara na injili 😊
🎉
Naipenda xana uu wimbo ,nalilia uzima ❤❤barikiweni xana
Amen mzuri sana nimependa
Nimeipenda Santa ❤
Mimi si wa AIC ila napedezwa na nyimbo sana😊
AIC Shinyanga mko vizuri sana, ninahitaji kupata matoleo yenu ya zamani ikiwepo Amani Duniani imekwisha, Kwa Mungu hakuna mzee n.k. Naombeni mawasiliano yenu.
Jacob wrestled with an angel till dawn and he was blessed Jacob wrestles God for the blessing God intended for him all along I used to listen to this song when I was too young it's such a blessing
Jacob wrestled with an angel till dawn and he was blessed
Huu wimbo umenikumbusha mbali
So powerful always wants me to cry each time I listen to this song. So so Powerful.
Amen
God bless all
Hata Mimi nipenda
Anna niliolewa
Frame hold effect at 4:23 is something else, nakumbuka 2007 baba mdogo alitununulia mkanda wa VHS ikawa ni kuangalia kila siku
I had to replay that part 4:23 after reading this comment ❤
That reminds me of the old film era, the effect is now replaced by speed ramping or speed remapping
Amen
WADAU,GOD BLESS YOU ALL ❤❤❤
Amina nabarikiwa sana Kwa wimbo huu
Nawapenda AIC shy,huu wimbo unanibariki sana,
Nimependa wimbo pamoja na staili yao.mbalikiwe
2024-2030 am still blessed with the song 🎉
Amina.
Kila nikiangalia nakumbuka mbali.. Miaka iyo nikiimba. Tisini naa huko
Tuwapige jeki watu wote, tusikoseane kamwe
Nyimbo zilizojaa utukufu wa mungu
jameni naomba number ya mtunzaji
Barikiwa sana