Watakiona.hiyo kauli ilikuwa ya mshambuliaji hatari wa Simba marehemu Saad Alli miaka ya sabini na Tano faisali kuja Simba timu zingine watakiona huyu mtoto mpira anaujua kandambili watakoma
Aende2 kwani hata asipo kuja kwetu poa Sana maana kilicho mpeleka simba ni pesa na atakuwa akilipwa gali pia mpira ni biashara hivyo kila la heri sisi yanga tutazidi kusonga mbele bila fei toto aende
Hapo nakubali boss mo
Congratulations Mo
Asante mo kwa kutuheshimisha wana simba kwa feisal kutua unyamani
Very good, I salute you Mr.Mo
Naomba wana Simba tuungane na MO anatupa heshima kimataifa! Tumuami.
Sema la CAF lingesha sema na Dunia ingekuwa kupatwa kwa jua Tanzania
Uhakika auwanazimgua
mo.waoneshe.hao.wengine
Wew uhakika umeutoa wap,
Broo mbona kama tushachoka kudanganywa wewe
Hahahaha toka nianze kufuatilia interview zako ndio kwanza Leo naona unacheka
Mtajua tu kenge Kwa kihatzabe anaitwaje,maana mnatamani kufa mnaposikia habari za Fei kudondokea Simba
Asante mo ukifa huozi
Watakiona.hiyo kauli ilikuwa ya mshambuliaji hatari wa Simba marehemu Saad Alli miaka ya sabini na Tano faisali kuja Simba timu zingine watakiona huyu mtoto mpira anaujua kandambili watakoma
Kuleni mtori nyama zipo chini
Siamini mpaka nionedieisha dogo likifunguliwa maana hii nimeisikia na ikafeli tangu mwaka jana
Wewe muwongo
We kama ujue kama Kasain kaush situnaojua tunainjoe tyu
Uongo mtupu
Ya maan pale mbele hapn mfungj wa kuamnk
Aende2 kwani hata asipo kuja kwetu poa Sana maana kilicho mpeleka simba ni pesa na atakuwa akilipwa gali pia mpira ni biashara hivyo kila la heri sisi yanga tutazidi kusonga mbele bila fei toto aende
Achen kuunganisha doti zisizo
uyu jamaa kazidi uongo mno coz si mara ya kwanza kusema ivyo
HUYU ANAONGEA NINI HUYU LINI FEI AMESAINI SIMBA
Wale wa Sizitaki mbichi hizi.
Huyu nae ni muongo sana hizi stori ni za tangu mwaka jana
Jamani huyo ni kaka wa kukopi et?
Mnatafuta kiki kwa uongo cyo
Mnazingua
Et kaka 😂 kilasku unaropoka pmb wewe
Acha uwongo weweee
Uongo mtupu