Mh wewe ni kioo cha Jamii so kauli yako ambayo angeitoa mtu wakawaida inakua ni kawaida but not a leader sasa si umeona huyo kajibiwa hivyo so mkuu kubali umeyumba kidogo mkuu kauli yako inaweza kufanywa sababu ya watu kupata shida na kuzitumia km sababu kwa kuwa wewe umewapa jurisdiction ya kufanya uovu
Ukweli unabaki palepale... ! Ni unyama kuwaambia wakina mama, wakazalie manyumbani mwao. Kwani, hizo gloves za Samia ulizosema, huwa anatumia pesa ya kutoka kwa família yake? Sio za kodi za watanzania?!
Swala la huduma za mtoto na mama wakati wa kufungua ni bue nchi ya Tanzania kuna kodi nyingi na imejaliwa rasilimali nyingi sana kwani mama mtoze hela wakati wa kujifunguwa ? Viongozi watumia magari ya garama kubwa kwa kodi za wazawa alafu mjinga mmoja tena mkuu wa mkoa anaongea kama bata shem on you
Duuu Yani hii nchi mlipa Kodi hasaminiki kabisa hivi hizo dawa huyo rais Samia kanunua kwa pesa yake au Kodi zetu ? Hawa viongozi wa aina hii wanawataga wapi ?
Mshukuru Mungu wewe una fedha kwa sababu una kazi.Kuna wengine hata kula yao wao na watoto wao ni mtihani itakua hiyo hela ya matibabu!
Daaah.kiongozi panga maneno ya kuongea.umeharibu 😮
Huyu ni kiongozi wa hovyo sana na anadhalilisha wananchi na wapiga kura wetu. Anakuwa mtu wa hovyo na amejaa kiburi. Sisi kama wananchi hatumtaki
Yaani kweli mtetezi wa wanyonge ameshakufa
Tulimchukia magufuli lakini maji na mafuta ndio yanajitenga sasaivi mh ikifika mwisho tutakufa tu
Mimi nikuelewa mweye macho haambiwi tazama wanaichi tufate utarati kupa nikuchagua
Hii ndiyo tabu ya kula kwa shika moo dawa siyo za kodi zetu tena ni za samia makubwa !!!"
Mh wewe ni kioo cha Jamii so kauli yako ambayo angeitoa mtu wakawaida inakua ni kawaida but not a leader sasa si umeona huyo kajibiwa hivyo so mkuu kubali umeyumba kidogo mkuu kauli yako inaweza kufanywa sababu ya watu kupata shida na kuzitumia km sababu kwa kuwa wewe umewapa jurisdiction ya kufanya uovu
Huyu jamaaa bendera fwata upepo simuerewagi kabsa kajisahau sana cheo zamana ipo sku
Ahaaaa
Huyu hafai kuwa hata kiongozi wa nyumba (10)
Jieleze vzr
Hivi hawa viongozi wanatambua kuwa hspo walipo wapo kwa ajiili ya wananchi?Tanganyika yangu
Nimekuelewa
Nimekuelewa vizuri
Ukweli unabaki palepale... ! Ni unyama kuwaambia wakina mama, wakazalie manyumbani mwao. Kwani, hizo gloves za Samia ulizosema, huwa anatumia pesa ya kutoka kwa família yake? Sio za kodi za watanzania?!
Ila chalamila unazingua sana huna utu kwa wananchi wako uko harsh sana
Kwahiyo Wakaazi Wa Temeke Wote Hucheza Vigodoro Kila Siku 🙄🙄
Mkuu unatukosea xna na serekali yenu,inatakiwa watu watibiwe bure,mambo ya vigodoro hayakuhusu
Swala la huduma za mtoto na mama wakati wa kufungua ni bue nchi ya Tanzania kuna kodi nyingi na imejaliwa rasilimali nyingi sana kwani mama mtoze hela wakati wa kujifunguwa ? Viongozi watumia magari ya garama kubwa kwa kodi za wazawa alafu mjinga mmoja tena mkuu wa mkoa anaongea kama bata shem on you
Duuu Yani hii nchi mlipa Kodi hasaminiki kabisa hivi hizo dawa huyo rais Samia kanunua kwa pesa yake au Kodi zetu ? Hawa viongozi wa aina hii wanawataga wapi ?
Huyu jamaa atenguliwe ukuu wa mkoa amekuwa na Jeuri na ubunifu hana kuongea tu atolewe
Mbona mwenzako makonda kwenye mkoa wake alipiga marufuku kuzuia maiti wewe unaongea vyako Kila mkuu wa mkoa anatamko
Tumsikilize utetezi hiki kipindi cha uchaguzi baadhi ya waandishi wanaongeza chumvi. Tuwe makini
Mhhhh
Kama ni mkuu wa mkoa basi ni zaidi ya waziri huyu ni wa hovyo kabisa
Huyu mkuu wa mkoa wengine je
Mh. Charamila wewe msukuma? Mbona kingereza unaongea kama msukuma? Au hukijui unalazimisha , mbna kiswahili kimenyoka?
Sijaelewa chochote.
Hakuna kila kitu hapo
Huyu aniye RUHALA.WAHEHE NA WABENA MTAELEWA.
nimekuelewa mkuu uko sawa.piga spana