Asante sana! Nimekumbuka mbali sana! CCM kata 14 Temeke! Tusaidie album nzima maana baadhi ya nyimbo hazipo UA-cam, Kama ule ",,,naomba ewe mola wangu unisaidie mimi yatima matesooo" Things go like that ❤
Sauti ya Joseph Maina imehanikiza pia Moshi William kajitokeza sana Guitar limekungutwa na Abdi Ridhwan Totoo pangamawe. Joseph Lusungu na Mnenge Ramadan wapo ktk Trumpet na Saxophone....Msondo usipime
Asante sana!
Nimekumbuka mbali sana!
CCM kata 14 Temeke!
Tusaidie album nzima maana baadhi ya nyimbo hazipo UA-cam,
Kama ule ",,,naomba ewe mola wangu unisaidie mimi yatima matesooo"
Things go like that ❤
kutokana na kukithiri kwa mauaji yanayotokana na wivu wa mapenzi, vituo vya redio vilazimishwe kupiga nyimbo kama hizi. Mafundisho mazuri sana.
Ujumbe MURUA KABISA,NA KWASASA MAUAJI KUTOKANA NA WIVU WA MAPENZI YAMEKITHIRI
Sauti ya Joseph Maina imehanikiza pia Moshi William kajitokeza sana Guitar limekungutwa na Abdi Ridhwan Totoo pangamawe. Joseph Lusungu na Mnenge Ramadan wapo ktk Trumpet na Saxophone....Msondo usipime
We msondooooooo
Utunzi wa Issa Ramadhan maarufu baba Hisaya ,maina akautendea haki kwenye kuimba