Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mashaallah ujumbe umefika
Mnunulie simu kubwa😂😂mnyime ftari mwezi mzima🤣🤣
Kazi Safi sanaaa new star mnastahili hongera kubwa kubwa kubwa
nice one
Nimesoma kitu au jambo hapa
Ramadhan Mubarak
Mashaawh ila za kuchkesh pia tnatk
Umentupa funzo kubwaa sana Allah Awabarik
Masha ALLAH
MashaAllah MashaAllah Said Mjomba Umekuwa sasa tunataka muendelezo funzo kubwa sana
Mamengwa ataka awhatsAppke 😂😂😂
Ujembe Mzur Ma sha Allah na wakujifunza Tumejifunza ❤❤❤❤😊😊😊
Mtihani ramadhani ni mwezi wakuchuma lakini twaichuma sie haaaaaaa baada utake futari wataka simu ilio kupita kimo
Mmh Said mjomba unaongea vzr sana me napenda unavyoingea kwa vituo nakufananisha na GABO
Yan huyu mwanamke Yan yeye kashaambiw hali ningum na hata hajal eti ataka simu kubwaaa daaaah subra kweli inahitajika
Yamtosha hiyo elfu 3
Wee said mjomba unahekma hizo kweli mana skuzoote unatupiga vijembe kupita kiasii🤣🤣🤣
Kidundo yuwapi?
ZINAPATIKANA WAPI CD AU FILAM ZENU KWA HUKU UNGUJA