Huyu bibi nimempeleleza hajui kuwaombea mungu walio msaidia... mkubwa kwako unaomba watu waziri kumsaidia, mfundishe kushukuru na kuwaombea dua watu walomsaidia.. Baba Fahad anajua kuwaombea mungu watu walomsaidia na kuwashukuru.. ila huyu bibi wala hajui kabsaaa, allah atamuongoza
Fabi wangechangia hata elfu 2 kwa mwez itasaidia bili kuliko kuchota bure kabisa sababu mtaa mzima watahamia hapo sababu ni bure shida itakuwa kwa bibi,,,ni ushauri tu jamani
Furaha yangu basi natoka machozi Allah akulupeni kher fabi na wote walochangia hili na jengine Allah awaingize pepon kwa mlango wanaotaka 😢😢😢daah yaani siwezi kuzuia chozi langu
Allah awalipe kheri kwa kila alie jitolea lakini fabi hapo wakati kushawarahisishia kufua kisimani kisa maji yatatumika sn itakuwa shida watayachota hapo wakafue majumbani mwao labda uhofie wakifua hapo wataweka uchafu lakini sio maji kutumika sn itakuwa ngumu au walipie mchango wa maji
Fabi hiyo bomba iwekewe kifungio na kufuli lake jioni afunge,na ingewezekana majirani wachangie kwa kila ndoo ili pesa imsaidie bibi mahitaji madogo madogo,majirani wanafurahi hapo ila baadae itakuwa fujo tu wala hawataenda kufulia mtoni
Naona huyu Fabi amekuwa mbaguzi, ni huyu bibi tu na familia yake kina baba Fadi na jopu lake. Maskini yule mama na watoto wake wadogo na mmoja mgonjwa amemtupa
Omari awe anawatoza alau sh 200 anaweke. Kuchotesha bure maji bure ilikuwa miaka ya nyuma siku hizi bill ni kubwa mno:itakuja bonge la bill. Halafu watafungiwa bb wa watu akose maji.
Maasha Allah ....Hii ni sadaka zuri sana katika sadaka.ALLAH ajaalie kwa aliyetoa iwe ni asbabu ya kuingia peponi.Aamiyn
Sadaka jaria: duniani Allah awape hasana na akhera hasana
Ameen ya Rabb
Amiin
Aamiyn yaa Rabb
Ahsant sana fabi kwa kumjali na kumpambania bibi mwenyezi mungu awape imani usaidie wangineo kila mwenye hali ngumu mungu awasimamie insha Llah
Mashallah Allah awabarik wote wenye kutoa kwanamna Moja ama nyingine Allah awazidishie kwawalicho punguza
Màshallah Màshallah Màshallah mungu Amzidishie Hugo.Alietowa Sadaka sake Jamani
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AWALIPE KILA LA KHERI ALOJITOLEA MUNGU AMJAALIE JANNA FEEDAUS
Uyu mam aangu mdogo alovaa kanga kifuwan mtot wa babu yng mashallah
Masha allah. Mashaallah masha allah
Mashaaallah Fabian Umefanya kazi kubwa kwa kumpambania bibi mpaka kupata maji Allah Awalipe Ujira ulio mwema kwa wote wanaojitolea kumsaidia bibi
Mashaa Allah
Allah barik
❤❤❤❤❤❤❤❤ manshallaah TABARAKALLAAH alie jitolea allaah amzidishie pale alipo towa apate zaidi
Fabi umekesha Sana hongera Sana Mungu akubaliki mnooooooo
MASHA ALLAH, MASHA ALLAH, ALLAH TABARAKA WA TAALA, AWALIPE KILA LA KHERI
Màshallah Màshallah Màshallah Fahby mwanangu mungu Akulinde Kwa kuwafurahisha wanyonge jamani
Daah mashaallah allahumma barik Allah awalipe kheri maji ni uhai yani malipo yenu wote mlio wezesha jambo la bibi mtayakuta kwa Allah
Maa Shaa Allah
Masha allah Allah bariki kwakila alieweka pesa yake nawewe fabi na Adam Allah atawalipa kwakweli
MashaaAllah Allah awabariki sanaa ❤❤❤
Mashallah ❤❤❤❤
Mashaa'Allah ❤❤❤
Mansha'Allah Mansha'Allah
MashaAllah Tabaraq Rahman 🎉🎉, Mungu akubariki sana fabi
Masha ALLAH Alhamdulillah
MaShaAllah Allah awabariki wote walokamilisha hili. Bora ungaliwaambia wakachangie umeme kila mwisho wa mwezi. Shukran
Mashallllah sadaka jariya nzuri sana mmmashallllah❤
Mashaa Allah mungu amzidishie
Masha'Allah
Alihamdulilah maashaallah majirani wateke napesa ndooo mia
Mashallah safi sana
Mashallah Mashallah ♥ ♥
Mashallah mashallah mwenyezmungu amjaalie aliye jitolea hii swadaka
Bibi na kupenda sana❤❤❤
Maashaallah Maashaallah Allah awalipe wote mlio jitolea. Hongera sana Fab
Alhamdulilah munguawajaliyenikilalakher
Mashallah kk fabi mungu akulipe
Alhamdulillah ❤❤❤
Aaalllahmdulilah yarab
Mashaallah kweli maji ni uhai hiz ndio amana za kuwekeza hp dunian
Good boy fabi mwenyezi mungu akulinde
Mashallah
Mashaallah Allah atakulipa hiki ulichokifanya ni sandakan kubwa duniani na kesho khahera
Mashallah mashallah mungu awafamyie wepes wote waliojitolea
Allhamdulilah
Mashaallah ❤
Mashaallah Allah amjaalie Yule aliejitolea❤❤❤❤🎉🎉
MashaAllah ❤❤Allah amuongezee alietoa sadaka hii kwa kweli Bibi na nyotayake❤❤
Masha Allah, Faby nakupenda sana
Majirani wazuri
Maishallah fabi mwezi mungu akuzishie moyo huo huo na wanatoa michango
Mashallah mashallah mashallah tabaraka Rahman 😂😂😂❤❤❤nawapenda sana
Fabi mungu akuhifadhi inshaallah 🤲🤲na bibi nae ana mambo 😂😂 Alhamdulillah
insha munguawawekee majiya zamzam sikuyahesabu
Nimefurahi
❤❤❤❤ mola awazidishie mlipo mtoa awaongezee inshallah
Walipe bili jaman kuteka bure malipo yatakua shida mchango utasimama halaf watadaiwa walipe to
Kwakweli mwenyezi Mungu atakupa kk umemfanyia vitu vingi sn mwambie bibi hao majirani wampe pesa siitakunatakiwa bili kila mwezi
Walipe hapo sio bure wanachekelea tu
Bibi❤😂😂😂
Jaman Fab ongera sana. Lakini Feb kuchota bura bill ataweza bb kulipa bil?l❤❤❤❤
Mgeni fika wenyeji wa pone mungu a bariki
😂😂😂 bibi anafurahisha uyu mashaa allah
Huyu bibi nimempeleleza hajui kuwaombea mungu walio msaidia... mkubwa kwako unaomba watu waziri kumsaidia, mfundishe kushukuru na kuwaombea dua watu walomsaidia.. Baba Fahad anajua kuwaombea mungu watu walomsaidia na kuwashukuru.. ila huyu bibi wala hajui kabsaaa, allah atamuongoza
Sio kweli
Umeangalia interview aliyoletewa mashuka na pazia!? Mbona amewaombea Sana tu jamani?
Una roho mbaya na unachuki sana uyo bibi ameshukulu sana na amewombea sana Dua watu
Wakat mwengine sio adi mtu aombe dua umsikie dua nzur ni ile ya kimya kimya
Hili jina lina shida. Mnajiona mnjua kila kitu😂😂😂.
Bibi wawatu ameshukuru sana
Fabi wangechangia hata elfu 2 kwa mwez itasaidia bili kuliko kuchota bure kabisa sababu mtaa mzima watahamia hapo sababu ni bure shida itakuwa kwa bibi,,,ni ushauri tu jamani
Kweli kabisa hao majirani nao wajiongeze😂😂
Masha allah allah azidi kuwajia lidhiki njema na ya halali inshaall🙏🙏🙏
Aki bibi huyu sw aki juu ana tufuraisha sana aki❤❤🎉
Furaha yangu basi natoka machozi Allah akulupeni kher fabi na wote walochangia hili na jengine Allah awaingize pepon kwa mlango wanaotaka 😢😢😢daah yaani siwezi kuzuia chozi langu
insha allah mirankhasanati yenu wootefabinialojitoleya maji
Mashallah Allah kwakweli huyu amefanya sadakta na Allah ataendelea kupata kheri mpk kufa kwakwe
Masha Allah bibi anafurahi na kupiga kingereza 😂
Alhamdulillah mungu awazidishie wote wanao msaidiya huyo mama etu niwapi hapo Jaman?
Hapo fabi itakuwa ishu kubwa .itakuja bili kubwa sana .bibi haoni watafanya fujo tu
Allah awalipe kheri kwa kila alie jitolea lakini fabi hapo wakati kushawarahisishia kufua kisimani kisa maji yatatumika sn itakuwa shida watayachota hapo wakafue majumbani mwao labda uhofie wakifua hapo wataweka uchafu lakini sio maji kutumika sn itakuwa ngumu au walipie mchango wa maji
Fabi bibi asiende mtoni afulie hapo nyumbani yeye
Fabi muguata kulipa
❤❤❤😂
Nyie mnaosema bill kwani bomba limeletwa kwa mchango si mtu tu kajitolea hiyo ni sadaka yake..
Mungo awaongozeni kwenye njia njema
Fabi naomba no.yako ya watsap
0719141723
Bib na hicho kiingilish 😂😂
Hahaaaaa bibi orait
Bora tu wangechangia kidogo maana mtu anaweza sombelea nyumbani anafua usiku anajaza kwa mapipa
Sasa ka fab hapo si itakuwa mtu anachota maji anaenda kufulia kwake yy bibi atajua vp
Fabi hiyo bomba iwekewe kifungio na kufuli lake jioni afunge,na ingewezekana majirani wachangie kwa kila ndoo ili pesa imsaidie bibi mahitaji madogo madogo,majirani wanafurahi hapo ila baadae itakuwa fujo tu wala hawataenda kufulia mtoni
Naona huyu Fabi amekuwa mbaguzi, ni huyu bibi tu na familia yake kina baba Fadi na jopu lake. Maskini yule mama na watoto wake wadogo na mmoja mgonjwa amemtupa
Wanunue ayo maji. Bili itakua kubwaa. Awato fua mtoni. Minipo paree nimekaa
Italeta ugonvi wesubiri
Kbs ika fabi yupo ht simama imara😂😂
HUO NI MFANO MZURI SANA WA KUIGWA.TUSIWAACHE WAZEE WETU WATAABIKE.MUNGU AWABARIKI SANA
SADAKA SII MSIKITINI TU AU KANISANI.HATA KWA WAHITAJI..WACHOYO ACHENI KUSEMA BILI KUBWA.WENYEW WATASIMAMIA.
Tafuta kopo na kufuli awe usiku anafunga asubuhi afungua
Mnunulie mkeo gas mtungi mkubwa
Omari awe anawatoza alau sh 200 anaweke. Kuchotesha bure maji bure ilikuwa miaka ya nyuma siku hizi bill ni kubwa mno:itakuja bonge la bill. Halafu watafungiwa bb wa watu akose maji.
Aliyeweka ndo kaamua hivyo dear ni sadaka yake acha tu
Kwakwel @@khadijasayeed3381
Walipe bili fabi watachota wataenda kufua ndani mwao walipe bili kasoro bibi
🎉🎉🎉🎉