DUA YA KUTENGANISHA MTU NA UADUI YASINI (41)maalim shabani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @JanetMadalamba
    @JanetMadalamba 19 днів тому +1

    Mwez mungu nakuomba Kwa baraka yakisomo hiki kikawatelekeze wale mahasid fitina na wachawi wote wenye kunifanyia mabaya na familia yangu waangamie Leo hii bidhiin Allah amen

  • @KuluthumKuluthum-xf3xf
    @KuluthumKuluthum-xf3xf 2 місяці тому +3

    Emwenye zimung ktk kisomo hiki yaarab ikawe kinga ktk family yng nyumba yng pia ktk kazi ya mume wng inshallah tuepushe na wachai husda pia mashwetwan ya allah 🤲🤲🤲

  • @DukilaSalumu
    @DukilaSalumu 14 днів тому

    Ya ALLAH kisomo hiki kiniondoshee kila aina ya dhiki na matatizo yanayonisumbua ktk maisha Yangu 🤲🙏 aaamiin Inshaallah

  • @Aisha-o4v
    @Aisha-o4v 11 днів тому

    Shukran sana shehe amin Allah ajalie maqubuli yaduwa hii

  • @موناجابر-ت5ث
    @موناجابر-ت5ث Місяць тому +6

    Ya Allah naomba ninufaike kisomo iki kwaamana nadhalilishwa pasipo na sababu zozote na awa maadui zangu wote kisomo iki kiwateketeze

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 8 місяців тому +2

    MashaAllah

  • @BiashaAli-w6o
    @BiashaAli-w6o 2 місяці тому +1

    Alhamdulillah

  • @twalibuathumani-v7r
    @twalibuathumani-v7r 23 дні тому

    Yaalla niondoshee matato yang mazito yawe mepesi kupitia kisomo hiki inshaalla amiin

  • @biashaali-fp7mf
    @biashaali-fp7mf 7 місяців тому +1

    Shukran ya rabeel

  • @UmmyAbdul-c3c
    @UmmyAbdul-c3c 29 днів тому

    Mwwnyezi mungu nakuomba kwa baraka ya kisomo hiki ikawatelketeze wale mahasidi fitna na wachawi wote wenye kunifanyia mabaya na familia yangu waangamie biidhini allah

  • @MerryThomas-k5i
    @MerryThomas-k5i 2 дні тому

    Emwnyezi mungu nahomba unisaidie nimejiungamisha na duwa ii wachawi woto wanao nifwatilia wakaangamie nai duwa na waonishikia dawa mbaya wakaangamie na kuteketea Miko's na vifungo na mauchawi kwenye mwili wangu vikateketee ameen

  • @Hidaya-os1pg
    @Hidaya-os1pg 29 днів тому

    Amiin , ewe alla niondolee maradhi yawe yakawaida yakijin aubyakichawi niondoshee Allah kupitia kisomo hiki ya allah

  • @JanetMadalamba
    @JanetMadalamba 19 днів тому

    Mungu azid kuwatia nguvu

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 3 місяці тому +1

    Assalam alaykumu walhama tullahiwa barakatuh! Mashaallah Allah awaripe kilallakher

  • @elsimaniga
    @elsimaniga 8 місяців тому +2

    Shukran

  • @AminaAman-ec4he
    @AminaAman-ec4he 6 місяців тому +2

    Alla awalipe heli hapa duniani na ahela kwa kisomo hicho kizuri mashaallaa

  • @Bahat-q3g
    @Bahat-q3g 2 місяці тому +1

    Allah kisomo hiki kimfikie shemegi yangu 🤲🤲ikawa kinga

  • @biubwaDadkarim
    @biubwaDadkarim 3 місяці тому +1

    Mashallah

  • @amneally4135
    @amneally4135 4 місяці тому +1

    Jazzakallahul kheyr

  • @BakariMussa-to2me
    @BakariMussa-to2me 3 місяці тому +1

    Allah nijalie kisomo hiki kikawe Kinga ya mwili wangu na kuludisha ndoa yangu

  • @مسمس-د2ز
    @مسمس-د2ز 8 місяців тому +2

    mashallah allah awape umri mrefu

  • @ZawadAli-om7so
    @ZawadAli-om7so 3 місяці тому +1

    Ya allah naomba ninufaike na kisomo hiki kwaamana nadhallilishwa pasi na makosa 😢

  • @saidisaidi6764
    @saidisaidi6764 Місяць тому

    Ya Allah nijaali kisomo hiki kiniondolee matatizo yangu yote insha'Allah

  • @BakariMussa-to2me
    @BakariMussa-to2me 3 місяці тому +1

    Allah nakuomba kisomo hiki kikamludishe mkewangu popote alipo amin

  • @KhadijaAli-zd8jq
    @KhadijaAli-zd8jq 6 місяців тому +2

    Allha naomba dua hii iwe kinga ktk maisha yangu mwezi mungu nisaidie

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 8 місяців тому +1

    Shukraan sheikh

  • @abduryabdura280
    @abduryabdura280 3 місяці тому +1

    Mungu awatie nguvu.

  • @Aisha-o4v
    @Aisha-o4v 11 днів тому

    Ya Allah nakumba uniondole matitizo yameno yanao nitesa sasa kwamunda mrefu amn

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 29 днів тому

  • @NadyaOmar-du6be
    @NadyaOmar-du6be 8 місяців тому +3

    MaashaAllah kisomo ni adabu tosha ya uadui

  • @HyacintheSindaharaye-ik9gz
    @HyacintheSindaharaye-ik9gz 3 дні тому

    Yarabbi ninakuomba kisomo hiki kininufaishe na mimi

  • @ZainaMohamed-t5s
    @ZainaMohamed-t5s 26 днів тому

    Ya Allah nakuomba kisomo hiki hapa ninavokusikiza kiende amna katika nyumba yna na familia yang yote kinde kuharibu wale wot wanaonitakia mabaya mm na familia yngu kiwalinde wanangu kwa kila hasadi ya mtu mbaya

  • @mwanakuumsumbi-em1yl
    @mwanakuumsumbi-em1yl 4 місяці тому +1

    Mashahall

  • @ZamzamAbdhul-w2s
    @ZamzamAbdhul-w2s 6 місяців тому +1

    O Allah please help me up with this prayer isaumu ayub ipraying for may marriage soon o Allah bless this Dua. Thanks may Allah bless you up and keep help many people

  • @BakariMussa-to2me
    @BakariMussa-to2me 3 місяці тому +1

    Allah nakuomba kwakisomo hiki naomba kiwe nikinga ktk mwiliwangu

  • @DavidDaffa-w7g
    @DavidDaffa-w7g Місяць тому

    Kisomo hiki kinisaidie husda shilk ee mwenyez mungu nisaidie

  • @destineluna5768
    @destineluna5768 6 місяців тому +1

    Mashaallah sheh

  • @jimmyabdallah6486
    @jimmyabdallah6486 6 днів тому

    Ewe mwenyezi niondoshee kila aina yamabalaa vifungo kupitia dua hii

  • @roseberryhamoud6542
    @roseberryhamoud6542 6 місяців тому +1

    Asalaam aleykum. Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki sana. Ila ombi langu moja, naomba mpunguze speed ya kusoma. Mnaweza kukosea hata kutamka maneno.

    • @lexygeisar8303
      @lexygeisar8303 3 місяці тому

      Mtu akiwa mzoefu ulimi una kuwa mwepesi

  • @MariamuNkomo
    @MariamuNkomo Місяць тому

    EWEMWENYEEZI MUNGU, NIONDOSHEE HUSUDA NA VIJICHO, HASADI NA SHARI ZA ULIMWENGU, NIJAALIE KHERI NA MAFANIKIO 🤲🙏

  • @hassanmatunda1181
    @hassanmatunda1181 2 місяці тому +1

    ameeeeeen

  • @mwanakuumsumbi-em1yl
    @mwanakuumsumbi-em1yl 5 місяців тому +1

    Nilijisikia kutapika

  • @kheiramour2973
    @kheiramour2973 7 місяців тому +2

    Mchaw lazm atafute pakwenda kwa kisomo hchi

  • @BiashaAli-w6o
    @BiashaAli-w6o 26 днів тому

    Alhamdulillah

  • @AliMohamed-ng5ps
    @AliMohamed-ng5ps 8 місяців тому +1

    Mashaallah

    • @asiahamis7893
      @asiahamis7893 7 місяців тому

      Masha Allah Allah bless you ❤❤❤

  • @biubwaDadkarim
    @biubwaDadkarim 3 місяці тому +4

    Mashallah

  • @BiashaAli-w6o
    @BiashaAli-w6o Місяць тому

    Alhamdulillah

  • @BiashaAli-w6o
    @BiashaAli-w6o Місяць тому

    Alhamdulillah

  • @BiashaAli-w6o
    @BiashaAli-w6o Місяць тому

    Alhamdulillah

  • @BiashaAli-w6o
    @BiashaAli-w6o 4 місяці тому +1

    Alhamdulillah

  • @BiashaAli-w6o
    @BiashaAli-w6o 4 місяці тому +1

    Alhamdulillah

  • @BiashaAli-w6o
    @BiashaAli-w6o 2 місяці тому +1

    Alhamdulillah