SHEIKH NYUNDO ATOA MANENO YA HISIA KWA WANAOMUIGIZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 289

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 3 роки тому +2

    mimi ni mkenya. kutoka Mombasa. huyu sheikh wallahi napenda mawaidha yake. Allah amlaze mahali pema peponi. ampe Jannatul Firdaus. kumeondoka mwanachuoni. Allah amsamehe makosa yake.

  • @ibrahimaboker9086
    @ibrahimaboker9086 4 роки тому +11

    ALLAH SUBHAANALLAH WATAALLAH Amsamehe na madhambi yake na ALLAH Ailaze roho yake Jannatul Firdous.Amiin.

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 років тому +43

    Sheikhe nyundo tunakupenda sana kwa ajili ya Allah Daawa mpaka kiama Allah akuzidishie umri na afya njema uzidi kutuelimisha sote umma ulimwenguni

  • @muhammedaliy9416
    @muhammedaliy9416 4 роки тому +13

    shekh Hassan husein nyundo ameongea ya kweli kabbisa Allah amrehem amjaalie Jannah
    amin

  • @noraevers8868
    @noraevers8868 4 роки тому +5

    Allah ayiraze roho yake mahara pema.shekhe Nyundo Amen 👏

  • @shakilayusuf7802
    @shakilayusuf7802 2 роки тому

    Allah akurehemu.Mafunzo yako yatabaki kwenye nyoyo zetu daima in shaa Allah

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 років тому +18

    Allah akupenguvu akujalie umri wenye afya njema sheikh nyundo uzidi kutupa daawa mmpaka kiama kweli sheikh nyundo wameharibikiwa na wamechanganyikiwa. Swadakta sheikh Nyundo

    • @jumamohamed5525
      @jumamohamed5525 5 років тому

      Wame changanyikiwa kwani wanavyo fanya sio na yy anavyo fanya?
      Au wameongeza chochote

    • @jumamohamed5525
      @jumamohamed5525 5 років тому

      Allah ampe nguvu ya kufanya upuuzi ulio jificha ndani ya maneno ya Allah SW

    • @jumamohamed5525
      @jumamohamed5525 5 років тому

      Wanavyo fanya na yy anafanya zaidi ya hivyo

    • @asiakheir6406
      @asiakheir6406 5 років тому

      @@jumamohamed5525 basi mtayakuta mnayo sapoti yy anafanya istizai?

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 5 років тому

      @@jumamohamed5525 wachanimsifu Nyundo gonga tu banyamlege wote dawa mmpaka kiyama ukimchukia ukiwachukia watu unawapa riziki ww ktk hii dunia? Mbona Allah aliemuumba ajamtoa kasoro ww kama unamawaidha yenyehekima tuwaidhie bas hata ukituwaidhia Nyundo tutamsikiliza tutamsapot hatuwezi kumuhukumu kwalolote kwachochote hiyo ni kazi ya Allah yakuwahuku waja sasa ww huyo Nyundo anakukera nn anakuja kuomba riziki kwako? Soma comment zote uone tunavyo mfagilia sheikh Nyundo dawa mmpaka kiama ukiona anakukera futa video zake zote ukiwa ww unachuki nakiumbe mwezio bas ishia huko huko usitake kuchochea kilakona chuki mm napenda sana sana tena sana kumsikiliza sheikh nyundo kwahi chukizako usiniliete mm hapa

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 4 роки тому +9

    Inna Lilahi Wa Inna Ilaihi Rajiun, Sheikh Nyundo Allah ailaze roho yako mahali pema peponi Amiin Thumma Amiin

  • @mohdnassor4784
    @mohdnassor4784 4 роки тому +14

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun😭😭😭😭 shekh mungu akulaze pema peponi 🤲

    • @maryammct3967
      @maryammct3967 4 роки тому +1

      Amen😭😭😭😢😢💔💔

    • @miriamsaid3271
      @miriamsaid3271 4 роки тому +1

      Amin kwasote

    • @mussabigilimana4404
      @mussabigilimana4404 4 роки тому +1

      Ameen

    • @AzainTv
      @AzainTv 4 роки тому +1

      Aaaamin Allah Aikubali Kazi yake Ambayo itaendelea kumpa Matunda hadi siku ya Malipo

    • @AzainTv
      @AzainTv 4 роки тому

      @@mussabigilimana4404 aaamin

  • @abdulkhanyraashid7887
    @abdulkhanyraashid7887 4 роки тому +3

    Mungu akuweke mahalipema peponi ukouliko akupe kilalakheri aaaaamin 😭😭😭😭

  • @mohamedhamismagoraonlinetv459
    @mohamedhamismagoraonlinetv459 3 роки тому +1

    Allahuma ghfir lahu waarhamhu waaskinhu fil jannah.

  • @ياسمينياسمين-ج9د
    @ياسمينياسمين-ج9د 4 роки тому +2

    Allah akulaze mahali pema InshaAllah amiin 💔💔mbele yako nyuma yetu 💕💕🤲

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 роки тому

    Waswahili walisema, ashikae.ndie mwenyewe aachae ni uzuzu wake.kweli hao walikua mazuzu na walikosa mazuri kutoka kwako ALLAH akurehemu huko uliko🤲🤲🇰🇪

  • @nuruali9608
    @nuruali9608 5 років тому

    Endelea na da, wa shekhe wet u, mwenyezimungu akutangulie saa zote na dakika.. Ufuzu Kwa jitihada yako... Na zaidi tunamuomba Allah akupe afya na afuwa, baraka na Neema zake uzidi kuongoza umma.. Amiiin

  • @meekman654
    @meekman654 3 роки тому +1

    Allah amrehemu Marhum Shekh Nyundo. Aamin

  • @zubeirsalum128
    @zubeirsalum128 4 роки тому +1

    Ya Allah muondoshee mazito umfanyie wepesi umsamehe Kila alipokosea umlaze malazi mema ya peponi AMMIN

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 років тому +5

    Shukran Ktv tz online hakika hii ni fahari yetu

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 4 роки тому

    Allah akulaze pema peponi aameen yarabbi shekhe nyundo tunakupenda peponi makazi yako aameen

  • @anwarambar6141
    @anwarambar6141 3 роки тому

    kila nikizidi kuona clip za darsa za shekh nyundo. nazidi kuelimika na kufaidika na mawaidha yake. nazipenda Sana video zake. Allah amrahamu na amjaalie katika watu watakaoingia katika jannatul firdaus

  • @عمررمضان-ب7س
    @عمررمضان-ب7س 4 роки тому +9

    Allah akusamehe makosa yako na ukupe kauli thaabit

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 5 років тому +9

    Mashallah shekh wetu mungu akupe nguvu daima

  • @mubasalu8470
    @mubasalu8470 4 роки тому

    Allah amlipe kherii aamin,nasi atuongoze kwema aamiin.

  • @hawaamkubwa2020
    @hawaamkubwa2020 4 роки тому

    Allah akuweke pema katika wema Allah akusamehe makosa Allah akurahm shekh nyundo na ss atupe mwisho mwema inshaallah

  • @fadhilaramadan5143
    @fadhilaramadan5143 5 років тому +3

    Subhanallah Allah Atuongoze njia njema Inshaallah.

  • @maryammct3967
    @maryammct3967 4 роки тому +15

    Aallah amrehem😭😭😭😭😢😢😢😢😢

    • @AzainTv
      @AzainTv 4 роки тому

      Aaamin nasi pia atuwafikishe kwenye mema@ukhtyMaryamu

  • @haidaromar2079
    @haidaromar2079 4 роки тому +2

    Allah sw awasameh hawo

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 років тому +3

    Allah awajaalie watubu kila mwenye kufanya kitu kikichokuwa hakimridhii M/Mungu

  • @bittybitty2712
    @bittybitty2712 4 роки тому

    Mungu amrahemu tumerudisha waume kupitia sheikh Hussein

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 5 років тому

    Sheikh wetu ALLAH akupe nguvu uendelee na da'awa usichoke na hao wanaofanya mzaha ALLAH awaongoe kwa rehma zake

  • @anwarally1106
    @anwarally1106 5 років тому +5

    Kila la kheri sheikh nyundo daawa mpaka kiama inshallah

  • @mohamednamani3320
    @mohamednamani3320 4 роки тому

    Mungu akulaze sehemu pema

  • @MohdMohd-nf1wz
    @MohdMohd-nf1wz 5 років тому +7

    Allah awaongoze na ujinga wao wawew wastaarabu

  • @hanifasilima4816
    @hanifasilima4816 4 роки тому

    Allah amlaze mahala pema peponi shekha wetu kipenz ishallah

  • @balqisabdullah6200
    @balqisabdullah6200 4 роки тому

    Sawa sawa,,,, allah amlaze pema peponi.

  • @asfarsham9037
    @asfarsham9037 5 років тому

    Sheikh Nyundo ukionq vijana wanakuiga manake wanakupenda sanaa mbona hawawaigi sh wengine. Hivo hata wakifanya mzaha lakini japo neno moja litaathiri mioyo yao na kuwarudisha vijana wetu kwenye hakki.ameen

  • @rashidjuma1969
    @rashidjuma1969 3 роки тому

    Allan akupe husnulkhaatima in shaa Allah

  • @ramilialiy3725
    @ramilialiy3725 4 роки тому

    Tulikupenda shekh wetu

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 5 років тому

    Alhajj nyundo usibabaike na vikaraqosi,km hvo pmj na wale wanojaribu kuponda daawa zako,sisi wenqine tunafaidika sn kw jumbe unazotufikishia.
    Baraakallahu fiyk
    Allah akupe afya uzima uendlee na dawa mpka kiama

  • @khalefsalum8016
    @khalefsalum8016 4 роки тому +1

    maneno mazuri sana

  • @listentoquranandmawaidhach4992
    @listentoquranandmawaidhach4992 4 роки тому +5

    Allah akurehemu na akujaalie Janatil Firdaus Sheikh Nyundo 😭🤲

  • @hutisaleh2320
    @hutisaleh2320 4 роки тому

    Allaah akurehem xhekh nyundo

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 4 роки тому +3

    wa kwanza kurudi na kukoment hapa baada ya sheikh kufariki leo, inna lillah wa inna ilaih raajiuun. Kama na wewe umerudi kumsikiliza, like comment hii

  • @abdallamohamed1582
    @abdallamohamed1582 4 роки тому +2

    Dawaaaaaaaaa!!! Mpaka kiamaaaaaa

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 4 роки тому

    Inna lillah wainna ilaih rajiun..ALLAH Skype jannat firdausi insh..AMIIIN

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 4 роки тому

    Ibilis nikaz yake kutaka kucheza uislam...Shekh mnno yke yalikua yahkma.Allah.Amueke pema nawema. Shekhe Aliwaailimisha mama zt Katika njia yasawa....

  • @mohdkhatib9412
    @mohdkhatib9412 4 роки тому +2

    Allah ampe sheikh wetu kila la kheri!!

  • @neemafatu7885
    @neemafatu7885 4 роки тому

    Allah akuhifadhi shekhe wetu

  • @alakhyhajjbinhassan4496
    @alakhyhajjbinhassan4496 5 років тому

    insha'Allah 🙏; ujumbe umewafika👌👌👌!
    insha'Allah 🙏 Wataacha ujinga waooooooo!!!

    • @jumamohamed5525
      @jumamohamed5525 5 років тому

      Ikiwa ule ni ujinga yy ndio alo wafunza yeye anafanya zaidi ya hivyo na maneno yasio na viwango

    • @idrissajumakona5871
      @idrissajumakona5871 5 років тому

      @@jumamohamed5525 ayo ndio mawazo yako ya mwisho

  • @mmlkrimaasantetutajitahid1845
    @mmlkrimaasantetutajitahid1845 4 роки тому

    Alla akulaze mahala pema peponi amiin

  • @tecnof1232
    @tecnof1232 4 роки тому

    Maneno sahihi, somo la kutosha, wabilaahi taufiik

  • @mbaroukelshirazy6265
    @mbaroukelshirazy6265 5 років тому +11

    Dawaaaaaaa mpaka kiama nyundo tupe daaawa achana nao hao

  • @mohdissa8973
    @mohdissa8973 5 років тому

    Wadhulufuuu hao wanaokuigizaa hawana kazi ya kufanyaa ..tunao kuelewa alhamdulillah tupo na hao wadhulufu Allah awaongoze

  • @adnanakida3574
    @adnanakida3574 4 роки тому

    wallah mi nampenda sana huyu sheikh nataman one day nimwone anipe maneno yake tu ya busara inshallah

  • @mohamedadam5987
    @mohamedadam5987 4 роки тому

    Allah akulaze pema penye wema peponi

  • @truthspeaker2062
    @truthspeaker2062 5 років тому +1

    Tunakupenda tunakukubali sheikh nyundo ..unaongea vitu kama vile live unaviona ktk jamii ..

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 5 років тому +13

    Kweli sio vizir wanavozifanya .

  • @nassorsalim2807
    @nassorsalim2807 5 років тому +3

    Allah ('s.w) awajaalie waache mambo hayo

  • @bintjj772
    @bintjj772 4 роки тому

    Mh kweli imeshafika siku na wamelia kweli allah atuongoze inshallah

    • @nahdamohammed6201
      @nahdamohammed6201 4 роки тому +1

      Dahhh nimelia mpk bas lkn yote kwa yote tumuombee duwa mungu ampe mapumziko mema . Amin

  • @jasminali5921
    @jasminali5921 4 роки тому

    Innalilah wainnailah rajiuna Allah amlaze pema pepon

  • @mahmoudkhassan4038
    @mahmoudkhassan4038 5 років тому +1

    Allah atujalie tuwe wenyekutekeleza amri zake insha Allah

  • @aishahamismabugmashaalluh3255
    @aishahamismabugmashaalluh3255 4 роки тому

    Inallilah wainallih rajuni MUNGU awalaze mahali pema peponi maiti wote

  • @kari_ahmad06
    @kari_ahmad06 5 років тому +3

    big up sheikh hassan nyundo

  • @makamejabir6681
    @makamejabir6681 5 років тому +2

    Fantastic

  • @hussainomar1849
    @hussainomar1849 5 років тому

    Hakika sheikh nyundo unafundisha Sana jamii na yanafika katika mioyo kwa wanayo yafanya

  • @umumaulidi8690
    @umumaulidi8690 5 років тому

    Endelea kutupa daw kwa ajili ya Allah M/mungu akupe umri urefu

  • @asmabintikiwa1826
    @asmabintikiwa1826 4 роки тому

    Allah akulehemu FIRIJANNA

  • @763aishaomary
    @763aishaomary 5 років тому

    Mashallah uko vizuri sanna nyundo

  • @naufalmazrui6141
    @naufalmazrui6141 4 роки тому

    Allah ampe kauli thabit na ampe pepo ya darja ya juu uhakika kweli tumeondokewa na mlinganiaji

  • @fatmayussufb1234
    @fatmayussufb1234 3 роки тому

    Jmn walewaliokue wakimuigiz shekh nyund asaiv wanamuigiz nan man waislam tumezid kufany san tna san tunaukashif uislam innalillah wainnailaih rajiuun

  • @bakariadam4652
    @bakariadam4652 4 роки тому

    Maashaallaa

  • @omanseeb8609
    @omanseeb8609 5 років тому

    Allah afany wepes shekh wet tuk pamoja

    • @danadana6450
      @danadana6450 5 років тому

      Oman Seeb inamaana wsitwa oman seeb kama ww waitwa seeb mm naitwa nebrass

    • @omanseeb8609
      @omanseeb8609 5 років тому

      Mimi siitwii omn seeb nipo oman huy alienifungulia sim kasev huv halijii jin lang

    • @danadana6450
      @danadana6450 5 років тому

      Oman Seeb najuwa habibty nakutaniya tuu

    • @omanseeb8609
      @omanseeb8609 5 років тому

      @@danadana6450 ok my tuk pamoja

  • @mariamsuleiman1638
    @mariamsuleiman1638 5 років тому +1

    Nimekupenda buree kwa ajili huku fanya hasira

  • @hajiharuna786
    @hajiharuna786 5 років тому +12

    Waelimishe nyundo ila na ww upunguze mambo unaongea saaana watu wanacheka sana kuliko kulia ata chembe kwa neno la mungu watu walitakiwa watoe japo machozi kidogo ila ww watu wanacheka tu ushauri tu sheik nyundo

    • @saymarsaymar4654
      @saymarsaymar4654 5 років тому +2

      Ndio style yake na watu wanafahamu

    • @omarjuma5611
      @omarjuma5611 5 років тому +1

      Dawaikifika
      Hizo ndio dalilizake
      Nyundo mpakakiama

    • @bintjj772
      @bintjj772 4 роки тому

      Ttz wanacheka hawajui nini wanachochekea mpen

  • @763aishaomary
    @763aishaomary 5 років тому +2

    Vijana wanashindwa kukufaham mbinu unazotumia kufikisha ujumbe wanajuwa tu unachekesha lkn pindi wakijuwa watalia na kuomba radhi

  • @CRMEDIA-yd7dp
    @CRMEDIA-yd7dp 4 роки тому

    Na nyinyi watangazaji ni wanafiki sanaaa Tena sanaaaa mbona mlikuwa hamuyasemi wakati yupo hai ndio sasa hv mnalionaa linamaana zaidi kwasababu sheikh amefariki acheni unafiki. Tumuogope Allah

  • @dekhajamac3918
    @dekhajamac3918 5 років тому

    Ma shaa allah jamani mm nampenda huyu sheikh hahahhaa navituko vyake na madongo yake live yani hhhaaa huwa nafurahi sana nikimsikiaga allah akujaalie kila kheir

  • @abdurafabdallah7276
    @abdurafabdallah7276 4 роки тому +1

    Allah amrehemu

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 5 років тому +2

    MASHALLAH

  • @omarjuma5611
    @omarjuma5611 5 років тому

    Maneno yake shekhe Nyundo namuunga mkono Mia fil Mia wala shekhe usirudi nyuma In ShaaAllah
    Kazi yako nikufikisha
    Wala sikuongowa
    Weka nyundo mpaka kiama

  • @ummyzee6247
    @ummyzee6247 4 роки тому +1

    Ya Allah mfanyie wepesi njia yake

  • @fatmajuma9065
    @fatmajuma9065 3 роки тому

    Amiin

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 5 років тому +1

    Hapo umezungumza vizuri sio kama unapotoa daawa kweli watu wanacheka

  • @maharusiMedia
    @maharusiMedia 5 років тому

    Hivi shekh nyundo hana account ya insta?

  • @jumamohamed5525
    @jumamohamed5525 5 років тому +1

    Umeshindwa kutetea kwa sababu wanavyo fanya ndio na ww unavyo fanya. Una changanya haqi na baattil
    Hata ngoma unacheza ndani ya wa'adhy

    • @jumayusuf1694
      @jumayusuf1694 5 років тому

      Una ushahid au mropokaji

    • @jumamohamed5525
      @jumamohamed5525 5 років тому

      @@jumayusuf1694 Kwani anafanyia chumbani kwako haonekani?

    • @jumayusuf1694
      @jumayusuf1694 5 років тому

      @@jumamohamed5525 ndio anafanya chumban kwako muulize mamako ndo shahid

    • @saymarsaymar4654
      @saymarsaymar4654 5 років тому

      Msitukanane Juma yussuf na Juma Mohamed. Mtakua nyinyi ndio majahili.
      Sheikh nyundo hachezi ngoma kwa maana anacheza ngoma ila anaigiza wanavyocheza ngoma.
      Shida ninayoiona hapa ni kua style ya sheikh Nyundo kufikisha daawa ni mpya.

  • @mohdkhatib9412
    @mohdkhatib9412 4 роки тому

    Subhanallah

  • @snaatiano
    @snaatiano 5 років тому +1

    Wamuige na nabiii tito wafaidikee

  • @saidsoud5967
    @saidsoud5967 4 роки тому

    Mshenzi mmoja weye unayemuigiza Nyundo

  • @MaryamMaryam-hd7es
    @MaryamMaryam-hd7es 5 років тому +2

    Umeongea kweli shehe wetu

  • @jumahaji6498
    @jumahaji6498 4 роки тому +1

    Innalillah wa innailaihi rajiun

  • @pandumfaume8103
    @pandumfaume8103 5 років тому +2

    Maneno mazuri upo vizuri sheikh usijali vitimbi vya wajinga kaza buti... Allahubarik

  • @djheroking2399
    @djheroking2399 5 років тому

    Mm naona kumfanyie vile shehe nyundo bc watakua wanampend coz huwez kujfananisha na mtu usiempenda. Kwaio shehe nyundo lete dawa bila woga kwani watiifu tupo natunapend muongozo wako MAALIM!!!..

  • @hamdukhamis2903
    @hamdukhamis2903 4 роки тому +1

    Dah imeondoka ila bado tutakukumbuka na tuta fanyia kaz magizo yako Allah akusamehe

  • @kassimabdalah7606
    @kassimabdalah7606 5 років тому +1

    kweli maneno yako shehee nyundo

  • @mossibakar8013
    @mossibakar8013 4 роки тому

    ALLAH AKUREMU

  • @mohamedsalehe9051
    @mohamedsalehe9051 5 років тому

    asante nyote

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 5 років тому

      🙆wambaje

    • @mohamedsalehe9051
      @mohamedsalehe9051 5 років тому

      @@zayyatiyussuf9566 mimi cjambo zayyati yusufu

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 5 років тому

      @@mohamedsalehe9051 kher in shaa Allah nimefrah kukuona

    • @mohamedsalehe9051
      @mohamedsalehe9051 5 років тому

      zayyati jana ijumaa tulikua nae Yule shekhe alie sema kama wanawake hawakumbiwa haya basi wangalikua wakitubaka sisi wanaume kusha mkumbuka

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 5 років тому

      @@mohamedsalehe9051 nakumbuka wapi mlikua mnasikiliza?

  • @saholounge4549
    @saholounge4549 4 роки тому

    Duu pumzika salama sheikh nyundo R.I.P

  • @muntadhiralzaqwan4316
    @muntadhiralzaqwan4316 5 років тому +1

    Daaah!!kwl lkn allah awaongoe

  • @abdullakash9471
    @abdullakash9471 5 років тому +4

    Daawa mpka kiamaaa gongaa nyundoo🔨🔨

    • @rehemajuma4627
      @rehemajuma4627 4 роки тому

      Mungu am laze mahali pema peponi amina

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 роки тому

    Innalilah😢😢

  • @halimaabdallah8588
    @halimaabdallah8588 5 років тому

    Allah akupe nguvu shekhe nyundo ili kupeleka uislam mbele achana nao wanaoigiza huenda ikawa hawaifaham vyema duni yak.