SHUHUDIA DIVA THE BAWSE ASHINDWA KUJIZUIA NA KUAMUA KUMTONGOZA DULLY SYKES
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Diva kama conditions zako ni hizo basi utabaki single maisha yako yote mpaka utajutia ukiwa kibibi bila familia. Wanawake wazuri wengi sana
Honestly speaking diva n mbovu na ana mdomo snaa ....
Hongera sana dully ume mupa jibu lake mibwege kama iko ikuowe
Bilioni 10 diva jamni🤣🤣🤣 hatutaki mawifi wachonganishiii.. Diva wew 😂
Ipo siku diva utatafuta ilimradi Mume Naye atakuwa utatamani kuzalishwa na yeyote Naye atakosa kaa na bilioni zako,nafikiri unataka kumaliza umaskini wa ukoo wenu wote.No man can respect and need to be wife material like you aisee
Asante diva kwa kuchangamsha mazungumnzo najua hujaamaanisha 👌🏻
How far are you sure that she didn't mean it!!open you mind dear😎
@@editrudesmbonde9051 l mean hajamaanisha kutoka rohoni,kwa sababu hata sababu alizozitaja kwa nwaafrica haiwezekani,eti umpangie mume jinsi ya ndugu zake kufika kwake haiwezekani amini hivyo hajaamanisha kachangamsha kipindi
@@fatmaahamad633 You don't know her,other womens are like that,they are approaching indirect dear.😊
@@editrudesmbonde9051 really.then okay
@@fatmaahamad633 🙏🙏
Eti hajui kupika hata wanawake wa kizungu hawako hivyo ungejua unajiaibisha tu utaishia kutumika na kuwa dampled. Chakula cha nyumbani kwako kama mwanamke mwenye kazi nyingi sometimes natamani nipike mwenyewe na huwa nafanya hivyo ili nile chakula changu safi chamkono wangu, jidai unaendekeza wafanyazi sometimes utapikiwa kichafu
Hiyo niliijaribu nikavunja ndoa😂😂Hawakubali Ndugu Wasikae.Ila Kwakweli kuishi ma ma wifi mama mkwe na ma shemeji ni mtihani sana
Atafute Mzungu au Mwind..amwoe..hao wanayaweza Sana hayo masharti...kwa Ngozi nyeusi ataishia kupiga kelele tuu.
Hao Wazungu na Wahindi ndo wanapenda vibovu??kakudanganya nani??hayo ni mawazo finyu!!!😃
@@editrudesmbonde9051 Kama yako
@@constanciapeter2497 Hahaaahaa😀
Angekuwa na tabia kama yangu angekuwa na BAHATI kama mimi.
😎🙏
I.love Diva
Do u hve 10B 😂
@@bwanabrainex433 🤣🤣🤣🤦🙆
Jitu lizima umezeheka nani atakuoa looo ata aibu hauna we niwakuchezewa tu😁😁😁😁
The only prince I know
Si mwanamke kazi yake kubwa kununuuwa uzuri wa dukani hana tafauti na shetani
😂😂😂😂😂😂😂diva baada ya kuambiwa kutwa kavaa miwani kama chura kaamua kupiga picha bila miwani😂😂😂😂😂jamani 😂😂😂😂naona ilimgusa😂😂😂ila usijali diva,we maintain brand yako usijali maneno😂😂😂😂😂
Diva mzuri sauti ila ukimuona alivyo khaaa!!!
Diva hana sura nzuri kumbe nimuze ndomana anapenda miwan
Nice couple
Wew kuolewa usahau
Wewe diva hufai kuwa mke wa mtu kama hupendi familia ya mume inajua huyo utakae muita mume kalelewaje shiiii
10 billion alafu anajakaa ndan hana mtoto diva are you serious? mydear itafika time utafute mwanaume yeyote ukose but syo ombi langu badilika acha mashauzi ya kipuuzi
Kwahiy dada wakazi siwatu au siwanawakee acheni zarau wao wanojiona wataenda kumjibu mung walikuwa anafanyaje duniyani
Diva unacheka vizur
We utabaki na kusaga tu mnanyanduana kimyakimya lakini ndoa utaisikia kwenye magazeti mashauzi kibao labda awe bwege au fala Kama alivyokwambia dully
Hakika wazaz wako wanaaibu kubwa sana diva wew umeumbw tyy ipo siku tutaondok ktk hii dunia fikiria nn unafanya na je impact yake n ipi unaharib mabint wengi kwa tamaa za pesa sijui kama mama yako alliolew na boss mana seems like umshamba wa pesa
Mnakosa cha kufanya studio kbs
Vua hio miwani kwnza km churawa amazon😃
mwanamke gn ambaye hawezi kumpikia mumewe ni mke ama danga la kupita
Hajawahi kujielewa Diva
Uwezo wa kujua kupika unao ila hujataka kujua na una ulimbukeni kichwani mwako ambao unakutesa mwenyewe na umeufuga huo ulimbukeni kwa jeuli.pole
Hatavkwa daws hutapata mwanaume jichunge mama utazeeka kabla badae utakuja kuowa mmachinga ama mlinzi
Jinga kweli diva.kabisa mwanamke wa jisifu hujui kupika.we mtanga gani hujui kupika.kwenda huko watanga hatupo ivo.siye wa tanga twapenda kupika una haya wewe eti sijui kupika loooo.
Billion 10 na nywele za kamba izo.
Haaaaaa😀😀😀eti nini bamia
Atar 😂😂😂😂 jmn kinyamwez
Diva mwenyewe ss hv kavimba chini ya mashavu sijui anameza nini
Ww usiwadharau walinzi wengine wanakuzidi elimu wamekosa ajira halafu huyo diva abavuga kucha kwa imani ya dhehebu gn
Anadin uyu😂😂
Kwan kawazarau mna akili mzito xn kuelew katolea mfano lmekuwa kubwa
Leo diva kamuita mond boss has maisha
NJOO kwa mie
Na huyo mwanaume wa kumchukua yupo wapi
Zee
😂😂Nimecheka kifala ati mabwege na mafala wapo utawapata wa ivo😂komesha
😂😂😂😂😂
Dull Leo anaongoza kipindi
Wapo wadada yaaah pumbavu kuulewa utakuskia hukoooo
Safiii Sana dully kama anatakaivyo aoe
😂🤣😂mke wa ivyo mi hapanaaaa Kwanza wapite mbali kabisa
Duh!
Huyu nae kwa uzuri gani eti bilioni 10 shubabekii utaishia kuonjwa tu ma mabosi wako ndio maana unahangaika kutaka mtoto wakati mahari eti hio
Kazi ipo
Hawawatuwamenichekesha sana
Huyo aje kwangu anilipe hiyo hela mtt anapata ubila kwenya huko kupandikiza
Diva😂😂😂
Kumbe duli yupo chale hivi hahahaha
🤣🤣🤣 bongo nyoso ety billion 10 kwan ina roll royes ndan au
Ina TV ndan😂😂😂
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Mke aolewi ili kuwa mpishi au mfua ngguo za mme wake pia kutokuolewa hakuleti majuto kama umeamua hutaki kuolewa
Msenge uyu dada anajikuta nani kwani mtu mwenyewe mmbovu alafu aolewe kwa b10 kuma kweli
Bilio 10 ya kuchora ciyoo
Duli kachokq😂😂😂😂😂😂loooooooo anaona haya mapya
Tanzania mbwana,hadi jokes wao huchukulia ni serious
Oya mzee vipi una vidonga vya mdomoni?
wauze nyumba ili akuoe wewe utakutana na watoto wa tandale wakuchape bulee 🤣🤣🤣🤣
Huna kiwango
Mwanamke mahiri hajitongozeshi na wala hanunui penzi,ukiona hivyo unakasoro.
Mwanaume ndiye anapaswa kutongoza,hayo ni mambo ya aibu.
Inaonesha jinsi mwanamke ulivyo dhaifu.
Ni maongezi tu ayo hawezi kuongealea suala ilo hapo
Kwan mwanamke hisia hana
@@musakhamis6906 Hisia zozote ni controllable,sasa unaposhindwa kuji-control ndio hapo unakuwa kituko,utamtongoza mwanaume,utajipendekeza kwake, utajipitishapitisha kwake n.k.
Hizo mambo afanye mwanaume aliyepewa kupenda na si mwanamke.
Mwanamke kapewa kuheshimu tu.
Hahahaha Mimi mwanamke nilkuna naye mapaka Leo kanitongoza tuna mwaka sasa ni ww mwenyew jins utakovyo mchukulia sio kila mwanaume anayemuona barabarani basi anamtamani sio kweli na yy ana wake wakuchagua heri ya huyo anayekuona na kukutamani akakwambia mana kama kakupenda atayavumlia mapungufu yako kulko yule umtongozae akakuona una mapungufu akakukimbia mapenz hisia hasa mwanamke awe na hsia na ww
Utolewe bikra kwa chips kavu ya buku jero afu uje uolewe kwa bilion kumi labda laki 😅😅
😂😂😂😂😂
Hata laki hakuna labda kwa mkopo
Sasa kwa kucha hizo muulize anachambaje huyooo au ndio anatoka na kinyesi maana hizo kucha kama jini kabula ataishia kuvuliwa chupi ndoa ataisikia kwenye wasafi media
Nilibandika kucha kwaajili ya sherehe yangu nilipata shida mimi kushika cm siwezi kuchamba siwezi yani najiuliza kama mimi siku moja ilinishinda je wasioweza kuishi bila mikucha wao wanafanyaje
Aiseee kati ya vitu siwezi kuja kufanya ni kubandika kuchaaa
So sad modern women don’t know how to do house chores.
Mmmmh hiyo familia ya bila wageni ni familia kweli? Hivi yuko series huyu Dada kweli ama ni maongezi tu?
Namshangaaa ujueeee au akili inaruka akiwa kwenye studio
@@saromemaneno355 huyu akili itakuwa imemruka.
@@elizabethmwandu6937 hana kweli kabsaaa anawengeeee sanaaaa
@@saromemaneno355 hahahaha halooooo ni kupatwa kwa wenge na wenge hilo litamuua kabla ya ck zake.
@@elizabethmwandu6937 unakuwa mwanamke kichwani hamnazooo aiseee diva katuabishaaa kabsaa
Dully unatetea uwovu
Eti mabwege au mafala wahivo wapo mjini
Diva mm nakutaka ww
Janamke mgongo kama Meza ya kamari eti halijui kupika na linajisifia nyokooooooooo
😂😂
Hatali sana
Wewe Mwanamke kweli chizi wanawake wa Kitanga wanajua kupiga sana ila wewe itakuwa ulikuwa ruka ruka Danga girly
Ndugu ila watanga wanaotokea usambaani wanawake wa kisambaa hawajuwi kupika kabisa wanavyopika utachoka Bora wadigo wabondei wazigua Hao ndio wanaojuwa kupika.
Mtumzima ovyo kama sio hayo mawigi na kujichubua ungetisha zaidia Jinii😳🙏🤣
The bwasiii 👸❤
0
Mmmmmmmh wasanii wahunisana unajilamba kilamda diva tapeli wanawake kamahawa hawafai kabisa ukikutana nawaivi ingia mitini mapema sana
Hayo makucha marefu akienda chooni anatumia maji ama Karatasi
Ila duly ushakua mkubwa, unalamba lamba lips kama choko na wew
Kuolewa sahau ustegemee
We ni Mungu?
Siyo mungu lakin mwishon lazima uzalie nyumban
Duri kaka ukiwa nahuyo anakufa vampaya hiro
Stoli ya kaka aliyeomba talaka
Lit
Diva mtu mzima ila kama huwa hajielewi muda mwingine
Hajawahi kujielewa
PRICE KAZ KWAKO
Hivi dully mpaka unafikia umri huo ulionao bado unajilambalamba tu midomo km dem!!?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Roho mbaya utampata wapi uyo mwanaume mjinga
Mmmmmmhu kwa uchi upi mpaka upewa bilioni kumi ww
🤣😂🤣 We love you DIVA ❤🤗🔥
Dooh eti hajui kupka mama yangu hakuna mke hapo
Weweeee usitutanie wazalamo tusije kwa Kaka yetu kufanya ukaguzi Kama ushamlisha limbwata tumtemeshe haiwezekani Yani wazalamo na Kaka zetu usitutanie kabisa aiseee
Awajui wazalamo wakiamuaga nyumba ya kaka ndiyo yao🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamani huyu bibi Kizee Diva anasura mbaya kama cura loo
Astaghufullah
hujui kupika umri huo sasa huyu mwanamke au watakuja wakwe wapikiwe na dada nonsense .....mwanamke kweli huyu eeeehhh..?
SAUTI YA DIVA TU INATISHA.
🤣🤣🤣eti 10 bilion ivi anaijua vzur inafanana vp
Nyambiza hilo
watoto wap sasa
Dully Kiboko😂😂😂
Wewe hata mm na penda hivyo
diva kuolewa ni ndoto, endelea na huo upuuzi wa movie kama utazeekea nyumbani kwenu
Azeeke Mara ngap
@@laurinfred2931 halijielewi liko kama lina akili ila halijitambui.
Eti mabwege kama hao utawapata
Dully ulimi nyoka
ua-cam.com/video/cTi4vOt4Wys/v-deo.html
FAHYVANNY vs PAULA KAJALA 🔥🔥🐉
Diva uyu loooh🤔😏