UGOMVI MKUBWA WA ALIKIBA NA DULLY SYKES, AMBLOCK KILA KONA, ALIKIBA AOMBA MSAMAHA AM-UNBLOCK LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 2 місяці тому +11

    Naheshimu heshima wanayo mpa King kiba ❤❤❤🎉

  • @tresormboko3106
    @tresormboko3106 2 місяці тому +12

    Kiba msiri kitambo kumbe 🎉🎉

  • @girowallan
    @girowallan 2 місяці тому +13

    Ali Kiba ana hekima sana😊

  • @aboudsaeedali
    @aboudsaeedali 2 місяці тому +9

    Huyu ndio big brother ameongea points

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 2 місяці тому +13

    Kuteseka nmechoka ,nyimbo inankumbusha ,,nlikua na maisha magumu Sana that days😭😭

    • @lavimusic_
      @lavimusic_ 2 місяці тому +1

      Hiyo ngoma ndo ilifanya niwe shabiki wa Kiba

    • @hezronjoseph405
      @hezronjoseph405 2 місяці тому

      @@lavimusic_ 🤝nakubali saa🔥🔥

    • @sircharles8128
      @sircharles8128 2 місяці тому

      inaitwa aje hii ngoma​@@lavimusic_

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 2 місяці тому

    Xaxa Hawa ndo wafalme wa BONGO flavor kaka mkubwa Prince Dully Sykes akiwa na mdogo wake King Ally salehe kiba 💓💓💓💓💓💓💓

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 2 місяці тому +10

    Natamani pia siku moja kiba na mond nao wapatane kama ivi ivi

  • @JohngeophreyKivamba
    @JohngeophreyKivamba 2 місяці тому +15

    Dully apewe heshima yake avalishwe crown ya bongo fravour

    • @Qqambaa
      @Qqambaa 2 місяці тому +1

      Btw dully amechangia pakubwa kuivukisha mziki wa bongo im from Mombasa

  • @BagoShabani
    @BagoShabani 2 місяці тому +9

    hio ndo maana halisi ya wanamuziki wakubwa 5 kwa hawa watu

  • @BagoShabani
    @BagoShabani 2 місяці тому +12

    mm ndo wakwanza leo kwenye bongo 5 naombeni like zangu jamani hata 6 zinanitosha

  • @nickphotographer_7640
    @nickphotographer_7640 2 місяці тому +4

    Daaaaah sounds chafu

  • @harakationlinetv8224
    @harakationlinetv8224 2 місяці тому

    Safi sana dully Sykes yupo smart kimuonekano tizama wasanii wengne wa zamani wanatia huruma

  • @solanzatanzania
    @solanzatanzania 2 місяці тому +5

    Huyu bro Dully sykes alinifanya na mimi kujikita kwenye kufanya muziki mpaka leo nikipata bahati ya kukutana nae nitamwambia

  • @swabilimohamedi4630
    @swabilimohamedi4630 2 місяці тому +8

    Walikua na ugomvi

  • @daudthomas415
    @daudthomas415 2 місяці тому

    alkiba unanikumbusha mbali sana 2008 nkaanza kukubali mziki wako dah bas2 nakumbuka mbali sana naninyimbo ambayo naikubali sana katka albam ya cindelela inaitwa kuteseka

  • @WilbertMagambo-sr1lz
    @WilbertMagambo-sr1lz 2 місяці тому

    ❤❤❤❤love sana king kiba

  • @JumaaKombo-fm1fz
    @JumaaKombo-fm1fz 2 місяці тому +7

    Uzushi hawana ugomvi acheni ujinga

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba Місяць тому

    Alikiba,,ni msanii mwenye hekima busara na utulivu sana,,hana mambo mengi,,kiukwer ametulia

  • @brunomwacha8880
    @brunomwacha8880 2 місяці тому +12

    Nimependa majina yaliyoko kwenye bango kwa nyuma hukoo mmetishaaa

    • @Qqambaa
      @Qqambaa 2 місяці тому

      Ushirikiano ulioje🥰🥰

  • @GadiyeMosses
    @GadiyeMosses 2 місяці тому +1

    Toeni sasa izo back sound tuskie vzr kelele nyngi

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 2 місяці тому +1

    Sautiiii ndogoooo maikiiii izooooo ongezeniiii.mukirudiaaa tenaa

  • @JamalRamadhani
    @JamalRamadhani 2 місяці тому

    Hii nimeipenda sana Ally anaga tabu bhna..

  • @bienvenukichambaomar5067
    @bienvenukichambaomar5067 2 місяці тому +1

    J'aime ça🎉

  • @AlecheConradNinje
    @AlecheConradNinje 2 місяці тому +1

    Kwaiyo Dully ndo ulimvumbua King Kiba atulipe atulipe na shea tunataka pia😅😅😅😅

  • @AllyNgollo-td6il
    @AllyNgollo-td6il 2 місяці тому +2

    Situation kama iyo sasa iwakute wamelewa wee inanogaga sana utaskia "Ally mi khakhaaako sio khakhaaako?😂"

  • @JghghfgjjgfHvfghhhff
    @JghghfgjjgfHvfghhhff 2 місяці тому +3

    ❤❤❤

  • @KadustaBoy
    @KadustaBoy 2 місяці тому +5

    me wa pili naomba like za kutosha

  • @badenfarhani9656
    @badenfarhani9656 2 місяці тому

    Ila kiba kuongea hajui maswali anayo ulizwa na anachikijibu anazinguka sn

  • @mosestibenda1583
    @mosestibenda1583 2 місяці тому

    Unyama

  • @RehemaKikoti-g6z
    @RehemaKikoti-g6z 2 місяці тому

    Bado diamond

  • @raymondmhozya8894
    @raymondmhozya8894 2 місяці тому

    🍺