MIRAJI |CHAMA ANASAJILIWA YANGA SISI BADO MAZUNGUMZO NAE| BRAND YA CHAMA WATU WAMEMSAHAU MUTALE😢

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 344

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 6 днів тому +28

    Miraji Mimi nakuombea siku moja uje kuwa moja ya viongozi pale Simba, akili kubwa sana mwana unayo 🎉

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 4 дні тому

      Kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti!! Kwa UZOEFU gani! Kwa historia gani ya uongozi hata wa timu ya mtaa? Kuongea bila kuwa na majukumu is easy! Uongozi sio kitu rahisi!

  • @fatumasophu5855
    @fatumasophu5855 6 днів тому +18

    Hatimae na miraji huyu hapo sasa hapa moyo wangu burudanii mzee saidi nishamsikiliza ❤❤

  • @fatumasophu5855
    @fatumasophu5855 6 днів тому +13

    Miraji kuna muda nakuelewa kuna muda sikuelewi lakini all n all❤❤❤uu

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 6 днів тому +37

    Milaji taratibu mabega ya chagamba tunamtegea usije kumtengua

    • @godwinkileo7702
      @godwinkileo7702 6 днів тому +1

      😅😅😅😅😅😅

    • @moseskmbusi2149
      @moseskmbusi2149 6 днів тому +1

      Tunamtegemea hasa hasa kwa ajili ya mazungumzo na mzee wetu saidi, bhana

    • @B.M-ix4rz
      @B.M-ix4rz 6 днів тому +1

      Tofauti ya miraji na mzee said ni :
      Chagamba akimuhoji mzee said anapata faraja na kucheka
      Miraji xaxa ni kipigo tuuu

    • @moseskmbusi2149
      @moseskmbusi2149 6 днів тому

      @@B.M-ix4rz ni sawa lkn miraji huwa anaficha ukweli ana dili na ushabiki wa timu, lkn mzee side ni mkweli mtupu tena anasema potelea pote tunazaliwa mara moja na tunakufa mara moja na kww kuwa wamezoea kuteka na kutuweka ndan watatuweka ndani mno

    • @stevensosipita
      @stevensosipita 6 днів тому +1

      @@B.M-ix4rz dah namuonea huruma sana chagamba si kwa mikofi hiyo ila mwambieni miraji anamuumiza sana chagamba

  • @abunajreenELSESANY
    @abunajreenELSESANY 6 днів тому +15

    KIBU DANIS is Fantastic PLAYER
    MAKOCHA wote wakubwa waliopita SIMBA, wamemkubali SIMBA

    • @drallan6879
      @drallan6879 6 днів тому

      kibu Denis sio fantastic goal moja Kwa msimu assist moja huo ufantastic upo wapi?

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 6 днів тому

      Vp kuhusu Chama

    • @abunajreenELSESANY
      @abunajreenELSESANY 6 днів тому +1

      @@drallan6879 MPIRA NI ZAID YA GOLI NA ASSIST.
      GOLI NI MCHAKATO, NA ASSIST NI MCHAKATO.
      Watoto wajuZi hawajui MPIRA

    • @abunajreenELSESANY
      @abunajreenELSESANY 6 днів тому +1

      @@drallan6879 NGOLO KANTE Ana GOLI ngapi na assist ngapi???

    • @twalibkibiriti8990
      @twalibkibiriti8990 6 днів тому

      Na ilikuwa mnampiga mawe vbaya mnooo

  • @yassinchuwa8824
    @yassinchuwa8824 6 днів тому +1

    Akili kubwa miraji, hongera broo

  • @josephsiame5373
    @josephsiame5373 6 днів тому +9

    Hakuna asiyempenda chama ila ndugu kunawakati usiwe mtumwa wa mapenzi utajikuta kubaki hapohapo bila maendeleo

    • @denishaule6314
      @denishaule6314 6 днів тому

      What he has said is its ok for him to leave but simber fc must recognize his contribution to simba…respect kwa chagamba

    • @Abuu-gs1yi
      @Abuu-gs1yi 6 днів тому

      Kwahiyo Bora umchukie mtu bila 7bu

    • @trice_yanga
      @trice_yanga 5 днів тому

      shida ni baadhi ya mashabiki huwa hatujielewi unakuta unamtukana mchezaji mpira haupo hivo

  • @user-kw3bq4mb2l
    @user-kw3bq4mb2l 6 днів тому +2

    Jamaaa anajua sana soka👏👏

  • @majaliwaandulile8379
    @majaliwaandulile8379 6 днів тому +3

    Hapo miraji ndiyo napokukubali ukweli wako tu

  • @HakimBakar
    @HakimBakar 6 днів тому +9

    CR7

  • @ushiwamarandu7433
    @ushiwamarandu7433 4 дні тому

    MIRAJI kwakwel wewe unaujuwa mpira pamoja na management yeyote ya mpira wa miguu..! upo vizuri sana nakukubali.....!

  • @user-cv4yi5hz9b
    @user-cv4yi5hz9b 6 днів тому +3

    Tunapiga kweny mshono 7:01 🔜🤲🏻🤲🏻🏆💚💚 yanga bingwa 🏆🏆😊😊😊

  • @josinatrderss
    @josinatrderss 6 днів тому +1

    Miraji ulisema unasubiri thenk you ya chama.leo unalaimu uongozi na unajua ni duka ,inonga na manura yote ni maduka

    • @deonatusdaud4640
      @deonatusdaud4640 6 днів тому

      Uwe unaskiliza kwa makini..anachokikataa milaji n zarau anazoletewa chamq n viongozi..

    • @SimonSamson-wp5ik
      @SimonSamson-wp5ik 5 днів тому

      Wewe chiz subili sasa c ndo msimu imefka toa unayoamin maduka afu tuone kama hata utachukua hata kikombe Cha chai ndo maana munaitwa madunduka 😂

  • @mikidadymanga1346
    @mikidadymanga1346 6 днів тому

    Appreciate you ankor l@miraj

  • @omarysauti7450
    @omarysauti7450 6 днів тому +2

    Chama kaenda sawa ❤tunaomba mtuletee wazur zaid maana mtatuuwa

    • @dicksonfondo3078
      @dicksonfondo3078 5 днів тому

      😂😂😂😂😂hamtakufa bn ila chamoto mtakiona

  • @jumamgeni6403
    @jumamgeni6403 6 днів тому +7

    Mimi niyanga rakini milaji unakuwaga mkwer xan tatizo mpira we2 unaendeshwa kisiasa

  • @alexsikab6433
    @alexsikab6433 6 днів тому +5

    Siwezi kumzarau chama juu ameyafanya mengi kwa ajili ya Simba nitamuweka moyoni ijapokuwa amehenda utopolo nitamshabikia lakini mm Niko Simba 100%

    • @user-fi2gf6ks7h
      @user-fi2gf6ks7h 23 години тому

      Kolo tulia acha uboya makolo ni mafala

  • @IbraMwakipesile
    @IbraMwakipesile 6 днів тому +1

    Mimi nakubali maneno Yako miraji napenda ukweli Bado usajili Mimi sielewi kabisaaaa

  • @AllyMagige
    @AllyMagige 6 днів тому +5

    Miraji bigap

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 6 днів тому +5

    Kocha aliyepo haitaji kutengeneza mifumo kumzunguka Chama swali ni kwanini siku za hivi karibun makocha wengi walioingia Simba hawakuwa wakimuelewa

    • @BADILIJUSTUS-fs3oo
      @BADILIJUSTUS-fs3oo 6 днів тому

      Amechoka tumejivua mzigo mkubwa kabisa chama alikuwa ashachoka hawezi ata kukimbia huku nahuku timu inacheza kumzunguka yeye mbona mwanzo alikuwa anazunguka Kila sehemu kiungo kiungo et ndio tatizo kubwa Simba kwanini wakati chama yupo kwani hakuwaga namba nane mwanzo amechoka atafia yanga huko

  • @BADILIJUSTUS-fs3oo
    @BADILIJUSTUS-fs3oo 6 днів тому +2

    Miraji miraji chama ameisha usifananishe na kibu Denis mwenyewe huamini kama anaweza cheza dakika 90 apo TU umekiri mwenyewe Sasa wanini na mshahara wake unaujua pia chama mpira ukimshinda anachochea migomo kwa wachezaji wengine kamuharibu phiri na miqsoni kaizoea timu vibaya adi viongozi anawadharau aende apisha wachezaji wa kisasa ww Kaa utulie

  • @user-vr6wt5rr5v
    @user-vr6wt5rr5v 6 днів тому +1

    Nakubali sana wanaa 😂😂ila chama tumesha mubeba imeisha iyooo 💛💚💛💚😂😂

  • @user-qi3wv8sf5j
    @user-qi3wv8sf5j 6 днів тому +3

    Yes,akitoa MZEE SAID anafuata MIRAJI Mahojiano bora sana this moment CHAGAMBA

  • @AbasiyaKingalu
    @AbasiyaKingalu 6 днів тому +2

    Yupo kwa ulaya alikuwa Michael Owen alikuwa Manchester United kaenda Liverpool na akarud ten Manchester United babaaa

  • @mzongekibwana838
    @mzongekibwana838 5 днів тому

    😂😂😂chagamba ilo bango la BIMA miraji atalitoboa😅😅😅

  • @user-ic2cb9gm2j
    @user-ic2cb9gm2j 6 днів тому +1

    Miraji akilii yko ni level nyengine lkini wengine ni mavuvuzelaa

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 6 днів тому +2

    Viongozi wawe watulivu kiakili kumudu mambo kukaa kwenye mstali mnyoofu🎉

  • @JamesKatabazi-sf3pf
    @JamesKatabazi-sf3pf 6 днів тому +1

    Mabega hyo miraji utatuulia ch@gamba wetu

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 6 днів тому +1

    Maneno ya maana kama haya ya Miraji huwezi kuyapata kwa Kisugu CHAWA, mzaramo TUMBO wala yule KOFIA la JOKERI...!...Big up Miraji

    • @user-ht5tc5yv5t
      @user-ht5tc5yv5t 6 днів тому

      Hahahaaaa kofia la joker😂😂😂 kinaitwa pass million

    • @JacksonFrances
      @JacksonFrances 6 днів тому

      😂😅😂😅 Eti Kofia La Jokeli "

  • @emmanuellongon3136
    @emmanuellongon3136 6 днів тому +1

    Chama hakimbiii ,hauwezi kuwa na mchezaji ambaye amekuwa mkubwa kuliko timu

  • @Sanjey-vp1fm
    @Sanjey-vp1fm 6 днів тому +4

    Cc tunaumia zaidi tukifungwa na mtani na kwenye gem zetu na mtani chama was nothing alikua anatuhujumu kwenye gem izo lkn c kwamba chama kashuka kiwango hapana. Tunampenda sana, katufurahisha sana lkn mechi za mtani kutuhujumu bora aende tu.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 6 днів тому

      Una uhakika?

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 6 днів тому

      ​@@mohdkhatib223bado dawa haijawaingia ngoja ligi ianze tuwape ingine

    • @chrisantusnditi8670
      @chrisantusnditi8670 6 днів тому

      Kwani uwanjani alikuwa anacheza Chama peke yake?Iweje awe anaihujumu Simba?Ni mara ngapi Simba wamepata matokeo wakati Chama yupo benchi?Kwa misimu miwili ya nyuma kabla huu wa 2024,umeangalia namba za Chama akiwa Simba?Unatambau kwanini namba za Chama mwaka 2023/2024 kwanini zinaonekana zimeshuka?Mambo mengi na muda mchache, subiri matendo kwenye uwanja kwa tripple C,hapo utajifunza kitu

  • @McbarakaeventsTz
    @McbarakaeventsTz 4 дні тому

    MIRAJI ni mtu wa football na anajua sana 🫡🫡

  • @yanshuking
    @yanshuking 6 днів тому

    Ahmed ally ni msenge sana abaporojo nying mno wanamtumia vby mno

  • @user-jo5ts1se2i
    @user-jo5ts1se2i 6 днів тому +5

    Simba

  • @raphaeltanzania
    @raphaeltanzania 6 днів тому

    miraji umeongea vema kabisa na chama alistahili thank you mapema mno ili kutuliza mioyo yetu hapa wanatugawa na kutusambalatisha vilivyo viongozi wetu

  • @adamchihungi
    @adamchihungi 6 днів тому +1

    Sasa milaji Chama angepewa thank you mapema wakati mkataba wake ulikuwa unaishia mwezi wa Sita mwishoni

    • @nkoydavid9658
      @nkoydavid9658 6 днів тому

      Labda angemlipa yeye kuvunja mkataba 😂

  • @JosephLamau-yq1lx
    @JosephLamau-yq1lx 6 днів тому

    Sawa miraji Mimi mpenzi clip zako zote kwa hili😮😢😢unakosra Acha Aende

  • @Shadia544
    @Shadia544 6 днів тому +3

    😂😂😂Miraji na chagamba jamaniii nilikuwa namsubili miraji na chagamba wangu 😂😂😂CHAGAMBA LEO BEGA HUNA 😂😂😂😂😂

  • @ReginadAloyce
    @ReginadAloyce 6 днів тому +2

    Gambaaa chagambaaaaaa 🎉🎉gambaaa baba

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 6 днів тому +1

    Kweli kaka miraji pale msemaji Mimi Kila siku namwambia msemaji asipende kumsifia wachezaji wanarogwa kabra hata awaingia uwanjani,mfani ukuta wa yeriko onana Fredi fungafunga babakari Sali tuliambiwa alimkaba ronado sasa yakowapi niwengi mno

  • @muhsinkimaro4283
    @muhsinkimaro4283 5 днів тому

    Miraji nakuelewa sana, tutakuja kuaibika halaf tutatafuta majib ya nn kimetokea

  • @FredyPeter-rq8hj
    @FredyPeter-rq8hj 6 днів тому

    mabega hayo unapo kuwa unamuhoji milaji unatakiwa uwe nagad yatakuja kung'oka ❤❤

  • @Izzoh2021
    @Izzoh2021 6 днів тому +2

    Miraji huo ndio udunduka mlio nao unamwacha mtu mwenye magoli 10 unampa mkataba mtu mwenye goli moja kibu hohohoh,chama hamjamwacha chama ndiye kawaacha hohoho ndio mana bado wanamtaka uwongozi wa simba haujielewi na hawajui nn wanataka

  • @paschaziaalobati9946
    @paschaziaalobati9946 3 дні тому

    Nakukubali kabisa

  • @SuleimanIbrahim-lp7qs
    @SuleimanIbrahim-lp7qs 6 днів тому

    Kaka miraji umengea vibaya sana asante

  • @azizimaketa2060
    @azizimaketa2060 6 днів тому +1

    Hatuwezi kuathirika kila jambo lina muda wake. Hakuna mtego hapo Hata Kibu mm simkubali angeondoka tuu nae

  • @hassanramadhani2816
    @hassanramadhani2816 6 днів тому

    Uko vizuri miraji

  • @chricjoseph1340
    @chricjoseph1340 6 днів тому +3

    Miraji kaumia chama kuondoka bn Hana lolote😂😂😂😂

  • @josephshishira6301
    @josephshishira6301 6 днів тому

    Chama hakupewa thank u mapema kwa sababu mkataba wake ulikuwa unaisha trh 30 Juni

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 6 днів тому +4

    Hekima ya Neno hili limenijenga zaidi "Kunawakati lazima upoteze unachokipenda ili kikujenge kuwa imara zaidi, lakini kama haujajitambua kinaweza kikakupoteza au kukuharibu zaidi🎉🎉

  • @user-yy8sd9ib5b
    @user-yy8sd9ib5b 6 днів тому +1

    Nimekusoma mzee baba

  • @MusaDadi-pd3jd
    @MusaDadi-pd3jd 6 днів тому +7

    Miraji kama kuna mtu imemuuma sana chama kwenda huko utopoloni amfuate huko aliko Atuachie simba yetu

    • @user-fi2gf6ks7h
      @user-fi2gf6ks7h 23 години тому

      Lazima chama awapige bao nyie makolo kwinyo

  • @user-uf6rp7pp2l
    @user-uf6rp7pp2l 5 днів тому

    Miraj always namuelewa ila leo naona kuna sehemu tumetofautiana kimawazo na kiuelewa!
    Binafsi ishu ya chama kuondok lazima ingeleta tuu mgawanyiko kwa mashabik na hili wala sio ttzo la viongozi coz huwez control hisia za watu.
    Lkn pia Chama amekuwa legend wa simba soo kitendo cha yeye kwenda kusign kwa wapinzani wakubwa wa simba lazima wangetokea watu kum-crush.
    Mfano ikitokea leo mchezaj kipenzi wa Al-ahli akaenda zamalek jua kuna mashabik wengi watam-crush kwa sabb hyo.
    Soo nafikir issue ya chama wala viongozi hawajatugombanisha bali ni hisia tuu za baadhi ya mashabiki baada ya yy kuhamia kwa wapinzani.

  • @ChristopherMoshi
    @ChristopherMoshi 6 днів тому +2

    Milaji uko sahihi viongozi hatuna aseee

  • @user-wm4nq2vk2e
    @user-wm4nq2vk2e 6 днів тому

    Wewe ndo una matatizo ya kumganda mchezaji mmoja😊

  • @kigura_jr
    @kigura_jr 5 днів тому

    Hivi chagamba unawezaje kuhimili makofi makubwamakubwa hvo kutoka kwa miraji 😂😂😂

  • @davidjohn540
    @davidjohn540 6 днів тому

    Hapo Miraji unazingua, kwahiyo mchezaji haiangaliwi kwenye Namba zake tu. Na huwezi kumpa Chama heshima kubwa hivyo kuliko Club, bro haipo hiyo kwanza utambue mchezaji wako alishakuwa na mahusiano na maadui kitambo na alishaonesha utovu wa nidhamu kitambo.
    Kuhusu THANK YOU haikubaki yake tu zipo nyingi zinakuja

  • @NathanChilwa
    @NathanChilwa 6 днів тому

    chagamba we mvumilivu sana Kwa hayo makofi ya miraji

  • @NajimaAbduli
    @NajimaAbduli 6 днів тому +1

    Hata boss wetu ni msenge mtu hana maamuzi ya haraka

  • @user-zr9jl3hn6c
    @user-zr9jl3hn6c 5 днів тому

    Miraji upo sahihi kabisa, chama sio tatizo la Simba kushuka

  • @bauchahamad5333
    @bauchahamad5333 4 дні тому

    Chagamba Huna mpango wowote basi nenda yanga ujinga tu nenda kwa mzee mwenzako

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 6 днів тому

    Chagamba miraji big up

  • @WILLIAMBONIFACE-zh9hv
    @WILLIAMBONIFACE-zh9hv 6 днів тому

    ❤❤namkubalisana milaji bigap

  • @user-sy4wf5ll4o
    @user-sy4wf5ll4o 6 днів тому

    Ahamed Ali muambieni aache kuwasifia wachezaji sana anawapaka mafta mno hiz nisimba na yanga babu

  • @EdsonMdagachule
    @EdsonMdagachule 6 днів тому

    Kaka Miraji yupo sahihi kabisa

  • @betrosychangula5581
    @betrosychangula5581 6 днів тому

    Miraj hapo unafel cham hadharauliw ila watu wanataka kumwondoa mioyon mwao tunapaxwa kuwafikilia wanao kuja kuitumikia ximba xio chama tena tumwache aende alafu unalazimixha thank you y cham ilitakiwa mapema kixhelia ulitak ximba wamlipe kw xabab mkatab wake ulikuwa hauja ixha n ndio maan hata yanga wamexbir mbak amalize mkatab wak ndio wamtangaze

  • @user-xz2vl8up5e
    @user-xz2vl8up5e 6 днів тому

    miraji acha jaziba hakuna anae ubeza ukubwa wa chama au uwezo wa chama miraji tukubali mabadiliko tunaitaji kzazi kpya Tim ilisha poteza muelekeo tunaitaji kuijenga Simba mpya bila chama

  • @user-ib2ew9ec3d
    @user-ib2ew9ec3d 5 днів тому

    Acha ushamba Broo chama ninani achaufala aendetu nimaamuzi yake

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 6 днів тому +1

    Mwamba Maramoja nlikua nakungoja sana

  • @AbasiyaKingalu
    @AbasiyaKingalu 6 днів тому

    Begaaa baba begaaa Baba miraji wee😂😂😂😂

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p 5 днів тому

    Ronald kwend Madrid kurud United au sio dabi

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z 3 дні тому +1

    Acha na wewe hapo Umefeli ulitaka abaki hadi lini, tuambie

  • @KibibiHemed
    @KibibiHemed 6 днів тому

    Bega la chagamba baadaa ya interview lazima ukandwe😂😂😂

  • @user-rn2dl1rg8b
    @user-rn2dl1rg8b 6 днів тому

    Wwwww kaka milaji mbna uyo jamaaa atamaliza kukuoji asha umia ety

  • @aloycebina8968
    @aloycebina8968 5 днів тому

    Watu atujachukia chama kuondoka watu wanamchukia chama kwenda yanga labda ujaelewa

  • @roberttagaya9098
    @roberttagaya9098 6 днів тому

    Huyu nae ni mnafiki sana. Juzi tu yeye ndie aliyekuwa anaongoza kutaka Chama aachwe kisa tu alishiriki kuhujumu mechi ya goli 5 Simba ilipo fungwa na utopolo.

  • @user-ls9ig9lk3t
    @user-ls9ig9lk3t 6 днів тому

    Mwanangu miraji aka benchika

  • @nkoydavid9658
    @nkoydavid9658 6 днів тому

    Miraji unakuwaga na mihemko sana .. siyo siku ile tumepigwa tano ulisema kuna wachezaji wametupigisha shoti? Siku ile Chama wamegomabana fitness coach hukusema Chama ni tatizo? Leo unalalamika nn Chama kuachwa?

  • @ngwilunyiga2447
    @ngwilunyiga2447 5 днів тому

    Mambo bado san simba inatisha sijuwi itawaje

  • @innocentjoseph805
    @innocentjoseph805 6 днів тому

    we miraji ni mpumbavu sijwahi kuona ata siku moja, uizungumzie simba vizuri kila siku nikuitoa kasoro hakuna ata siku moja ukaiongelea kwa uzuri.

  • @betrosychangula5581
    @betrosychangula5581 6 днів тому

    Alafu acha uongo wana ximba tumempokea mutale labda ww tu ndio hujampokea mbon unamzungumzia xana chama kuliko ximba leo umefel

  • @winfridapeter9455
    @winfridapeter9455 4 дні тому

    Panadol umekunywa chagamba😅😅😅

  • @user-fq5lh1uu6d
    @user-fq5lh1uu6d 5 днів тому

    Miraji cku atakuja kumuwamba makofi chagamba bila kutaraji 😂😂😂 au kumvunja mabega kabsa😂😂😂

  • @betrosychangula5581
    @betrosychangula5581 6 днів тому

    Ukimpa thank you mapema unakuwa umevunja mkatab viongoz walikuw xahh kuxubil mkatab uixhe

    • @barakamwafwalo4680
      @barakamwafwalo4680 6 днів тому

      Na mbona mkataba umeisha hawajatoa official Thank you?? Lini umeona Simba imepost kuwa imeachana na chama hata badala ya mkataba kuisha?

  • @mrajani786
    @mrajani786 4 дні тому

    Huyu ansema mtego maana yake nini
    Wewe haufamu chama gari model ya zamani lifetime yake ni Mwaka moja tuu na chama alikuwa anataka dola milloni moja mkataba mpya hata mo alikuwa full stop

  • @TwahiliSelemani-j7f
    @TwahiliSelemani-j7f 6 днів тому

    Mwamba uko vizr sana

  • @muhidiniwadhifa3600
    @muhidiniwadhifa3600 6 днів тому

    Kila kitu kinamwisho wake wacheni mambo yenu hayo aachwe waje wengine, unamkumbuka madaraka sleiman , Nteze John , Suleiman Matola

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 6 днів тому

    Milaji uko pw sana🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nassibmmbagga1465
    @nassibmmbagga1465 6 днів тому

    Miraji angalia mabega ya Chagamba😂😂

  • @abdulahabdi480
    @abdulahabdi480 4 дні тому

    Miraji utamumiza huyo chagamba 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hassanntankwa4156
    @hassanntankwa4156 6 днів тому

    Nice

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 6 днів тому

    Rivaldo borba Ferreira mtu na chenchi 😂😂😂

  • @user-mx4vz3jt2n
    @user-mx4vz3jt2n 6 днів тому

    Kaka akuna dharau alizo fachiwa chama. Kaachwa kwann tusikubali mi naamini atuuingii shimoni

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 6 днів тому

    MIRAJ mabega ya chagamba Mzee utaua😂😂

  • @user-ms8nt6ql9k
    @user-ms8nt6ql9k 4 дні тому

    Yani miraji bwnaa

  • @kayandaabwe2976
    @kayandaabwe2976 6 днів тому

    Miraji utatengua bega la chagamba

  • @JustSway-g5t
    @JustSway-g5t 6 днів тому

    Miraji waambie ukweli awo makolo awajielewi😂😂

  • @AmanziRajabu
    @AmanziRajabu 6 днів тому

    Miraji utamuuwa chagamba sio Kwa mikof iyo ya bega

  • @user-fq5lh1uu6d
    @user-fq5lh1uu6d 5 днів тому

    Eeh miraji taratibu vidole na macho ta chagamba 😂😂😂 tunamtegemea bado

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 6 днів тому

    Wewe acha kuchochea ujinga waache viongozi watengeneze timu huwo ni ujinga au nawewe ni utopolo