MIRAJI MARA MOJA: HAJI MANARA na AHMED ALLY NI BORA SANA KULIKO WASEMAJI WENGINE BONGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лис 2023
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 15

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 8 місяців тому +1

    SIMBA NGUVU MOJA 🇹🇿 ♥️ ❤️ 💖 mashabiki bora barani Africa 🇹🇿

  • @allyshabani3404
    @allyshabani3404 8 місяців тому +2

    Hamed Ali hekma nyingi busara anajuwa kuongeya.bila matusi ana maneno mazuri ya kuliwaza mashabiki na kuwapoza wanakapo kuwa wapo kwenye maumivu Hamed Ali akifungwa anakubali hana ubishi.

  • @mdudamduda1284
    @mdudamduda1284 8 місяців тому +2

    Hamedy ni komedian ana ubora wowote kazi kubwa anayo ifanya ni kuwa fix makoro

  • @jofreymhagule7505
    @jofreymhagule7505 8 місяців тому +1

    Bravo miraji kwakutusanua akili wanamsimbazi kuusu unafiki wa utopolo

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 8 місяців тому +1

    dada kua mvumilivu na miraji atakipiga mabegani mpaka mwisho wa intavyu 😂😂😂😂

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 8 місяців тому +1

    Wewe sema tu ni matopolo wakiongozwa na bosi wao.
    Hvi na sisi hatuwezi tukatembea nao?
    Wana Simba tafadhalini tulale nao hao titi fo tati, wasitunyanyase ki hivyo! Hapa Power Dynamos utopolo walicheza sana.

  • @romariohullah4410
    @romariohullah4410 8 місяців тому +1

    Kumbe Kuna asec hapa bongo😅😅😅😅

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 8 місяців тому +1

    Ahmed Ally hana siyo msemaji ni muimba taarabu

  • @OkinadNdashao
    @OkinadNdashao 8 місяців тому +1

    Ahamed Ally muongo sana kawazi wote kwa uongo

  • @maxwell8007
    @maxwell8007 8 місяців тому +1

    ally kamwe yupo vizuri kuliko hai wote huliowataja mi kiukweli napenda nimsikilize huyo ally kamwe sbb ni mtu anazungumza fact sana kuliko Hamed ally ni muongo2

  • @saidkhamismasoud8264
    @saidkhamismasoud8264 8 місяців тому +1

    Skuizi miraji unapotea unapoteza mashabik zako na nnawasiwasi cjuwi kama huchukui bahasha mana fakty zako ckuiz zipo chini ya kiwango kama Cha onano na Hafiz cocon amini miraji unazinguwa tokea kupijwa 5g?

  • @hashimukae8741
    @hashimukae8741 8 місяців тому

    Chawa la ahmd ally🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mariamabdallah9847
    @mariamabdallah9847 8 місяців тому

    Uto wanaroho mbaya sana