Utapeli: Wakenya wahadaiwa kununua vipuri vya magari ambavyo ni hewa, Mombasa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 тра 2024
  • Kuna utapeli unaodaiwa unaendelea huko Mombasa, wakenya wakipoteza mamilioni ya pesa kwa kuhadaiwa kununua vipuri vya magari ambavyo ni hewa.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

КОМЕНТАРІ • 6

  • @bornifacekayo2409
    @bornifacekayo2409 27 днів тому +2

    Vipuri ndo nini juu nataka pia kufungua hii biashara😂

    • @alwyjahdhamy8094
      @alwyjahdhamy8094 27 днів тому +2

      Vipuri ni spare parts kwa lugha ya kiengereza

  • @MoMo-qw5mp
    @MoMo-qw5mp 27 днів тому +1

    People are conned because of greed, waambiwa kitu ya 80k yauzwa 50k! And why pay before seeing products?

    • @alwyjahdhamy8094
      @alwyjahdhamy8094 27 днів тому

      kweli yatakikana uende ukaone kisha kama umeridhika ununue

  • @MoMo-qw5mp
    @MoMo-qw5mp 27 днів тому

    Vipuri means vehicle spare parts

  • @nurezdawood8363
    @nurezdawood8363 26 днів тому

    Kuna matapeli wengine pia wametangaza mtandaoni kuhusu vipuri kwa bei nafuu huko kibwezi. Swali ni mbona mnatuma hella ya vipuri haujapokea? Conmen wamejaa kila mahali wakila jasho za watu lakini wao naye wajue wamelaaniwa na watakufa kifo mbaya kuliko cha mbwa..