Waandamanaji wa Mombasa wanalaumu msimamo wa serikali

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Waandamanaji pamoja na viongozi huko Mombasa, wanalaumu msimamo wa serikali kuhusu mswada wa fedha, wakisema ulisababisha machafuko. Wanamshtumu rais Wiliam Ruto pamoja na wandani wake kwa kutozingatia malalamishi ya wakenya dhidi ya mswada huo wa fedha huku wakitamaushwa na jinsi baadhi ya maafisa serikalini wanavyotumia pesa licha ya mahangaiko ya hali ngumu ya maisha kwa wakenya wengi.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

КОМЕНТАРІ • 2

  • @jotonyae-04
    @jotonyae-04 3 місяці тому +1

    Hapo kwa criminals hata mm aliniudhi sana