KUTEMBEA KATIKA NEEMA || PASTOR GEORGE MUKABWA || 29-06-2023
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- #jrctz #Tanzania #jrcchurch
Gospel Teachings for soul winning Purpose.
#jrcchurch #Tanzania #jrctz#youngministersconeference2023#
Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
My name is James from Kenya na kusema ukweli kutoka nianze kumsika huyu mtumishi wa MUNGU my life has been changed God bless you apostle George ❤
Amen 🙏 mtumishi barikiwa sana kwa mafundisho hata ya kupata neema kwa mungu
Nyimbo nzuri sana mbarikiwe
Following you pastor from USA barikiwa mno Amina
ameen natembea ktk neema ya MUNGU ktk jina la YESU KRISTO aliye hai
Baba naomba neema ya kifuraia wokovu wangu
Pastor,,, wewe ni mtumishi mwaminifu wa Mungu,,wewe ni zaidi ya mwalimu. MUNGU akupe maisha marefu ya utumishi.
Nimekua nikitumia 80 ,kila siku ya kununua data ili Ni barikiwe na hii mafundisho yako mchungaji , barikiwa MUNGU wa mbinguni akuongezee neema
@@ReubenOdero-vj2qmpòp0⁰😊😊⁹⁹p00⁰0p😊
Mungu akubariki sana baba. Hakika umenivusha sehemu
Baraka tele mtumishi wa Mungu,unanibariki na mafundisho yako,mwalimu wa neno,natamani kuonana nawewe siku moja
Ameen pastor George I have been blessed this evening by the word naomba Neema ya kufundisha kama wewe ishuke juu yangu
Actually I love your teachings I have changed through you and more so I have learn how to teach others, I never knew you but I was pushed to listen I have downloaded alot happy to follow be blessed.
Asante sana mtumishi kwa neno baraka za mungu ziwe pamoja na nawe
Neema ya YESU ikanitakase🙏
I like your teachings pastor george
Baraka tele mtumishi, umekua wa baraka kwangu kwa mafundisho, Naomba Mungu anineemeshe katika maisha,neema iwe fungu langu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ iiwooooow..oye Niederosterreich
Pastor tunaomba msiwe mnakata sauti tunahitaji kusikiliza
Mungu akubariki mtumishi
Nashukuru mtumishi wa Mungu kwa mafunuo ambayo Roho wa Mungu amekupa nawe ukawa mwaminifu kuyatunza kwa ajili ya roho zetu Mungu akupe siku nyingi kwa ajili yetu
Ameni❤🙏🙏🙏🙏🙏 nabarikiwa sana na mahubiri Yako mtumishi mungu akujalizie neema
Haleluuuuyaaa
Mungu akupe maisha marefu pastor 🙏🙏🙏
Ibada zako zinanigusa Sana...!! Neema na maarifa zikuongoze...mtumishi...Kenya...watamu
Ubarikiwe mutumishi Mungu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mungu naomba nitembee katika neema in jesus name
Neema ya Mungu ya tosha Amina
Amen mtumishi wa Mungu, kweli umejawa na Neema ya Utakaso ,NAMI nabarikiwa sana NAMI naomba yesu anipe Neema ya kumjua mungu na anipe Neema ya Utakaso Amena
Pastor God bless you, your message is full of Grace I am so blessed.
GOD bless you pastor naona unanipeleka mahali kiroh
my best pastor ever, nimeelimika na mafunzo yako sana mungu akuneemishe zaidi
Mungu akubariki Sana pastor George ninakuelewa Sana ktk mafundisho yko,ambayo Neema ya Mungu iko juu yko.
Baba katika jina la YESU KRISTO naomba NEEMA yako
May God blee you pastor, ninajifunza sana kupitia mafundisho yako ubarikiwe.From TZ
Amen mtumishi wa MUNGU kusema kweli mafundosho yako yameniinua sana kiroho nilikua nimezimwa moto wa kiroho kupitia haya mafundisho nimeyafuatilia na yamenisaidia sana sana mungu akubariki mtumishi wa MUNGU sitaacha kuyasikiliza yanasaidia sana sana natoka Kenya
May God bless you pastor,,
Ubarikiwe na Mungu
Nabarikiwa. Sana kwa haya mafunzo❤
Amen and amen, very powerful teaching, I'm blessed, more wisdom to you pastor 🙏🙏
Amen baba
Joyce my dear huna number ya Pastor George
Ubarikiwr mtumishitunaomb namb ya mtumish
Amen nami Neema na niipokee
Mungu akubariki sana sana unanijenga kiroho
Amen mtumishi wa MUNGU kusema kweli mafundosho yako yameniinua sana kiroho nilikua nimezimwa moto wa kiroho kupitia haya mafundisho nimeyafuatilia na yamenisaidia sana sana mungu akubariki mtumishi wa mungu na sitaacha kuyasikiliza yana upako wa MUNGU natoka kenya hallelujah
I appriciate Senior Pastor sir with your God's News in Teaching, may Almighty GOD Bless you abundantly,
Oh Hallelujah Hallelujah Hallelujah!!!
Pastor, Mungu akubariki
Nabarikkwa sana na huyu Mtumishi
Mungu atukuzwe kwa neema aliyokupatia ya ualimu wa neno lake,akuzidishe siku kwa siku,utukufu kwa Mungu juu mbinguni
Kwa mafundisho hays najengwa sana kiroho nahatamwili maarifa naufaham Bwana akunze mtumishi wake
Natamani ku like ata mala nyingi 😂am blessed 🤝
Mungu akupe maisha marefu
Nimebarikiwa sana
Amen. Zidi kubarikiwa Pastor
Aminaaa 🙏🙏🙏🙏
Hallelujah Pastor watching from 🇺🇸 USA ..BARIKIWA SANA..VERY POWERFUL.
Mungu wa mbinguni akubariki baba.. Mch. Joshua a link in kung pasha na wewe baba. Your SMS make me to move from one step to another P. God bless U all.
Baba Mchungaji George , umenigusa sana kwamafundisho Yako, unatufundisha Ile kweli, barikiwa sana
Glory be to the lord
Amen Ameeeen nabarikiwa sana na mafundisho yako pastor
Kwa kweli mafundisho yake yamenisogeza pakubwa sana Mungu bariki kazi Yako
Every morning before I go to work I letsen to you sir, am taught every day by you
Great teaching there
Amen,nimebarikiwa na nimepokea neema ya kumtengemea Mungu katika kila jambo,Barikiwa Mtumishi🙏
Amen Amen ,Amen neema ya Mungu yanitosha.
Baba MUNGU azidi kukutunza
Be Blessed Servant of God
Ni kweli pastor
Pastor ubarikiwe sana, Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu Sana, ili tuzidi kumfaha huyu Mungu wetu kwa kina
Amen baba mucungaji tunabarikiwa Sana n'a mahubiri Yako Sisi tuko Burundi
Baba nabarikiwa sana
Mtumishi wetu mungu akubariki sana kwa hili neno laleo nimebarikiwa sana ...mungu azidi kukupa nguvu na uzima ili tuweze kukua kiroho
Pastor wewe ni mtumishi mwaminifu
Ninakupenda sana Pastor George. I like your teachings. Unanibariki sana
Amen pastor unanifundisha mambo mazuri
Be blessed the real pastor 🙏
God Help me Your Grace in my life
Nimeepata neema.
Amina kubwa baba ubaliliwe sana na uyu Yesu
Mimi mchungaji JONATHAN kutoka Tanga najifunza sana barikiwa Kwa Somo la Neema
Amen 🙏🏻
Amen pastor
Amen Mchungaji
Amen and Amen
🙌🏽
Amen
Nimefanyia kazi mafundisho yake yamenitoa
Ameeeeeeeen 🙏
AMEN&AMEN , PAPA PASTEUR GEORGE ,WATCHING FROM CANADA, YOU ARE SO ANNOITED,FOR PREACHING
powerful
PASTOR WETU! HAKIKA NINAKUSHUKURU KWA YOTE UNAYOHUBIRI KWA UJASIRI SANA, MTU AKIKUSIKILUZA KWA MAKINI LZM ABADILIKE KUMFUATA HUYU YESU MWANA WA MUNGU ALIYE HAI. AM
Mafudisho haya yananiinua kiwango chengine
Praise God pastor, have you ever been in eldoret?watching from Nairobi be blessed
Samahani naomba kutuma sadaka lakin inakaa mtanisadia namna gani tafadhalini
Hallelujah pastor Mungu akuinue zaid na zaid naweza pata namba ya cm
Ameen
Amen baba very powerful speech. from Denmark
Hili kanisa lipo sehemu gani hapa Mwanza? Naomba namba ya mtumishi
Linapatikana Kirumba mwisho wa lami karibu na kituo cha polisi. Linaitwa JRC -Jesus Restoration Center
Mithali gapi
Sisi wasikilizaji hamutendei haki kusima sauti mchungaji alipo anza kutowa ushu huda jinsi Baba yake alimunyanganya kitanda viti godoro. inafaa nasisi tuya sikilize
Unaweza nipa numberi yako ya WhatsApp? Asanteni
Mungu alibariki mtumishi
Nashukuru mtumishi wa Mungu kwa mafunuo ambayo Roho wa Mungu amekupa nawe ukawa mwaminifu kuyatunza kwa ajili ya roho zetu Mungu akupe siku nyingi kwa ajili yetu
Mungu akubariki sana pastor ni kweli una mungu na unafundisha vizuri sana ubarikiwe pastor
Ameen mtumishi.
Ooooh groly be to God Mungu aendelee kutumia
Amen 🙏