Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

⚒️RADDI KWA VIJANA WA MASJID OMAR, UST.ABUU NU'AYM AKRAM حفظه الله تعالى

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 71

  • @IssaKabelwa-zs2ct
    @IssaKabelwa-zs2ct Місяць тому

    Aamiin

  • @ShabanHassan-td3lx
    @ShabanHassan-td3lx Місяць тому +2

    Hakika ndugi etu abuu Nu'aym umefanya jambo bora kwa kuwajibu Hawa watu wa matamanio, wangekaliwa kimnya fitna zao zingeasi sn kwa watu wasiojua kitu katika sheria ya Allah. Allah akuhifazi ndugi etu na akujalie hirsi katika kutafuta elmu.

  • @AishaAbdala-o6b
    @AishaAbdala-o6b Місяць тому

    Allah amrehemu kipenzi chetuh abuu mua'wiyyah

  • @ahmedseif-cu4ex
    @ahmedseif-cu4ex Місяць тому +4

    ALLAH AMREHEMU SHEIKH ABUU MUAAWIYA MM CKUWAHI KUMUONA WALA CKUA NIKIMJUA HAPO AWALI LKN NILIJARIBU KUMSIKILIZA NAKUMFATILIA BAADH YA DURUSU NA RUDUD ZAKE DHIDI YA BAADH YA MASHEIKH WENZAKE WA KISUNNA KAMA YY VILE NILGUNDUA ALIKUA AKIHITAJI WAKUTANE NA TOFAUTI ZAO ZIMALIZIKE BIMAANA ALIKUA AKITAKA SULUHU KWA NDUGUZE LKN UPANDE WA PILI WA MASHEIKH WENGINE HAWAKUA WAKIHITAJI HILO KWA KIPIMO CHANGU MM MAANA CKUWAHI KUONA WAKIZUNGUMZIA SUALA HILO LA SULUHU SASA UNAMTOAJE KATIKA USALAF MTU KAMA HUYO ITOSHE KUSEMA ALIKUA MTU WA SUNNA TENA MWENYE PUPA KATIKA KIFUNZA NA KUIFATA ALLAH AMSAMEHE MAKOSA YAKE NA AMREHEMU

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому

      Amin

    • @mussakimwaga4645
      @mussakimwaga4645 Місяць тому

      Shida yake ni kuwatetea na kuwahami na kushirikiana na mahizb kama kina dr islam

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому +1

      Naomba utupe vipambanuzi vya uhizbiyaa au unasema mtu fulani ni hizby vp ya vipimo vya kisheria

    • @dawud6065
      @dawud6065 Місяць тому +1

      ​​​​@@mussakimwaga4645
      Ahky huyu Daktur Islam ni hizby kwa msingi upi? Nifahamishe kwa hujjah na daleel.
      Bila Taasub na taqlid, wewe binafsi leta adila ya uhizbiyya wa Daktur Islam ndio tuelewe wazungumza kiushabiki au kwa ilmu na inswaf.

    • @MohamedSalim-cm9ih
      @MohamedSalim-cm9ih Місяць тому

      ​@@dawud6065 akikupa hoja moja Tu ya msingi niambie ...hakupi katuu ...hao ni hadadaiya wazee WA ghulaat mahasidi

  • @alirajab7101
    @alirajab7101 Місяць тому

    اللهمّ من أرادنا وأراد المسلمين بسوء فأشغله بنفسه اللهم عجل بزوال باطل وأهله

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas Місяць тому

    Mashallah sheikh Aboud rogo naisikia Sauti yake hapa

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому

      Aboud rogo ni khawarij na mubtadi'iiyy mkubwaa

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas Місяць тому

      @@Ibnsalim3 kwaiyo kwani we unatak nin kunirepoti au ,wakati apo kuna maswli nkikuliza utachoa macho tu, Ntajiee bidaa moja aliyofnya Rogo ,Napia Kama Nin khawariji Alitoka katika Twaa ya Amiri gni ,Na Amir Huyo Kapewa Baaiya Nani Au wee Umetoa Baiiya kwa hyo Amiri ?

  • @ali-c5c9i
    @ali-c5c9i Місяць тому

    Mashaallah khutba mzur sana kwakweli shkh abuu muawiya amefanya kazi kubwa na kwa mda mdog allah ampe ujira wake kamili katika hasaant zake na amsameh makosa yake

  • @user-mu9nl3vv4b
    @user-mu9nl3vv4b Місяць тому

    MAFUTA YAMESHAMWAGIKA LIMEBAKI DEBE TUPU TUPU

  • @SwafaNabahan
    @SwafaNabahan Місяць тому

    Mbona Maneno ya wengi ktk wazungumzaji hapa wanazungumza Maneno wanayo yazungumza Mahizbi wakibarahiyaniyyah na wanaharakati au Mlengo wenu ni mmoja?.

  • @user-et9vf2ro2k
    @user-et9vf2ro2k Місяць тому +1

    NDugu yeetu kaassim mafuta umekosea na unakosea rekebishaa hiii dawa unaipeleka kwa misingi binaafsiii vp utakapo simamishwa mbele ya Alla

  • @babanusayba3600
    @babanusayba3600 Місяць тому

    Haya ndio madhara ya vijana wakurupukaji kujifungafunga katika qauli za wanavyuoni ambazo hazielewi

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому

      Ss km ww unazielewa basi tuambie achaa dharau hizoo hata huikubali HAKKI hii basi leta hoja na sio MANENO ya kurushrushaa

  • @abdurashidinasorodini
    @abdurashidinasorodini Місяць тому

    😮masikini wamemzulum sheikhe wawatu na aliwambia hao wakina Kasi mafuta yakwamba kama kwali yeye ni hizbiya wake mezani kitabu kwa kitabu ukurasa kwa ukurasa wambainishie huo uhizibia wakashindwa Leo hata kwanda kumzila nduguyao wameshindwa mtikhani sana huu usalafi huu 😢😢😢😢😢

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev Місяць тому

      Mche ALLAH na uwe mkwel ktkt maneno yako uiwe muislam muongo humuogopi Allah ww? Hebu ingia utube andika radd kwa shekh muawiya shekh kasim mafuta awe akhy ustete jambo qmbalo hulijui au hufatilii

    • @abusalmadangaadam708
      @abusalmadangaadam708 Місяць тому

      Piga spna kabisa hii misarf uchwara inayochafua daawa kwa masrah ya matumbo yao

    • @auroxenterprises8003
      @auroxenterprises8003 Місяць тому

      Najua limekuuuma Ila mumedhulu na mummah nzima umedhulumiwa Kwa shuki za KASSIM mafuta yaummulkiyama atabeba dhimaaaaa kwakuwakataza waislam wasiende kuchukue elimu Kwa abuuu muwaiyaaaa@@IssaSimbilla-hw9ev

  • @abdurashidinasorodini
    @abdurashidinasorodini Місяць тому +1

    wallahi khutuba mzito sana hivi kweli salafi gani anae frahia kufa kwa ndugue mwislam huyu ND usalafi kweli halafu sheikhe kasema kweli baazi ya hao wanao jiita masalafi wengiwao wanaiga tu elimu hawana

    • @IssaSimbilla-hw9ev
      @IssaSimbilla-hw9ev Місяць тому

      Ukijua misingi ya watu wa batwri huwezi shangaa jambo dogo kama hili kisha sikiliza wanazuoni wanasema nn kifo cha mtu mzushi yyte fatilia ulamaa wanasemaje wala usinge shangaa kbs sema ugeni wa manhaji wengi hamjui misingi na wala hakuna alie furahia kwamba kafa abuu muawia ispokua muawiya kafa hizb ndio Allah amraham

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому

      ​@@IssaSimbilla-hw9evww unaujua uhizibiy unafuata mkumboo watu wakisema na ww uchangie hebu tupee uhizibiy wa sheikh abuu muawiyaa hivi nikuulize WANAWACHUONI na masheikh way WA wanakiri usafi wa Manhaji ya sheikh ABUU MU'AWIYA na nafasi yake na tabia zake nzuri na wana jitihada yake ktk kuieneza na kuisomesha Manhaji salafy nyy mumemuhuzbisha kwa sabb ya chuki zenu na hasad zenu juu ya Elimu yake

  • @abdurashidinasorodini
    @abdurashidinasorodini Місяць тому +1

    halafu mie nashanga kitu kimoja kwann wao wakikosea kwao ni sawa lakini watofauti Yao akikosea wanamva vikali dawatu salafi niyahaki lakini wao ND wanaipeleka vibaya atakae endanao tofauti c mwenzao sasa hii salafi gani jamani

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Місяць тому

    Hakuna daawa apo shekh wangu
    Nnachoona mie ni kasim mafuta analinda cheo chake kisijenyakuliwa
    Hakuna usalafi tz ni maslah binafsi basi

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Місяць тому

      Sasa hapa sheikh qaasim mafuta anaingiaje ,,mbona nyie mwapenda kumuonea sheikh mafuta ,,,waliokosea ni vijana wa masjid Omar sasa qaasim ajaje hapo.

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Місяць тому

      Alafu wewe akhy sijui unania gani ,,,,eti waona sheikh qaasim mafuta analinda cheo chake ،،kwani qaasim anacheo gani jamani ,,mbali ya kuwa mlinganizi tu

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 Місяць тому

      Nyamaza utaumbuka

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU Місяць тому

      ​@@ABUUJAAFAR92MAA SHAA ALLAH! UNAJUA TATIZO VIJANA WENGI HAWATAKI KUSOMA......Akikosea salafy mmoja wanajumuisha masalafy wote...na wanaita kuwa ni kikundi cha kisalafy.....Dah! Inna lillahi Wainnaa ilayhi raajiuun

  • @user-dp8xb3vj6g
    @user-dp8xb3vj6g Місяць тому

    NA HATA HUYO ABUU MUAAWIYAH MWENYEWE ALLAH AMREHEM NA AMSAMEHE MAKOSA YAKE YEYE PAMOJA NA CC . MSIMAMO WAKE ULIKUWAJE KWA SHEKH YAHYA ALHAJURI NA WAFUWASI WAKE AMBAO WAMEPEWA NISBA AU LAQAB YA HAJAAWIRA HEM TWAMBIE MSIMAMO WAKE ULIKUWAJE KWA HAWA VIUMBE HAWA ? KAMA ALIKUWA ANAWANZINGATIA NI MASALAFI SAFI SEMA ILI TUKULETEE USHAHIDI WA KUWASEMA VIBAYA KTK UHAI WAKE NA NAKAMA UNAKUBALIANA NA MIMI KWAMBA ALIKUWA AKIWASEMA VIBAYA KUWANZIA HAJURI MWENYEWE MPAKA WAFUWASI WAKE NITAKUULIZA JEE ABUU MUAAWIYAH NI MWANA WA CHUONI ? .

    • @user-dp8xb3vj6g
      @user-dp8xb3vj6g Місяць тому

      NA JEE HAKUNA WANA WACHUONI AMBAO WAO WANA MDIFAI SHEKH YAHYA ?.

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  28 днів тому

      Sisi hatuangalii tuu kuwa Kuna WALIOMPA udhuru Hajuri tunangaliia jee anasitahiki kisheria kupewa WANAWACHUONI kumpa difaa'i Yahya Al hajuri hakuna kwke SABABU hat moja ya kupewa udhuru au kutetewa kwsabb zifuata kbl ya kumtahadharisha na KUTOLEWA ktk dairaa ya ahalu Sunnah wal jamaa Nasaha na mawaidha kwa muda mrefu sana kwa Siri lkn hakukubali kurudi ktk haki na akawa amekhiyar batwili zake ni tafauti na kadhia ya sheikh Muhammad Al imamu

  • @AbduliiKareemZubeirii
    @AbduliiKareemZubeirii Місяць тому

    Assalam alykm waarrahmatullah waabarrakatuh ikhiwani mcheni Allah Sana nyie wafuasi wa Qasim mafuta kiongozi wenu acha kufarikisha watu katika dini ya Allah na uhzibi wako mwogope Allah Sana

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq Місяць тому

    Qassimu ni hizbu salaf alaf anataka ukubwaa Sana yule jamaa

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev Місяць тому

    Alikua ana amiliana nanani ktk dawa yake wewe mxungumzaji pia hapo unawazungumza watu gn ktk manhaji Yako? Hakuna ujanja tkt batwir shekh mnaamiliana na kinanani ktk dawa yenu 😂?

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 Місяць тому

      Nenda we jahil

    • @user-kq7mp8qz9e
      @user-kq7mp8qz9e Місяць тому

      Kwahiyo munafurahiya kufariki kwake au usalaf ndo unavokuongozeni muogopeni Allah mbona munakosautu abuu muawiya amefanya kubwalipi lakishirikana mpaka iwe hvo, xyo nyny munao tuambia tuwatii viongozi hawa wademocracy Sasa hawa naabuu muawiya nanibora kiukweli kuweni waadilifu

  • @SaidIssa-tq3yv
    @SaidIssa-tq3yv Місяць тому +1

    Ikisha radi itakuja mvua
    Hamna kazi ya kufanya ila kutia fisadi na kueneza fitna katika uislamu kama alivofanya Muawiyah bin abisufyan na mwanawe yazid bin Muawiyah bin abisufyan.

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому

      Ss kwa mfano hapo mupige Raddi Gani na yote ni ya ukweli wenye wao wanafahamu na wanayakiini walioyafanya hayakuwa sahihi ndio wamenyamaza kimnyaa na wataendelea kunyamaaza kwasbb hakki pekee ndio Huwa juu batwili siku zote Huwa chini

  • @SwafaNabahan
    @SwafaNabahan Місяць тому

    Mbona Maneno ya wengi ktk wazungumzaji hapa wanazungumza Maneno wanayo yazungumza Mahizbi wakibarahiyaniyyah na wanaharakati au Mlengo wenu ni mmoja?.

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 Місяць тому

    Ipo siku mtajua, salaf inapasuka vipande.... Anayejiita salaf anaonwa sio salaf kwa mtazamo wa sheikh mwengine....
    Nahuyo anayeonekana amenyooka anaonwa hafai na mwengine..... Ayan vurugu mechi tu

  • @SwafaNabahan
    @SwafaNabahan Місяць тому

    Mbona Maneno ya wengi ktk wazungumzaji hapa wanazungumza Maneno wanayo yazungumza Mahizbi wakibarahiyaniyyah na wanaharakati au Mlengo wenu ni mmoja?.