RADDI (06) KWA MUHAMMAD MAFUTA, USTADHI ABUU ZAGHAR حفظه الله تعالى

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 5

  • @ramaqaasim239
    @ramaqaasim239 26 днів тому

    Allah akuhifadhi Abu zaghar na akuzidishie elimu uendelee kuweka bayana mambo ya hatari waliyonayo hawa mabwana

  • @AtiqQassim
    @AtiqQassim 25 днів тому +3

    Alhamdulillah tena Alhamdulillah tena Alhamdulillah Allah ametupa mbadala wake baada ya kifo cha sheikh wetu Abuu Muawiyah Allah amrehem sheikh Abuu zaghar Allah akuzidishie elimu na ujasiri wa kubainisha haki sisi tulikuwa tunajuwa waliyokuwa nayo haki kumbe ni ujahili uliokomaa nimeijuwa haki na watu wa haki Allah atupe mwisho mwema

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 17 днів тому

    Zagar palikua panatarajiwa kheri kwako lakini umechagua majibizano jambo ambalo litaangusha taaluma yako na murua wako tena nakukumbusha kua watu wabid aa wanatamaa nawewe tahadhari sana

  • @AbulAbbas-yp5ph
    @AbulAbbas-yp5ph 25 днів тому

    Ni hatari sana kumwita mtu muislamu ni mnafiq hata mtume sallallahu aleyhi wassalam alikuwa ajui mtu ni mnafiq isipokuwa kwa wahy kivipi unamuita muislamu tena alikuwa ni miongoni mwa maduaat na masheikh wakisalafi unamuita ni munaafiq hii maneno ni hatari sana na anasema anaitaqidi dalili ya unafiq wake ni nini na uzindiiq wake ni upi waallah ni afdhal ataraajai wala asiwe ni mtu wa inaad ni bora asikilize nasaha na ataraajai kuliko kusema anaitaqidi hivyo kwa sababu kama unaitaqidi hivyo leta dalili au wahyu inakushukia mpaka ukasema hivyo na hii alivyofanya abuu rajab ni maasiyah wala sio bidah na wala haijamtoa ndani ya usalafy kwa sababu hajakhalifu aslan min usuuli ahlisuunah waljamaah au hajakhalifu juz'u min usuli ahlisuunah waljamaah kivipi unamwita sheikh wakisalafi unamuita mulhid na hii mulhid alimuita wakati akimtahadharisha kwa mara ya kwanza na akamuita munafiq na majina mengineo mabaya sana na amekhalifu msingi gani wa alhlussunnah waljamaa au juz'u minha haifai ni bora ataraajai kwa maneno yake machafu au mabaya wallahul mustaan