NGOMA MBICHI SIMBA: MAMBO YAIBUKA UPYA TENA, WATAKA KIKAO CHA DHARURA, MANGUNGU ATAJWA…

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 чер 2024
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 31

  • @ignatiomatimba3554
    @ignatiomatimba3554 Місяць тому

    Mimi ningekuwa ni Mangungu ningejuuzulu mapena sana

  • @drallan6879
    @drallan6879 Місяць тому

    bàdo east Africa mpo nyuma na uyanga Kama wote

  • @HamdanKiangio-mw5mc
    @HamdanKiangio-mw5mc Місяць тому

    Mangungu ondoka jamani wanasimba tumemchoka sana serikali itusaidie

  • @user-nb9wb9vk6l
    @user-nb9wb9vk6l Місяць тому

    Uyu Jamaal ni chawa wa mangungu anatetea ili tuenderee kuujumiwa

  • @issaKassim-rj2ci
    @issaKassim-rj2ci Місяць тому

    Kipara we n chenga sana

  • @Mtabirwatv9327
    @Mtabirwatv9327 Місяць тому

    Uyu kipara thinking yake ni ndogo sana anazungumza ujinga aangalie vitu anavyoenda kuongelea hewani elimu yake ndogo ya ufahamu

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu Місяць тому

    Ipara ni kipara tu ,kweli akili ni nywele

  • @BenardKasambala
    @BenardKasambala Місяць тому

    Mjata chawa

  • @HamdanKiangio-mw5mc
    @HamdanKiangio-mw5mc Місяць тому

    Hafai msimbebe habebeki

  • @yahayamlanga4923
    @yahayamlanga4923 Місяць тому

    Huyu para akili hana hafai kuhojia

  • @SurprisedBubbles-bz2nm
    @SurprisedBubbles-bz2nm Місяць тому

    Mjata mjata haujui chochote tena hata haujui kitu Bora utoke hapo studio

  • @user-cd1qj9hi5m
    @user-cd1qj9hi5m Місяць тому

    Waandishi waabali wanatumwa nayanga

  • @BarnabaJaphet
    @BarnabaJaphet Місяць тому

    Huyo mjatha c ni mwana yanga we unafikil atakubal simba urudi kuwa imara

  • @user-rp1ly4xc8k
    @user-rp1ly4xc8k Місяць тому +1

    Huyo kipala anaongea pumba saana. .....

  • @user-nx6he6yn6w
    @user-nx6he6yn6w Місяць тому

    Jamani uyo mwenyekipara haelewi matatizo yaliopo simba ndio maana ajui wanama wanataka nini sizani kama kuna mtu hajui matatizo yanayo enderea apo simba kwaiyo uyo kipara niwayanga watu walia na clubu yao yeye anasema ajui wanachotaka uyu ni mjinga kweli

  • @AbbasiMdabwa
    @AbbasiMdabwa Місяць тому

    Mangungu hafai kabisa wala msikubali abaki 😊

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 Місяць тому

    Mangungu hatumtaki

  • @rashidhasani6819
    @rashidhasani6819 Місяць тому

    Tunataka wote wazamani watokeeee

  • @shukranionesphoro7744
    @shukranionesphoro7744 Місяць тому

    Hili mjata jinga , tafuteni wenye akili muwahoji kama Gb

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 Місяць тому +2

    Kiongozi bora ni yule anayekubali kuwajibika yaani collective responsibilities uwe umekosa au hujakosa unakubali na kujiuzulu upishe wengine.
    Mimi kwa mtazamo wangu Mangungu hatoshi haendani na kasi inayohitajika.

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA Місяць тому

      KWANINI UMECHELEWA KUSEMA HIVYO? Tokea anamleta MANZOKI KWA UONGO Mpaka sasa Nafsi inamtafuna mwenyewe! Muulizeni Mangungo swali moja tu .Je Manzoki ni nani kwake?

    • @haidarimfinanga9755
      @haidarimfinanga9755 Місяць тому

      Huyo mwenye kipara simuelewi kabisa.

    • @mwanangusana
      @mwanangusana Місяць тому +1

      ​@@YOSHUAMWAMPETAKwan mangungu ndo alomleta manzoki? Mbona ile tour ya Manzoki ilikuwa financed na mdhamini Kila kitu ticket ya go n return, na issues zote zina baraka za naniiliii ... Then uyo uyo mdhamini ndo alotumia nguvu kubwa kuhakikisha mzee Murtaza ashindee ni kitu rahisi tu bwan mudy anahusika Kila kilichofanyika na kinachofanyika hapo udundukani kina baraka zake

  • @franccoz94
    @franccoz94 Місяць тому

    KUMUNG'OA MANGUNGU MADARAKANI

  • @JamalDaudlulyeho
    @JamalDaudlulyeho Місяць тому

    Hakil n nywele halafu we bwabwa unayezungumza huna okay acha kututolea harufu ya dagaa mamae zako weye unajua tunavoumia wanasimba weye au unabweka2

  • @kasongoIDDi-mx7gz
    @kasongoIDDi-mx7gz Місяць тому

    Mangungu Ana pesa zetu wewe usiongee

  • @BarnabaJaphet
    @BarnabaJaphet Місяць тому

    Mjatha naona umekula hela za mangungu pimbi wewe unakaa unatetea ujinga mangungu hafai kuwa kiongoz wa simba labda akawe kiongoz nyumban kwako

  • @user-os7yv7gg1s
    @user-os7yv7gg1s Місяць тому

    huyu naye bwabwa kweli umenyowa nywele na hakili umetupa

  • @shukranionesphoro7744
    @shukranionesphoro7744 Місяць тому

    Ww mjata akili yako fupi,

  • @BenardKasambala
    @BenardKasambala Місяць тому

    Mjata wewe jitafakari ujui lolote

  • @shukranionesphoro7744
    @shukranionesphoro7744 Місяць тому

    Hili mjata jinga , tafuteni wenye akili muwahoji kama Gb