LEMBELI AFUNGUKA OPERESHENI TOKOMEZA ILIVYOMPA PRESHA, 'ILIONDOKA NA MAWAZIRI WANNE'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лип 2024
  • Aliyekuwa mbunge wa Kahama, James Lembeli amefanya mahojiano na Mwananchi Digital Julai 1, 2024 na kufunguka mambo mengi ikiwemo suala la hali ya siasa kwa sasa nchini.
    Lembeli amesema katika miaka kumi aliyokuwa mbunge wa Kahama, anakumbuka aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania Samweli Sitta kwa kwakuwa alikuwa anatoa fursa mbalimbali kwa viongozi hata wa upinzani ndani ya Bunge kuweza kutoa hoja zao.

КОМЕНТАРІ • 2

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 3 дні тому

    lembeli ww utabaki kuwa mzalendo ulisimama bila kitikiswa na pesa. Mungu ataendelea kukulipa kwa kazi uliyoifanya.

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 2 дні тому

    CCM hata zamani siyo chama cha wakulima na wafanyakazi.
    Wameweka tu jembe na nyundo kwenye bendera.
    Watuonyeshe mashamba na viwanda kama wao ni wakulima na wafanyakazi.
    Wameweka tu alama za ajabu kwenye bendera