Hii ndio tafsiri halisi nilio sikia kwenye wimbo ulio kua kwenye album ya Macho ni Ngumu Kuona ilio fanya na Dambwe La Hip Hop mwaka 2016 kuna wimbo unaitwa Baraka za wakongwe ukipata muda sikiliza utaelewa nini Q chief anasema.
Hao bila hata kuandikiwa wakiamua kufanya mziki rahisi kama Amapiano wanafanya, sasa ngoma kama Tshwala Bami kuna ufundi gani, pale producer tu atoe dundo kali na dancers wabunifu, promo kali baas.Wanaweza bana
Hawana akili unga mwingi kichwani mlipata pesa mka shindwa kufanya maendeleo ss leo Diamond maendeleo yake mnaya chukia tajiri ni tajiri tu kueni na akili
Kipind kile mziki wa tz ulikua burudan na sio biashara,hvyo hawakuwa wanapata pesa km sasa,maana hata platform hazikuwa km hz walikua wakiuza kwa kusambaza maeneo yote lkn leo mtu akiwa geto anasambaza worldwide
Im from Kenya We love this guys🤣🤣Their Ego is on the top notch
Omg give this two radio section like wakiwa watangazaji itakuwa lit sana
Mombasa here we go
Kenga 🇰🇪 tunawajali sana😊😊 hatubagui
Tid EA Chris Tucker very hilarious
Family nakubali kazi zenu
mung anawasaidia wazeee vigogooo nawakubali sana nawapenda sana sana sana
Mnajisifu sana mpka mnaboa
Hii ndio tafsiri halisi nilio sikia kwenye wimbo ulio kua kwenye album ya Macho ni Ngumu Kuona ilio fanya na Dambwe La Hip Hop mwaka 2016 kuna wimbo unaitwa Baraka za wakongwe ukipata muda sikiliza utaelewa nini Q chief anasema.
Uncle grandpa 😅😅😅😂🙌🏼
😈😈😁💯💯💯🔥🔥🚀🚀🚀Real talk-show
Halloi how can i send music to eastafrica radio?salimia hao wasanii wakali
Mm nadhani wangekubali waandikiwe nyimbo kwanza maana style yao ni ya zamani
Hao bila hata kuandikiwa wakiamua kufanya mziki rahisi kama Amapiano wanafanya, sasa ngoma kama Tshwala Bami kuna ufundi gani, pale producer tu atoe dundo kali na dancers wabunifu, promo kali baas.Wanaweza bana
💥🐘❤️❤️❤️
Kumbe mnajua game inataka nini halafu mnaleta madharau
Nimejikuta narudia pale kwenye toa T & C ibaki N😂😂😂
Kama umeangalia hii alafu haukucheka basi we ni yule
Kwani chila sio muislam
Malindi all the way
harmo fanya kitu nahawa mabroo
Aachane nao maana alishafanya kwa chilah lakini akaja kuleta madharau na maneno kibao.
Hawana akili unga mwingi kichwani mlipata pesa mka shindwa kufanya maendeleo ss leo Diamond maendeleo yake mnaya chukia tajiri ni tajiri tu kueni na akili
Wacha chuki brother ushawai waona wakila unga
Mbona ww unakula mchele na watu hawasemi
Kipind kile mziki wa tz ulikua burudan na sio biashara,hvyo hawakuwa wanapata pesa km sasa,maana hata platform hazikuwa km hz walikua wakiuza kwa kusambaza maeneo yote lkn leo mtu akiwa geto anasambaza worldwide
Unakosea bro
Unajua wamedhulumiwa kiasi gani?Usiskilize watu wanavyopakwa matope. Wana makosa yao,lakini waliibiwa sana
Inahitajika pesa na muda ili nyie wazee mrudi mjini tena
😂😂😂
Family nakubali kazi zenu