Ninakupenda YESU umenipenda jinsji nilivyo toka Januari mpaka hii Desemba 2023 ni Upendo wa ajabu Kunipenda ATU nisiyestaili. Mpenzi wa kweli YESU Nakupenda mno wewe ndo kila kitu kwangu. MUNGU Akubariki sana mtumishi kwa Mafunuo haya Utukufu umrudie YESU
My language is void, haivai hata, but you Lord you know how to forgive and forget our iniquity,.thankyu for loving me even in my weakest point of sin, Yesu wangu ninakupenda
Ninakupenda YESU umenipenda jinsji nilivyo toka Januari mpaka hii Desemba 2023 ni Upendo wa ajabu Kunipenda ATU nisiyestaili. Mpenzi wa kweli YESU Nakupenda mno wewe ndo kila kitu kwangu.
MUNGU Akubariki sana mtumishi kwa Mafunuo haya
Utukufu umrudie YESU
Deep worship. Its my prayers that God will finish well as you started. Its rare to find this kind of deep worship
Kweli Yesu anatupenda
Ninakupenda unajua kusamehe, unajua kusahau, unajua udhaifu wangu. Yesu nakupenda ❣️
😊😊xxxx
Nakupenda Yesu ❤
Awesome 💯
Be blessed man of God
🔥🔥🔥🔥🔥
The production is so perfect hongereni sanaaa
My language is void, haivai hata, but you Lord you know how to forgive and forget our iniquity,.thankyu for loving me even in my weakest point of sin, Yesu wangu ninakupenda
ninakupenda sana Yesu
unajua kusamehe unajua kusahau
ulijua udhahifu wangu ukanipenda hivyo hivyo jinsi nilivyo
Amen
Amen Amen
@Boaz hongera nyimbo nyingine nzuri sana, ile nyingine re mix ya hii nimeona imepotea ilikua nzuri zaidi ya hii kwa kua ipo speedy hii kidogo ipo slow
🙏🏽
AMINA.
Ameen
Amen
?[iiu88
Amen
Amen