Wimbo huu ni hazina kubwa sanaaaaa una thamani sanaaaaa....ni silaha kubwa sanaaaaaa..... Lakini sijui kwanini walitumia hili ' kitu kingine " kitu chochote.... Ina naleta taswila ya kulinganisha vitu, kitu.. Huwe kumuadhimisha MUNGU kama kitu...kitu kingene... Kungeweza kuwa na Lugha tofauti kama " haufananishwi kwa jinsi yoyote.... " *haufananishwi na namna yoyote * * haufananishwi kwa kigezo chochote * *Haufananishwa jambo lolote..* Na tamani wahusika wangeweza kubadirisha jambo hilo.... Ili Ibada hii ipasuwe mawingu zaidi...ipae hadi mwisho...inawezekana hapo bado...nguvu yake haojadhihirika bado.... Lakini Asante sanaaaaa kazi njema sanaaaaa mmefanya....lakini hili neno Kitu kingene linaharibu sanaaaa
Wimbo huu ni hazina kubwa sanaaaaa una thamani sanaaaaa....ni silaha kubwa sanaaaaaa.....
Lakini sijui kwanini walitumia hili ' kitu kingine " kitu chochote....
Ina naleta taswila ya kulinganisha vitu, kitu..
Huwe kumuadhimisha MUNGU kama kitu...kitu kingene...
Kungeweza kuwa na Lugha tofauti kama
" haufananishwi kwa jinsi yoyote.... "
*haufananishwi na namna yoyote *
* haufananishwi kwa kigezo chochote *
*Haufananishwa jambo lolote..*
Na tamani wahusika wangeweza kubadirisha jambo hilo....
Ili Ibada hii ipasuwe mawingu zaidi...ipae hadi mwisho...inawezekana hapo bado...nguvu yake haojadhihirika bado....
Lakini Asante sanaaaaa kazi njema sanaaaaa mmefanya....lakini hili neno Kitu kingene linaharibu sanaaaa
Hakuna jambo ngumu kwako...tuliza mawimbi yote katika maisha yangu Bwana
Mungu ni mkubwa saaaanaaa
Ooooooooooh hakikia uwepo wake Jehovah ulitawala
254 Sharon barikiwa mtumiji wamungu
Mungu awabariki ROC worshipers🙏
Kwa kweli wako juu sanaaaa...
Wako wapi hawa, wanapatikana wapi....
Powerful
Deep worship I like it also it really bless my heart and it lifts my worship level
Amen ...
gud
How do we reach this group?
visit our church in sinza mori near tamwa offices..