Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Very poor .Yani mnashindwaje ku edit chanzo cha goli you just end up showing the end part.
Hayaelewekii magori yanavungwa Kwa wizii wizii2
Yanga wamecheza chini ya kiwango sijapendraaa
Nimwendo wa 4G hakuna kucheka na mnyatulu
UMITASHUMTA imepita salama
Hapo Yanga ilikuwa ugenini
Ali kamwe ulibeba peni na karatasi umempa msemaji wa vitalo ajiuzuli asaini
Ah jamaa wenyewe wabovu hatar mechi gani hii
Wew mwenyew tulikupiga 5 na wew mbovu
@@victoriaanthony717 kwani ww hatujakupigeni SITA bila tena sisi afadhali tumepata Moja hebu nyamaza Simba na yanga wanafunga bwege wee
Ni kweli ni kibonde acha tupambane na kibonde wate
Ugenini mtu ana kula 4
Highlights hairizishi clip zimekatwa bila utaratibu mzuri
Next time fine
Yaaa Mpira unaoneshwa kama majimaji vs mwadui magori wiziwizi2
Hiv kwanin kila wakat yanga anapangiwa na timu kwao kuna vita
Sababu ni timu iliyotafuta uhuru wa nchi za afrika mashariki
Nne zimekuchoma kk
Pole kolo
Ngoja niwacheke yàn walio kula 5 wale nao tuxemehe