🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 39

  • @songombingo108
    @songombingo108 2 місяці тому +4

    Huyu ni Ahmed Ally aliyechangamka😂

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 2 місяці тому +1

    Huyu jamaa ana vituko sana bora ahamie tu Tanzania tutampa club ya kuisemea anachangamsha mpira

  • @MsevenSaudisaidi
    @MsevenSaudisaidi 2 місяці тому +4

    Nirikwambia bakisha maneno

  • @SalumMkumba-wj2wl
    @SalumMkumba-wj2wl 2 місяці тому

    Msemaji tumekushtukia unataka ukimbie vita huko kwenu hatukutaki kabisaaaa 😂😂😂😂😂kaaa hukohuko kwenu huku atutaki vitambiii hhku

  • @chutto99
    @chutto99 2 місяці тому +1

    Masau bwire namba 2😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mathewjohn6912
    @mathewjohn6912 2 місяці тому +1

    Anataka tuchangie pesa ili aseme Yanga ipo juu, kuliko Simba

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 2 місяці тому +2

    Kwa vital'o ganiii

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 місяці тому

    Huy ni masawi bure part 2 😂😂

  • @Kalimbia
    @Kalimbia 2 місяці тому

    Kaaah ivi huyu jamaa chizi et 😂😂😂

  • @ZekaniS
    @ZekaniS 2 місяці тому +2

    😂😂😂😂umeingia ktk mfumo😂😂😂😂shenzi men sana😂❤❤❤

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 місяці тому

    Huy ni masawi bure part 2

  • @selemaniidemu4206
    @selemaniidemu4206 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kichefuchefu2382
    @kichefuchefu2382 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mikaelchazi4616
    @mikaelchazi4616 2 місяці тому +2

    Msemaji huyo msenge sana haeleweki😂

  • @Taariqmadrago
    @Taariqmadrago 2 місяці тому +1

    bado hujasema na utasena tu

  • @AnnaGamba-j4p
    @AnnaGamba-j4p 2 місяці тому +2

    HHhaha hajui mpira huyu sjui kalewa

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 2 місяці тому +1

    Huyu boya kwelii na ni BWABWA we Ally kamwe mpe barua huyo chizi ajiuzulu

    • @SimonJoseph-l9i
      @SimonJoseph-l9i 2 місяці тому

      Yaani uko serious utafikiri huna hela😅😅😅😅😅
      Wenzio wapo happy tu😂😂

  • @HappyErnest-o3w
    @HappyErnest-o3w 2 місяці тому

    Jamani umefungwa bado unatamba 😅😅 😅😅😅😅

  • @Mwambwizatuweni
    @Mwambwizatuweni 2 місяці тому

    Kweli wananchi uyu msemaji wa vitalo n bwabwa kweli yani uyu pia yupo kwenye kundu la utopolo

  • @AtupeleFesto
    @AtupeleFesto 2 місяці тому

    Hahaa ww mrundikazi ww tuliza komwe hilo ulitamba sana fara ww kikowap

  • @GadafSalum
    @GadafSalum 2 місяці тому

    Uyo anataka ukimbizi ahamiye uku

  • @ZuuhKimu
    @ZuuhKimu 2 місяці тому

    Hana jipya huyo anajifaliji tu

  • @ushiwamarandu7433
    @ushiwamarandu7433 2 місяці тому

    mbona kama analia huyu jamaaaaaa...!

  • @JacksonMukoko
    @JacksonMukoko 2 місяці тому

    Kizuri ni kwamba vitalo ina wachezaji kutoka drc kama tu yanga. Nime furahi kumuona dieu aime kutoka butembo us socozaki

  • @JumaKassimmazito
    @JumaKassimmazito 2 місяці тому +1

    Bongo laha sana

  • @engineerismael2186
    @engineerismael2186 2 місяці тому

    Mbon kama kalewa😂😂

  • @WilleLonard
    @WilleLonard 2 місяці тому

    Hili bwabwa.

  • @devotabashome1090
    @devotabashome1090 2 місяці тому

    Mbona kama mlevi

    • @HalimaKassim-yz3we
      @HalimaKassim-yz3we 2 місяці тому

      Hiyo ni bada ya kufungwa mpuuz huyo lime nenepa sana akili zina pungua mnge wapa super yao waondoke nayo

  • @Mwambwizatuweni
    @Mwambwizatuweni 2 місяці тому

    Eti mechi ya marudio akifungwa atahamia Tanzania anataka kuwa chinga uyo boya hana hela fala 2uyo

  • @aishaadam9933
    @aishaadam9933 2 місяці тому

    Chizi uyoo ajui nn anataka alisema atajiuzulu saiv anasema atahamia uku mhhh

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 2 місяці тому

    Anaongeea kama kalewa hamnakitu huyu

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 2 місяці тому

    Huna jipya wewee

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 2 місяці тому

    Udhamini wa gsm una uwa mchezo wa africa huyu vitalo ni gsm