ICHEKI MWANZO-MWISHO UJENZI WA BANDA BORA KUKU 1000-1300

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @eradolyamuya3929
    @eradolyamuya3929 2 роки тому +1

    Banda na hizo local cages linapendeza sana,ila mbona ninaona kama hiyo cage ya juu iko juu sana,kiasi kwamba kufikia hapo itabidi mtu atumie ngazi?naomba pia mtujulishe kimo cha hizo local cages kuanzia ngazi ya kwanza hadi ya tatu ni kimo cha mita ngapi

    • @charityfarm1226
      @charityfarm1226  2 роки тому

      Inategemeana unahitaji la kutumia ngazi ama la kutokutumia

  • @FadhiliNgerwa-hs4hf
    @FadhiliNgerwa-hs4hf 2 місяці тому

    Ndugu mwalimu. Naishi Congo RDC Lubumbashi. Nina haja yakujifunza ufugaji wa kiki wankyenyeji.

  • @WABELOYA
    @WABELOYA 11 місяців тому +1

    Nguo yako hiyo nayo igetangaza kazi yako

  • @martinajoel3666
    @martinajoel3666 6 днів тому

    Nikifuga mtanitafutia soko

  • @johnmgonja-iy8tl
    @johnmgonja-iy8tl 10 місяців тому

    Naomba kufahamu bei ya vifaranga vyenu

    • @charityfarm1226
      @charityfarm1226  10 місяців тому

      Garama ya vifaranga inategemeana na aina ya vifaranga unavyohitaki

    • @charityfarm1226
      @charityfarm1226  10 місяців тому

      @charityfarm1226 itakuwa vizuri ukiwasiliana nasi 0654 737373

  • @johnmgonja-iy8tl
    @johnmgonja-iy8tl 10 місяців тому

    Naomba kufahamu bei ya vifaranga vyenu,ni bei gani na ni vya aina gani?

  • @mbekewambeke9305
    @mbekewambeke9305 Рік тому

    Yes

  • @johannesishengoma1232
    @johannesishengoma1232 2 роки тому

    Unakuwa na maelezo mengi mno yasiyoendana na somo. Somo hapa ni ujenzi wa banda, nilitegemea utatupa maelezo namna ya kusanifu banda kwa vipimo, mahitaji ya vifaa vya ujenzi n k.

    • @charityfarm1226
      @charityfarm1226  2 роки тому

      Unazingua we pambana tuje kukujengea cages mzee

  • @happinessedward5696
    @happinessedward5696 Рік тому +1

    Ninaomba gharama za kujenga keji ya kuku wa nyama 300

  • @johnboscokiringo2398
    @johnboscokiringo2398 Рік тому +1

    kwa banda ninaloliona ni gharama ya shs ngapi kuanzia kujenga mpaka kuweka cages?

    • @charityfarm1226
      @charityfarm1226  Рік тому

      Wasiliana nasi Whatsap +255 654 737 373 AU +255 624 015 376, tutakufikia

  • @johnsangeti8924
    @johnsangeti8924 2 роки тому

    Kwani kuna utofauti gani kati ya banda la layer na La chotara

  • @naimamaina4867
    @naimamaina4867 2 роки тому +1

    N Kenya munafika

  • @vailethalex3744
    @vailethalex3744 2 роки тому

    Banda Hilo linagalim shingapi

    • @charityfarm1226
      @charityfarm1226  2 роки тому

      Bei inategemea na mkoa ulipo, tupigie simu: 0654737373.

  • @jeremyjerry1873
    @jeremyjerry1873 2 роки тому

    Naitwa Jeremiah kutoka Kenya. Swali langu ni je waweza Fuga kuku wa broiler kwenye local cage?

  • @sajdashariff
    @sajdashariff Рік тому

    Namba namba yako

  • @361NEWS
    @361NEWS Рік тому

    Bei ya hizo cage ni sh ngap

  • @johnboscobiguli7692
    @johnboscobiguli7692 11 місяців тому

    Onafunga jje aukungua cage

    • @charityfarm1226
      @charityfarm1226  11 місяців тому

      Samahani sijaelewa swali lako vizuri , nivizuri ungeliweka sawa ili nikupe jibu sahihi

  • @FadhiliNgerwa-hs4hf
    @FadhiliNgerwa-hs4hf 2 місяці тому

    Ndugu mwalimu. Naishi Congo RDC Lubumbashi. Nina haja yakujifunza ufugaji wa kiki wankyenyeji.

    • @charityfarm1226
      @charityfarm1226  2 місяці тому

      Kalibu sanaa, kuhusu swala Hilo tunaweza kukusaidia , unaweza kukutafuta kupitia +255654737373