GWAJIMA AGOMA KUKAA KWENYE KITI, AHOJIWA AMESIMAMA MBELE YA KAMATI YA MAADILI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 374

  • @carolynenekesa5198
    @carolynenekesa5198 3 роки тому +28

    Shujaa usihofu, Bwana wa Majeshi yu Nawe. Pamoja nawe Mteule wa Mungu.
    Siku ingine Songa mbali kiasi na kipasa Sauti.
    Umezingirwa na Majeshi ya Mbinguni.
    Hata Herode alikuwa na Maelefu, Bali Yesu Kristo alikuwa na Kumi na wawili, Lakini aliitingiza Dunia. Twakuombea sana kutoka kenya.

  • @mzalendohuru...4967
    @mzalendohuru...4967 3 роки тому +27

    Jasusi la Mbinguni ,Tunao enda mbinguni hatuendi na chanjo.Mungu azidi kukulinda💪 Askofu Josephat Gwajima

  • @debrankinga9250
    @debrankinga9250 3 роки тому +10

    Daaah had raha Mungu aendelee kukutumia jasusi la mbinguni....yaan had mwenye kiti analazimisha abadilishiwe maiki inamaan kua aliyoikuta ilikua sawa ila angetaka kubadlishiwa ndo ilikua ina tatzo ndo mana Mwenyekt analazmsha aseee... Mungu ni mlinzi wako hatalala wala hatasinzia amen!

  • @braystuskibassa3077
    @braystuskibassa3077 3 роки тому +33

    Hongera sana mwanajeshi anaejiamini husimama kuonesha uimara na ubora wa kazi yake muda wote

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 3 роки тому +37

    Nawaambia msifikirie gwajima ni chizi anajuwa anachokifanya na kinachoendeleya nakupitiya gwajima mtakuja juwa siri nzito iliojificha nyuma ya kifo ya JPM. Wekeni hii comment

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +20

    Jamani tuendelee kuiombea nchi yetu🙏🙏🙏Mwenyezi Mungu atuepushie mabalaa na aimarishe amani na utulive ..Ameen🙏🙏🙏

  • @gkgk8153
    @gkgk8153 3 роки тому +1

    Mtumishi ws Mungu aliye hai...Mungu ni mwema na anakupgania..wala usiogope kwa maana maandiko yanasema maadui wakuzungukao alfu nami 10 alfu watakua upande wako...Usiogope...×10000.

  • @matukiomedia191
    @matukiomedia191 3 роки тому +12

    Mungu akutangulie mchungaji wetu .....shetan hapend watu walio wema bali hutaka waangamie na badala ake ataangamia yy mwenyew

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 3 роки тому +3

    Kama Mungu aishivyo wewe ni Mtu wa Mungu tunauhakika na wewe na Mungu alikupeleka Mgungeni kwa kusudi maalumu

  • @evainnocent9520
    @evainnocent9520 3 роки тому +11

    Mungu wa Mbingun akulinde Baba Etu.

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 3 роки тому +46

    Waone waonavyo, waseme wasemavyo,. Gwajimagu oyeeeeeeeeee, jamaa Hana kopy yake, pambabana mtu wa Mungu , songa mbele usiogope sema kweli tuko nyuma yako jeshi Kama lote

  • @hbdina
    @hbdina 3 роки тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿Waafrica badala ya kuwatunukia watu wenye Critical mind kwa manufaa ya Taifa munapoteza mda na pesa za walipa kodi kumuhoji Go Go Askofu Gwajima 🔥🔥🔥💪

  • @hamisiselemani9777
    @hamisiselemani9777 3 роки тому +8

    Gwajima ww pambana sisi tuko pamoja naww usizani labda uko pekeyako hapana uko na kikosi cha kufa mtu

  • @georgemaziku6610
    @georgemaziku6610 3 роки тому +13

    Mathayo 10:16-20
    [16]Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.
    [17]Jihadharini na wanadamu; kwa maana watawapeleka mabarazani, na katika masinagogi yao watawapiga;
    [18]nanyi mtachukuliwa mbele ya maliwali na wafalme kwa ajili yangu, kuwa ushuhuda kwao na kwa mataifa.
    [19]Lakini hapo watakapowapeleka, msifikiri-fikiri jinsi mtakavyosema; maana mtapewa saa ile mtakayosema.
    [20]Kwa kuwa si ninyi msemao, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.

  • @japhetselestine2156
    @japhetselestine2156 3 роки тому +10

    Yaani gwajima ungekuwa karibu ningekubeba, unanifurahisha sana

  • @josephgerald5540
    @josephgerald5540 3 роки тому +5

    Mungu ni mwema

  • @xalomemwakabela7394
    @xalomemwakabela7394 3 роки тому +12

    Mungu hatamficha mtumish wake Jambo lolote Amos 3:7, inaonekana ameshuhudiwa moyon kuwa Leo asikae kwenye kiti

  • @gideontebuye5329
    @gideontebuye5329 3 роки тому

    Mungu wa shedrack meshaki, abednego endelea kumlinda mtumishi wako gwajima, na endelea kumpa hekima jinsi ya kujibu mbele ya baraza

  • @castobenjamin4074
    @castobenjamin4074 3 роки тому +20

    Hapa ni Ufunuo juu ya ufunuoo😂😂,Jitu la mbingunii💪💪

  • @swalehemakuta1583
    @swalehemakuta1583 3 роки тому +8

    Yupo sawa kabisa kuongea amasimama Mana amezoea ivyo ikiwa bugeni kanisani ndio kabisa kusimama ni mwanzo mwisho

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 3 роки тому +11

    nakuelewa sana Geajima live long and God protect you💪💪💪👏👏🙏🙏

  • @safigeorgine8132
    @safigeorgine8132 3 роки тому

    Nakuomba kwa Rehema za mungu mtumishi wa mungu usikie kusamehe wa ndugu ni kipindi cha maisha lazima kipite umuachie mungu atafanya njia ya muhumu tuendelea kuomba muhumba wetu,natoka Rdc

  • @yohanayindi2838
    @yohanayindi2838 3 роки тому +2

    Ahimidiwe mungu wa mbinguni, semeni ameen

  • @denismtoma1827
    @denismtoma1827 3 роки тому +9

    Mungu akulinde Gwajima

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 3 роки тому +2

    Gwajima
    Gwajimaaa
    Gwajimaaaaaaaa
    Nimekuita mara3
    Endelea kusimama imara Gwaji boy

  • @abihudkaale6092
    @abihudkaale6092 3 роки тому +1

    Gwaji nakukubali baba songa mbele shedraki wetu uliekata kuisujudu sanam

  • @carolinakayet4149
    @carolinakayet4149 3 роки тому +1

    Mungu akusimamie mtumishi wa Mungu

  • @nyamangaking6608
    @nyamangaking6608 3 роки тому +24

    Gwajima,wewe ndo Raisi wetu.

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 3 роки тому +45

    Gwajima!!!! Kiboko ya viongozi wazembe. Bunge gani hili sasa?

  • @franciscakambuga4065
    @franciscakambuga4065 3 роки тому +3

    Mungu akutangulie mtumishi wa Mungu

  • @aminamony2142
    @aminamony2142 3 роки тому +20

    Mungu akipanga hakuna wakupangua

  • @johnjuma3345
    @johnjuma3345 3 роки тому +9

    Unanipa raha sanaaa yn jaman MUNGU mwenye nguvu usimpungukie nakupenda shujaa wa Mbinguni

  • @aliusanthony9158
    @aliusanthony9158 3 роки тому +25

    Live long Gwajima

  • @liberatuceboniphace4004
    @liberatuceboniphace4004 3 роки тому +7

    Mungu akutangulie mtumishi

  • @florencemalima9265
    @florencemalima9265 3 роки тому +4

    Macho ya Mungu yako juu yako somo la majasusi wa mbinguni

  • @jibrildavis5664
    @jibrildavis5664 3 роки тому +22

    😂🤣🤣gwajima hoyeee gwajima juu 🔥🙏🙏🙏

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 3 роки тому +8

    Hongera gwanjima

  • @alimarezi3613
    @alimarezi3613 3 роки тому +30

    Huyu jamaa ni pasua kichwa kweli🤣🤣

    • @emmadominic9601
      @emmadominic9601 3 роки тому +1

      Sio pasua kichwa,anajuwa hasa kinachoweza kumtokea

    • @jacrinejohakim2803
      @jacrinejohakim2803 3 роки тому

      Jambo usilolijua nikamausikuwa giza

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 3 роки тому +3

      Sio pasua kichwa hii serikali haieleweki wanaweza kumuwekea hata virusi vya corona au hata sumu kwenye kiti ili wamuondoe maana anagusa maslahi yao.

    • @rejankihanza6074
      @rejankihanza6074 3 роки тому +2

      Wapumbav tu wanachezea Kodi zetu

    • @estamichoromichoro5634
      @estamichoromichoro5634 3 роки тому

      Mwenyezi Mungu anamuonesha macho ya rohoni

  • @marykilasi6248
    @marykilasi6248 3 роки тому

    Saf jembe Gwajima mungu atakushindia nautashinda kwa kishindo tuko nyuma yako

  • @Word_DJ.
    @Word_DJ. 3 роки тому +19

    Huyu jamaa ana mbinu za kivita😂😂

  • @robertempire9542
    @robertempire9542 3 роки тому +13

    Hatariii Sana wape injili...

  • @hassansemwali8470
    @hassansemwali8470 3 роки тому

    Mungu yupamoja nawe mh josephat gwajima

  • @jacksonmuendo2641
    @jacksonmuendo2641 3 роки тому +4

    Hii kamati inapigana vita vya kiroho kupitia damu na nyama... Tayari Gwajima amechukua nafasi yake, kwanza amewachanganya na kuwatawala wote kwa kuamua kuojiwa akiwa amesimama.. Heko mtumishi. Canal man can not understand the things of the spirit,.. Every weapon formed by your enemies to destroy you shall not prevail and you shall condemn every tongue that is ready to condemn you.

  • @peterbalilemwa9563
    @peterbalilemwa9563 3 роки тому +5

    Hapo ni akili kumkichwa, jana alikikwepa kiti alichowekewa maana awakutambua kama angekikataa, Leo kaacha viti vyote . Ila kwa mic 🎤 distance ya alipo aiwez kumpa tatizo ha ha 😂 😆 😄 🤣 this guy is a genius

  • @abelialsen5383
    @abelialsen5383 3 роки тому +2

    Gwajima yaani sikumalizi!!!
    Uko tofauti sana na fikra za watu

  • @fadiasly3048
    @fadiasly3048 3 роки тому +7

    Nakupenda gwajima boy

  • @imscometro1168
    @imscometro1168 3 роки тому

    KAMA ITAKUPENDEZA 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @jacquelinesangu1521
    @jacquelinesangu1521 3 роки тому +4

    🙏🙏🙏🙏mungu akuongoze gwajima

  • @pmall8867
    @pmall8867 3 роки тому +7

    Afrika Ukiwa na Akili kubwa Zaki pekeako una Kuwa Adui wa watu weusi wenzio....😁😁

    • @husnahabibu1767
      @husnahabibu1767 3 роки тому +1

      Ni kweli kabisa wanamtafutia Kila mbinu Ila Kwa uwezo wa mungu hawataweza

    • @pmall8867
      @pmall8867 3 роки тому

      @@husnahabibu1767 MUNGU amlinde mtu Huyu @Gwajima

  • @emilianajosephat4059
    @emilianajosephat4059 3 роки тому +1

    Maboya ktk mkutano wa mitume alisema Gwajima Ana Roho ya kitume.Sasa hivi tunaiona Hy Roho.Mungu awe nawe.

  • @imscometro1168
    @imscometro1168 3 роки тому

    NSHAZOEA KUSIMAMA NAAAM MWENYE KITI
    KAMA ITAKUPENDEZA🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @gladyskiplimoart
    @gladyskiplimoart 3 роки тому +6

    Gwajima sauti ya wengi 👏👏👏

  • @niconicodau7466
    @niconicodau7466 3 роки тому +2

    Shujaaa wa mbinguni na duniani pia baba nakuamin

  • @petronjowela6670
    @petronjowela6670 3 роки тому

    Barikiwa Sana Bishop

  • @amriabdarah3343
    @amriabdarah3343 3 роки тому

    Mungu azidi kukutia guvu ili uendelee kujiamini hata mim nko upade wako siwezi kumsalit magufuli mpka nakufa kwagu. Achana na hao wanafiki

  • @ghatimakonge9383
    @ghatimakonge9383 3 роки тому

    Poleni wa wana ccm ukiona hivo jua mnaogopana... Poleh Sana

  • @athumanhassani805
    @athumanhassani805 3 роки тому +8

    Watanzania wenzengu tuwe makini kwenye uchuguzi waviongozi wanchi 2025 kwakuwa miaka hii mitano baada yakifo chamagufuli tumeona mengi sana kama maigizo ila nalo nifunzo tunajifunza kwawakati ujao

  • @leaherasto5686
    @leaherasto5686 3 роки тому

    Mungu azidi kukupigania Gwajima

  • @mariamally1913
    @mariamally1913 3 роки тому +1

    Good gwajima kweli Kama itampebdeza.

  • @sallysalamakenga6329
    @sallysalamakenga6329 3 роки тому +12

    TANZANIA MPYA INAKUJA AMEEEEEEN

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 роки тому +1

    Kamati... Kamati...
    Hapo mnakula Kodi za nchi yetu ki ulaini. vita ya kunguru naona Ni neema kwenu... au vipi wa heshimiwa.,.... Ndugai ... Ndugai...
    Hurumia Kodi za watz... Rais naye no Mwanadamu... Watu watofautiana nae kwa mawazo.. mitazamo.. fikra.. na misimamo.... Kuwa chama kimoja hakumaanishi tunakubaliana wote kwa yote.. hata kwa Dini sivyo... Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +4

    Pitieni na kwangu huku jamani Mimi sijachagua upande bado😂😂😂😂kuchoma au la

  • @christophernyambaza7587
    @christophernyambaza7587 3 роки тому

    Ee Mungu wa Ibrahimu tenda muujiza kwa ndugu yetu Gwajima , kwani anafanya yote kwa ajili ya utukufu wako

  • @dktabbaimran2002
    @dktabbaimran2002 3 роки тому +3

    Gwajima mrithi wa Imani ya Magufuli,

  • @centralboytz4240
    @centralboytz4240 3 роки тому

    Usipotumia maujanja unaweza kupotea kirahisi Kwa hayo yote anayoyafanya utashangaa anachukiwa bure baba wa watu😊 Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.....

  • @paulndimanya6912
    @paulndimanya6912 3 роки тому

    Kiti cheupe kwa ajili ya kuangamiza mtu mmoja hatari sana namkumbuka katibu wa ccm alihojiwa kwa kutumia utalatibu huohuo akakalibishwa hivohivo akapewa maiki baba wawatu hakunusulika alikufa gafula gwjima mungu akuongoze mpendwa wetu

  • @sydneysamson1761
    @sydneysamson1761 3 роки тому +12

    Hivi kwani tatizo la huyu jamaa liko wapi Ndugu zanguni?!Tanzania hii ina mambo mengi sana ya Ajabu.

  • @anoldjohn1757
    @anoldjohn1757 3 роки тому +5

    Timu ngwajima. Kama itakupendexa

  • @tagdymagdy7301
    @tagdymagdy7301 3 роки тому +19

    Kweli Tukue Tuyaone Hili Sio Bunge Linatia Aibu

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 3 роки тому

      Hahaaaaaaaa et anatia aibu gwajuma, chanjeni nafamilia zenu

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 3 роки тому +2

      Gwajuma kasema hachanji Mimi nimechangnyikiwa wapi

    • @mchezakamaliog265
      @mchezakamaliog265 3 роки тому

      @@am2323Diaspora unajitia wewe aibu kufuatlia yasiyokuhusu

  • @ashudahiza7871
    @ashudahiza7871 3 роки тому +7

    Mtumish wa.mungu mwenye maono.ya.mbali mbeba maono hafi..lazima yatimie anayoyaongea

  • @prophetmunuo9317
    @prophetmunuo9317 3 роки тому +4

    Hivi mbona baadhi ya watu hawana hofu ya Mungu?
    Baada ya maisha yenye Taabu nyingi hivi tutaenda kumjibu nini Mungu aliyetupa dhamana ya kuongoza watu wake kwa haki ambayo tumeipotosha?

  • @habibarashid2997
    @habibarashid2997 3 роки тому +2

    Lakn mie mwenyewe huwa najiuliza kwanini kit chake kinakuwa hakifanani na vit vinginee?? Hata ingekuwa mimi khaa!! Kit kinarangi moja tuu ndio mikalie mimi ,???

  • @alamubravo512
    @alamubravo512 3 роки тому

    Mungu akupiganie gwaj boy

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 роки тому +10

    Gwajim oyeeeeeeeeee 2025 ndio Rais wetu

  • @wateuleclassicsevenstars4381
    @wateuleclassicsevenstars4381 3 роки тому +14

    UNAFIKIRI KILA MTU ANAONA KAMA UONAVYO WEWE😂😂🤸🤸

  • @amosmichael8389
    @amosmichael8389 3 роки тому

    Mungu wetu alishashinda kifo msalaba

  • @berilyhnaji3623
    @berilyhnaji3623 3 роки тому +5

    Unatatizo la kiafya ,😜😜kama itakupendeza🙏🙏🙏🙏🙏🌌

    • @josephezekielmasolwa8283
      @josephezekielmasolwa8283 3 роки тому

      Hahahahahhahahahahhhahhah!!!!!!! Mbavu zangu,,,, hahahha ASKOFU HAPA AMENICHEKESHA SANA

  • @leahswedy4895
    @leahswedy4895 3 роки тому

    Unatatizo lolote la kiafya ?.. .. kama "itakupendeza ." Utajua hujui unachouliza .. 🤣😀😀😀 gwajima👍👍

  • @meryevance6944
    @meryevance6944 2 роки тому

    Safiii maadui macho chenga

  • @shabanially4728
    @shabanially4728 3 роки тому +28

    Gwajima anafaa kuwa msemaji wa simba kwa vurugu hzi

  • @alfredlimu3873
    @alfredlimu3873 3 роки тому

    Hongera bishop Gwajima unatuwakilisha ipasavyo sisi wa mrengo mwingine

  • @saigonernest7631
    @saigonernest7631 3 роки тому +9

    Yani waki mtenda vibaya gwajima ndio watajua watanzania wakoje

  • @bennpetter5249
    @bennpetter5249 3 роки тому

    Mpaka wakunye Safi sana Mtumishi

  • @noahkusenha8385
    @noahkusenha8385 3 роки тому +2

    Nampenda Mara tatu pasta gwajima nyota ya tanzania

  • @barakakajange7335
    @barakakajange7335 3 роки тому

    Safi gwajimaaaa hoyeeeeeee

  • @timochazze9845
    @timochazze9845 3 роки тому +2

    Gwajima safi sana

  • @mr.machange1377
    @mr.machange1377 3 роки тому +25

    Lazima a-rise doubts mbele za jamii ili waliopanga kumtenda mabaya warudi nyuma

  • @tinershayo5397
    @tinershayo5397 3 роки тому

    mungu akulinde Ngwajima

  • @machilafaustin9473
    @machilafaustin9473 3 роки тому

    Askofu wa Buza ana kazi kwelikweli

  • @carenalphonce5013
    @carenalphonce5013 3 роки тому +7

    Anafata nyayo za jpm

  • @sidedirtylevel8483
    @sidedirtylevel8483 3 роки тому

    kama umemuona mweshimiwa SIMBA toka zanzibar gonga like hapa

  • @wanjoki1
    @wanjoki1 3 роки тому +6

    Namtarajia kitenge asubuhi kwa kurasa za magazeti 🤣🤣

  • @meckikuloba4751
    @meckikuloba4751 3 роки тому +1

    Jeshi la mtu mmoja lilifanya jeshi lawatuwengi kuchanganyikiwa Emungu baba mwenyezi muubambingu nanchi kubuka agano lako na watuwako apiganae na gwajima anapigana nawewe

  • @akwilinamartin2460
    @akwilinamartin2460 3 роки тому

    Nileteen Gwajima

  • @joeljacksonmalimijoeboy6501
    @joeljacksonmalimijoeboy6501 3 роки тому +7

    Yupo sawa ni haki yake

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 3 роки тому +8

    Gwajmagu oyeeeeeeeee

  • @yuventmpiru7738
    @yuventmpiru7738 3 роки тому +4

    Kila mtu anajua Gwajima yuko sahihi ila ni kujitoa fahamu tu

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 роки тому +1

    Mwenyekiti :unatatizo lolote la kiafya
    Mbunge : kama itakupende
    😀😀😀😀😀😀😀
    Ila niseme watu kama Gwajima ni ngumu sana kuwapata
    Wengine hapo wangeangalia kundi lawatu ambao wa mekaa na kuogopa mpaka kusahau msimamo wake.ila Gwajima hana hata hofu au aibu
    Kweli jembe ni jembe na ukivijuwa havisumbuwi

    • @luganoamosi6416
      @luganoamosi6416 3 роки тому

      Bado opo siku tuyajuwa tu,lakini gwajima hamumuwezi kabisa mbinu zote zenu anajuwa,mungu ni mwema tu

  • @Ax-xpress
    @Ax-xpress 3 роки тому +2

    Gwajima aliwaambia sitaki ubunge kwa kuwa ni cheo kidogo hamukumuelewa sasa anawasumbua kwa hicho sio cheo chake wenye njaa ndio mnapata shida Sana..

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 3 роки тому +13

    Ngwajima oyeeeeeeeeeeeeee

    • @jenitajastin3166
      @jenitajastin3166 3 роки тому

      Mungu katuletea maguful mwingine ambae ni gwajima mungu akuondolee hao mashetan mbele yako amen