Benny Shizzol - Kama Ikitokea (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Official Music Video 'Kama Ikitokea' by Benny Shizzol
    Video Directed by Didi.

КОМЕНТАРІ • 763

  • @MariamMariam-ht2sy
    @MariamMariam-ht2sy Рік тому +142

    Wenye tumetafuta hii song kwanini ya clam munipe like zangu hapa🥰

  • @MichelKakule-m6d
    @MichelKakule-m6d Рік тому +677

    Wangapi tume kuja kuiisikia hii ngoma baada yakufata BEST FRIEND ya Clam vevo

  • @husnabilali3099
    @husnabilali3099 Рік тому +99

    Anaeamin kuwa clam VEVO amesaidia kuifikisha hii nyimbo vizur baada ya kuangalia best friend❤❤❤

    • @officialtin1782
      @officialtin1782 Рік тому +1

      Ngoma kali mwana

    • @zuusalim5660
      @zuusalim5660 Рік тому +1

      Kwel kabisa clam ameenua hii nyimbo

    • @salimmurithi3050
      @salimmurithi3050 Рік тому +1

      Mimi mwenyewe nipo hapaa baada ya kuangalia best friend

    • @Nancy-ch1wv
      @Nancy-ch1wv Рік тому +1

      Kabisa mana ata mm baada ya kuisikia kule ndo nikaja kutafuta

    • @machinepro
      @machinepro Рік тому

      Akili ndo bahati naomba jina la uyo msani ya best friend ❤️

  • @mohaathescorpioncrusher131
    @mohaathescorpioncrusher131 Рік тому +56

    Best friend ya clam imenifanya nikujue kaka wewe ni myama❤❤❤❤ gongs like hapa kama umemjua kupitia clam

  • @kariojafari4185
    @kariojafari4185 Рік тому +52

    Niwe tu mkweli clam ndio kanifanya niutafe huu wimbo asantee sanaa❤

  • @ndayisengaamissi6102
    @ndayisengaamissi6102 Рік тому +51

    Clama ndo kanileta hapa , duuh! Kumbe kuna watu wanajua kuimba hiv aisee😢😢❤

  • @MaggieMso23
    @MaggieMso23 Рік тому +20

    Kama uko hapa baada ya kuiskia toka kwa clam vevo best friend...nipe likes❤❤the song is a heat

  • @issamaulidi8860
    @issamaulidi8860 Рік тому +19

    Tulio skia hii song kweny movie ya clam vevo tujuane best friend 😂😂😂

  • @YusuphAthuman-lj3wc
    @YusuphAthuman-lj3wc Рік тому +26

    Watu tulio toka ktk best friend na kuipenda nyimbo hii tujulikane kwa like 😂

  • @HassaniOmari-hh7wx
    @HassaniOmari-hh7wx Рік тому +13

    Daaah wengi tu tumecheki baada ya kucheki best friend

  • @RashadiMbutule
    @RashadiMbutule Рік тому +19

    Big up for clam vevo. Maaan wengi tumeijua hii ngoma baad ya kuangalia movie ya clam vevo Best friend🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉. Hila Benny shizzo nawe umejitahd endelea kupambana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 Рік тому +6

    clam umemtoa jamaa aise , bonge la nyimbo

  • @saumsalm1699
    @saumsalm1699 Рік тому +10

    Mimi ni nzuri sana aki nimeisikiza hadi kulia wakati CLAM alipokea akiimba

  • @MtotoWaJemo
    @MtotoWaJemo Рік тому +7

    Kama umekuja humu baada ya kumuona clam akiimba kwenye show ya best friend
    Kiss my comment 😮

  • @lameckemanuel6774
    @lameckemanuel6774 Рік тому +26

    One day tutafika trending number moja ya kwetu inakuja ipo tu✊

  • @officialgamaraykizazi8053
    @officialgamaraykizazi8053 Рік тому +3

    Niko juu clan VEVO one love from Kenya

  • @jacoblaizer8222
    @jacoblaizer8222 10 місяців тому +3

    Nngoma imekaa mwake.. Clam vevo kwenye Best friend umemuinua mwana..✊

  • @feleshigogadi1500
    @feleshigogadi1500 Рік тому +6

    Tulioletwa na CLAM VEVO gonga likes hapa

  • @lisah203
    @lisah203 Рік тому +14

    From clam VEVO nimefika hapa.....good music bro keep it 💕💕💕

  • @desiderias254
    @desiderias254 Рік тому +4

    Wangapi wametumwa hapa na best friend ya clam vevo🎉🎉🎉

  • @user-cw2pz8tj5v
    @user-cw2pz8tj5v Рік тому +9

    Mm pia nipata hii ngoma kwa best friend ya calm vevo ipoh juu sana I love it ❤❤❤🎉

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 Рік тому +3

    clam ndo kanifanya niitafute hii nyimbo aise kari sana, kumbe jamaa anajua kuimba , unyama mwingi

  • @yohanakalenga3539
    @yohanakalenga3539 Рік тому +3

    Yaan clam vevo kafanya nifike hapa nimetafuta nyimbo kwa har na Mari na nimeinasaa gud guda gutast

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 Рік тому +3

    Tuliokuja baada ya kuiona EP ya CLAM VEVO like zako hapa 😁😁😁😁

  • @chapaboyfromDomcity
    @chapaboyfromDomcity Рік тому +3

    Kweli kabsa Vevo kaku tangaza

  • @princedaddy889
    @princedaddy889 Рік тому +5

    Baada ya kuangalia best friend ya clam vevo ndo nimekuja kuatfuta nyimbo yenyew😊😊😊

  • @mohaathescorpioncrusher131
    @mohaathescorpioncrusher131 Рік тому +5

    Kama si hio part clam alitumia singemjua huyu star big up just subscribed from Kenya🇰🇪

  • @barakalufungulo49
    @barakalufungulo49 Рік тому +10

    Nyimbo yangu pendwa baada ya IMETOSHA 🎶🔊

  • @reganshao
    @reganshao Рік тому +2

    Yan Tanzania yetu wasanii mnaoimba vizur hamuonekani lakin kuna siku zinakuja .. Hongera mno

  • @yoyoboys4253
    @yoyoboys4253 Рік тому +4

    Atapia mm nimeiskia Kwa best friend bt I Ngoma kali🔥🔥🔥

  • @masyofficial5910
    @masyofficial5910 Рік тому +13

    Kama ikitokea dude langu pendwa kabisa 🔥🔥🔥🔥🎼 good music lives 🎉

  • @ndayikezayussuf
    @ndayikezayussuf Рік тому +7

    Ngoma hii iko inavuka mipaka sababu ya Best friend ❤nakusikia kutoka Burundi

  • @frankmwaikambo9784
    @frankmwaikambo9784 11 місяців тому +2

    Ebanaae sy mbaya leo clam kanileta huku kumtafuta benny shizzol❤❤❤❤

  • @MarkoMakanyaga
    @MarkoMakanyaga 11 місяців тому +3

    Mimi no 1 na nilikua sjui kaimba nani nikaistall "shazam" kwaajili ya kuitafuta tu hii ngoma

  • @katembomukejohn5231
    @katembomukejohn5231 Рік тому +3

    Tangu nilisikiya hi musique kwenye BEST FRIENDS ya clam vevo nashinda nikiusikiliza juma mzima nakufata kutoka congo ❤

  • @ushindivictoireamericain6217
    @ushindivictoireamericain6217 Рік тому +2

    Aisé yaani wimbo muzuri n'a mutamu kama huu ume kosa ma billioni ya ma likes jamani,, mashabiki wana sapoti ujinga kuliko ku sapoti vitu vyenye ujumbe muzuri kama ivi apa.. congratulation m'y super star

  • @EstaKasanga
    @EstaKasanga Рік тому +34

    Congratulations Benny and much big hands to clam Vevo for introducing it on my best friend

    • @georgewarati7354
      @georgewarati7354 Рік тому

      Nikweli jamaa kaisapot kwa kutumia best friend clam apewe maua yake

  • @absamompitanjia9030
    @absamompitanjia9030 Рік тому +3

    Hata mm nimefatilia hii ngoma baada ya kumuona Clam Vevo ndani ya best friend

  • @nasrikhan4218
    @nasrikhan4218 Рік тому +10

    Mwenyezimung hakuongoze katika harakati zako kaka .... good music..... good performance 🔥🔥🔥

  • @thabymtweko4486
    @thabymtweko4486 Рік тому +1

    Ulipo Toka na Sasa Kuna mabadiliko makubwa ishaallah mungu akipenda. #ita wezekana

  • @RonJacob-ps2zz
    @RonJacob-ps2zz Рік тому +11

    Kuna ngoma ukisikiliza TU inavoanza unajua kabisaaa hii itakua Kali..🔥🔥🔥 Piga kazi na mpe Hi John B nimemeona humo..💥💥

  • @SOS_VILLA
    @SOS_VILLA Рік тому +1

    Because of CLAM VEVo nimeijua hii Ngoma 👊👊.......nice song benny 🔥

  • @SarahNjambi-f3h
    @SarahNjambi-f3h 11 місяців тому +3

    Am one of them kuja kutafuta hii wimbo after kuwatch "BEST FRIEND.

  • @AsiaBashiri-g5m
    @AsiaBashiri-g5m Рік тому +1

    Daaah...clam ndio umenifanya niujue huu wimbo ...kweli unajua ila tatizo nyota

  • @adhnanhassan7512
    @adhnanhassan7512 Рік тому +1

    Clam hana kinyongo na mtu yeyote ndipo mungu akamfikisha alipo hivi sasa...🎉

  • @modynhozmk14
    @modynhozmk14 Рік тому +3

    Namushukuru sana Clam Vevo kwa kutumiya iyi Song kwenye filamu yake Best Friend Adi n'a Mimi nika fikiya kujuwa mwenye Song iyi ni Song nzuru saaaaaaaaaaaaaana ❤❤❤

  • @Fechasharon
    @Fechasharon Рік тому +32

    Kazi nzury Ben,wimbo mzuri,video kali sana...lets keep moving

  • @john-ke5838
    @john-ke5838 Рік тому +2

    Tzd...mwajua kuigiza....DirectorDIDY🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤗🤗🤗🤗🤗🤗🍌🍌🍌🍌

  • @shadyarif653
    @shadyarif653 Рік тому +3

    Best Friend🎉..amefanya clam tukujue broo❤

  • @twodanyofficial3406
    @twodanyofficial3406 Рік тому +2

    Ntakufatilia daima.Mana nimeguduwa kuwa CLAM VEVO ANAKUKUBALI WEWE.
    IM FROM MOZAMBIQUE ❤
    NO FORGET LIKE
    NGOMA KALI SANA PIGA LIKE

  • @DullyFish
    @DullyFish 11 місяців тому +2

    Daaah ilaaa subiraaa.... daa mwamba fundi sna mungu amuongoze❤❤❤😊

  • @razackpaulo6375
    @razackpaulo6375 Рік тому

    Huyu clam vevo kichaaaa kweli kumbe kunachimbo langoma safiihivi hukuuu, kivumbi kweli kweli

  • @ngunjasngunja1811
    @ngunjasngunja1811 11 місяців тому +2

    Hit song Ben mzee umeua kinyama🎶

  • @Mussazo_Kipaza_27
    @Mussazo_Kipaza_27 Рік тому +2

    Wangapi waliona clip ya hii nyimbo Na video ya clam vevo mpak kuifata Uku gongA like km umeipenda❤❤❤❤❤

  • @josephhosseni-uj6ij
    @josephhosseni-uj6ij Рік тому

    Best friend ndo nimemufaham huu wimbo nikatafuta mtandaoni tupo wangap

  • @leonardjoni1795
    @leonardjoni1795 Рік тому +1

    Du jamaa unajua mpka unakela ebu nitumie namba nikutumie hata ya pepsi you kill it❤❤❤

  • @hnaf6279
    @hnaf6279 Рік тому +3

    Clam vevo brought me here😂

  • @livingstonefedrick1952
    @livingstonefedrick1952 Рік тому +6

    Daaah kazi kama hizi nzuri wabongo wanapita tuu,, ngoma kali kila kitu na inachukua feelings be blessed bro

  • @SeifNjenge-vc1le
    @SeifNjenge-vc1le 6 місяців тому +1

    Tumetoka kwa vevo wote best friend

  • @AsizaMahenge
    @AsizaMahenge Рік тому +1

    Kwali kabisa maana wengi tumeusikia Kwa cram

  • @santosthegenius1516
    @santosthegenius1516 Рік тому +1

    Hitsong ila jitahidi kwenye kui promo one day yes blood

  • @wankurumasanja4764
    @wankurumasanja4764 6 місяців тому +1

    lovely song,,much love from capital city of Africa Kenya 🇰🇪

  • @Richplumbing653
    @Richplumbing653 6 місяців тому

    ❤❤clam VEVO ndio kafanya niijuwe na kuipenda sana Kila siku naisikiliza

  • @MucsyynMustafa-z2l
    @MucsyynMustafa-z2l Рік тому

    Kalibu kweny tumekpokea skuanzia sasa we ni kama dayoo au marioo au jay melody.... karib sana

  • @AndrewSevume
    @AndrewSevume 8 днів тому

    Hii ni nympho nzuri ukimuimbia demu au mke wako akikuacha😭😭😎😎.

  • @danielmaflower5609
    @danielmaflower5609 Рік тому

    Best friend ni kipindi zaidi ya kipindi, kimefanya nimjue uyu msanii mkali ivi

  • @CheerfulValley-ei9dr
    @CheerfulValley-ei9dr 5 місяців тому +1

    Weng sana tumeifata hii ngoma baada ya kuangalia best freand sio sil ni nul sana🎉❤😂

  • @user-hf2cg9ti9o
    @user-hf2cg9ti9o 11 місяців тому +1

    Kaka nyimbo yko imeniliza baada ya kuachwa daaah😢😢

  • @emmanuelreuben4343
    @emmanuelreuben4343 Рік тому +1

    Yuko wengi sana jamaa anajua uyu

  • @geraldeliah7287
    @geraldeliah7287 Рік тому

    Oyaaaaa eeee huyu jamaaa anajuaa kisela ni basii tu bado kutoka💥💣💯🔥🔥🔥🔥

  • @chidi_don
    @chidi_don Рік тому +2

    Hii ngoma kali sana broo

  • @mourinependo8720
    @mourinependo8720 Рік тому +2

    Big up to clam vevo nimepata kujua hii wmbo

  • @PandaKakozi-n9i
    @PandaKakozi-n9i Місяць тому

    Nilihitafuta sana, nilihisikiyaka kwenye Best friend

  • @Leo-7c
    @Leo-7c Рік тому +6

    Haki ya hii ngoma n trend number moja 👌👌👌👌👌👌

  • @machinepro
    @machinepro Рік тому

    Jamani naomba jina la msani,best friend ❤️ akili ndo bahati

  • @BlessingsKariuki-j1b
    @BlessingsKariuki-j1b День тому

    Pia mimi ni mmoja mwenye nimekuja after kuwatch best friend

  • @jacobmnyamwezi
    @jacobmnyamwezi Рік тому +2

    Quality yake balaaaaaaaa

  • @OmarMwandegwa
    @OmarMwandegwa Рік тому +1

    Duh clam kanileta kwa goma safi ,keep it up bro ben

  • @lilynestorybenezety6180
    @lilynestorybenezety6180 Рік тому +2

    Saf sana ongera DIDI nimeona

  • @petermagumba4440
    @petermagumba4440 9 місяців тому +1

    Ukiskia wasanii twategemeana ndo hii sasa....jitie kiburi

  • @Obby-ronald9cr4i
    @Obby-ronald9cr4i Місяць тому

    Nani yupo hapa 2024?

  • @ibrahimgreyson7829
    @ibrahimgreyson7829 Рік тому +2

    Mwamba unajuwa kaka mda utaongea2 kaka

  • @mjedah
    @mjedah Рік тому +2

    Iyo Ngoma gawana maokoto na clam VEVO mana kakusapot kinoma kwenye suala la viewers

  • @salimmurithi3050
    @salimmurithi3050 Рік тому +1

    Kama unetafuta wimbo huu baada ya kuwatch Best friend then hakikisha umesubscribe huyu jamaa can go far bonge la ngoma

  • @barakalufungulo49
    @barakalufungulo49 Рік тому +6

    Natamani siku 1 tukae pale number one on trending na inawezekana kbs 💥💥💥

    • @Benny-Shizzol
      @Benny-Shizzol  Рік тому +2

      Inshaaalah itakuwa kaka ni swara la muda tuuu🙏🙏

  • @mmasai_255
    @mmasai_255 Рік тому +1

    Hapa anaetuchelewesha n mganga TU broonh...niamini kaka...Ukipata tu mganga mzur.....marioo atafute pa kwenda walai

  • @Gafabukx
    @Gafabukx Рік тому

    Yaan baada ya kuangalia BEST FRIEND nime itafuta sana hii ngoma

  • @babahasheem395
    @babahasheem395 Рік тому +1

    Clam vevo amejua kutuvuta kuiangalia hii ngoma

  • @wastaraally1575
    @wastaraally1575 11 місяців тому

    Nyimbo nzur jaman... Nilikua naitafuta sana from best friend ❤

  • @saidyhasshim2373
    @saidyhasshim2373 Рік тому

    Wasengeee nyee. Dada zenu wavae ileni nanyi mjvaee. Sasa nani atongozwee

  • @rithamshana3162
    @rithamshana3162 11 місяців тому +1

    Kuna watu wanaimba❤

  • @annachieng5555
    @annachieng5555 3 дні тому

    Nyimbo ni kali❤❤❤like zangu tukisonga

  • @prettymillah-ls7uc
    @prettymillah-ls7uc 11 місяців тому

    Congratulations sijawai ichoka hii nyimbo naipenda🔥🔥🔥❤❤

  • @elijahwanjala
    @elijahwanjala 10 місяців тому +1

    Nimeikubali 100%

  • @thekingabdulahman7092
    @thekingabdulahman7092 Рік тому +2

    Hii nyimbo clam ameipromote sana

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 13 днів тому

    Nimeitafuta sana baada ya kuona best friend 🎉

  • @maulidmtambo9664
    @maulidmtambo9664 11 місяців тому +1

    Mi nlijua wanaojua kuimba wameshaisha bongo kumbe Bado aseee

  • @saidndoro7605
    @saidndoro7605 Рік тому +2

    Best friend ✌️

  • @ERASTOMUSSA
    @ERASTOMUSSA Рік тому

    TUNAWAZE TUKUAMUA KUMBE✊🏿✊🏿

  • @queenrosine4678
    @queenrosine4678 11 місяців тому

    Whaou baada yakuona filama ya clam nikatokea kupenda iyi song 🥰🥰🥰🥰