Kim na team yako najua mnamajukum ya kaz nying kuzikamilisha lkn kwa ww unapaswa hii movie usichelewe kuitoa kipande kinachofuata ilikujibrand zaid ww cz me najua hii ndo movie yako ya kwanza so jitahid
apo kwenye begi mmefeli sanaaaa nyie wenyewe angalieni kwa makini hamkufikiria mara mbili kingine kioande cha mbele mnakiweka nyuma cha nyuma mbele apo kwa mbwela na huyo dada kumzingumzia butua
Kim na team yako najua mnamajukum ya kaz nying kuzikamilisha lkn kwa ww unapaswa hii movie usichelewe kuitoa kipande kinachofuata ilikujibrand zaid ww cz me najua hii ndo movie yako ya kwanza so jitahid
Kweliii
Vizuri Sana wangu Kim
Msako ni move imetulia mno hongera Kim vevo naomba like hapa 👍
Namimi ndo naanza kuitazama,
Naomba like zenu
Popote napomuona kim hyo movie lazima niiangalie tuuu kwa namna yoyoteee❤❤❤
Ata mm pia nmpend uyo mdada🎉❤
nampenda pia kim😊💓😊💓😊💓😊💓💓😊💓😊💓😊💓😊💓😊💓😊💓😊💓😊
same to me😂
Ata na mm nampenda cn❤❤❤
Mungu akujaalie kwa kazi mzuri
Kama uko hapa juu ya Kim🤲🔥
Kim ametendea haki uhusika lakini big up kubwa kwa mbwela ameiongoza vizur na story nzuri sana...big up mbwela na kim kwa pamoja mmeweza
KIM VEVO GOOD JOB FROM 🇧🇮 nimependa san kaziako unaweza san mollah akuwekeewepesi naumusalimie sandra❤❤😂😂
Sauti inakwaruza mbona Kim
Our next east Africa female Goddess🔥🔥🔥🔥
Director unafeli wapi begi linakaaje nje wakati kuna mtu alikuwa anakimbizwa kabisaa
hapo sasa hata mm nimekasirika
Ni kweli kbs
Kim me nakupend mwenzak nkija pata Hela naja kukuoah mwenzak
Mbwela km mbwela og lop u broo❤
Nakupenda mbwela
Kim nakubali kazi zuri ilaa nakupenda Kim vevo
Watching from country KENYA 🇰🇪🙋👏👏👏👏💞💞💞
Sauti siyo nzuri
Kim usikawizi muendelezo msako nzuri sana
Official Kim Vevo Umekua Bora sanaaa ❤❤❤❤
Hii msako nzur Sana naomba like
Kim vevo nakupenda sana ❤❤❤
Wa Kwanza mimi from 🇨🇩
Kazi nzuri ❤
Kazi nzr
Umeanza vizur
Go girl❤❤ kwanza nakupenda 🎉❤ All the best sweetheart May God bless your hustles
ipo vzr sana jamn
Hongera dada kim kaz yak ya kwanz bt n nzur mno tu tumeipenda xan MOLA akusimamia dada
Kimu usituludishe bongo muvi za Zaman yani mtu Ana kimbizwa na wauwaji wanamuona begi mmeshika apo wanapitiliza😢kama sio uongo
Sauti uko na noma kiasi ...... jaribu kuweka vocal real... otherwise ni movie Kali sana ...naikubali
I thought ni speaker ya simu yangu...hadi nikaipuliza😂😂😂
Niyeke mura
Kazi nzuri san dada
KALI SANAAAAAAA
Kim kama kim
Kazi Mzurii Sanaa Dada Mungu akubariki
Kim ni 🔥 🔥🔥
Mara mama mara bibi
Team work
Kazi mzuri kim
Acheni kutufanya atuna akili akili mbovu utaweka aje begi inje wakati umeona mtu anakimbizwa namajambazi alafu aujakaguwa
Kwel kabisa wanatufanya wasenge
Kim nakukubali sana dr
KAZI mzuri lakni sauti mbovu
Team clam mupo vzr sana hakika saiv bongo movie ipo sehemu salama❤🎉😊
Mbwrla basi black handsome 😂❤tembea kenya mbwela nitakuhost
Congratulations Kim❤ from CONGO 🇨🇩🇨🇩
Nawapenda ❤❤
Kim Kim Kim VEVO❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Kazi nzuli ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂 😅😅
Kazi nzuri sana mbwela nakukubalia kazi zako si zakototo hongera
Hongera sana Kim,,,, nakupenda sana kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
C cool 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Dada Kim unaweza dear
Kazi mwanzo inaonekana nzuri sana iko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
vijiji skuizi vimeendeleya sana umeme umeshafika kotehuko mambo ni 🔥
Good job kim
❤kim unaweza dada
Nampenda mtu mwenye miwivu wivu kma mbwera❤❤❤❤❤❤❤❤
Love from kc Baba❤❤ I love it
Hongera kim vevo kwa kutuleteya move yako ya kwanza nipo saudiya Riyadh kukufatiliya na nawafatiliya kwq karibu kazi zenu
Sandra you are very beautiful 😘
Ooo Kim hongelasana umejitahindi Sasa usiwe unakawza
Waaaaah haya twendeni nalo time mbwela 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Weldone kim❤❤❤❤
Mhariri hakuona hiyo sauti haiko sawa
Hongeren san mmnawez na mm nataman siku nin kua muingizaj
Iyi kitu konki lakini mna tuchelewesha sana kutupa partie 2
Vizuri Sana wangu Kim una Fanya vizuri Sana
Napenda sana kaz dadang,,,kla sehem unayochez uwa unajua ,,,hongera dadaa
DADA KIM KAZI MZUR MY LOVELY SISTER
Jaman my sister kim kama 🎒 lakwako lakwangu likowapiiiiiii😮
Kim nakuelewaga mno.❤❤🎉🎉
apo kwenye begi mmefeli sanaaaa nyie wenyewe angalieni kwa makini hamkufikiria mara mbili kingine kioande cha mbele mnakiweka nyuma cha nyuma mbele apo kwa mbwela na huyo dada kumzingumzia butua
Live in Lusaka naomba like zangu
Kazi nzuri wa kwetu❤
More fire ❤❤
Great job, 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kim na mie nimsanii naigizq naomb niwe kwenye kundi lako
Karibu dar zone tv
Woyooopp🎉🎉🎉🎉🎉kim we 🔥 🔥 na team yako...nawapendaje!
kazi nzuri kim vevo🎉🎉
Kim VEVO good 🎉😂❤
Hongera sana ❤
Bwela mtt helwa uyo katowe mahari uowe
Nimekubali sana
Kazi zuri sana
KIM VEVO on top🎉❤ Fight
Ila kim mzuri nyie
For sure
Kweli kabisa
Nampenda Kim sana
Congratulations sister
Kazi nzur
ktu safi Kim vevo
Kazi nzuri ila hapo kwenye beg kuachwa njee mmezingua
Sengo hatarii Sanaa
Naamin nannakuamin kim unaweza
Kakoso mke 😊
Noma sana❤🎉
Sauti inakwaryza jmn jitahd
Kim,ni🔥🔥🔥🔥
Hongera Kim🤗
Nahapa ipo team VEVO ❤❤❤❤❤😂
Kim the best shabiki na 1 kwake💪💪💪🖐️🖐️
Imeweza sna
Good introduction