MWALI WA KINGONI - PART 03 [ MWISHO ]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 164

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 11 місяців тому +9

    Uweeee mzigo tayari asante anko wetu kwa mwendelezo❤❤❤

  • @mumbikibathi7036
    @mumbikibathi7036 18 днів тому +1

    Mumbi Wa Naivasha ako locked wapi likes

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 11 місяців тому +7

    Kesho mapema tudondeshee lisa anko jay tumemic alvin😂

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 10 місяців тому +3

    Wahenga walisema kikulacho kinguoni mwako rehema na tamaa zake zilimponza😂😂😂😂😂

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 11 місяців тому +1

    Ninzuri Sana pia lna mafunzo Asante Anko j na kitt fefe lla Anko unamuita mtu tembo nimecheka Sana.

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 11 місяців тому +1

    Asante pia kwa story tamu so sweet i love it BIG salute umeupiga mwingi nakukubali sana kwanzia mwanzo hadi mwisho zidi kubarikiwa sana anko Jay wetu kipenzi ❤❤❤🎉🎉

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 11 місяців тому +6

    Hakika tamaa yakutaka kuujua usilo lijuwa ili kuvionja ambavyo hukubarikiwa navyo humpitishia mtu kwenye moto wa mateso ila neno kama ningelijuwa huja baada ya mambo kuharibika na halisaidii kwa lo lote

  • @Fatum112
    @Fatum112 11 місяців тому +1

    Oyoooo?..Asante Ankojay ❤❤❤🎉🎉

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 11 місяців тому +1

    Simurizi ni nzuri mno yenye kuelimisha na kufundisha ❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 11 місяців тому +1

    Duu,kweli shetani hushawishi ukaingia dhambini,kisha mbio kwa Mungu kukushitakia,lahaula!Tamaa ndiyo mzizi mkuu wa dhambi nyingi

  • @salmamohamedi5405
    @salmamohamedi5405 11 місяців тому +1

    Kaka yangu mpendwa nakupongeza Kwa kazi yako nzuri sana asante nakuombea Allah akupe umri mrefu ili uzidi kutusimlia simlizi zako nzuri ❤❤❤❤

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 10 місяців тому

    Aki anko jay utanivunja mbavu na sauti yako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤ asante sanaaa kwa simulizi zako

  • @MariamJuma-o9z
    @MariamJuma-o9z 11 місяців тому +2

    😂😂😂 Anko jay kweli Gari 😂😂 nice one ❤❤❤

    • @ankojay_
      @ankojay_  11 місяців тому

      😂😂😂😂

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 11 місяців тому +4

    Wa kwanza kama kawaida yangu chezea kulala you tube kwenye simulizi za anko Jay 😂😂😂😂😂😂😂

  • @rukundoclementine6472
    @rukundoclementine6472 11 місяців тому +3

    ❤❤❤❤❤❤ number on 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 11 місяців тому

    Hongera anko jay kwa kazi nzuri hii ambayo imetufunza mengi yote tisa nimtu aluridhike na chi chotr alicho jakiwa ama alie jaliwa nae zaidi kumheshimu na kumpenda haijalushi madhaifu yake yalivyo

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 10 місяців тому +1

    Kah Rehema na usomi wote huo mtt mmoja ndo anamsumbuanamna hiyo? jmn si aje aniulize maisha jinsi yanapelekwa hata bila ya kutegemea mwanaume na maisha yanasonga na hatuteleki,km umeteleza nyenyuka na ujiamini na uanze maisha kwa Imani na utashinda sasa mtu uuze sehemu unayo jificha ndani yake,,, aaaah weee I never give up till my last breath 😊😊😊😊

  • @NasraRajabu-l6i
    @NasraRajabu-l6i 10 місяців тому

    Asante kwa simulizi tamu jmn bigup brother ❤🎉

  • @mariaferuzi7556
    @mariaferuzi7556 11 місяців тому

    Anko jay hongereni sana kwa simulizi tamu anajuwa kama iyo sauti yako ilishaka kutuloga

  • @Mupawarda-gj9qo
    @Mupawarda-gj9qo 7 місяців тому

    Story tamu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 11 місяців тому +1

    Thanks ankojey much-loved much-loved from Kenya 🇰🇪

  • @FadhilunMohamed-je8en
    @FadhilunMohamed-je8en 11 місяців тому +1

    Sawa Kaka nakuelewa sana asante

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 10 місяців тому

    Kah hilo fumanizi jmn mbona ni kali 🙌🙌

  • @laweluagustino6703
    @laweluagustino6703 11 місяців тому +1

    Daaaah matepeli mungu anawaona😂😂😂😂

  • @NadzuwaGofwa
    @NadzuwaGofwa 11 місяців тому

    Asant sana Ankojay 🎉🎉🎉

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 8 місяців тому

    Laaaahaula rehema wew tamaa itakuponza fumanizi hilo

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 11 місяців тому +1

    Wow kazi nzuri kaka,listening from kenya,much ❤

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 11 місяців тому

    Ahsante Ankojay acha ni 🪑🎧 jameni 🫢🤣🤣

  • @DadyChandaula-xv8dj
    @DadyChandaula-xv8dj 10 місяців тому

    Simuliizi ni mzuri sana

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 10 місяців тому

    Wadada shatani Hana wa tawala Sana mariamu Magdalena haliyetokwa na pepo saba. Wakati wa yesu sisi pepo wako na sisi. Malipo ni hapa Duniani

  • @Shadia544
    @Shadia544 11 місяців тому +1

    Leo wa 21 haya finally tujuwe itakuwaje REHEMA atafanikiwa mambo ni 🔥🔥🔥

    • @israeluronu9958
      @israeluronu9958 11 місяців тому

      Rehema nilimpenda ila anakoelekea Mmh wacha tuone.

    • @Irene-jg1en
      @Irene-jg1en 11 місяців тому

      😊

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 11 місяців тому

    🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao ankojay

  • @victorwesamba2520
    @victorwesamba2520 11 місяців тому

    Jamani nimewahi❤❤❤ thank kwa kutuweke🎉🎉🎉

  • @sabinamasangwa293
    @sabinamasangwa293 11 місяців тому

    🤣🤣ankoo hongera kwa kutembelea garii nzurii

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 10 місяців тому +1

    Lisa umenikera kwel leo c ilikuw umuache tu alvn aseme ukwel ili kiwashuke lkn ww unapnda kificha ficha kila ktu ona sasa yaliyo kukuta 😢😢😢😢😢

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 3 місяці тому

    ❤❤❤❤taamaa mbaya

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 6 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂mnapanga siku ya kwanza kwenda kuibiana na mnafumaniwa wueeeeeh hii ni balaa nakwambia za mwizi ni arobaini

  • @leah5307
    @leah5307 11 місяців тому

    Story tamu sana anko jay❤from kenyan 🇰🇪🇰🇪

  • @EstaBidetwa
    @EstaBidetwa 11 місяців тому +1

    Ila Rehema ni mjinga Loooo 🪗😊😂😂😂😂😂😂

  • @RakaPk
    @RakaPk 10 місяців тому

    Asante anko kwa simulizi ii yenye mafunzo

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 11 місяців тому +1

    Asante sana anko jay❤

  • @brownestomihi
    @brownestomihi 2 місяці тому

    Nimecheka kipande cha Bibi🤣🤣🤣🤣🙌

  • @fatmahmkuzi
    @fatmahmkuzi 11 місяців тому +1

    Hatulali Ankoj tuko pamoja handi kieleweke😂😂😂😂

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn 11 місяців тому

    Ubarikiwe uncle mungu akuzidishie

  • @LonahKeziah
    @LonahKeziah 11 місяців тому

    Apo sasa hongera Anko J na mwandishi Kitty

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi 5 днів тому

    Wachaweee anko!😂😂

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 11 місяців тому +1

    Kujeni kitu moto kwa hewa nishawahi kama kawaida 😂😂😂

  • @AnnaMukhwana-pf4qr
    @AnnaMukhwana-pf4qr 10 місяців тому +1

    Jamani epukeni matafiki munapoolewa maana hao hao ndio uharibu ndoa

    • @RahelIbrahim-id2li
      @RahelIbrahim-id2li 8 місяців тому

      Kama utampa nafas,unaambia rafik usimpe ya moyon

  • @mwanamisiabdalla5551
    @mwanamisiabdalla5551 11 місяців тому

    Afadhl nimewai sai😊😊🇰🇪🇸🇦

  • @fatmasalum8334
    @fatmasalum8334 11 місяців тому

    Hi anko Jay ubarikiwe sana kwa kz mzuri❤❤❤

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 11 місяців тому

    Woyoooo. Mambo🔥🔥🔥🇴🇲🇴🇲

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 11 місяців тому +1

    V8 Ankojay 😊

  • @Holiness-to3wp
    @Holiness-to3wp 11 місяців тому

    Duu wanawake ss haturidhiki jamani kila kitu unapewa lakini tamaa nayo mmh kila kitu uko nacho lakini dudu tu ndio inatufanya tutoke nnje daa hii kali 😅😅😅

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 11 місяців тому +1

    Jamani anko chukua mau yako 🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @bijouxbigaya2116
    @bijouxbigaya2116 11 місяців тому

    Nimewahiiii saaana ♥️🥰

  • @ghanimajongo7817
    @ghanimajongo7817 11 місяців тому

    Habari ank bint lis ikowap

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 11 місяців тому

    Shetani ana kazi za kutumia busara kubwa ya duniani,daa huwezi amini

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 11 місяців тому

    Shukran ancojay kwa vitu vya kingoni❤❤❤

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 11 місяців тому +1

    Bibi Rehema mbona gesiti ulienda na wanaume 20 na ngapi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @batoolmwajuma3000
    @batoolmwajuma3000 11 місяців тому

    😂😂😂😂,yani huyu anko jyb ban ,, anatufurahisha kiukweli, ety ,,looooooo!!!! ,,

  • @Jasmeni-ns9dg
    @Jasmeni-ns9dg 11 місяців тому

    Ila ankojay yaani mpk umesubiria tumeenda kuwapika waarabu ndio ukaachia simulizi daaah😂😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 11 місяців тому

    Nimejikuta nacheka nanguvu hapo bibi amemuuliza huyo mwanaume niwashirini nangapi😂😂😂huyu rehema ndoatajua kutuza vibamia mana vina msaada aiseee mtoto anateseka baba anadunia ya miradi dadekii

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 11 місяців тому +1

    Much ❤❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🙏🙏

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 11 місяців тому

    Anko asante xn ila leo ume2komesha aiseeee😂😂😂😂😂

  • @rosegesare8405
    @rosegesare8405 11 місяців тому

    Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NanahBrown
    @NanahBrown 11 місяців тому

    Mambo mazur anko mn hii sauti tukiikosaga wengne Huwa tunaona ck ndef😂

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 8 місяців тому

    Mwanamke haridhiki huyo mumewe anavyomjali na kumtafuta jinsi ya kumfurahisha lkn yeye haridhiki kabisa

  • @MajiburaAllyAllymajibura
    @MajiburaAllyAllymajibura 11 місяців тому +1

    Na mara nyingi wanaume mahandsome wanakuaga hawana hela 😂😂

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 10 місяців тому

      😅😅😅😅

    • @godsfavour5665
      @godsfavour5665 6 місяців тому

      😂😂😂😂😂na wale wa vifua pia😂6packs

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 5 місяців тому

    😂😂 ila huyu kibaka Haule ametoa somo kubwa sana lakujifunza ingawa kuibiwa ni sawa kabisa na ajali 😓😓

  • @AleKhan-k3z
    @AleKhan-k3z 11 місяців тому

    Wee weee mzigo huu hapa tusonge mbele

  • @fatumamatano8216
    @fatumamatano8216 11 місяців тому

    Safi sna...

  • @anunalamin6472
    @anunalamin6472 11 місяців тому +1

    Yessss I like this❤❤

  • @rehemanifasha5524
    @rehemanifasha5524 11 місяців тому

    Akina Rehema mpoooo😅😅😅 jmn Rey ume tuangusha sn jmn😊

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 11 місяців тому +1

    Dah Rehema Rehema Rehema 😢

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 11 місяців тому

    Napenda mimi simulizi za usiku uwiiii

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 11 місяців тому

    Asate sana ako Jay

  • @DorocasNdunge
    @DorocasNdunge 11 місяців тому

    Nmeipenda Sana Asante

  • @MasikaPacheli
    @MasikaPacheli 11 місяців тому

    Asante ank Jay 💋💋💋😅

  • @faridahamisi3298
    @faridahamisi3298 11 місяців тому

    Anko jay tulikumis sana jmn

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 11 місяців тому

    Shukurn 🙏 Ankojay wetu ❤️

  • @jokhajj
    @jokhajj 11 місяців тому

    Anko jay nataka lift kwenye iyo gari yako😂😂

  • @NuruAbdullah-h7g
    @NuruAbdullah-h7g 11 місяців тому

    Weweeeee na WiFi zetu za warabu tupe mautamuuu😂😂😂

  • @SarahChazzy
    @SarahChazzy 10 місяців тому +1

    💕💕💕

  • @rahmampeka7882
    @rahmampeka7882 10 місяців тому

    Rehema hakua nakosa kabisaa kosa lake nikutotumia akili mpaka akafumwa hakuna mtu anaweza vumilia upwiru bhana

  • @CatherineMapunda-j3t
    @CatherineMapunda-j3t 3 місяці тому

    Huyo dada ndo anatufanya wangoni tuonekane malaya😢

  • @aminahassan3588
    @aminahassan3588 11 місяців тому

    Asante anko jay

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr 10 місяців тому

    Bibi yake Rehema eti laana daaah mjinga akierefuka mwerefu huwa mashakani😢😢😢😢

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi 5 днів тому

    Kumekucha!!😮

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c 10 місяців тому

    ama kweli kipenda charoho

  • @kibibi7826
    @kibibi7826 11 місяців тому +1

    Wakwanza mm jamani watu wa youtube watuekee maali pakucomment na voice note😅😅😅😅

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 11 місяців тому

    Mh lakin rehema sjapenda😂😂😂

  • @AbuBakar-oi8vb
    @AbuBakar-oi8vb 11 місяців тому +1

    Shkurana amko/j

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 Місяць тому

    Uyu rehema mshenzii sana

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 11 місяців тому +1

    🔥🔥👍

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 11 місяців тому

    Huo utamu wa mume wa mtu ni upi mbona sijauona hadi simulizi imeisha.😂😂😂

  • @MamahetuChikuti-mp5lj
    @MamahetuChikuti-mp5lj 9 місяців тому

    Kelvin anapotezwa na sarah lkn uzuri kakae ambae ni babake suzy story yote yuwaijua

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 11 місяців тому

    Simulizi tamu ila Rehema mjinga jamani loo kafumwa utamu

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 11 місяців тому +3

    ᴵ ʰᵃᵗᵉ ᴿᵉʰᵉᵐᵃ ᵗʰᵉ ʷᵃʸ ˢʰᵉ ⁱˢ ᶠᵒʳᶜⁱⁿᵍ ⁱˢˢᵘᵉˢ🤔

  • @Zawadinadine
    @Zawadinadine 11 місяців тому +1

    Wakwaza leo munipe like zangu from unguda 😂😂😂😂 nimara ya kwaza anko wetu tuna kupenda sana baba

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 11 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂daaa,mbona😂😂