Ifike mahali tukubaliane tu kwamba mtumishi wa Mungu God bless Lema ni NABII wa Mungu japo yeye amekuwa akiwakatalia watu.Leo hii mimi kwa vile namzidi umri namuomba akubaliane na sauti ya wengi kwamba ni ya Mungu
HONGERA!Mkutano umefatiliwa zaidi duniani, kuliko ule ulioishia kujaza wasanii. Hela za kuwalipa wasanii wengi namna ile ni bora wangepewa yatima na Mungu angewabariki wao na Taifa kiujumla
Hiii sas ndio democrasia ya kwel na ccm wajifunze hapo kama uchaguz wa nchi hii ungekua unafanyika hivi kwa uwaz, uhuru na haki ccm haingekuwepo madarakan leo lakin kumekua na uchaguz wa gizan ili muovu afanye maovu gizan ili yasionekane hadharan matokeo yake tuna viongoz wasiowajibika kwa wananch wao, wasiojali hata uhai wa mtu, wanaopigania maslah yao binafsi, rushwa na mambo mengine mengi
Mh MBOWE tunakuthamini na tutakuheshimu. Kubaliana na matokeo haya. Inough is enough. Let's start a new beginning brother. IT IS TIME FOR NEW BLOOD. Remain party advisor please. NIELEWE BRO
Hongera sana mh. Lisu fanya kazi kwa uadirifu
Mkubwa ili demokrasia ktk nchi yetu iimarike na tushuhudie mabadiliko ktk taifa letu
Asante sana Leo nimeamka na furaha
Sawa la muda tu
Lamuda hiyo vp nyinyi ndio waganga wenyewe watu wasifurahie ushindi unalo hilo ndg fyuuuuuuu
Watu watasubiri sana. Mungu anaenda kutenda. Msitoke kwenye staring kwa Yale mnayoeenda kufanya
It is fantastic. Ni haki yao hawa jamaa kwa sabb kazi iliyofanyika ni kubwa kufikia hatua hii.
Najiskia furaha Sana kumwona lisu akicheza kwa bashasha na lisasi mwilini nabalikiwa Sana.
Hongera chadema Allah atujaalie kila la heri in shaa Allah tunachukua nchi in shaa Allah kwa nguvu zake Allah in shaa Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera m/kiti wetu taifa mh lissu shujaa wetu pongezi nyingi kutoka kwangu
Wajumbe mmetisha sana hongereni sana
❤❤❤❤❤lisu lisu Hakuna kwa Mungu linalo shindikana Big up sana
Hongera sana mh Tundu Lisu
Lisu amefurahi kutoka moyoni, Hongera Sana mh , Mungu akutangulie kwenye Uongozi wako Mpya!!!
Hongera mh TL! Unganisha makundi.
Alhamdulillah Rabbilaalamina. Hakika Allah hujawahi kushindwa. Hongera zana Chadema,Hongera sana Lissu na Team ya Mabadiriko kwa ujumla💪💪💪
Amin🙏🙏🙏
Hongera mwenyekiti wa chadema karibu kwa kuijenga nchi yetu ya Tanzania
Hongera Sana chadema kwa kuonyeaha demokrasia
Ni yeyeeeeeee 🎉🎉🎉🎉🎉
Ifike mahali tukubaliane tu kwamba mtumishi wa Mungu God bless Lema ni NABII wa Mungu japo yeye amekuwa akiwakatalia watu.Leo hii mimi kwa vile namzidi umri namuomba akubaliane na sauti ya wengi kwamba ni ya Mungu
Sahihi
Lissuuuuuuuuuuuuu ❤❤❤❤❤
Heche lisu mungu awatangulie
Niliomba sana mungu amlete uyu mwamba
Bora mbowe angemsikiliza lema angestaafu kwa heshima tu
❤❤❤❤❤❤ mashaallah
LEMA FIELD MASHOOO SHIKAMOO.
Lissu Heche Mahinyila 💪💪💪❤🔥
Hongeraaa sana
Amina Amina lisu tunakupenda
HONGERA!Mkutano umefatiliwa zaidi duniani, kuliko ule ulioishia kujaza wasanii. Hela za kuwalipa wasanii wengi namna ile ni bora wangepewa yatima na Mungu angewabariki wao na Taifa kiujumla
Kiukweli chadema imeonyesha ukomavu wa kisiasa sana, hongera sana Tundu Antipas Lisu na John Heche
Hongera pia Mbowe Kwa kazi kubwa ulioifanya chadema
Kweli
Duniani?🤣😂
Vijana karibuni Chadema,
Nyumbani kumenoga
Hongera kamanda
Amefurahi sana mwana Mapinduzi Tundu Lisu lkn tumefurah pia
Asante sana lisu
Mungu nimwema sana
Team lisu njoo hapa tushangirie pamoja
Lisu leo kachangamka kwakweli
Chaguo la Mungu
Yaan leooo ni rahaaa
Msigwa kakosa uhondo
Kuanzia Leo mimi ni timu Lema🥰🥰🥰
Sasa tunaenda kuiona CHADEMA mpya
Ni Yeyeeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu ahsantee
❤❤❤❤❤❤❤ raha sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
Wapi sugu
Hongera sanaaaaaa lissu
Ongera ongera ongera
Daaaaa chama kipo salama
Lisu lema ni wamhimu sana kwenye ufalme wako
Mwisho wa machawa na wala rushwa ndio huu
Wanaume hehe Hongereni sana
Mamba ameshimba✌️✌️✌️✌️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
😂😂😂😂😂😂😂 raha sana
SHIKAMOOM LEMA
Hiii sas ndio democrasia ya kwel na ccm wajifunze hapo kama uchaguz wa nchi hii ungekua unafanyika hivi kwa uwaz, uhuru na haki ccm haingekuwepo madarakan leo lakin kumekua na uchaguz wa gizan ili muovu afanye maovu gizan ili yasionekane hadharan matokeo yake tuna viongoz wasiowajibika kwa wananch wao, wasiojali hata uhai wa mtu, wanaopigania maslah yao binafsi, rushwa na mambo mengine mengi
Wajumbe karibuni ngorongoro ngo,mbe 5 ni wazi
Lisu mi nakuelewaga sana ktk upambanaji wako hongelen sana
Mh MBOWE tunakuthamini na tutakuheshimu. Kubaliana na matokeo haya. Inough is enough. Let's start a new beginning brother.
IT IS TIME FOR NEW BLOOD. Remain party advisor please. NIELEWE BRO
Uraisi pia unamfaa sana huyu Giant
Imara sana
Nabubujikwa na machozi ya furaha
Wenje na team yako kubali matokeo chama kiendelee mbele🎉
Wajumbe wakiamua hakishindikani kitu
kama namuona Master wangu wa judo akifanya kazi yake
LEMA UNAFAA KUWA RAISI WA NCHI
Lisu, heche, lyenda lema nawakubali
🎉🎉🎉🎉
Ngoja ashindwe urais October anakimbilia Belgium hakuna kitu hapo siyo mwenzenu huyo wa Tanzania hamtumii akili
CCM KWISHA FITNA YAO
Umekubali walikuambia watu walikuambia hutopata kura mzee watu walishajua java yako
Hongera lisu
Hong era Trump wa Tanzania 😊
Nataka kadi
Ila lisu anakera😂😂😂😂
Kamugulusele ameshinda jaman
MUNGU ibariki Tanzania mbariki Tundu lisu na Heche na lema na wotewalio Fanya kazi kwa haki pamoja na watumishi wa wako
Kwaiyo wale ma bodyguard Bado wana endelea na ulinzi kwa mbowe au ndio basi tena kibarua kigumu kwa upande wao kwa sasa
wapi papaa yericko mutoto ya nguruwe
vita ya ninyi kwa ninyi ndiyo imeanza tim mbowe na tim lisu hakitakuwa rahisi sana mzee
Kaa Kwa kutlia vita ya nn Teena,Sasa vita unaend ccm
LEMA AWE KATIBU
Mgombea uraisi huyo
Nguruwe yeriko na paka ntobi
Ndugu usiwatukane ndiyo demokrasia, chama ni kimoja wajenge chama ❤❤🎉🎉
Sugu umekumbatia nyuki
Ccccm wanatamani kujinyonga
Tupate ushindani wa kweli hili tuamshe waliolala wananchi wapate maendeleo ya nchi yao
Muingie Gym sasa
😂😂
🎉🎉🎉🎉