Hongera hongera Chadema. Hiyo ndiyo Demokrasia halisi. CCM mhuuu! Hata kama mmemtaka Samia si mngemshimdanisha na mtu dhafu basi. Nyerere angekuwa hair angerudisha kadi take walahi
hongera sana bibi yangu maria Nyerere maana ww ni mama wataifa hili muombee kija wako tundu lissu awe mtu wa Haki awe mtu wa kuwajenga watu na vyama mbalimbali yote ikiwepo ccm wajifuze Haki kwa shadema Ameni bibi yangu maria miaka uliyo nayo 93 ni mishashe nakuomba kwa mungu upate miaka 1005
mama Maria ameamua kuwa mama wa Taifa badala ya mama wa ccm. ni aibu kuwaona akina Kikwete hata baada ya kustaafu urais bado wanaendelea kuvaa mashati ya kijani badala ya kuwa stateman
Ni kweli Mchungaji, hata wale madaktari waliokuwa wanamtibu walisema hatujawahi kumtibu mtu aliepigwa risasi nyingi hivi halafu akapona, Mimi pia naona Mungu ana kusudi lake
Hongera lissu kwa ushindi, tunahitaji kuona kazi nzuri.
Mama malia nyerere uko vzr hongera sana kwa kuwa mkweri
Asante bibi
Hakika huyu mama Mungu azidi kumpa miaka mingi zaidi ya hiyo aliyonayo. Mungu anahitaji watenda haki sana.
Tunashukuru mama wetu wataifa kusapoti chandema tuombe mungu atupe ushindi
Mungu azidi kukulinda mama Maria Nyerere kwa ukweli kuhusu uchaguzi kwa Chadema, Ccm wajifunze demosia kama Chadema
Namuombea maisha malefu adi abaki amembaliki lisu akichaguliwa uraisi
Mama mwema mpenda haki
AKSANTE mama MARIA Nyerere
Sawasawa kamanda pambana mwamba
Hongera hongera Chadema. Hiyo ndiyo Demokrasia halisi. CCM mhuuu! Hata kama mmemtaka Samia si mngemshimdanisha na mtu dhafu basi. Nyerere angekuwa hair angerudisha kadi take walahi
Uishi miaka mingi bibi yetu
hongera sana bibi yangu maria Nyerere maana ww ni mama wataifa hili muombee kija wako tundu lissu awe mtu wa Haki awe mtu wa kuwajenga watu na vyama mbalimbali yote ikiwepo ccm wajifuze Haki kwa shadema Ameni bibi yangu maria miaka uliyo nayo 93 ni mishashe nakuomba kwa mungu upate miaka 1005
We mwandishi unakeraga ongea alichi sema sio kububujika kama vile mama nyererer hajulikani
Mungu ni mwema
Bibi maria nyerere hongera ajuza wetu ni miaka 93 unayo kama sikosei,lakini Bado upo vizuri kimawazo
mama Maria ameamua kuwa mama wa Taifa badala ya mama wa ccm. ni aibu kuwaona akina Kikwete hata baada ya kustaafu urais bado wanaendelea kuvaa mashati ya kijani badala ya kuwa stateman
Amina ubarikiwe mama yetu
Mungu amlinde mama huyo ndiye mama wa taifa hili sio samia kumwita mama,samia ni rais sio mama.
Bibi anampenda Lissu kitambo kipindi cha Juwe aliendaga kulala kwao hivyo bibi anapenda watu wa haki Mungu ibariki Tz
MUNGU awe fimbo yako ktka utendaji wote,wa watanzania daima tetea Haki kemea maovu,na Amani kuidumisha.Hongrra Mheshimiwa TUNDU LISU ,Amen.
Mama sianajua
❤
naomba usimwite mwalimu nyerere huyo mwasisi wa uhuru kunahadhi yake anapaswa kuitwa
Unarefusha maneno yasiyo na umuhimu. Go straight to the point
Serikali imeshindwa kumpongeza lisu Kwa ushindi
Mbona unarudiarudia sana
Sawa
Unarudiarudia maneno nenda direct
Unajilamba lamba sna
Hatukosagi cha kusema kids liko wapi kumshukuru mama Maria,mama huyu ni mama wote.
Maelezo na porojo ni meeengi mno kabla ya kutupatia habari yenyewe.
Unatumalizia Bando kwa kurudia rudia maneno kama uandishi wenyewe ndio huo afadhali uache maana matmizi ya bando ni makubwa bila ya sababu.
Bando linaisha twende kwenye point kelele kibaooo 😂
Baada ya kueleza furaha ya mamake mzazi anaeleza furaha mamake makongoro ugonjwa wa radhi ndio huo
Unardia nini.
Hivi watanzania mnadhani kwanini tundu alinusurika! Uliwahi kusikia au kuona mtu amepona baada ya kupigwa risasi 2 tu!!?
Ni kweli Mchungaji, hata wale madaktari waliokuwa wanamtibu walisema hatujawahi kumtibu mtu aliepigwa risasi nyingi hivi halafu akapona, Mimi pia naona Mungu ana kusudi lake
Huyo ndo mwenye ccm Yao, Hawa wengine wenye fisiem
Wewe mwenyewe yupo alivunja baraza la wazee na kuwaambia wana Kiherehere.
Wewe muongo, mbona asionekane mwenyewe akizungumza hayo unayomsemea? Acha kutumalizia salio, kanjanja wewe
wewe hujui kitu kinaitwa X na hiyo ni account ya madaraka nyerere.