@@mbwanamathias9 Uliza unachotaka kufahamu na watu tutakujuza bila kuchukua hata senti 5. Kwanza, kununua Coin YOYOTE ile hamna shida- unaweza kununua hata kwa kutumia Kadi ya Benki lakini tatizo kwa TZ lipo kwenye kuuza na hapo ndipo utalazimika kutumia P2P.
Kaka hongera kwa kutoa mwanga,wafundishe pia kuhusu:- 1.Bear run 2.Bull run 3.na Halving cycles Mtu anaweza uza nyumba akanunua ikiwa $160000,anashangaa miezi nane mbele inakua $80000,na inakaa chini ya hapo zaidi ya miaka 2😂😅😅
Na ukiona video kama hii imekuja na watu wanakuuliza kuhusu bitcoin jua ndo mwanzo wa kushuka kwa bei, so kuwa makini inabidi ujifunze vizuri ndo uelewe.
The video content is carefully crafted!I'm a little confused:I have the address of a wavefield chain that contains usdt, and I have the recovery phrase.:(laugh nominee buzz game expose field wash shoe world sadness bicycle grain).:How should I transfer them to Binan?
@@yusuphkilamuhama Sijasema sio safe lakini sio direct kama ilivyo kununua ambapo unaweza kutumia hata kadi ya benki wakati kuuza kupitia P2P sio tu inategemea payment processor inayotumika na muuzaji lakini pia credibility ya Mnunuzi!
Tusaidie kutoa video Nyingine ya Maelezo kuhusu kununua Bitcoin toka Binance kwenda Blockchain usijali kuhusu Makato tutapambana nayo wewe tueleze unafanyaje ili iende Blockchain na naonaje kama nimeshanunua?!
Am kenyan, started trading 9 yrs ago, i was below 20yrs. I can assure yu, crypto is real, and here in Ke we embrace it, we trade, we win and loose. God's gd
@@ChimakekeViewshoursagoyeah nasupport mtu uliemtaja ni noma sana ila kuna video kafuta cjui kwann mana mm nilimwambia dogo wangu afuatilie lkn hazipo katika ile series ya zamani cjui kwann ila akaze aschoke mana zile video zinapoanzia sio basic sasa labda basic aulizie kwengine halafu kwa jimmy akachukue mwendelezo
Ni cryptocurrency bora kwa sababu ni stabe coin inayokuja kuwa tishio kwa dunia nenda ai kwa msaada zaidi binafsi nina mining pi coin mwaka huu Quarter 1 2025 wana open minet karibu sana mwisho wa grace period ni 31/01/2025
BITCOIN BEI DUNIANI KOTE BEI ILE ILE ILA HUWEZI NUNUA BITCOIN KM HAUNA USDT, SASA SHIDA INAKUJA EXCHANGE RATE NCHI NA NCHI, KWA TANZANIA BEI YA DOLA BOT INAWEZA KUWA 2400 MFANO ILA UKIENDA BINANCE P2P USDT 1 SAWA NA 2700😢
Wakenya ni wakola, na iyo siobishara ni kamali ya hatari sana niwape pole watakao thubutu uo mchezo ni bola pesa yako ukawekeza kwenye biashara ambazo unaziona kwa macho.
Asa ww una elim yoyote ukakosea network baada kuweka ya BNB ww umeweka ya solana halaf ikipotea unalalamik unasema kamari unatakiw upate elimu kwanz uckatishe watu tamaa
@ usidanganye watu serikali yetu sio wajinga kiasi kwamba ishindwe kuruhusu kwa ufupi akuna maskani au mtu wa kipato cha chini mwenye kufanya biashara iyo zaidi ya watu wenye kipato kikubwa ivyo ata wanavyopoteza uwezi kuskia kulalamika ni bora ukagamasisha watu wawekeze kwenye kilimo ama ufugaji kuliko kucheza iyo kamali yakuwatajirisha watu wa magharibi.
Tatizo ujinga ndio unaokusumbua mpaka unatoa maneno ya kipuuzi kwa Bongo zozo ambae kupitia moyo wake wa upendo anatoa elimu bure na mimi imenisaidia kwa siku naingiza elfu50 na kuendelea, bakia hivyo na ujinga wako
Tunaotamani kuelewa lakini atuelewi gonga like hapa 😅😅
😂😂😂
🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂
"Elimu ya bongo imekosa plan ya pili, kosa la pili hatufundishwi kuwa matajiri." - Mh. Nikki wa Pili mkuu wa Wilaya ya Kibaha
Ingia UA-cam jifunze kuhusu Bitcoin utaelewa2
@@isaacissasultan sahii kabisa
Shukrani
bongo zozo nakufutilia kutoka mombasa Kenya...ipo siku tutonana hopefully ❤
Kwajili safi kabisa
saf sana
ahsante sana kwa elimu hii mjomba nitapambana nipate kuijua zaidi
Kwelii unahitaji au laah kuna gharama ya kujifunza blockchain
Nichek
@@fordbillions ww pia ni mentor kama mm
hizo gharama za kujifunza bitcoin ni kiasi gani?
@@mbwanamathias9 Uliza unachotaka kufahamu na watu tutakujuza bila kuchukua hata senti 5. Kwanza, kununua Coin YOYOTE ile hamna shida- unaweza kununua hata kwa kutumia Kadi ya Benki lakini tatizo kwa TZ lipo kwenye kuuza na hapo ndipo utalazimika kutumia P2P.
Asante kaka
Tuoneshe vile una ingia ndani na kuwaka pesa na kutowa 😊
Nimefurahi BONGO ZOZO kupita katika hoja... Mungu akulipe afya zaidi
bongo zozo uko sahihi sisi watanzania tuko nyuma sana hata mtandaoni masomo yapo ya kutosha tatizo ni sisi
na umbea tutafuatilia muda gani
SWALA LA PI NETWORK UNALIZUNGUMZIAJE BONGO ZOZO?
Pi Network watu watakuja kujilaumu sana kwa sababu Wabongo tunataka mafanikio ya haraka; na matokeo yake WENGI wameishia njiani.
@@nassoroc kiaje..maana tangu 2019 watu tunapambania kombe...je hio miaka haifai kufanikiwa??? Had useme hivo?
@@samwelymganule7138 endelea kuchimba..usitake ushaur sana wabongo hawakawii kukatisha watu tamaa
@@dechardavid2555 Zingatia "Matokeo yake WENGI WAMEISHIA NJIANI"!
kaka kwaelimu kama hizi unasaidia sana keep it up mimi ni fans wako kitambo sana
Bitcoin nitishio kwenye banks zetu, maana watakosa wateja , ni Bora mtu a trade kwenye wallet kuliko kupeleka pesa bank
Hio kitu ya kuwek bank ucfany kaka😂
@@BahatiRajab-gi8kxbank ni hasara tuu
Nakufatilia sana....mimi niko na Project ya Pi network tunasubir open mainnet
bado navuna pi mpaka leo
@ChrissGameTZ Bila kuchoka tunaiman Neema sasa haipo mbali
Kaka hongera kwa kutoa mwanga,wafundishe pia kuhusu:-
1.Bear run 2.Bull run 3.na Halving cycles
Mtu anaweza uza nyumba akanunua ikiwa $160000,anashangaa miezi nane mbele inakua $80000,na inakaa chini ya hapo zaidi ya miaka 2😂😅😅
Nilijalibu hizo biashara nikasema hapa hizi biashara niwaachie wengine2 mm zitanitia hasara zaidi nikaacha😂😂
Tafuta maarifa Kwa za ndyo uwekeze
Na ukiona video kama hii imekuja na watu wanakuuliza kuhusu bitcoin jua ndo mwanzo wa kushuka kwa bei, so kuwa makini inabidi ujifunze vizuri ndo uelewe.
Kaka kuna hii inaitwa Pi network unaifahamu vp
Ukweli mtupu
Sawa Bongozozo na mm nimeanza
Naomba kufahamu nanunuje nikiwa Tanzania nahitaji sana
The video content is carefully crafted!I'm a little confused:I have the address of a wavefield chain that contains usdt, and I have the recovery phrase.:(laugh nominee buzz game expose field wash shoe world sadness bicycle grain).:How should I transfer them to Binan?
Kununua sio issue kabisa; unaweza kutumia hata kwa Kadi ya Benki lakini issue ni kwenye kuuza na hapo ndipo utatakiwa kutumia P2P.
Njia zipo safe sana niwewe tu
@@yusuphkilamuhama Sijasema sio safe lakini sio direct kama ilivyo kununua ambapo unaweza kutumia hata kadi ya benki wakati kuuza kupitia P2P sio tu inategemea payment processor inayotumika na muuzaji lakini pia credibility ya Mnunuzi!
Bongozozo samahani, nilikuwa naomba video nyingine kwaniaba ya wote kuhusu bitcoin ukisha nunua unaiingizaje sokoni na kadhalika??🙏🙏
LOCAL BITCOIN IMEFUNGWA KWA SASA?
Uchakudangany sema cjui kuhuc hay mambo😂😂😂
LocalBitcoin Imefungwa mda sana..
@@BadmanTutorials47 kweny exchange
@@BahatiRajab-gi8kx kauliza LocalBitcoin website tulikua tunatumia kununua BTC kabla ya P2P za Binance na exchange zingine ila kwa sasa imeshafungwa
Yup waliifunga siku nyingi ilakama bado una Bitcoin unaweza toa
Vip kuhusu cryptocurrency trading by Royal Q ni real pia au watu wanatapeliwa hapa town ?
Shukulan sana naomba endelea kutufundsha Zaid kaka please 🙏
Kaka upo serious kuna darasa la kujifunz blockchain ila cio free
UA-cam kuna kila kitu chukua kalamu daftar search unachokitaka
Rahisi naweza ila ni kama kununua kiwanja uwezi uza hapo hapo mpaka miaka 5 au 10
❤❤❤
😅😅😅😅 et HASARA NI ADA YA SHULE KWELI KABISA
Hot 🔥
Au sio twende kenya😂😂
Tusaidie kutoa video Nyingine ya Maelezo kuhusu kununua Bitcoin toka Binance kwenda Blockchain usijali kuhusu Makato tutapambana nayo wewe tueleze unafanyaje ili iende Blockchain na naonaje kama nimeshanunua?!
sparrow wallet ina usalama zaidi
Kamwene mnyalukolo ....i rembember the black dog ukiwa pale iringa maeneo ya lugalo na wilolesi jina nimesaau nitamuuliza emma au luka au maiko.
Bellardi
@BongoZozo yeah sure kabisa kabisa nimekumbuka siku za zamani tulikuwa watoto sizani kama unanikumbuka mim
@BongoZozo natumaini alikufa akiwa mzee Sana bellard aliwa mkali ila mchangamfu
Kaka nahitaji kununua bitcoin kutoka kwako naweza nikawa salama zaidi, please naomba mwongozo wako shemeji😅@@BongoZozo
Am kenyan, started trading 9 yrs ago, i was below 20yrs. I can assure yu, crypto is real, and here in Ke we embrace it, we trade, we win and loose. God's gd
Kabla hamja jaribu kwanza mnahitaji mpewe elimu ya blockchain 🎉 na pia elimu cio bure 😢 kuna watu wanafundisha ukihitaji njoo ujifunze ila Cio free
Ushauri wa bure dont even try to think do this at home
Eti wudesi be🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama mtu yupo tayari kuanza kutumia bitcoin unaweza kumuuzia akiwa anaendelea kujifunza?
Watz kibao wanafundisha crypto UA-cam j
Minishanunua
Umenunua kwa nani naomba nielekeze na mm
@mariammanyama6390 situna mwalimu kabisa tunamdanae
@@EddySempay-qf1on unaweza kuniunganisha nae maana hata mm nataka kuanza kununua hebu nipe maelezo ndugu yangu usinichoke tafadhari
Ingia UA-cam channel inaitwa jimmyjah angalia video zake utanishukuru
@@ChimakekeViewshoursagoyeah nasupport mtu uliemtaja ni noma sana ila kuna video kafuta cjui kwann mana mm nilimwambia dogo wangu afuatilie lkn hazipo katika ile series ya zamani cjui kwann ila akaze aschoke mana zile video zinapoanzia sio basic sasa labda basic aulizie kwengine halafu kwa jimmy akachukue mwendelezo
Waambie waje Kenya tuwafundishe ujanja😂
Pi network ni kama bitcoin?
Pi ni kama upatu haina lolote
Ni cryptocurrency bora kwa sababu ni stabe coin inayokuja kuwa tishio kwa dunia nenda ai kwa msaada zaidi binafsi nina mining pi coin mwaka huu Quarter 1 2025 wana open minet karibu sana mwisho wa grace period ni 31/01/2025
Mh@@davidmdiason4621
Kk nitumie namba zako
lkn sparrow ni kwa desktop tu
Kuna Trust wallet
Bwana bongo zozo, ingefaa zaidi kama ungefungua group whatsap ili ukawa unatoa mentorship direct kwa watu itasaidia zaid
Bitcoin……. Nah Bongo
mm hii biashara nafanya sana tena ina faida kubwa sahivi ninafika mwaka wa sita nipo katka game
Naomba namba yako
Naomba Mawasiliano
Niko nawewe mpaka nielewe
Broo kuna darasa la blockchain ila Cio free
@BahatiRajab-gi8kx shingapi kujifunza
Jamani kwani hicho anchor ongelea nn
Bongo Zozo kwan hizo wallet za apstore hamna za wezi maana zipo nyingi mpaka zinatisha
Zipo za scam ila kikubw uwe na elimu ya blockchain
Binance okx ziko poa
Tatizo viongozi unamweka profesa kwenye uongozi ujue asichokijua yeye ni "illegal "
BITCOIN BEI DUNIANI KOTE BEI ILE ILE ILA HUWEZI NUNUA BITCOIN KM HAUNA USDT, SASA SHIDA INAKUJA EXCHANGE RATE NCHI NA NCHI, KWA TANZANIA BEI YA DOLA BOT INAWEZA KUWA 2400 MFANO ILA UKIENDA BINANCE P2P USDT 1 SAWA NA 2700😢
vp kuhusu pi network
Kununua Bitcoin ni rahisi lakini wizi mkubwa uko katika kuizalisha (investment)
Make sure uwe na elimu kwanz
Bongo zozo have u bought XRP?
Kidogo. XRP imewahi kuniumiza mara mbili. It seems to always pump and dump
@@BongoZozo what about Pi, i have seen people mining it for the past 3 to 4 years. what do u make of it ?
@@BongoZozo a few sources online say itaweza kufika hata 15 t 20 usd come president trump inauguration
Ambao hatuwez kwenda kenya inabid tununue tu kwa hasara
ila unayo elimu kaka ya blockchain 🎉
Don't buy crypto especially Bitcoin at this time
Ondoa waziri wa fedha na Gavana wa BOT wana mawazo ya miaka ya 60 ya tai ya Bendera ndio uzalendo inauzi sana.
Crypto currency si fedha halisi. Ni utapeli tu.
😂😂😂😂😂
Endelea kujiijaza ujinga ivyo ivyo wakati wabongo kibao tunaendelea kupiga mpunga
@@gracenbarnes5254muache akate tamaa peke yake 😂😂😂
Ata fedha halisi ni utapeli
Fedha halisi ni ipi ?
Wudes be!
Hapo kwenye kununua sasa ndiyo kimbembe bongo tuko nyuma sana kama tako
Sio kwamba tuko nyuma wanakulinda usipate hasara iyo ni Kamali yenye risk kubwa sana kupoteza ni rahisi kuliko kupata
kikubwa waijue blockchain Kwanz halaf hayo mengine yatafata na cio kukurupuka@@Skomi-0nedayyes
Natamani sana hii kitu
Karibu nikufundishe
Wakenya ni wakola, na iyo siobishara ni kamali ya hatari sana niwape pole watakao thubutu uo mchezo ni bola pesa yako ukawekeza kwenye biashara ambazo unaziona kwa macho.
Asa ww una elim yoyote ukakosea network baada kuweka ya BNB ww umeweka ya solana halaf ikipotea unalalamik unasema kamari unatakiw upate elimu kwanz uckatishe watu tamaa
@ usidanganye watu serikali yetu sio wajinga kiasi kwamba ishindwe kuruhusu kwa ufupi akuna maskani au mtu wa kipato cha chini mwenye kufanya biashara iyo zaidi ya watu wenye kipato kikubwa ivyo ata wanavyopoteza uwezi kuskia kulalamika ni bora ukagamasisha watu wawekeze kwenye kilimo ama ufugaji kuliko kucheza iyo kamali yakuwatajirisha watu wa magharibi.
@@Skomi-0nedayyes Subir Bullrun ipite halaf utajilaumu kama yule alietumia bitcoin 10000 kununulia pizza
Hasara ni ada ya shule 😂😂😂😂
Yeah coz C hamtak kujifunz blockchain
Mimi nataka kununua kwako
Yeye cio wakala kama unahitaji nenda binance
Bongo zozo huoni kama utajiri wako unge kuwa zaidi kama ungeenda kuishi kenya Tanzania inazidi kushuka nasio kupanda kiuchumi 😢
Bongo zozo tengeneza app rununue kwako tanzania ni watu wa matokeo😂
mimi nunui nachimba
Una mining kupitia app gan mzee
@BahatiRajab-gi8kx zipo nyingi ni maelekezo t2 ila mm naona forex tred ni crypto mining bora crypto mining
Halaf kuna wajinga wanasema Tanzania imeendelea kuliko kenya. Wazungu wamechelewa kuondoka kenya kwaiyo wamejenga Nairobi na kuacha teknologia
HUO UTAPERI WAKE NA LIKIDEVU KM HOSAMA, KWENDA ZAKO HUKOOOO JIZI MKUBWA
Ww una elimu elon musk katokea kweny Cryptocurrencies
Tatizo ujinga ndio unaokusumbua mpaka unatoa maneno ya kipuuzi kwa Bongo zozo ambae kupitia moyo wake wa upendo anatoa elimu bure na mimi imenisaidia kwa siku naingiza elfu50 na kuendelea, bakia hivyo na ujinga wako
Hujui
Ww
Kama hujui kaa Kimya Bro,watu wako Sayari Nyingine