MANENO YA NANDY YATAKUTOA MACHOZI AELEZEA ALIVYOPATA PESA KUMNUNULIA GARI BILLNASS
Вставка
- Опубліковано 11 жов 2024
- Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
MANENO YA NANDY YATAKUTOA MACHOZI AELEZEA ALIVYOPATA PESA KUMNUNULIA GARI BILLNASS
#Bonatv #Exclusive
#diamondplatinumz #harmonize #nandy #marioo #zuchu #alikiba #rayvanny
#yangasc #simbasc #ligikuunbc #mayele #alikamwe #ahmedyally #hashimuibwe #wasafitv #live #millardayo #ayotv #entertainment #soundcloud #spotify #podcast #vlog #music #newmusic #1ontrending
Nandy ni mwanamke kweli kweli.Nenga ukimchanganya huyu utajuta maishani.Mpendane daima nyie wote kwa pamoja
Safi Sana we katoto nandi mnapendeza mno na mmeo Mungu was Mbinguni awakumbatie💋💋
nandy nakupenda San mungu awape maisha maref🙏🙏💋💕🌹
They are so beutiful together❤️
Naipenda sana hii familiya.Mungu awalinde.
nandi nakubari sana nyimbo zako katika wasanii wakike Tanzania wakike we wakwaza
Nandy ndoa yenu inanivutia sana napenda mno mungu azidi kuwa pamoja nanyi and you are very my role model kwa wanawake wengine
Nandy hongera sana Mungu awabarki na familia yako
Jmn mbaka raha wanapendana mno Kah ❤
Billnas ukimdhulumu nandi utapata laana ❤
xema hii couple duuh!...❤❤❤💯💯
Kweli mwezi huu wa 4 ni wa Nengaaa🥰
Adi rahaa😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️
Munajipendezea sana nice
Mungu awatunze sana Nenga family.
Shukran dada
God bless u more all
Nawapenda sana kiukweli from USA 🇺🇸 ❤
Upo buguruni unasema USA wabongo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@lindambilinyi6253 Ata mim nmejikuta nacheka Sana Jmn USA ya tandale hiyo 🤣🤣🤣
Hahaha
Wabongo awaamini wasamee
@@khadijerabdallah8703 wah mko na vituko haki na Mimi niko washton DC uui mbavu zangu jamani
SAFII SAANA NANDY DUMU KWENYE NDOWQ YAKO BILL. ANAKUPENDA SAANA ONGEZENI WATOTO
Usimuache mum wak nand❤
Una juwa mapenzi mu toto wakipare mungu azidi kuku bariki na roho yahupendo azidi kuku zidishiyamahali ulipo towa kwamoyo mwema billineng una bahati mushukuru mungu tena nakuhamini usituhangushe lishike penzi lako vizuri lili nde
Happy birthday live long
Safii sana Nandy❤
❤❤❤❤ nawapendaaaaa sanaaaaa jamani
Nandy billnas❤❤❤
Hongera saaaaaana ❤
Mapenzi ndohaya wengine tunaigiza tu alafu filamu yenyewe aifiki mwisho
😂😂😂😂😂
Kbsa 🤣🤣🤣
❤
Nakupenda Sana dada yangu
Yaanii mimii nimelewaa sana naonaa hajamnunuliaa na helaa yakee alichukuaa helaaa ya mumewee kamnunuliaa labdaa turudii kusikilizaa
Kwan bona mnashindwa kuweka saut moja kwa moja beat za ajabuu mnakera bnh khaa
❤❤❤❤❤
Nilichogundua nandy anajali furaha ya mume wake saaana
Hayo ndio mapenzi ya kwelii
Sana MUNGU ambariki
❤❤❤same
Wadada wakipenda wanajimaliza kabisa nenga umeokota dodo eti kuna mdada mwingine huko nje mwenye jeuri kama ya ndani nauliza kwa sauti ya upole 😂😂
Hakuna
@@lettysalala2504 hahahah at nn kwani uko nae saizoo?
😂😂😂😂😂Unamtaka
Uko sahihi mpende mumeo unapata thawabu kwa mungu
@@rukiaiddyyahaya9506 aaaa hebu mtongoze!!! hahahahaaaa
Jamani wanawake tuache kuwazadia,wanaume zetu VEST NA BOKSA HUU NI MUDA,WA KUPANDA DARAJA,WALAO TUJIBANE TUNUNUE jins na,tshrt na,raba atokelezee amependeza unaona Nand katupa somo jipya
Safi sana nandy
Nandy ni mmoja wa wasani wamechipanga kifamlia .Jameni ambia Diah amuoe Zuchuuu
Nawapenda sana jaman
Natamani ata niwaone live
Hadi laya kupendwa jamaan.
Nawapenda sana ❤ nifikisheni hata 200 subscribers ❤
Hatutaki 😆😆😆🏃♂️🏃♂️
Hapa aunt hata afanye nn hawezi ingiza limguu lake kaza mapenzi nandi endelea hivyo hivyo jizi lisikuibie ww Ni chuma Cha reli tunakuombea
Acheni kuwekaa beti
Sasa utamrudishiaje na shushi hujauza hapo kurudishiana basi
Kwakweri unampenda mume wako