😢😢😢😢nakumbuka wakati nilikuwa naamka na kuomba na wordhip songs wakati nilikuwa nahitaji mungu kwa maisha yangu ..mungu alinitendea ..neno moja 😢😢😢😢😢Amen
Amen God Bless You abundantly Pastor and the team. @Diaspora nawapenda sana .Hiki kibao ni moto sana. I am blessed and I am praying for your ministry. Amen
Wakati unaimba,Acha kutazamia wanadamu eti wanakuangalia ukiimba vizuri...umtazamie Mungu tu. Maana bibilia inatueleza atakae sifiwa na wanadamu, tayari amepata jawabu yake
Very powerful I like listening to your songs each morning as I drive my children to school,it's inspires my soul,may God raise you kila siku,I promise when i will fly back home will purpose to visit your church,(moi's bridge)
Asante mungu kwa urejesho wa kazi na ndoa natamka pia urejesho leo 8th of October 2024 kwa yeyote aliye na hitaji baba sema tu neno moja na moyo wa mtu ukapate kupona 🙏 🙏
you are going to be international pastor bro kimwanga round hii tumepata pastor not just pastor but also somebody how is important to life of youth l love bro keep going going
Wow Pastor Collins ft Esau Tosh, God's lifting has coming on your way, it is your time to arise and shine. Isaiah 60.❤❤🎉
Amen
😢😢😢😢nakumbuka wakati nilikuwa naamka na kuomba na wordhip songs wakati nilikuwa nahitaji mungu kwa maisha yangu ..mungu alinitendea ..neno moja 😢😢😢😢😢Amen
Amen
Amen
AMEN AMEN POWERFUL ❤❤
Hii ni moto
Hello bro kumbe uko hii team,so powerful,i see my classmate that with a white shirt🙏👍
Sema neno moja bwana na moyo itapona,I declare my marriage is going be healed in Jesus name.I trust you Lord
Mungu tukumbuke leo na my family. Tuinue kimaisha Yesu tufulahie. Nduta
Nabarikiwa sana na hizi nyimbo mungu awabariki kwa kazi ya mungu
Ahsante papa , tumeupokea huu wimbo kwa moyo mkunjufu..Acha Mungu atukumbuke tunapoendelea kubarikiwa
Amen
Nawapenda YESU wambinguni awabaliki 🙏🙏🙏😢🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Glory be to God
Ee Mungu sema neno moja tu na roho yangu itapina😢
Mungu sema neno kwa maisha yangu na watoto wangu.
Mungu wangu nakupenda sana.sema tu neno leo nifanikiwe. Lucy nduta
Amen God Bless You abundantly Pastor and the team. @Diaspora nawapenda sana .Hiki kibao ni moto sana. I am blessed and I am praying for your ministry. Amen
Amen
Even me pastor be blessed and your team Iam now watching your favourite songs n Pauline unanibariki Sana n nyimbo zako amina
Wakati unaimba,Acha kutazamia wanadamu eti wanakuangalia ukiimba vizuri...umtazamie Mungu tu. Maana bibilia inatueleza atakae sifiwa na wanadamu, tayari amepata jawabu yake
That's is power full worship songs 🙏🙏
Amen amen 🙏 🙏 🙏 barikiwa sana Esau na wengine napenda sana hizi nyimbo zako MUNGU akuinue kiwango kingine
May God bless you more, the songs are powerful!
Maisha yangu nimekutegemea wewe, Glory be to God 🙏🙏🙏🙏
Amen
Naomba mungu aniwezeshe nisimame na huduma yako ya kuabudu............nyimbo zako uinua ibada dani yangu
God bless you and your team 🙏
Neno moja tu itabadilisha maisha yangu Bwana nakutumainia.
The worship is really touching ❤
Be blessed man of God
Seeing it right now...very touching... God bless you Pastor
Maisha yangu yote nakutengemea wewe bwana amen amen barikiwa sana mtumishi wa mungu wimbo safi sana amen amen
Mungu naomba unifungilie baraka zako
Umebariki moyo wangu Mungu azidi kukuinua
Very very powerful song s may God bless you all plus your team.
thank you for @mention Bishop Karanja @3:10
Amen
😭😭😭😭😭nikumbuke yesu wangu
Naye banange pr Collins enyimbazo zisumulura obulambu bwange God bless you my dear
Muumba wa mbingu na nchi awabariki sana zaidi sana . Mmekua wa baraka sana kwetu.
Amen
Mungu akubariki endelea na huduma hii ya nyimbo unabariki wengi kwani nyimbo zako zina ujumbe Asante sana Mungu akubariki
Amen
Amen pastor😢😢😢 wimbo umeniguza
Very powerful I like listening to your songs each morning as I drive my children to school,it's inspires my soul,may God raise you kila siku,I promise when i will fly back home will purpose to visit your church,(moi's bridge)
Welcome
Thenkyou so much pastor Collins thise is so powerful am blessed be blessed too🎉
Sema neno moja bwana na moyo wangu hutapona .Amen😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏
So powerful may God bless u all
Be blessed bro.
Amen my God bless you man of God and your team nyimbo zako zinan bariki.. mungu n nguze tena sikia maombi yangu mungu.
Amen
Inapendeza machoni Kwa Bwana,Mungu wambinguni awabariki.
Nikumbuke bwana😢 naomba 🙏🙏🙏🙏
New subscriber hongereni sana
It is nice to worship God thanks man of God for touching worship
Amen
You are doing a good job pastor. More grace sir
The music clip had been a blessing to me at this hour I have lost my sleep...thanks pastor collins khisa
Nikumbuke bwana pamoja na familia yangu pamoja na rafiki yangu
Barikiwa bro
be blessed brother
Remember me Lord
May lord bless you abudantly pastor .Am glad to hear ur worshp songs 🎉
Sema Kwa nyumba inchi ya Kenya imarisha uchumi wa inchi yetu na jina lako limbarikiwe litukuzwe
Asante mungu kwa urejesho wa kazi na ndoa natamka pia urejesho leo 8th of October 2024 kwa yeyote aliye na hitaji baba sema tu neno moja na moyo wa mtu ukapate kupona 🙏 🙏
Hongera pastor pamoja na team Yako Kwa uimbaji mnzuri hakika,tunaimarika katika imani
Mungu,haendelee,kuwainua,sana,na,hulinzi,wake,huwalinde❤❤
Glory to God,maisha yangu bwana yesu nimekutegemea wewe.
Mungu akubariki Sana mtumishi wa mungu nyimbo zako zinanitia moyo sana.
Amen,baba sema neno moja la baraka.
Kumbuka familia yangu ee bwana naomba
Maisha yangu Bwana Yesu nimekutegemea wewe🙏🙏
Unanitia moyo wakati ambao nimepungukiwa na Imani and make me to be strong again.
Ameeen ooh hallelujah 🤲🤲🤲😭😭😭 Asante Kwa wimbo hu mbingu zizidi kunena mema juu ya maisha Yako na wenzako Kwa ujumla be blessed 🙏🙏
Sema neno na moyo wangu utapona
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah neno Moja tu baba libadilishe historia yangu
Sema neno juu yangu Bwana🧎♀️➡️🧎♀️➡️🧎♀️➡️
Your worship has become part of me.soul lifting..
Amen
Nikumbuke lion of Juda. Jesus of Nazareth..mungu wa YAIRO..NAPOKEA NEEMA JUU NEEMA..NAENDA KUONGEZEKA WINGI NA UTELE 2024..WATCHING FROM SAUDI 🇸🇦
Barikiweni sanaa
emeni🙏 mungu awande mema
Mungu awabariki watumishi wa mungu aki
ameni mungu awatende mema🙏🙏
Nashukuru kwa wimbo huu maana umenibariki
Alleluia,soyez tres benis freres et soeurs.Pastor, remain blessed and My God continue watching on u
Am blessed men of God.more blessings 👏
Mungu akupe kibali chakueneza injili ya yesu christo, iam feeling to blessed with your song
Amen
God bless you pastor and your team be blessed
Sema neno.....moja tu....moyo wangu upone🎻🎺🎧🏇🏿
Mungu kwanza ndipoza tumfwate
Muzindi.kumlilia.mungu.azindi.kuwaenua.zaidi.na.muwe.waimini.kwa.mungu.iliawinue.zaidii.waibaji.wakiro
Very powerful worship
Amen 🙏, God bless you pastor colins, kupitia kw hii wimbo Mungu akumbuke my daughter ameumia vya kutosha juu y tumbo, I believe Jesus is the healer 🙏
Indeed Jesus is the healer and it will be well
😢all wil be well wth you,kip on praying and God as the healer listens ur cry!!! B healed
Mungu WA Amani awabariki
Waoh am really touched 🥲Mungu nibariki niwe Baraka kwa hi ministry
Mungu wa miungu na wabariki sana man of God
Amen
God bless you man of God 🙏🙏🙏
Hallelujah hallelujah
Amen
Na Mwenyezi Mungu kanikumbuke napopitia mates.Barikiwa sana mtumishi wa Mungu alive hai.
Amen
Be bless man of God
you are going to be international pastor bro kimwanga round hii tumepata pastor not just pastor but also somebody how is important to life of youth l love bro keep going going
Amen Amen
Nikumbuke bwana ,bwana unikumbuke
Sure ,maishani mwetu tumtengemee
❤ Good
Baraka tele, really blessed by the worships
Very nice song.ameen.
Pastor u really Bless my heart.. God bless you abundantly
Me uworship daily na hizi nyimbo na ninabarikiwa sana
U're moving to another level,l can see Esau there, good job 🎉🎉🎉
Very powerful God bless u youth
Jehovah akupeleke viwango mtumishi
Amen
Barikiwa sana Pastor
Thank you Jesus. Glory be to God.
Mungu akubariki mtumishi and the entire team you really bless me
Amina
Yesu mwanzo wa huduma...shikilia huyu mtumishi....😭😭😭
God I need you more than anything,,, I bless your name God,,🙏🙌🙏🙌🏻🙏
Amen may God almighty bless you abundantly
Amen amen thank God 🙏🙏🙏🙏👏