Ng'wana Kang'wa - Merina Official Video 2023.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 94

  • @AminaAndrea-uz1yv
    @AminaAndrea-uz1yv Рік тому +2

    Nakukubari sana musukuma 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @javonymusic2931
    @javonymusic2931 Рік тому +2

    Nipen like zang apa shabiki wa ntemi🔥🔥🔥

  • @sidashindaitv9844
    @sidashindaitv9844 Рік тому +4

    Kitu kikali mwamba ujumbe mzur

  • @makambamussa5209
    @makambamussa5209 Рік тому +1

    Lutema moja kazi nzuri sana

  • @Zackyjr10-nv1rr
    @Zackyjr10-nv1rr Рік тому +2

    Nice brother god song

  • @athumanmlenda6823
    @athumanmlenda6823 Рік тому +2

    Kama umeurudia zaidi ya mara mbili weka like japo moja

  • @djmusakasekesetz8126
    @djmusakasekesetz8126 Рік тому +4

    Tayari DJ MUSA KASEKESE MPANDA kafika kuchota Nyimbo mpya

  • @isramohamed-he3py
    @isramohamed-he3py Рік тому +2

    Mungu akusaidiye kak yangu❤️♥️❤️

  • @cosmasrobert2056
    @cosmasrobert2056 Рік тому +2

    Saf sana kunaujumbe ndan yake hongera sana kaka

  • @MagodiZeDonOfficial
    @MagodiZeDonOfficial Рік тому +3

    Makini ndugu yangu pamoja sana

  • @rooneyasilitv7939
    @rooneyasilitv7939 Рік тому +2

    Nakuelewa Sana Kiongozi

  • @donbeteofficial
    @donbeteofficial Рік тому +5

    Msanii pendwa wa nyimbo za asili anaye imba na siyo kupiga makelele🔥🔥🔥🔥🔥

  • @bongoswahilimax
    @bongoswahilimax Рік тому +1

    Kazi nzur🎉🎉🎉

  • @josephdomi9393
    @josephdomi9393 Рік тому +1

    Kwa huu wimbo umepiga sana inshort tyu niseme mwaka huu sioni wa kukufikia🔥🔥🔥🥂

  • @musasamwel5544
    @musasamwel5544 Рік тому +1

    Mlima wa asili aka boss wa btm afrika big one for the game of asili

  • @reginampigachai7645
    @reginampigachai7645 Рік тому +1

    Waoooooh nilisubiri Sana nyimbo mpya hongera sna mungu aendelee kukupigania

  • @Reuben658
    @Reuben658 Рік тому +1

    ❤ujumbe mzuri sana my frend nimeipenda sana

  • @ednawaziri5145
    @ednawaziri5145 Рік тому +3

    Hongera sanaa my brother 💕 nyimbo mzurisana nimeipenda nilikuwa naisubili kwa ham sana

  • @bigtimetz
    @bigtimetz Рік тому +3

    Nasubili kwa ham sana kichupa Cha merina nite Dj BIG TIME. Nakukubali sana mostone

  • @hembouteremla1568
    @hembouteremla1568 Рік тому +1

    Huja wahi kuniangusha kutoka. Da esalaam.. upo vzr sana. Nakuombea kwa Mungu akupe nguvu zayd uzid kufika mbari 🤝🙏🙏🙏🙏

  • @ZakayoHermanseba-do1yr
    @ZakayoHermanseba-do1yr Рік тому +2

    Nimeilewa sanaa hiyo nyimbo

  • @Dottohubert-gx3eu
    @Dottohubert-gx3eu Рік тому +1

    Kaz nzur

  • @LupondijePaulo
    @LupondijePaulo 10 місяців тому +1

    Umetisha kaka❤❤❤❤

  • @jafredkibira8958
    @jafredkibira8958 Рік тому +2

    Nimeuelewa sana huu wimbo una ujumbe mzur

  • @kakabeny8001
    @kakabeny8001 Рік тому +1

    Kazi nzuri 🔥🔥🔥🔥

  • @ImmanuelMayunga
    @ImmanuelMayunga Рік тому +1

    Every hit n full message tuu!!!... Owyaaa unajuaaa mwamba

  • @ireneJohn-vn1nq
    @ireneJohn-vn1nq Рік тому +1

    Halafu tunaomba kaka tuwekee hizo nyimbo tikitok tuzifanyie charge sawa kk❤

  • @malingomediaofficial
    @malingomediaofficial Рік тому +2

    Mwamba Huyu Hapa Sasa Sinaga Shaka Nae Mimi Good Music Good Video Nice Job

  • @athumanmlenda6823
    @athumanmlenda6823 Рік тому +1

    Bonge moja la nyimbo ng'wana yuri

  • @SalumShija-w9m
    @SalumShija-w9m Місяць тому

    Nimemc sana nyumbani kwenye ngoma zet za kisukuma 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @edwardpius1407
    @edwardpius1407 Рік тому +1

    Unanikosha sana kijana waksukuma

  • @salujohn7679
    @salujohn7679 Рік тому +1

    Nice work brother

  • @SistusMasota
    @SistusMasota Рік тому

    Kaiimba vizuri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅😅😅😅❤❤😊😊🎉

  • @amossollo1898
    @amossollo1898 Рік тому +1

    Dahh my always favorite traditional artist 💪 Meneja wako afanye utaratibu huu wimbo na biti hii unaweza kuimba na kina awilo longomba.. mutu ya Kongo ebu fanya Collable bana hata na msanii wa bongo flavour.. Kama kunaugumu tusaidiane kuwapata🔥🔥💪

  • @marymarco7138
    @marymarco7138 Рік тому +1

    Haya sasa akina Melina tumefikiwa

  • @J4UPro
    @J4UPro Рік тому +1

    Kazi ya motoooooo sana.
    Go go go my friend.

  • @azariapeter4137
    @azariapeter4137 Рік тому +1

    Bro mi nasubir tu collabo na kina diamond mana upo juu sana big up sana bro huu utakuwa my favorite song

  • @elkanamayala493
    @elkanamayala493 Рік тому +2

    Chuma cha moto saana mwamba

  • @KitindiMedia
    @KitindiMedia Рік тому +2

    Nice Brother Good Job

  • @issamatelephone8066
    @issamatelephone8066 Рік тому +1

    Safi bwana mdogo!!!

  • @ngoshaog1255
    @ngoshaog1255 Рік тому +1

    🔥🔥🔥

  • @Dottohubert-gx3eu
    @Dottohubert-gx3eu Рік тому +2

    Ntemi omabala nakubaliiiii kaka kazi nzur hapo ndio umeoneshaaa utofauti wako maana watu wanasema eti ww n nyimbo y sherehee 2 kumbe at nje ya kusherehesha upo vizuri penda sana nipo dar es salaam nazifuatilia Ngoma zako but nyumbani Tabora Nzega,Ndala penda San nyimbo zako kk maisha marefu sanaa ndugu yanguuu 2po pamoja

    • @massanja21
      @massanja21 Рік тому

      Sio watu wanasema we huonag kwan sema kuimba anajua sana

  • @SalimaKasanga
    @SalimaKasanga 7 місяців тому

    Hongera uendelehivyohivyo kutuwakilisha. Wasuuma

  • @rogetichuo4687
    @rogetichuo4687 Рік тому +1

    Kaka angu my Teacher pamoko sana

  • @mipandakali8236
    @mipandakali8236 Рік тому +2

    Asubuhi tumeamka na merina pa1 sana birthday boy!!

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  Рік тому +1

      Mtoto amekuja na zawadi kabisa 😂😂😂

    • @mipandakali8236
      @mipandakali8236 Рік тому

      @@ngwanakangwa mtoto na mibaraka yake hongera sana!!

  • @nkumbulwaleonard6891
    @nkumbulwaleonard6891 Рік тому +1

    bv

  • @LovelyTz
    @LovelyTz Рік тому +1

    Safiik kaka

  • @alphoncelaurent4680
    @alphoncelaurent4680 11 місяців тому +1

    kakA Ukimtoa Kisima & Gudegude Unafata ww Endelea kupambana mpaka ww uwe Moja

  • @LovelyTz
    @LovelyTz Рік тому +1

    So poa kaka hiii ngoma nomaaaaaar

  • @ireneJohn-vn1nq
    @ireneJohn-vn1nq Рік тому +1

    Haki ninampenda sana huyo msaani mungu ambaliki sana ajuwe hata mareshia kuna dada wakisukuma anamkubali sana

  • @sadickvevoofficial
    @sadickvevoofficial Рік тому +2

    Brother jitaid video iwe inatoa mwanga nzuri

  • @MigeraStudio
    @MigeraStudio Рік тому +3

    Nice kaka

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  Рік тому

      Pamoja sana kaka

    • @ireneJohn-vn1nq
      @ireneJohn-vn1nq Рік тому +1

      Kk juwa kuna mashabiki zako nje ya Africa na niwasukuma tunakukuba

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  Рік тому +1

      @@ireneJohn-vn1nq Nafurahi kufahamu hilo,nawashukuru sana.Wewe upo nchi Gani?

  • @khadijashaban-zr1uz
    @khadijashaban-zr1uz 6 місяців тому +1

    ✍️👏👏👏👏🇰🇪🇰🇪 niko KE

  • @jumamaganga5480
    @jumamaganga5480 Рік тому +1

    Ntemi pamoja

  • @SalimaKasanga
    @SalimaKasanga 7 місяців тому

    Hongera sanamsukuma

  • @ChalesClaudios
    @ChalesClaudios Рік тому +4

  • @athumanmlenda6823
    @athumanmlenda6823 Рік тому +1

    Kwamba shimo na gear

  • @kamswekekaseko46
    @kamswekekaseko46 Рік тому

    Tayari watoto wa Moro tawn tumeisikiliza

  • @yumbujackson869
    @yumbujackson869 Рік тому +1

    Pamoja sana Ntemi ombala

  • @athumanmlenda6823
    @athumanmlenda6823 Рік тому +1

    Melody imetulia

  • @deusgamaya7763
    @deusgamaya7763 Рік тому +1

    Unyama xan mtu etu

  • @kakinda1984
    @kakinda1984 Рік тому +2

    Ntemi one day ujifunze na kakingereza uwe unamix ili nyimbo zitambaee zaidi, your voice can sound good in every language big up ndugu yangu

    • @J4UPro
      @J4UPro Рік тому +1

      Siyo ajifunze mkuu, jamaa anajua sema hajaamuatu.

  • @ibrahimbaraka5262
    @ibrahimbaraka5262 Рік тому +1

    Ibra macomputar lyabukande kashafikap kuchukua nyimbo

  • @Edwardkabambas-ff7bz
    @Edwardkabambas-ff7bz Рік тому +2

    Tayali tupo na video ya merina

  • @MakulaStudios
    @MakulaStudios Рік тому +1

    💥💥💥

  • @jafaringussa7293
    @jafaringussa7293 2 місяці тому

    Natamani siku moja kukutana naww tunakusubil ulwila mpanda katavi by Jafar photographer

  • @amoskadoke3122
    @amoskadoke3122 Рік тому +1

    Pa1 mkuu message sent and derively

  • @HamisyiddyluzigaHamisyiddyluzi

    Hamisi

  • @khadijashaban-zr1uz
    @khadijashaban-zr1uz 6 місяців тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉💓💓👍

  • @khadijashaban-zr1uz
    @khadijashaban-zr1uz 6 місяців тому +1

    me mtoto wa SINGIDA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯🌟👎

  • @Amospius-r3y
    @Amospius-r3y 2 місяці тому

    ❤❤

  • @MashingaMayunga-s2j
    @MashingaMayunga-s2j 3 місяці тому

    🫡

  • @SistusMasota
    @SistusMasota Рік тому +1

    Kaiimba vizuri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅😅😅😅❤❤😊😊🎉

  • @RachelBlackbeauty-ez5rm
    @RachelBlackbeauty-ez5rm Рік тому +2

    🔥🔥🔥