MWALIMU MGENI ❤️ PART 27 muendelezo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 10 місяців тому +86

    Wapi team strong welaaaah 😂nko wapi wanaofatilia mwalimu mgeni🇸🇦🇰🇪💞💞💞💞n vip school fees zinawapelekaje 😂😂😂

  • @AmartonKingy
    @AmartonKingy 8 місяців тому +3

    ulifikiria sana baba j ndo ukact movie tamu sana napenda

  • @silviajuma5510
    @silviajuma5510 10 місяців тому +12

    Karibu Tena baba Joan huu mwaka mungu akuzidishie vipaji zaidi nawapenda sana ktk Kenya🇰🇪

  • @ALLANTOBY
    @ALLANTOBY 7 місяців тому +2

    M najifunza mengi kupitia hi kipindi cha mwalimu mgeni😂😂😂❤

  • @نورة-ذ3غ2ث
    @نورة-ذ3غ2ث 10 місяців тому +6

    Wau mwalimu mgeni amerudi karibuni sana nafurahia sana kurudi kwenu karibuni Tena nawapenda nyote

  • @CharityChemutai-ji8ld
    @CharityChemutai-ji8ld 4 місяці тому

    This guy pia ana act Kwa hyo kipindi ya baba yangu kipofu

  • @Hibaqabshir
    @Hibaqabshir 5 місяців тому

    Me I love 💕 patronize song because it's sweet ❤❤❤❤

  • @anethkidai1060
    @anethkidai1060 7 місяців тому

    Nimecheka sana za mwaka mpya walivyoitikia😅😅😅😅

  • @annann2953
    @annann2953 10 місяців тому +19

    Watching from Kenya.... ❤🎉Mapenzi tele❤

  • @mohamedmapigi8661
    @mohamedmapigi8661 6 місяців тому

    Nampenda bure mwalim mgeni na wanafunzi wake

  • @Frederick-x2v
    @Frederick-x2v 10 місяців тому +2

    UA-cam bila baba Joan na vipindi zako sio you tube, nafuatilia nikiwa hapa kenya nairobi🔥🔥🔥🔥💕💕💕💕💕💪💪💪💪💪kogore baba Joan na kukosi kyako💕💕.

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 10 місяців тому +4

    Uyo Vicky nimtihani kwakweli yani hutaki watu waelewane 😅 nishida tupu ongera mwalimu mugeni 🎉🎉🎉

  • @gracevicent6959
    @gracevicent6959 4 місяці тому

    Mwal mgeni nakupenda sanaaa mimi ninajua tangu Kanumba alivyofariki hakuna mwigizaji kumbe wewe unakipaji kama ya Kanumba Asante sana baba MUNGU akulinde

  • @SalimuMombwe
    @SalimuMombwe 5 місяців тому

    mwalimu magesa ana jua sana kuigiza

  • @wycliffeoonde3342
    @wycliffeoonde3342 6 місяців тому +1

    Mwalimu mgeni big up,,❤❤❤ likes zenu zikam

  • @GeoffreyOwino-v8u
    @GeoffreyOwino-v8u 9 місяців тому +2

    Nangoja season 2 ya mwalimu tumaini

    • @GeoffreyOwino-v8u
      @GeoffreyOwino-v8u 9 місяців тому +1

      Nani mwingine anaingoja kama mimi❤❤❤❤

  • @Mejumaa-i2p
    @Mejumaa-i2p 6 місяців тому

    Acha wivu mwanamke nyoko weww.....😂😂😂😂 km humpendi mwalim mgeni wenzio wanampenda upo....❤❤❤❤❤

  • @simonmuriuki-lz5uz
    @simonmuriuki-lz5uz 8 місяців тому +2

    Thanks you alot Baba Joan nimefuraiya kwa somo uriyo Nipa guvu tena

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 10 місяців тому +3

    Congratulations baba joan nakupenda sana mwaaaa l love you baba joan ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @YusuphIjengo-md8kf
    @YusuphIjengo-md8kf 10 місяців тому

    Wabeh wabeh wabehhh😂😂😂😂😂😂😂😂 nani anaelewa hii luga

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 7 місяців тому

    Mwalimu kabadilika anakiri mwenyewe !! Lakini wanafunzi wameshamsuta !

  • @AlineKavugho
    @AlineKavugho 7 місяців тому

    Madame vick una shauri mbaya👌

  • @RehemaMwakalinga
    @RehemaMwakalinga 7 місяців тому

    Wow Tisha San mwalim mgen

  • @kennedysasi8775
    @kennedysasi8775 9 місяців тому

    Baba joan im watching frm kenya, true speakin ur a hero

  • @Iampablohpaul560
    @Iampablohpaul560 10 місяців тому +3

    So happy you're back I missed it

  • @nasermohmmed3555
    @nasermohmmed3555 10 місяців тому +1

    Karibu tena tuendelee

  • @halimamohammed7863
    @halimamohammed7863 10 місяців тому +12

    Congratulations baba Joan likua naisubiri Sana 🎉🎉💃

  • @malkiamommy293
    @malkiamommy293 10 місяців тому +4

    Wow afrom kenya 🇰🇪 😊😊😊😊😊

  • @Munaaa255
    @Munaaa255 10 місяців тому +3

    Congratulations dad j more ❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @delvinejeruto
    @delvinejeruto 10 місяців тому +1

    Naku penda sana mwalimu mgeni nakuombea maisha marefu Kwa. Vipaji vizuri

  • @officialhamiboykenya674
    @officialhamiboykenya674 10 місяців тому +2

    Finally 27 iko apa..keep up the good work...#teambabajoan.

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. 10 місяців тому +30

    Nimekuwa wa kwanza jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😂😂😂😂

  • @ZawadiKimbitiwakyemba
    @ZawadiKimbitiwakyemba 8 місяців тому +2

    Ongereni kwakqzi nzuri

  • @alexlwiwa6862
    @alexlwiwa6862 10 місяців тому +2

    Kwakweli hiyo mwalim mgen niliimis sana

  • @everyne.illankunda8292
    @everyne.illankunda8292 10 місяців тому +2

    ❤❤waooo mwaka mufya kwamwarimu mugeni nawanafunzi wote ❤❤❤

  • @Jonathan-b9y3x
    @Jonathan-b9y3x 10 місяців тому +3

    Hii am from Kenya hongera kwa baba joan

  • @RaysMerige-cn6xg
    @RaysMerige-cn6xg 10 місяців тому +1

    Heri yawaka mpya baba joan

  • @GRACEKAI-bq5gh
    @GRACEKAI-bq5gh 10 місяців тому +1

    Happy new year mwalimu bonge

  • @VictorMutwiri-ii9ru
    @VictorMutwiri-ii9ru 10 місяців тому +14

    Watching from Kenya 🇰🇪 😍

  • @WilberforceNandwa-wg7ir
    @WilberforceNandwa-wg7ir 10 місяців тому

    Much love napenda uyo patronize anavyo imba 🎉🎉🎉🎉

  • @samwelomachi7740
    @samwelomachi7740 10 місяців тому +3

    This movie is awesome.... they're back🎉

  • @dclasschanel5040
    @dclasschanel5040 10 місяців тому +1

    Mwalimu mgeni ananifanya kukomaa.kiroho maana yake usikate tamaa.unapo kutana na changamoto mungu ambariki

  • @ThomasMangale-yv5mk
    @ThomasMangale-yv5mk 5 місяців тому

    madam vick sijawah kuona anafundisha

  • @vicktoriaabihudi9050
    @vicktoriaabihudi9050 10 місяців тому +1

    We unaejiita Vicky hivi umejiangalia kwenye sura yako unasura mbaya hupaswi kua na roho mbaya

  • @stephenkitute
    @stephenkitute 10 місяців тому

    Keep it up baba Joan nakupeda xna bro

  • @GRACEKAI-bq5gh
    @GRACEKAI-bq5gh 10 місяців тому +1

    Happy new year 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mwalimu bonge na mwalimu mgeni

  • @AaIi-qw3ec
    @AaIi-qw3ec 10 місяців тому +2

    Much love from Saudia nawapenda saaaaaaana

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 10 місяців тому +4

    Hongera sana baba Joan na team yako.Much 💓💓💓from kenya

  • @hafsahmassemoh3598
    @hafsahmassemoh3598 10 місяців тому +1

    Kama unamshukuru MUNGU kwa kuisha likizo salama weka like yko
    Alhamdhullah ❤❤❤❤❤❤❤

  • @manorichebembem7829
    @manorichebembem7829 3 місяці тому

    Patonizy a luta continua madame ✊💐🥰 a partir de Moçambique 🇲🇿

  • @rasoal1471
    @rasoal1471 10 місяців тому +12

    Congratulations Baba Joan 🎉❤❤❤

  • @ishladyishlady7897
    @ishladyishlady7897 10 місяців тому +2

    Nime wa miss tu sana hongera nawapatia nikiwa kenya🤜🤜

  • @AmaniRazalo
    @AmaniRazalo 10 місяців тому

    Good kwa muendelezo wa move

  • @DarlingNatasha
    @DarlingNatasha 10 місяців тому +92

    Kama unapenda mwalimu mgeni naomba like ata tu kumi😢

  • @ChaltonMunyua
    @ChaltonMunyua 9 місяців тому

    Am from Kenya naipenda hii bure

  • @SharonMichero
    @SharonMichero 10 місяців тому +2

    Thanks mwalimu mgeni ,congratulations with your team and happy new year am Fidelis Zambia❤

  • @JoakimKachingwe
    @JoakimKachingwe 10 місяців тому

    Kamakawa kamakawa twazid kufatilia aise p,sana

  • @onlymenoone7202
    @onlymenoone7202 10 місяців тому +1

    Wangapi tunafutilia hii move ya shule jaman wlm wetu daaaah sinaaa

  • @SonerimanaRichard
    @SonerimanaRichard 10 місяців тому

    Mwarimu magesa hy nd maamzi ya kiume

  • @nabahyaombeni-ic4ft
    @nabahyaombeni-ic4ft 10 місяців тому +14

    Wakwanza naomba like basi hata tatu please nawaomba ❤❤❤

  • @Amena-z5r
    @Amena-z5r 10 місяців тому +2

    Wow mumerudi karibu sna 😢😢😢❤❤❤❤❤

  • @martinmusyoki972
    @martinmusyoki972 10 місяців тому +4

    Team baba joan mpo wapiiii

  • @salumsalumrobert
    @salumsalumrobert 10 місяців тому

    Tulikua tumekumiss sana mwalimu mgeni tunakufatilia tukiwa mkoa wa mara sirari border

  • @cheruiyotkirui3448
    @cheruiyotkirui3448 10 місяців тому +4

    Mwalimu mgeni all the way🎉 Happy New Year

  • @NoelsamwelyShagama-gb4zf
    @NoelsamwelyShagama-gb4zf 10 місяців тому

    tunao fatilia mwalim mgen

  • @EsterMponzi-iq1bn
    @EsterMponzi-iq1bn 10 місяців тому

    Kazi Yako ni nzuri ila jitahidi mda wa kurusha vipande usipishane Sana

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 10 місяців тому +8

    Madam Asha nakupenda bure dadaangu ❤❤❤❤

  • @mlebingemakelele2811
    @mlebingemakelele2811 10 місяців тому

    Mwalimu mngeni movie hii inajenga kweli

  • @maalimali5513
    @maalimali5513 10 місяців тому +6

    Leo sijachelewa sana, tumemiss sana mwalimu ❤❤❤❤

  • @brillianlidonde4649
    @brillianlidonde4649 10 місяців тому

    Watching from kenya

  • @StellaStella-q1t
    @StellaStella-q1t 10 місяців тому +1

    Nawapenda xana mnao ingiza mv mwalm mgeni mna nifundxh❤

  • @BonnyWekesa-r8s
    @BonnyWekesa-r8s 10 місяців тому +3

    Well coming baba Joan 😂😂

  • @yusuphluyombya4758
    @yusuphluyombya4758 10 місяців тому +5

    Let's be united in the development of our country as well as educating the community, you have definitely hit a lot

  • @NaivaetNai
    @NaivaetNai 10 місяців тому +2

    Timu hammmau mko wapi kujeni kwa mwalimu mgeni mmbo ni 🔥

  • @warderhabibu3018
    @warderhabibu3018 10 місяців тому

    Napenda sana mwalimu mugeni

  • @NdanuValeria-bu1xr
    @NdanuValeria-bu1xr 10 місяців тому +3

    Shalom baba Joan na team yake

  • @christinekendi1719
    @christinekendi1719 10 місяців тому +1

    Welcome back my favorite teacher 👍👍👍👍

  • @SaumumlongoCharo
    @SaumumlongoCharo 10 місяців тому +3

    Watching from Kenya Love this series ❤❤🥰🥰💖💖💗💗

  • @KATEKISTADOMINICMALIMA
    @KATEKISTADOMINICMALIMA 10 місяців тому

    Movie inayofuata iitwe MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA.

  • @Rossey-iv2hk
    @Rossey-iv2hk 10 місяців тому +1

    Mwlmu mgeni twakupenda kenyaa sana

  • @ndayishimiye-jeremiah
    @ndayishimiye-jeremiah 10 місяців тому

    Nawapenda sna Lakin odio imekuwa mbaa

  • @Mansen-xv3ix
    @Mansen-xv3ix 3 місяці тому

    Wow nampenda partronice anavyoimba

  • @camel098
    @camel098 Місяць тому

    Nimeanza kumchukia madam vik kwa sababu ameanza kuwa na roho mbaya kama magesa lakini magesa roho ya mungu imemjia kwa sababu ya yule binti akimtokea

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 10 місяців тому +1

    Big up sana bba Joan kama kawaida tuko pamoja ❤❤❤❤

  • @denismasese3208
    @denismasese3208 10 місяців тому +2

    Wow watching u guys from Qatar 🇧🇭 🇰🇪🇰🇪 mwalimu mgeni nakusalute sana man

  • @calebwafula5787
    @calebwafula5787 10 місяців тому +2

    Sijawahi pitwa hata siku moja❤❤

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 10 місяців тому +2

    Napenda hii movie sana ...baba Joan keep it up ❤

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 10 місяців тому +1

    Congratulations baba Joan ❤❤❤❤

  • @abrahamemokol
    @abrahamemokol 10 місяців тому +1

    Welcome back baba Joan 😂😂

  • @manuelraulchimangande
    @manuelraulchimangande 10 місяців тому +5

    PATRONIZE,nimeipenda SANA INTRO YAKO FROM MOZAMBIQUE ,na kusema msemo wa Raisi wangu SAMORA MACHEL,N❤❤❤❤ NIMEPENDA SAAAANAA.

  • @aminamkonyo
    @aminamkonyo 10 місяців тому +1

    Happy new year 🎉 nfatilia kutok kenya

  • @husseinmgandi-ej5kp
    @husseinmgandi-ej5kp 10 місяців тому

    Patronize motoo 💥💥

  • @Naima-v6v
    @Naima-v6v 10 місяців тому

    Wòoh nzuri sna karbu tena baba Joan🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Yovvanyboy-ov5ey
    @Yovvanyboy-ov5ey 10 місяців тому +2

    Hii move ndef aise

  • @DavidMrisho-km2iz
    @DavidMrisho-km2iz 10 місяців тому +1

    Shukran sana kwa team nzima ya mwalim mgeni tulisubir kwa ham sana tunategemea mazuri zaid kutoka kwenu big up sana

  • @OlubiSaint
    @OlubiSaint 10 місяців тому +15

    Chears to baba Joan and his team 🎉

  • @dclasschanel5040
    @dclasschanel5040 10 місяців тому +1

    Ninakukubali Sana mwalimu mgeni mungu akulinde huku ukiamini.kuwa unayaweza Mambo yote katika yeyeakutiaye akutiaye nguvu

  • @furahakalyfurahakaly4901
    @furahakalyfurahakaly4901 10 місяців тому +1

    Mwalimu mgeni yani mungu akuzidishie Kwa kazi nzuri🇰🇪🇰🇪🔥🔥💖💖💖💞

  • @EmmanuelKalume-p5c
    @EmmanuelKalume-p5c 10 місяців тому

    Nakubali mwalimu uko juu broo hongera

  • @MosesBarasa-ks8eb
    @MosesBarasa-ks8eb 10 місяців тому

    Welcome tulikuwa tumemisi sana mwalimu mgeni moses wekesa barasa from kamukuywa kenya