😂😂😂watu naonanga comment za watu wengine kwa hizi loyalty test za pluto ...ati l give up ooh no one will convince me about love oooh sijui no one will tell me that their is true love ....and am like kwani watu uku nje wajiamini why should you take heartbreak of people to put in your life and see like you are being cheated pia ....me l will never compare my relationship with someone l believe in love and this loyalty test ndiozo inafanya tunakuwa strong 💪 na kurekebisha kwenye tunaona haiko poa learn to believe and trust your partner ❤❤❤❤❤
Thee pluto the truth is unaezapata mtu ako watchman,waiter yaani kazi tudogo tudogo but in really life mtu ako na business hapa na pale..ako na hao poa anaishi maisha mazuri na unashangaa hw..kuna watu unaeza dharau but wameomoka..wanaeza kukuspoil viproper
Love is the most complicated emotion mistake can make beautiful dream into worst nightmare,but can we do even roses also had it own thrones.love isexcing, scary and insane at times.likes tukisonga ❤❤❤
Kuku tu😂😂😂this gal has no future,,, Alafu hawa madem hu expect this school boys to get the money wapi na wote wanasoma surely???as if nyinyi madem hamna parents 😢😢😢
Mm hii show huwatch juu ya kusuppose pluto na entertainment but not to keep in heart juu weeeh am young kuongopa mapenzi but nakumbuka pluto na fel wako in love
😂😂😂watu naonanga comment za watu wengine kwa hizi loyalty test za pluto ...ati l give up ooh no one will convince me about love oooh sijui no one will tell me that their is true love ....and am like kwani watu uku nje wajiamini why should you take heartbreak of people to put in your life and see like you are being cheated pia ....me l will never compare my relationship with someone l believe in love and this loyalty test ndiozo inafanya tunakuwa strong 💪 na kurekebisha kwenye tunaona haiko poa learn to believe and trust your partner ❤❤❤❤❤
Hivio ndio watu wanapotea mimi sitagive up kucheat ni kawaida bora niko na kila kitu kwa nyumba na niko na job kucheat naachia mungu
Me ata wararue roho aje naishona na narudi soko😂😂😂
@@annisaac2664vibaya sana SI uslide inbox unipee advice😂😂
@@annisaac2664sasawa 😅😅😅😅
"Unanifulaicha" got me on the floor 😂😂
I am in love with the lady's voice 😂
This is a trans man
Likewise😁😁
Mafuta ya kuku ukwama kwa koo
Then you are gay
King kalala😂😂😂
Dem hata anakaaa morio😅😅😅😅
Best lover and a spoiler was chilling then pap "you can't say Hiyo pesa ni ya watch" came from nowhere 😂😂
Heri niiname but ninunue bundles 😂😂 I take my entertainment seriously😅
That moment " najua nyinyi hamcheat😅😅😅😅😅'😅😅😅😅😅
😂😂😂 ushai nibaia kuku naomba mnipitieni guys ntashukuru saana aki guys I will appreciate guys na mtabarikiwa saana saana
Done pitieni pia 🙏
Another morning to remind myself to focus with fulus team strong oyeee🥳🥳🥳
Ramadhan oyeee😅😅
😂😂😂getting ready for Ramadan
😂😂😂😂 not me watching this nikishika khubus na strong
Tano tena 😂😂😂
Acha kupoteza wengine na uko na kids ocha
Thee pluto the truth is unaezapata mtu ako watchman,waiter yaani kazi tudogo tudogo but in really life mtu ako na business hapa na pale..ako na hao poa anaishi maisha mazuri na unashangaa hw..kuna watu unaeza dharau but wameomoka..wanaeza kukuspoil viproper
Hii lazima iende viral huyu boys apende asipende😂😂.guys do your thing.
Dem king kalala 😂😂😂
Madem mwa aiiii ,haki kuna wenye walipata boi wazuri mimi wangu hucheat waah anafeedback
"Kama dem si ligi yako"
Pluto: dem mgani
😂😂😂
Hii ilinipata off guard 😂😂😂
Dem wa watchie
Uyu kijana anakula dem ya watchie
😂😂😂😂haloo always ready to laugh out
Top ten viwer wapi liks
Wacheni hii upuzi ya kusema love is not real😊utakaa single mpaka lini mkuu😂😂😂😂
Ni script 😂😂
Aty watchman😂Pluto kwani Hawa watu unawatoa wapi bna😂😂😂 anyway pita na likes zako chief sanitizer 👍
Anawatoa maseno University 😂😂
The Pluto's face when asking"dame mgani 😂left me on the floor 😂😂😂😂😂💔
Team strong oyeeee tuchapeni job🎉🎉🎉🎉
Pluto is my stress reliever 😂😂😂
😂oooh😂❤
Guys nipitieni nami niwapitie enjoy the show much love watching from Saudi Arabia ❤❤
pitia pia✅
@@Gracious- done pitieni pia
Done pitia pia
Nipitie pia please nikupitie
Let hammam be my lover 😂😂 hizi drama naona huku zii,,,,fulus muhimu,,,wapi likes za team strong
Umesema fulus tano tena. 😂😂😂😂😂
Ata rate ikienda chini lazimu tuchape job team tano tena
Nimecheka vile mlitaka 😂😂😂😂😂unanifulaichanga..😊
Ati bro mbona unaniangalia hivyo😂😂😂
Tupostie pia loyal couples
We'll watch si lazima drama
Yes love is a beautiful thing😍
Apo sasa nani alaumiwe isipokua mzazi😂😂😂😂
Yaani huyu boy ni fala kiasi gani badala afikirie vile atajijenga yeye anafikiria vile ati atatembea maseno.
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂vickyyyyyyy nimekuona juzi ukivuta sigara kumbe n depression 😂😂😂😂😂😂
It's always drama after drama😂😂😂😂😂😂😂😂😂lit🔥
Pluto umechoma,aty dem mgani😂😂
Baby girl lazima anunuliwe kuku🤣🤣🤣🙌🏻
😂😂yee mluhya
Mimi nae nilisha give up na love ju ya kukua addicted na hii show 😅😅😢😢
labda hizo kuku zinashikwa huko mtaa😅😅
Kwani Maseno yetu madems wamesema haiwezi work😂
Love is the most complicated emotion mistake can make beautiful dream into worst nightmare,but can we do even roses also had it own thrones.love isexcing, scary and insane at times.likes tukisonga ❤❤❤
Aki mm siwezi simu yangu juu wee 😂😂
Kwani unacheat😂😂😂😂
It's look like unacheat😂😂😂
Karibu nianguke nikikimbia huku nikue wakwanza 😂😂
Ouch😅😅😅ok..sisi tupo tu kwa umbeya😂😂😂😂😂😅
Huyu dem amecheat na watchman juu ya kuku waah😂😂😂😂
Wonders shall never cease😂😂😁
Eti aiwezi enda viral 😂😂😂😂 much love Pluto from USA
Boy ameshikwa akaanza kustamer why???
I take my entertainment seriously 🤣🤣🤣 heri nilale njaa lakini nibuy bundles 😂
A starving generation,,,,unacheat juu ya kuku are you fr😢😢
si starvation.. ni vile wasee wameamini pesa na food ndio kipenzi cha roho...
"Umenifulaicha" aki Thee Plutoooo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
The huoni got me kwanza venye pluto amemuangalia😅😂nimeisha
Pluto....siku ingine ufike huku kisii yunifasiti 😅😅
Little did I know kuwa lightskin is an achievement 😂😂
Kuku tu😂😂😂this gal has no future,,,
Alafu hawa madem hu expect this school boys to get the money wapi na wote wanasoma surely???as if nyinyi madem hamna parents 😢😢😢
Very true
Leo umeaumua kusanitize wanaume wawili😅😅😅
Seriously 😂😂💔 huyo ni mimi
It's the sarcasm pale 5:40😂😂
Watchmen hawafai kupendwa ama nn😂😂😂😂 kubali hutoshi 😂😂😂
Aki walai Pluto you are crazy 😅😅😅khai karibu watu wadhani nimekua chizi........ati "huonangi?"this almost killed me
Thee pluto ulisema hufika western (luhya land) fika fika kakamega 😂😂😊 sigalagala and masinde muliro needs you😂
Watchmen pia ni binadamu bana .
Very brave human beings
Very true my sister....wera ne wera
I myself i have give up about love when i see these loyalty test nakufa moyo akh 😭😭😭💔💔💔💔
Same here have watched every episode of thee Pluto show naona mapenzi ni scam am focusing on my career 😅😂😂😢
Una give up nasi wewe umecheat 😂😂😂😂you people are always funny 😊
Don't give up, watu wazuri bado tuko@@msoonjogu2570
I was just chillin watching the show then boom "unanifulaicha" kidogo ninyongwe maji
We learned and we correct where we go wrong ✅✅✅✅
ati UNANIFURAHICHA🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣🤣pluto utanimaliza😂😂😂🤣🤣
Jamaa mnasema eti ni Watchman maybe n undercover ako kazi... iyo 15 years niya kikosi😂😂😂
Kwani lazma ubaie mtu kuku ndio ajue unampenda😂😂😂
Nikiwa na stress tu or na feel moody moody lazima nitafute the latest ya Pluto nacheka najisahau😂😂😂😂😂
9:40 "Oh huoni?" 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Enyewe huyu dame anakaa ni kaa ako blind.
Mapenzi ni ya ulaya kama unagree pita na likes 🙏
Kupea dem pesa ni kudharau budake😂😂
Na kupea mwanaume pesa n kumdharau nani😅😅
🙆♀️🙆♀️🙆♀️sasa kuku na utaenda choo aki watu
😭😭😭
Wa pili huku team pluto nipitieni kwangu pia please 🙏
Another one down,aki mapenzi wewe!!!!
Hii ni noma😢mapenzii kenya shikamooo😅😅
Halooooo
🤓🤓🤓Iko loyal couple kama hawa...wee Wacha reading the chats start kimbi kimbi dram starts hallo...
Bro unadate mwewe na huipei kuku😂😂😂
😂😂😂😂😂
About to demonstrate a loyal couple 😅😅😅😅😅😅😅😅😅si hamcheat 😂😂😂
Kuna kawimbo(Anakutumia)hapa ndio unarewind....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pluto ISSA vibe ..ety huoni then facial expressions 😅😅😅
😅😅nakuabia nimeisha😂😂
Ati haiezi enda viral😅!! Mi naionea U.g 🇺🇬
Another king kalala😂😂
Mwili ya mwalimu Rachel na sauti ya kalala perfect combiii😅😅😅😅
Unanifulaicha got me off guard 😂😂
Sasa ulikuwa unafanya nini ndo udrop video this late baba zoey?😅😅😅😅vile unajiregeshanga mwili ukicheka unainama haki si madharau?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
III I thought she is the only single lady in maseno 😂😂😂kumbe anapenda maploti😂😂😂😂😂😂
Huyu ni dem ako na ligi😂😂😂
😂😂😂mm nayo mkinipata heri niseme ukwel na uongoo ila simu yangu isishskwe
Uyo dem anakaa mwanaume sjui adi ulimpenda aje
Dem ako poa jamaa ndio anakaa jinsi anataka
😂😂😂😂ati bro unaniangaliaje vibaya pluto ameona kofi ikikuja 😂😂😂lakini mapenzi ww wacha nioshe hammam
😂so sisi weusi hatuna letu
Anapelekwa BNB😂😂😂😂😂😂😂😂
Mwenye anataka kuku😂😂😂
😂😂ati ushai skia nosering ya 2 so ww😂
😂😂Ata mmi nikipata chali yangu Anacheat hatuachani 😅😅😅 akae akijuq ivo.... For better for worse
Sauti ni ile ya Kalala 😂😂
Pluto this time round fika jooust....Si fair kama unaeza fika maseno unaacha jooust😂😂
kuna mtu anaamini kweli huyu aty ni mali safi😂😂😂😂
Meet me in person 😂😂😂
Mm hii show huwatch juu ya kusuppose pluto na entertainment but not to keep in heart juu weeeh am young kuongopa mapenzi but nakumbuka pluto na fel wako in love
😂😂maseno issues za madem n kuku tu😂😂
😂😂😂😂alafu soldier aone hii dame atemwe
😂😂😂Sasa kuku ni kitu ya kucheat
May tbe LORD heal their hearts koz they are sick
Camera man on top notch❤❤❤
The lady's voice tho😂😂😂. Nusu manly😂😂😂😂
Si ukambani tunafuga kuku jamani😂😂😂akh unacheat ju unabuyiwa kuku😂