DUA ya SHEIKH MKUU DSM Yawashangaza WATU, Aomba kwa JINA la YESU na MTUME, Ni kama SHAIRI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2020
  • DUA ya SHEIKH MKUU DSM Yawashangaza WATU, Aomba kwa JINA la YESU na MTUME, Ni kama SHAIRI...
    MGOMBEA URAIS (CCM) Dkt John Magufuli, ameendelea na kampeni zake katika jiji la Dar es Salaam, ambapo leo Oktoba 14, amefanya mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Tanganyika Pakers vilivyopo wilaya ya Kinondoni...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

КОМЕНТАРІ • 934

  • @ds7891
    @ds7891 3 роки тому +16

    Mungu hawafichi wanafik. Hafai huyu hata kusali nyuma yake
    مَا كَانَ لِلنَّبِيِّ وَالَّذِينَ آمَنُوا أَن يَسْتَغْفِرُوا لِلْمُشْرِكِينَ وَلَوْ كَانُوا أُولِي قُرْبَىٰ مِن بَعْدِ مَا تَبَيَّنَ لَهُمْ أَنَّهُمْ أَصْحَابُ الْجَحِيمِ
    Tauba 113

    • @abasamwame6583
      @abasamwame6583 3 роки тому

      اظن انه لم يرا هذه الاية
      شترون اياة الله بثمن قليل
      بلبسون الحق بلباطل
      يقولون مالا يفعلون
      اين علماءنا كي يخرونه من الظلمات الي االنور؟
      لقد ضل سواء ااسبيل
      سبحان الله!!!

  • @hamiduhamadi9511
    @hamiduhamadi9511 3 роки тому +29

    nimeshindwa niseme nini .ALLAH ATUPE SUBIRA WAISLAM

  • @ramadhanimasudi6904
    @ramadhanimasudi6904 3 роки тому +7

    Kiuhalisia mtu mwislaam anapoomba na kusema "ashindwe kwa jina la yesu ni makosa. Kwa sababu kiimani waislaam tunaamini ni Mungu pekee ndio mtoa shari. Na hivyo kwa kupitia Mungu pekee mtu hawezi kupatwa na shari! Ila pia nikimuangalia shekhe, pengine ni mapenzi yake binafsi makubwa alionayo kwa raisi wetu na hivyo ili kuweka usawa na hasa ukizingatia dini ya raisi ni mkristo ndio maana akaomba katika mlengo huo. Sasa kama kakosea ama yuko sawa, sisi hatujui na wala si ni wenye kuhukumu! Ila Mungu peke yake ndio anaejua!

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 3 роки тому +23

    Ole wao wanaopindisha HAKI EEE MOLA WETU yote aliyoomba Shehe yawarudie AMEN

    • @witneskilinda5034
      @witneskilinda5034 3 роки тому +2

      Amen

    • @victorngunga9007
      @victorngunga9007 3 роки тому +1

      So that you are telling us Jesus should not be preached by Muslims go and read properly what quaran says about him

    • @abdlhaleem8380
      @abdlhaleem8380 3 роки тому +1

      Amiiiiiiiiiiiiiin..... 🤝🏻 yarabil aalamin..

    • @silimahamza4866
      @silimahamza4866 3 роки тому

      Subhannallah Allah, M/ Mungu anakuona na nia yako mbaya

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 3 роки тому +3

      @@silimahamza4866 Kwani mimi ndio sijaelewa au? Issa bin MARYAM katajwa lakini kwa baraka za Mtume MUHAMADI SAW TUNAKUOMBA EWE MOLA wetu. Aliyeombwa hapa ni MOLA wetu sasa ni kipi kakufuru? Issa bin MARYAM ni Mtume wa ALLAH lakini kwa baraka za Mtume MUHAMADI. Hajaombwa Issa hapa kaombwa MOLA wetu. Wenzetu wao wanaomba kwa Issa/Yesu. Tukiwa na mihemko tutashindwa kuwaongoza wenzetu

  • @chatualiy5346
    @chatualiy5346 3 роки тому +7

    Inaaalillah wainnaa ilayhrrajiuun

  • @asmaabubakar2614
    @asmaabubakar2614 3 роки тому +29

    Inna llillahi wainna illayhi rajiuun ama kweli huu ni mwisho wa dunia tutaona mengi

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 3 роки тому +2

      Tusiwe washabiki tuwe MAKINI katika kusikiliza.

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 3 роки тому +2

      ndio kazi ya Bakwata hiyo wanao kutangazieni mwezi

    • @abdulazizmwipi9750
      @abdulazizmwipi9750 3 роки тому +1

      @@ziadasadiki8196 mamb ypo waz kabsa yan hpo katia haki na batili alaf kachanganya

    • @khatwabisadathil3423
      @khatwabisadathil3423 3 роки тому +3

      We ziada inawezekana ht madrasa kujui huwa wanakaa vp ili wasome.hujitambui.hujielewi.ckia ww uislamu imekamilika hauna marekebisho.we unaona hy shekh wk yupo sawa????.poke Yk.ngoja tukuhurumie maana elimu ya dini imepitia miguuni.kwanza nijibu swali unaweza kumuombea dua muuza bang??au mchawi.??je dua hy itakubaliwa na Allah???.ukiona huna elimu kaa kimya .

    • @twahamachozi8018
      @twahamachozi8018 3 роки тому +1

      Alhadi njaa ya tumbo umeamua kuipeleka kichwani umefeli sana pole mungu akuongoze mwalimu wangu

  • @seraphinamassawe6774
    @seraphinamassawe6774 3 роки тому +2

    Shekhe hongera sana mathayo 10:33 itakutetea siku ya mwisho usisikilize maneno ya watu msikilize mungu

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 3 роки тому +45

    Askofu sheikh akiomba dua ya kipekee😂😂😂

  • @tamimwatamim3427
    @tamimwatamim3427 3 роки тому +36

    MNAFIKITU HUYU SIYO SHEHE""
    MAJANGA KWELI.

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 3 роки тому +3

      JAMANI kasema Issa bin MARYAM wao wanamwita Yesu kwani kipi kina Rushwa hapo. Kasema kwa Baraka za Mtume Wetu MUHAMADI SAW tuna muomba Mwz MUNGU. Sasa kipi kipwa hapo hata angetajwa Nabii IBRAHIM MUSSA ADAM kikubwa hapo anayeombwa ni MWZ MUNGU tu kwa Baraka za Mtume. ACHENI USHABIKI, Darasani tutafeli tukipewa chemsha bongo kidogo tu HOI

    • @abdulazizmwipi9750
      @abdulazizmwipi9750 3 роки тому +1

      @@ziadasadiki8196 ckia khs kuomba kuomba dua kuptia baraka za mtume Muhammad inafaa Ila haifai kuomba dua kwa kusema kwa jina LA yesu hlo limektazwa maana Allah anasema tumuombe kwa jina lake yy Allah ndy maana jambo lolote lile kuna bismillah rahmanir arrahiim

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 3 роки тому +3

      @@abdulazizmwipi9750 Aliyeombewa nani pale? Uislam ni Hekima na Busara. UTAWALA una hekima zake tuache . CHAMSINGI HAJAKUFURU HAKUNA ALIYEPEWA CHEO CHA ALLAH. UTAWALA NI BUSARA ISIKILIZE VIZURI UTAJUA UISLAM NI HEKIMA.

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 3 роки тому +1

      Ndio sisi sisi tukipewa Utawala mwaka mmoja tu AMANI INATOWEKA. Uislam ni hekima siyo Mihemko. Busara ni muhimu sana AMANI yetu TANZANIA ni jambo la Msingi sana. Wao wana DINI yao nami nina DINI YANGU. Muhimu kuomba kwa Jina la MOLA Wetu na kwa Baraka za Mtume wetu MUHAMADI SAW. Tusipandikizwe Mihemko kila mmoja wetu ashike DINI yake kwa MAGEGO Mtume wetu MUHAMADI SAW alishamaliza Hukumu ni ya ALLAH ndugu zangu. 🙏👏

    • @abdulazizmwipi9750
      @abdulazizmwipi9750 3 роки тому

      @@ziadasadiki8196 nakuelewa ziada aliyeombewa pale ni rais kwan shekh hakushndwa kuomba dua kawaida bila kutaja jina la yesu maana hpo kaingiza shub hat na ujue ukhty ktk dini ya uislam kuna mipaka yke jmn shekh akubali kuwa kateleza hpo maana hta bakwata wenyew wamecktishwa na kitend cha shekh je we ambye una elim ya kuwazid hao viongzk was bakwata unamtetea

  • @bahsanbahsan1828
    @bahsanbahsan1828 3 роки тому +3

    Allah atuongoze na atuepushe na upotevu

  • @japharyamiry6272
    @japharyamiry6272 3 роки тому +1

    Mwenyeez mungu wewe unajua cha kumfanya huyu mtuu anae jiita ostadhi ya Allah tulipie kwa baya hili. Analo tufanyia waislam🤲🤲Amen

  • @masasionlinetv1825
    @masasionlinetv1825 3 роки тому

    إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ

  • @phillipmsamire937
    @phillipmsamire937 3 роки тому +4

    Mimi mkenya lakini nampenda viongozi watanzania wanavyofanya kampeni na amani kwa kuheshimu dini ya kila mmoja wao

  • @abdulmalksukary5552
    @abdulmalksukary5552 3 роки тому +5

    Kwanza huyo kwa maneno yake si muislamu ,
    Ameritadi Bila yet kujua sababu amenasibisha yes Ni mungu ingawa ajasema yesu mungu.
    Kitendo Cha kisema washindwe Kean jina la yesu, na yesu kwetu si mungu,itikadi hi Ni ya wakrsto katika iman yao na wanamuomba yesu badala ya mungu.
    Ajabu kwa mtu Kama huyu kuongea maneno haya na anajua fika mungu Ni yupi na yesu Ni Nani.
    Aslimu upya huyu shekh na aimpasi kujishughulisha na Jambo lolote la dini mpaka atakapolejea upya.

  • @ikramallyikran5212
    @ikramallyikran5212 3 роки тому +2

    Subuhana allah . Mtihan huuu yaarab tupe mwisho mwema

  • @junaytadarwesh4708
    @junaytadarwesh4708 3 роки тому +1

    Unaomba kwa jina la Yesu ili umfurahishe nani!!! Dah! Si ungesema tu unamuomba Mwenyezi Mungu. Mola anakuona wewe!!! Yarabbi tusameh na utustiri. Si ungesema tu kwa baraka lakini kwa jina tena!!!! Unafik.

  • @sangadaniel7735
    @sangadaniel7735 3 роки тому +9

    Innalillah wainnaillaih rajiun

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 3 роки тому +5

    Ole ni ya Mungu pekee sio ya kibaraka kama shehe.
    Nakumbuka siku moja jamaa moja aliyekuja kwangu kuomba msaada nimwazime laki 1 kuwa ana matatizo lkn kabla hajaomba alianza kunipa sifa zangu nilivyo na kuwasaidia watu na kumponda jamaa moja alikuwa rafiki yangu nakumbuka nilimpatia hiyo hela na hakurudisha mpaka leo na tumepishana sana kwa maneno kisa hiyo hela.
    Na alipokwenda kwa yule rafiki yangu tena akampa sifa kedekede na kunisema mm vibaya zaidi ya yale alioniambia kumhusu yule jamaa na hapo tena akamuomba laki 5 lkn akapewa 4 na hakurudisha alipodaiwa ilikuwa shughuli pevu mpaka mahakamani
    Sasa swali langu sishangai kuona shehe anamsifia magufuli mbele yake nakumsema vbaya upinzani kwa kuwa sifa kubwa ya mbea ni hiyo sio shida kibaraka siku zikikuishia au ukija kudaiwa utazitapika mkunduni

  • @fctlinesfactlines2817
    @fctlinesfactlines2817 3 роки тому

    Yupo sawa kabisa Yesu Kristo ndio Mungu Muumba wa mbingu nanchi.. Imeandikwa kila kinywa kitakiri na kila goti litapigwa mbekezake.. Shehee Mungu wangu na akubariki na kwakumkiri kwako ikakumbukwe hata Siku ile kuu

  • @mwambamkombozi4672
    @mwambamkombozi4672 3 роки тому +8

    Astaghfirullah astaghfirullah astaghfirullah wanatubuika. Ya Allah tuepushe na adhabu zako na watu wanaokufuru kama hawa. Amin

    • @alimsemakweli1376
      @alimsemakweli1376 3 роки тому

      ALLAHUMA Ameen

    • @ahmed59122
      @ahmed59122 3 роки тому

      Atuepushe sisi na amuhathibu yeye huyu mkulima wa dhambi..laana iwe juu yake kwa hizi duaa za kumtharirisha Muhumba wa vitu vyote na asiyekuwa na mshirika.. pesa kweli mtoto wa haramu wstu wanabadilisha mtindo wa dini kama mitindo ya nguo au Music?..dah hatari

    • @chakubanga1
      @chakubanga1 3 роки тому

      HAJAKOSEA, NA KASEMA KWELI KABISA KAMA IPASAVYO NA QURAN. MUNGU HAJAMWEKA MBELE MTUME YOYOTE, ILA, WAMEKUJA KWA KUTANGULIANA. Hizi Ayya mbili ndio ushahidi..
      2/136
      قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
      English
      Say, [O believers], "We have believed in Allah and what has been revealed to us and what has been revealed to Abraham and Ishmael and Isaac and Jacob and the Descendants and what was given to Moses and Jesus and what was given to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [in submission] to Him."
      Swahili
      Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa MUSA na ISA , na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.
      3/84
      قُلْ آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ عَلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ عَلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَالنَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
      Sahih International
      Say, "We have believed in Allah and in what was revealed to us and what was revealed to Abraham, Ishmael, Isaac, Jacob, and the Descendants, and in what was given to Moses and Jesus and to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [submitting] to Him."
      Swahili
      Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.

    • @ahmed59122
      @ahmed59122 3 роки тому +1

      @@chakubanga1 mkipenda kitu mnabadilisha hata haya za dini zetu Wa Tz wakati.....haya hapo.mimi siendi tena na utonisikia tena sababu umesababisha niangalie Quran wakati nipo chooni. Tetea tu wewe na Mola.wako .

  • @kumulwa
    @kumulwa 3 роки тому +6

    Inalillahi wa inna Illehirajiuun

  • @mwinyitoreira2339
    @mwinyitoreira2339 3 роки тому +18

    Ukweli ni kwamba! Dua hii HAIPO! Na haijawahi KUWEPO! DUNIANI! Mpaka AKHERA!!! 😭😭

    • @allymuhammad325
      @allymuhammad325 3 роки тому +1

      Uzuri kashasema dua yakipekee

    • @alimsemakweli1376
      @alimsemakweli1376 3 роки тому

      Laana tullahi aleikum

    • @chakubanga1
      @chakubanga1 3 роки тому +3

      HAJAKOSEA, NA KASEMA KWELI KABISA KAMA IPASAVYO NA QURAN. MUNGU HAJAMWEKA MBELE MTUME YOYOTE, ILA, WAMEKUJA KWA KUTANGULIANA. Hizi Ayya mbili ndio ushahidi..
      2/136
      قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
      English
      Say, [O believers], "We have believed in Allah and what has been revealed to us and what has been revealed to Abraham and Ishmael and Isaac and Jacob and the Descendants and what was given to Moses and Jesus and what was given to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [in submission] to Him."
      Swahili
      Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa MUSA na ISA , na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.
      3/84
      قُلْ آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ عَلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ عَلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَالنَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
      Sahih International
      Say, "We have believed in Allah and in what was revealed to us and what was revealed to Abraham, Ishmael, Isaac, Jacob, and the Descendants, and in what was given to Moses and Jesus and to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [submitting] to Him."
      Swahili
      Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.

    • @banjuta2186
      @banjuta2186 3 роки тому

      Hahaha

    • @abdulqareemseif9050
      @abdulqareemseif9050 3 роки тому +2

      @@chakubanga1 usitupe ushahidi usioendana na alichokisema. .ili ukufuru lazima upitie vipengele 4 .kauli vitendo itikadi na shaka huyu kwa kauli yake anasema kwa jina la yesu washindwe na walegee hivi mtu akishindwa ni kwa jina la yesu au ni kwa uwezo wa Allah

  • @greenzabron5107
    @greenzabron5107 3 роки тому

    Huyu shee anaijua kweli ajabagua mungu ampe kibali kwa jina la yesu kristo asante mungu kwa ostazi huyu mpe maisha marefu.

  • @SalmanKhan-eb7pt
    @SalmanKhan-eb7pt 3 роки тому +10

    Mashekh wengine wako zaidi kwa maslahi ya kidunia....
    Kwani angemuelekea Allah s.a kwa kuwa yeye ndie anaempa pumzi mpaka muda huu angekwama wapi.
    Tusihofie viumbe wenzetu kwa ajili ya madaraka.... Hakika wakati mwengine tunahafilika mpaka siku ya mauti ikifika ndio tunakuwa na majuto ambayo hayatomsaidia kiumbe yeyote....Yote hiyo inatokana kwa kutokuisoma dini na kuifahamu kiundani zaidi.

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 3 роки тому +1

      sishangai kwakuwa Bakwata ndio Tawi lao

  • @princeragy7700
    @princeragy7700 3 роки тому +5

    Wewe sheihk ndie ulikua unakataza viongozi wa dini wasi ingilie siasa hili ww ukapigie kampeni magu. Mwambie afungue masheihk wenzako sio unapiga maombi siasi hayata jibiwa

  • @fahud_Bl
    @fahud_Bl 3 роки тому +4

    Inna Lillahi Wainna ilaihi raajiun!!!

    • @maangazaabdull7533
      @maangazaabdull7533 3 роки тому

      Haya mnavyomsemaga mzee yusuph maskini haya na hayo je?😁

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 роки тому

    EE mungu tupe moyo wa shukurani ktk matendo yako tusiwahuzunishe wajumbe wako wala wewe muumba watu amina

  • @user-rb8ir9co9k
    @user-rb8ir9co9k 3 роки тому

    Innalillahi wainna ilayhi raajiun, Duh unamuombea Kafiri azidi kutumaliza Waislam au Sio

  • @binqalid6569
    @binqalid6569 3 роки тому +4

    Inna lillah wainna ilahi raj'un

  • @zachariabin5400
    @zachariabin5400 3 роки тому +11

    Innalillah wainnailaih rajwn.....

    • @jurassa9588
      @jurassa9588 3 роки тому

      Acha unafiki Mungu angeamua kudeal na maovu yako Ungekuwa na uzima mpaka wa kutazama video za youtube?

  • @salmaomen4943
    @salmaomen4943 3 роки тому

    Innalillahi wainnailaihi raajun,shekh ,Ilunga Allah amrehem aliyasema enzi za uhaiwake,,,ukumbi wa jubilee ,,,,,viongozi wetu hadi Leo hawajitambui,

  • @mulhatramadhan9425
    @mulhatramadhan9425 3 роки тому

    Allah (S.A) aliwaona wanafk km hawa na akawapiga mihuri kwenye nyoyo zao, Laanatullah.

  • @issaal-busaidi4479
    @issaal-busaidi4479 3 роки тому +7

    Astaghfirullah, Astaghfirullah, Aibu, kila moja aombe dua kutokana na dini yake, kwahivy mufti wetu anadini mbili??????????

    • @alirashid1727
      @alirashid1727 3 роки тому

      Ni msiba kwa waisilam tanzaniya hatuna kiongozi wa waisilam na atae weza kuuteteya uisilam inauma sana.😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @henrylugongo632
      @henrylugongo632 3 роки тому

      Huyo ameakilisha MAOMBI ya waisilam na wakristu jamani badala ya kwenda watu wawili ,amewakilisha mtu mmoja,tusiwe watu wa kuhukumu

    • @sundaymakungu2500
      @sundaymakungu2500 3 роки тому

      tena kamuweka yesu mbele mtume mohamad nyuma,,,,,,,, yaani yesu kwanza

    • @henrylugongo632
      @henrylugongo632 3 роки тому

      @@sundaymakungu2500 nyinyi mnapata tabu ya kuhukumu mwachieni,MWENYE Kazi Ya Kuhukumu,Ahukumu Ambaye ni MWENYEZI MUNGU.Alafu Shekhe kawawakilisha Wakristu Pia,sababu angeenda mchungaji asingeweza kuzungumza kwa Dini ya kiislamu,ndo maana kaenda shekhe,ili azungumze kwa pande zote mbili,sasa nyinyi tatizo lenu ni lipi,kutajwa kwa YESU KRISTU,( ISSA BIN MARIAMU), AU Nini ? Na kama mmeona kakosea basi subirini Muone kama SALA Na MAOMBI Yake hayatasikilizwa,Na MWENYEZI MUNGU. Na sio kutoa mapovu kama nyinyi wajuzi wa MAOMBI .

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 3 роки тому +12

    Halafu huyu ndie ati atutangazia Mwezi, ni kweli Allah Ametuelekeza kuwafuata viongozi wetu wa dini ya Uislam lkn c kama huyu Mpotofu
    Cjawahi kufuata mwezi wa nchi yoyote mpaka tuone hapa ama tutangaziwe na wao lkn In Sha Allah mara hii mpaka niuone kwa jicho langu c kutangaziwa na walaanifu Kama hawa

    • @salumhamad4099
      @salumhamad4099 3 роки тому

      Mashekhe wa Bakwatwa hao

    • @seifmassoud2686
      @seifmassoud2686 3 роки тому

      @@salumhamad4099 hawa si mashekhe wa Bakwata na makuhani wa Kupakatwa 💪💪😁😁😂

    • @hashimthuwein5412
      @hashimthuwein5412 3 роки тому

      Ikiwa Itikadi yake kama hiyo anadhamana gani ya kuwatangazia watu Mwenzi, lakini Masheikh wetu walio enda kusoma Mabrui, Itikadi zao ni zakuunga unga tu

  • @azimabrahman6461
    @azimabrahman6461 3 роки тому +2

    Laailaha illa Allah,,,

  • @asyahamad4424
    @asyahamad4424 3 роки тому

    Inalillahi waina ilahi rajiuuun. Enyi mashehe hemu jieleweni kesho kwa Allah mutakwenda kuulixwaaa

  • @shadyamataralmamari5590
    @shadyamataralmamari5590 3 роки тому +11

    Inalillah Waina llayh Rajiun

    • @user-jk5ir4ke3z
      @user-jk5ir4ke3z 3 роки тому +1

      Shekh upo sawa kabisa mgufuli yy ayupo kanisan wala msikitini

    • @zuheraaziz9343
      @zuheraaziz9343 3 роки тому

      @@user-jk5ir4ke3z dah nlidhan una jina la kikiristo lkn jina la khadija alf unasema sawa mhh

    • @user-jk5ir4ke3z
      @user-jk5ir4ke3z 3 роки тому +1

      Unajua lmani ni ww mwenyewe tu

    • @zuheraaziz9343
      @zuheraaziz9343 3 роки тому

      @@user-jk5ir4ke3z Haiswiii kisheria amekosea,, Ni shiriki kuomba kwa jina lolote isipokuwa la ALLAH,

    • @tareqhilal6750
      @tareqhilal6750 3 роки тому +1

      @@zuheraaziz9343 hao wachumia tumbo Zuhera waache tu

  • @shabaazbikorwa2580
    @shabaazbikorwa2580 3 роки тому +4

    Inalilah wa Inalilah Rajuun😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Njaa sio poa uyu ni unafiqi wa khali ya juu Allah akulani hufai kua sheikh Mshenzi wewe subiri fimbo ya Allah

  • @wamanja5572
    @wamanja5572 3 роки тому

    Sheikh Mtihani sana Unajinasibisha. Unamtanguliza Mtume issa wakati Rasollah wallah ndio Muombezi wetu siku ya kiama. Kwa uchache wa elimu unaona Makosa mengi Allah Atujaalie nyoyo za kumpenda mtume muhhamad s.w.a

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 3 роки тому

    Yesu ni Yeye na Yule Yule.....Anapendwa na Watu wote kama Mtume wanamtaja Wakristo vinywani mwao.... Upo sawa Kristo akutunze Shehe....

  • @samo5315
    @samo5315 3 роки тому +12

    Waislam tuwanapenda mitume wote. Lakini nionavyo mimi dua kama hio haifai, WALLAHU AALAM.

    • @chakubanga1
      @chakubanga1 3 роки тому

      HAJAKOSEA, NA KASEMA KWELI KABISA KAMA IPASAVYO NA QURAN. MUNGU HAJAMWEKA MBELE MTUME YOYOTE, ILA, WAMEKUJA KWA KUTANGULIANA. Hizi Ayya mbili ndio ushahidi..
      2/136
      قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
      English
      Say, [O believers], "We have believed in Allah and what has been revealed to us and what has been revealed to Abraham and Ishmael and Isaac and Jacob and the Descendants and what was given to Moses and Jesus and what was given to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [in submission] to Him."
      Swahili
      Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa MUSA na ISA , na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.
      3/84
      قُلْ آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ عَلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ عَلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَالنَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
      Sahih International
      Say, "We have believed in Allah and in what was revealed to us and what was revealed to Abraham, Ishmael, Isaac, Jacob, and the Descendants, and in what was given to Moses and Jesus and to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [submitting] to Him."
      Swahili
      Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.

    • @samo5315
      @samo5315 3 роки тому

      Ahsante. Jazakallah kheir. Allah atujaalie kila la kheir na atuongoze kwenye njia sahih. Amin Ya Rabil Al Alamin. 🤲

    • @abdulqareemseif9050
      @abdulqareemseif9050 3 роки тому

      @@chakubanga1 hivi hii aya ulioitoa hapa ndo dalili ya kutaka kutuambia ndio dalili ya hichi alofanya huyu. Hivi hujui km njia zetu na zao ni tofauti? Na huoni kumuweka reheni mtume ni kosa kwa wasompenda mtume na ni ipi faida ya hapo inayopatikana zaidi kwa Sie waislam

  • @hashimthuwein5412
    @hashimthuwein5412 3 роки тому +7

    Dooh Subhanallah kuipenda dunia ni kichwa cha kila Makosa
    Huyu kweli nikiongozi wa kiislam tz poleni sana ndio tuna sema yoyote alie tumbukia ktk uzushi basi ukaribu wake na Ukafiri auko mbali

  • @furahamwajeka7463
    @furahamwajeka7463 3 роки тому

    Thanks Shee...hiii ndo tz safiiii

  • @ramadhaniallyligoneko1748
    @ramadhaniallyligoneko1748 3 роки тому +2

    Rahana tullah

  • @chakubanga1
    @chakubanga1 3 роки тому +3

    HAJAKOSEA, NA KASEMA KWELI KABISA KAMA IPASAVYO NA QURAN. MUNGU HAJAMWEKA MBELE MTUME YOYOTE, ILA, WAMEKUJA KWA KUTANGULIANA. Hizi Ayya mbili ndio ushahidi..
    2/136
    قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
    English
    Say, [O believers], "We have believed in Allah and what has been revealed to us and what has been revealed to Abraham and Ishmael and Isaac and Jacob and the Descendants and what was given to Moses and Jesus and what was given to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [in submission] to Him."
    Swahili
    Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa MUSA na ISA , na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.
    3/84
    قُلْ آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ عَلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ عَلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَالنَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ
    Sahih International
    Say, "We have believed in Allah and in what was revealed to us and what was revealed to Abraham, Ishmael, Isaac, Jacob, and the Descendants, and in what was given to Moses and Jesus and to the prophets from their Lord. We make no distinction between any of them, and we are Muslims [submitting] to Him."
    Swahili
    Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.

    • @abubakarzamir6276
      @abubakarzamir6276 3 роки тому

      Angalia dua alivyoiomba kuamini mitume na vitabu vyao ni haki ila hakuna dua ata shekhe mmoja wa kijamii aliewahi kuomba mwanzo akamtanguliza yesu

  • @kassimsuleiman733
    @kassimsuleiman733 3 роки тому +3

    Inshallah Allah hatomuhifadhi huyo na wewe mwenyewe Allah akupe la kukupa mashekhe wanafiki nyinyi
    mumewaweka mashekhe ndani na wewe mnafiki shekhe gani wewe Mungu akulaani kwa ushirikina wako hasfu wahed

  • @manzilijuni1616
    @manzilijuni1616 3 роки тому

    Namkumbuka kwaher shekhe ilunga mungu amuweke mahala pema pepon tuyashuhudia yale ukioyasimamia leo tuyaona kwa macho yetu

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 3 роки тому

    Shkh umeritadi...sefle wahed

  • @abdallaali5467
    @abdallaali5467 3 роки тому +4

    Na 'Allah anayo majina mazuri basi ombeni kwa majina hyo'..Subuhanallah sheikh anaomba kwa jina la Yesu

  • @mwanaidimuhindi6671
    @mwanaidimuhindi6671 3 роки тому +3

    Vya MUNGU mpeni MUNGU vya kaisari mpeni kaisari

  • @matipukamatipuka2197
    @matipukamatipuka2197 3 роки тому +2

    Bal tuu'sirunal hayaatad dunyaa, suratul Al-a'laa aya ya 16_ Lakini ninyi mnapenda zaidi maisha ya dunia. Hii aya inamuhusu

  • @KA-yz2ld
    @KA-yz2ld 3 роки тому

    Amin🙏🏿

  • @abdulqadirqasim2172
    @abdulqadirqasim2172 3 роки тому +6

    Kweli dunia imekwisha....

  • @khalfanabasi7766
    @khalfanabasi7766 3 роки тому +7

    Mashekhe njaa hao kwa jina la yesu tangu lini

    • @omariabdallah6207
      @omariabdallah6207 Рік тому

      Ww ndo hujui k2 mamuma mkubbwa mtume mwenyewe kamtaja yesu kuwa yy ndo ishala yakiyama kwann mtume hakusema mm ndo ishala lakn akamtaja yesu soma usikimbilie kupga makelele wakati hujui lolote

  • @gideontebuye2205
    @gideontebuye2205 3 роки тому

    Amen, sheh tuko pamoja kwa maombi mazuri, mungu àkuepushe na wabaya wako

  • @issasheikh2270
    @issasheikh2270 3 роки тому

    Allah atulinde na fitna za dunia

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 3 роки тому +3

    Hajielew tena uyu duh subhanallah Mungu anakujua dhamira yako shekh askofu 😂

  • @gideontebuye2205
    @gideontebuye2205 3 роки тому +6

    Kashaomba dua , hayo mabaya mnayomtakia yatawarudia ninyi,

    • @ummesaniyah
      @ummesaniyah 3 роки тому +1

      ... Hayo yanayomtokea ndio yanamtokea yeye tayari na si sisi. Uislamu ni dini yake Allah. Sote tunaifuata kwa msingi na kanuni zake Allah pekee kwa mujibu ya mafundisho sahihi ya Mtume na si vinginevyo. Allah ataendelea kumdhalilisha yeye, aendelee tu kuomba dua zake kwa Jina la yesu... Hakuna kanuni hiyo ndani ya uislamu. Facts 💯

    • @hassansugha5935
      @hassansugha5935 3 роки тому

      Kwn aliposema hio kauli alikua hajielewi au amesema hvyo kwa akili yke timamu v8 simchezo ww

  • @issaissah8832
    @issaissah8832 3 роки тому

    Daaah mapenzi ya Dunia shekhe ana mkufulu mungu daaah kwa Jina LA yesu ni hatari

  • @yaqoobalhinai3805
    @yaqoobalhinai3805 3 роки тому +1

    Nduguzagu waislam nawaombeni musiende kuswali katika misikiti ya bakwata ni kumshirikisha mungu

  • @immanuelmwaipopo1605
    @immanuelmwaipopo1605 3 роки тому +4

    Ukubali ukatae Yesu ndio mwanzo ndio mwisho wengine wote watahukumiwa na yeye Yesu na taratibu tumeanza kuelewana

    • @bernardoleonard7331
      @bernardoleonard7331 3 роки тому +1

      Yesu ndye mkubw was manabii wote walikuw watangulizi wake.

  • @khamissaid5525
    @khamissaid5525 3 роки тому +6

    Inalilahii wainailaihii rajiunii masakini hajuii alitendaloo mungu amtabahishe huyuu kwakwelii

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 Рік тому

    Subhanah allah

  • @issakara7624
    @issakara7624 3 роки тому +1

    Hapa shekh hajakosea ameomba dua kwa Isa masikh sio yesu

  • @mohamedhalifambela6419
    @mohamedhalifambela6419 3 роки тому +5

    Njaa mbaya sana sasa mtume kafundisha dua hizo lini?

  • @twalibsaid9573
    @twalibsaid9573 3 роки тому +22

    Haimpasi shekhe kama huyu kusema "washindwe kwa jina la yesu"
    Kauli yake hii ni nzito sana kwasababu ya mambo mawili:-
    1. Tukiwa na ombi lolote tunatakiwa kumuelekea allah na sio kiumbe na yeye alipaswa kusema "washindwe kwa jina la allah" kwani allah ndio muumba wetu.
    Na wala hatakiwi kusema hata washindwe kwa jina la muhammad na wote tunajua kwa mtume wetu kipenzi ndio bwana wa mitume wote.
    Sasa ikiwa haitakiwi kusema kwa jina la muhammad basi kwa jina la yesu ndio haitakiwi zaidi.
    2. Hio sentensi inaonesha kama kuridhia kwake kwa dini ya kikristo. Lakini allah hakuiridhia dini ya kikristo bali kairidhia dini ya kiislamu pindi aliposema kati sura ya 5 aya ya 3 "na nimekuridhieni UISLAMU uwe ndiyo Dini".
    Namuomba allah atuongoe katika njia iliosahihi آمين.
    Salamu zangu kwa waislamu wote ulimwenguni

    • @rashidjumamohamed3437
      @rashidjumamohamed3437 3 роки тому +2

      Uko sahihi
      Je niulize 'Si amekufuru huyu'
      Haki ya Allah kampa kiumbe kufurahisha viumbe

    • @binsultan6981
      @binsultan6981 3 роки тому +2

      Hawa wanaona aubu kumtaja Allah mbele ya mabosi wao

    • @jamilambarouk4746
      @jamilambarouk4746 3 роки тому +1

      @@rashidjumamohamed3437 Dah shekhe kajikanyaga jmn yallaaa

    • @mohammedsururu4047
      @mohammedsururu4047 3 роки тому +3

      Njaa mbaya

    • @zulfaissa7814
      @zulfaissa7814 3 роки тому +2

      Wote nimitume yamwenyezi mungu

  • @lumumbasankara6388
    @lumumbasankara6388 Рік тому

    Subhana llah kweli maneno yake utakuja kuulizwa cku ya kiama

  • @karimulahiabdullahi6816
    @karimulahiabdullahi6816 3 роки тому

    Makafiri wanaitikia Amin ya Askofu Alhadi kwakuwa wamekuwa radhi naye kwa vile ashakubali mila yao.

  • @allysalim2497
    @allysalim2497 3 роки тому +16

    Njaa tu hivyoooo inakusumbua Allah atakupa stahiki yako mwehu mkubwaaa ww

    • @lavianaalbert9038
      @lavianaalbert9038 3 роки тому +1

      Hivinyinyi hua mnatukana viongozi wenu wadini????yawezekana amekoseatu mbona hamna hekima ya mungu basi???????mtu akiwa kiongozi sio amekua malaika jamani!!!!!kuweni na nidham basi

    • @lavianaalbert9038
      @lavianaalbert9038 3 роки тому

      Kwa nabii issa ni nani??sindo yesu

    • @jurassa9588
      @jurassa9588 3 роки тому +1

      Aliye mkamilifu Mbele za Mungu na awe wa kwanza kumrushia jiwe.

    • @jurassa9588
      @jurassa9588 3 роки тому

      Aliye mkamilifu Mbele za Mungu na awe wa kwanza kumrushia jiwe.

    • @francisfredrick6267
      @francisfredrick6267 3 роки тому

      Huioni pepo ww acha kumkashifu JESUS is lord

  • @khaalidcheo5383
    @khaalidcheo5383 3 роки тому +4

    Maslai ya tumbo

  • @sadickwalker2795
    @sadickwalker2795 3 роки тому

    Binafsi nimemuelewasana Huyu Sheikh ana hekimasana pia najitambuasana nimetiwa Moyo na Dua hii Ushindiiiii ni lazima Ccm Oyeeee Mora akupe maisha malefusana Sheikh wangu.

  • @shakilaramadhani9866
    @shakilaramadhani9866 Рік тому +1

    Innalillah wainna ilah rajiun

  • @salehali976
    @salehali976 3 роки тому +3

    Inna lillahi wainna ilayhi raajiuun. Huyu kweli ni msomi wa dini au kanjanja.
    Mbona anatetemeka, wewe mjinga sana Allah anakuona.

  • @badarbinthabit7967
    @badarbinthabit7967 3 роки тому +4

    Sindo umoja wakizushi huo

  • @nasrynnassor1492
    @nasrynnassor1492 3 роки тому +2

    Shekh twajua njaa hiyo inayokusababisha ukufuru innalillah wainna ilyhi raajiuun

  • @brillianthalisi2259
    @brillianthalisi2259 3 роки тому +1

    Shehe nimekuelewa wewe unajielewa sana shehe ubarikiwe

  • @abdimanundu
    @abdimanundu 3 роки тому +11

    Mnafiki mkubwa shehe Ubwabwa

  • @jumasaalim9455
    @jumasaalim9455 3 роки тому +15

    🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆😂din yetu imeingiliwa na vibaraka

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 3 роки тому +1

      Dawa yake ipo

    • @subrasalim8927
      @subrasalim8927 3 роки тому

      eee mungu tunusuru huu mtihani kwel

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 3 роки тому +1

      @@subrasalim8927 kuna muislam asiyejua kuwa BAKWATA ni chombo cha Dola?watumishi wake lazima wawe Agent wa wambea.nani hajui hilo?nawaonea huruma wale wanao jipoteza kipindi cha mwezi muwandamo na siku ya Arafa

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 3 роки тому

      Kama wewe usiyejitambua

    • @trophainamagogwa9991
      @trophainamagogwa9991 3 роки тому

      @@ibnhassan9980 ipo Yesu anaokoa ndo dawa

  • @awadhhadi446
    @awadhhadi446 3 роки тому

    Shekhe mungu akusamehe kwa ďua yako muombe mola wako msamaha

  • @OmanOman-bh4yh
    @OmanOman-bh4yh 3 роки тому +1

    Jamani njaa mbaya uyu baba Kesha potea masikin

  • @fatumahamis166
    @fatumahamis166 3 роки тому +10

    EE MUNGU NJAAA SIO RAFIKI UYU SHETANI ANAYE JIITA MUISLAM ILA TUMBO MBELE KAMA MIMBA

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 3 роки тому +1

      🤣🤣🤣

    • @jescaifunya1762
      @jescaifunya1762 3 роки тому +1

      Huyo ni mpakwa mafuta wa Mungu anachokibariki kinabarikiwa na anachokilaani kinalaaniwa

    • @mariamm2724
      @mariamm2724 3 роки тому +1

      Nilijuwa tu mtamsemea mabaya

    • @jumachilundajr4853
      @jumachilundajr4853 3 роки тому

      @@mariamm2724 sisi ndio watanzania aidha kupinga au kuliza yote yetu sisi watz,,kila mmoja katafasiri kimpango wake ajue n Mola pekee je kakosea wapi? Usishangae dada sisi ndio watz anaelaumu hajui anajua hasemi

    • @mariamm2724
      @mariamm2724 3 роки тому

      @@jumachilundajr4853 kweli aisee kila kitu kukosoa tu hao ndoo watz

  • @almassylivester4691
    @almassylivester4691 3 роки тому +4

    KWA HABARI YA KUKIRI KUWA YESU NI MUNGU, HILO HATA MSIWE NA SHAKA, ZUNGUKEN, TEMBEEN, TUKANEN, LAKN KUNA SIKU MTAKIRI YA KUWA YESU NDIYE MUNGU. HATA MUHAMAD ANALIJUA HILO.

    • @abdulqareemseif9050
      @abdulqareemseif9050 3 роки тому

      Kama yesu ni mungu alikua wapi wakati mama yake anazaliwa? km yesu ni mungu mbona hii dunia kaikuta? Km yesu ni mungu mbona kulikua na watu kabla yake? Km yesu ni mungu mbona kafanana na binaadam kwanini asiwe na umbo lake tofauti kaa ufikiri

    • @almassylivester4691
      @almassylivester4691 3 роки тому

      @@abdulqareemseif9050 haya maswali yote kayajib YESU (MUNGU) kwenye vitab vinne vya injili ukisoma biblia

    • @rashidjumamohamed3437
      @rashidjumamohamed3437 3 роки тому

      Mungu kafa ana miaka 33
      😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
      Hata baba yako kampita umri

    • @abdulqareemseif9050
      @abdulqareemseif9050 3 роки тому

      @@almassylivester4691 nijibie ww wapi yesu kasema yy km kaumba

    • @almassylivester4691
      @almassylivester4691 3 роки тому

      @@rashidjumamohamed3437 Tito 2:13 tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, MUNGU MKUU na Mwokozi wetu;

  • @jacksonrock6535
    @jacksonrock6535 3 роки тому

    Mungu Alishasema Jina Lenye Nguvu YESU Waminio Na Wasioamini Wanalitaja

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 3 роки тому +2

    Lazima watu wajue kuwa Yesu Ni Bwana na mwokozi wa maisha yao

    • @ellykibale190
      @ellykibale190 3 роки тому

      Kweli na amina

    • @farisytanzania6566
      @farisytanzania6566 3 роки тому

      Matendo 5:31) Hakuja kukuokoa wewe, na husitegemee. Waisrael peke yao. Ufunuo 21:13)

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 роки тому

      Lazima watu wajue km makafiri na wanafiki ndivyo wanavyompigania Yesu mtu awe bwana na muokozi wa maisha yao. Hasbunallahu waniimal wakiil. Allah atuepushe na ukafiri na unafik, Amiin.

    • @madamloveness7274
      @madamloveness7274 3 роки тому

      @@alhamdulillah5796 Yesu hapiganiwa anajipigania mwenyewe ewe mtoto wa kambo wewe

    • @ambrosiamlinga8402
      @ambrosiamlinga8402 3 роки тому

      @@alhamdulillah5796 makafiri! Hiyo simu na youtube unayotumia imetoka kwa makafiri sasa itupe hiyo simu yako na ifunge youtube yako kwani ni haramu

  • @zoyarobert5794
    @zoyarobert5794 3 роки тому +4

    hiyo inamanisha watanzania hatuna ubaguzi wa dini ndo maana kaomba kwa jina la YESU hayo ndo matunda ya rais wetu kipenzi cha watanzania JOHN POMBE MAGUFULI

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 3 роки тому

      Njaaa kali huyo Sheikh mnafiki asitubabaishe sie

    • @lusamhamanish7055
      @lusamhamanish7055 3 роки тому

      @@ukhtyalpha1344 wewe @Ukhty Alpha acha kuropoka hem kasome kwnzaa

  • @suhaybabeid3115
    @suhaybabeid3115 3 роки тому +3

    Astaghfiruallah😭😭

    • @jurassa9588
      @jurassa9588 3 роки тому +1

      Acha unafiki kwani wewe ni mkamilifu mbele za Mungu?

    • @suhaybabeid3115
      @suhaybabeid3115 3 роки тому

      Peke ako ndo mkamilifu

    • @tareqhilal6750
      @tareqhilal6750 3 роки тому +1

      Astaghfirullah mmaana yake anaomba tusamehewe kwa ujinga huo wa viongozi wa dini, hai husiani na ukamilifu Bora uelewe kwanza.

    • @suhaybabeid3115
      @suhaybabeid3115 3 роки тому

      tariq hilal:- mwambie huyo J urassa aelewe au labda itakua uyo shehe alifinyanga uislam mjomba ake maana simuelew anajifanya yeye ndo amekamilika ah....

  • @mathewmassawe5982
    @mathewmassawe5982 3 роки тому

    Amina, MUNGU NI MWEMA

  • @marwaabdalla9306
    @marwaabdalla9306 3 роки тому +1

    Hatuombi dua kwaniaba ya mitume, shenzi wewe lana za Allah zikushukie wewe, Maghufuli na ccm wote, Amiin

    • @jurassa9588
      @jurassa9588 3 роки тому

      Huwezi kumwelekeza Mungu jambo la kufanya. Anaweza kuamua kumsamehe na pepo akaiona vzr tu sasa sijui utateseka sana kuona Mungu kamrehemu kiumbe wake?

    • @rachelnelson4032
      @rachelnelson4032 3 роки тому

      Ushindwe kwa Nina LA yesu

    • @marwaabdalla9306
      @marwaabdalla9306 3 роки тому

      @@jurassa9588 Akirudi kwa Allah atasamehewa ila maghufuli, ccm na huyu sheikh ni washenzi tu sioni kuwa ni watenda haki Laana ziwe juu yao, amiin

    • @marwaabdalla9306
      @marwaabdalla9306 3 роки тому

      @@rachelnelson4032 wewe yesu ni mtume wa Allah na mie nampenda na sio Mungu. Maghufuli na washenzi wenziwe walaaniwe na Allah , amiin

  • @allysalim2497
    @allysalim2497 3 роки тому +14

    Wewe sio Sheikh ni muhuni tu na wenzako usilete kufuru na shirki pumbavu mkubwa ww

    • @phillipmsamire937
      @phillipmsamire937 3 роки тому

      Muhuni kwa kuwa kalitaja jina la yesu eeeh

    • @mwambamkombozi4672
      @mwambamkombozi4672 3 роки тому +4

      @@phillipmsamire937 Yesu alikuwa muislamu kwahiyo sio sababu sababu ni kuomba kwa jina la Yesu au Muhammad SAW, mtu unaomba kwa Mungu mwenyewe sio kwa watu aliowaumba ambao wao wenyewe wanamtegemea Mungu. Kwahiyo kwetu sisi waislamu ni kufru hiyo na kwa yeyote anaeamini Mungu ni mmoja tu peke yake na wala hana mshirika....na hiyo ndio maana yake...

    • @augustinomwamasinga2200
      @augustinomwamasinga2200 3 роки тому

      @@phillipmsamire937 akiri yake imeziba

    • @alimsemakweli1376
      @alimsemakweli1376 3 роки тому

      Huyu kalaanika.

    • @alimsemakweli1376
      @alimsemakweli1376 3 роки тому

      @@phillipmsamire937 huyu kalaanika

  • @hamismohamed3541
    @hamismohamed3541 3 роки тому +6

    Dua la kuku hilo halimpati mwewe

  • @ancojalo1200
    @ancojalo1200 3 роки тому

    Dah subhanallah

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 3 роки тому +6

    kura kwa lissu

  • @suleimansuleiman2436
    @suleimansuleiman2436 3 роки тому +3

    Mafuriko yote yaliyotokea Jana, wewe bado wauza dini kwa njaa yako iliyokua haimaliziki? Huyu Sheikh au Sheha? 🍗🍗🍗🍗🍞🍞🍞🥪🥪🥪🍔🍔🍔🎤🎤🎤🎸🎸🎸

  • @magechuwa2888
    @magechuwa2888 3 роки тому

    Mungu ni mmoja

  • @aminahhamadi6214
    @aminahhamadi6214 3 роки тому

    MIMI NAFIKIRI SHEKHE KWA ULIMI WAKE AMEDHAMIRIA DUA HIYO YA KEPEKEE KWA MASLAHI TU YAKE YA DUNIA (NJAA) NA SI LOLOTE SI CHOCHOTE ILI AMFURAHISHE ALIYE MBELE YAKE ILA MOYONI MWAKE ANAJUA FIKA HAKUNA DUA KAMA HIYO NA ANAWAOMBEA MASHEHE WAFUNGULIWE MAGEREZANI. NA NDIO MAANA IKABIDI ASOME DUA YA KIPEKEE.

  • @mohamedkigwehe3561
    @mohamedkigwehe3561 3 роки тому +3

    Wallah wewe unajiita shekh mngu atakuhukumu kwa maneno yako hayo duh?njaa mbaya sana ila kumbuka haya nimaisha tu akhera inakuongoja

  • @gilbertmgana7894
    @gilbertmgana7894 3 роки тому +3

    Jamani....linaloendelea hapo ni utimilifu wa bibilia

  • @rabiethmosha8006
    @rabiethmosha8006 3 роки тому

    Ufirauni huu upo mwishoni na naamin MUNGU anajibu maombi IPO siku Uhuru Wa weng utajibiwa japo utachelewa ishahllah

  • @abdallahkawambwa9041
    @abdallahkawambwa9041 3 роки тому

    Hawatakua radhi mayahud na manasar mpaka mfuate mila.zao inshallah na ww tunakuombea mwisho mbaya allah akutie motoni

  • @rashidiakili412
    @rashidiakili412 3 роки тому +5

    Shekh huyu hajitambui hata kidogo .pesa zitampeleka pabaya.Hakuna mchamungu yeyote anayeshughulika na siasa.wewe babu hayo unayoyafanya ni laana ya mw/mungu. Hapa shaka utakuja juta Siku ya khiyama.

    • @damianmakala2913
      @damianmakala2913 3 роки тому

      Na yule askofu alienda kuandamana Tundu lisu wakati anaenda mlandizi unamuongelea vipi ? We kaa Kimia shika yako